NDOTO NA TAFSIRI ZAKE | NUKTA 43 ZA MTU UKIOTA UNASWALI NA MAANA ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 чер 2021
  • NDOTO NA TAFSIRI ZAKE | NUKTA 43 ZA MTU UKIOTA UNASWALI NA MAANA ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
    #Masjid_Mtoro_Online_Tv

КОМЕНТАРІ • 40

  • @hamzaalliy8210
    @hamzaalliy8210 2 місяці тому +1

    Shuqran sheikh

  • @awenakhamis3898
    @awenakhamis3898 Рік тому +3

    Alhamdulillah shukran sana ustadh leo nimeota ndoto hio mimi namuomb mungu aniongezee zaidi na zaidi in sha Allah anijalie niwe mja mwema miongoni mwa waja wake nimefurah sana🙏

  • @kilimilekilimile6446
    @kilimilekilimile6446 Рік тому +2

    Maa Sha Allah

  • @saidwaziri4679
    @saidwaziri4679 Рік тому

    Mashalla jazakallah sheikhe Allah akuzidishie erim

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 роки тому

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI

  • @hamisijuma3362
    @hamisijuma3362 3 роки тому +3

    mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla mashaalla

    • @ndotoyangumaishayangu1907
      @ndotoyangumaishayangu1907 3 роки тому +1

      Baaraka llaah, tabaaraka llaah, ahsante sana bwana Hamisi Juma

    • @khamismtoma4902
      @khamismtoma4902 2 роки тому +1

      @@ndotoyangumaishayangu1907 me niliota nimefika msikitin nikasimama nje kamamda kidogo badae nikaingia masigid

  • @AbubakariHasani-ds4os
    @AbubakariHasani-ds4os 9 місяців тому

    Thank you for send this news

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому +2

    Assalamu alaykum sheykh shukran

  • @hawaahamis6179
    @hawaahamis6179 Рік тому

    Nimeota naswali na kumenyesha sana Al hamdhulillah

  • @aminaismailmikina1240
    @aminaismailmikina1240 Рік тому

    Assalam alaykum waramatullah wabarakat shekh nimeota ndoto nikiwa nimeingia msikitin nataka kuswal na marafiki zangu baada ya hapo tumemaliza kuswali nikiwa ni mtu mweny furaha sana tukawa tunacheka sana na wao watu nilikuwa nayo nilikuwa na mwalim wangu wa darasa naomb nijibu

  • @mariammussa6323
    @mariammussa6323 3 роки тому +3

    Je ukiota unaswali swala ya eid

  • @LaaiqahMally-my5qh
    @LaaiqahMally-my5qh 9 місяців тому +1

    Shehe mimi Nimeota nipo msikiti wa Jerusalem Palestinian nikaona sehemu ya kutia udhu zile Koki ni sura ya Suleiman

  • @user-uy2pn2pq3c
    @user-uy2pn2pq3c 6 місяців тому

    Asalmaltkum shekh Mimi ni meota khalatiyangu amekuja kwamtoro wake wakiume yeye na mwalimu akaja mtotowake wa kike akamwabia mama nedazako umekuja mama akamwabmbia ni mekuja kusafiha nyuba nichafu shekh na omba tafsiriyake

  • @user-ju1pl7rr8n
    @user-ju1pl7rr8n 11 місяців тому

    Aslm alkm ww... Jazakallah kheir 🙏

  • @muniramassawe-hs1hg
    @muniramassawe-hs1hg Рік тому

    Me nasumbuliwa na mdoto ya kurud shule Mara kwa Mara jaman naomba unisaidie

  • @tatuhassani3769
    @tatuhassani3769 10 місяців тому +1

    Ukiota unasali ya idd na zile tkbira zake

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 4 місяці тому

    As/aleykhum shekhe, naomba kujua maana ya ndoto nimepandisha majini

  • @binthatv2794
    @binthatv2794 Рік тому

    Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh mimi nimeota Niko kwenye swaum nikaota ilikuwa ni ramadhani Kisha nikaota naswali swali magalibi Kisha nikaona namaliza tunataka kufturu Pia ndani yandoto nimeanzq kuota naswali suna

  • @user-pi4uj1jn4b
    @user-pi4uj1jn4b День тому

    Asalam aleykum shiekh wangu mimileo naota nime simanacha swala lakini nilikua na tetemaka sana mpaka nilimaliza swala nahali nilikua naka china nini mahana yake

  • @user-rz7pj2hp7b
    @user-rz7pj2hp7b 6 місяців тому

    Huwa naota nasoma alhamdi baada ya kumwano mchawi

  • @sausanmnipawa5794
    @sausanmnipawa5794 2 роки тому +2

    Asalam alykum shehe Mimi nimepata kuota Niko maka nahiji Nini maanayake

  • @user-xg7bj6qg5r
    @user-xg7bj6qg5r Місяць тому

    Mimi nimeota niko msikitini nimesimama mbele kuna misitali miwili wananisujudia nn maana yake

  • @user-sr1gi5fw1n
    @user-sr1gi5fw1n 10 місяців тому

    Niliota nampigandg yangu

  • @khadijadaudy690
    @khadijadaudy690 2 роки тому +1

    Nimeota nasali na watoto wangu mmoja binti lkn mwingine sikuwa najua Ni jinsia gani na Mimi Ni mjamzito!!! Ila wote Ni wadogo japo wamepishana kidogo umri lkn Baada ya kumalizia mama yangu mdogo akatokea akaniambia swala zako hazijapokelewa mbona hujageukia kibra kibra Ni nyuma yako huko! Nikachanganyikiwa shekh ndoto hii inamaana gani???

  • @hawaahamis6179
    @hawaahamis6179 Рік тому

    Swala ya mangib, alasir niliota na nilihukumuwa kweli mpaka nikalala seli siku 3 na niliswali kiyomu leil kisha jabal uhud bt hii ya jabal uhud nilipitia mtihan kiac

  • @TauhidaTwaha
    @TauhidaTwaha Рік тому

    asalam alaikum shehe nisaidie ndoto ukiota umekula udi

  • @slhshbn9677
    @slhshbn9677 2 роки тому

    Assalamualaikum. Nimeota naenda kuswali swala ya dhuhri japo nkaenda hadi mskitini ipa ndoto ilikatika kabla sjasal

  • @rehemajuma5888
    @rehemajuma5888 Рік тому

    A.alkm ...nauliza je ukiwa na ugomvi na mtu na mtu umuombe msamah akatae kisha uone katika ndoto tena unamuota unamuomba msaha huku Unalia lakini awe bado anakataa inamaana gani?

  • @abubakarnyandwi-pz5vb
    @abubakarnyandwi-pz5vb Рік тому

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu shekh taghayuri maana yake nini

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 9 місяців тому

    shekhe unsongea kimwinyi sana fahamu tunatumia bando nyoka ktk point

  • @zainabumavura4270
    @zainabumavura4270 Рік тому

    asalam alaykum shekh ni vip anayrota lkn akistka ameshasaau alichoota

  • @SofiaUmande-ss1zj
    @SofiaUmande-ss1zj 10 місяців тому

    Nimeota naswali ijumaa na umauti ukanikuta ila mala nikajiona natoka kwenda nyumbni

  • @AbdukadirCaade
    @AbdukadirCaade 6 місяців тому

    Je ukiota wa swalisha swalah ya fajri... ama waswali tafsir yake ni nini

  • @suzanmantago7005
    @suzanmantago7005 Рік тому

    Mwalimu mm ni mkristo lkn nimeota niko msikitini nafanya ibada kama mnavyo abudu ninyi maana yake nini?

    • @nurahnshimirimana8981
      @nurahnshimirimana8981 Рік тому

      Asalamuh alaikuh mwali mm nimwisilamuh lakini nimehota nikiwa nasali nyumbani namanduguzangu tenawanaume wasiekuwa waisilamuh afupakaja umoja mwisilamu akatusumimashi kupitia vichekesho afu mm nikabaki kuwakwenye rukuh bilahata duwa nikiwakimyatuuu hukinimefungaswala nikafikanashitukaa

    • @nurahnshimirimana8981
      @nurahnshimirimana8981 Рік тому

      Nini manayakeee?

    • @radhiambwana3353
      @radhiambwana3353 7 місяців тому +1

      Mashaa Allah niishara NZR