Ujenzi wa awamu ya tatu wa barabara ya Dongo Kundu wakamilika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 кві 2024
  • Ujenzi wa barabara ya Dongo Kundu awamu ya tatu umekamilika. Barabara hiyo inaunganisha kaunti ya Mombasa na Kwale imetajwa kuwa na afueni kubwa hasa kwa usafiri utalii na kupunguza msongamano katika kivuki cha Likoni.

КОМЕНТАРІ • 25

  • @ramiiben7929
    @ramiiben7929 28 днів тому +6

    Inaunganisha Kisiwa cha Mombasa na kaunti ya Kwale wala si Lamu

  • @brianadventure254
    @brianadventure254 29 днів тому +1

    Wa kwanza hapa..wakuu si munipitie🙏,,, niwapitie sahii pia❤

  • @dennismathu2645
    @dennismathu2645 29 днів тому +1

    Uhuru is doing ii better even 2yrs to retirement than ruto

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 29 днів тому

    ❤❤❤ good job👏👏

  • @Nina-tf2wy
    @Nina-tf2wy 26 днів тому

    Shukrani kwa Uhuru Kenyatta.... 🇰🇪

    • @kibindankoi9824
      @kibindankoi9824 22 дні тому +2

      Shukrani za nini hii ni pesa yetu sisi wananchi, ni ushuru wetu. Tuache huu ujinga wa kumsifu mtu. Tulimpa kazi kwa kumpigia kura na mshahara wake alilipwa.

    • @Nina-tf2wy
      @Nina-tf2wy 22 дні тому

      @@kibindankoi9824
      Kuna wengi ambao hupewa kazi lakini hawaifanyi na wanaiba hela zote...

    • @MrUnfamilia
      @MrUnfamilia 15 днів тому +1

      @@kibindankoi9824 kweli, Jamaa hajui hizi miradi ni haki yake. Educate them my brother

  • @francismambo8055
    @francismambo8055 29 днів тому

    Good job

  • @douglaskibogong9643
    @douglaskibogong9643 28 днів тому

    Government of Kenya project

  • @user-sj8ck1bk1d
    @user-sj8ck1bk1d 29 днів тому +1

    Ferry kwa heri

  • @160501959
    @160501959 28 днів тому

    Good tax and loan money...

  • @princeellyuds71
    @princeellyuds71 15 днів тому

    Watu wa Mara uhuru Mara muuwaji, hizo ni kelele tu

  • @benjanykilonso2007
    @benjanykilonso2007 28 днів тому

    County ya lamu imetoka wapi huku???

  • @user-sj8ck1bk1d
    @user-sj8ck1bk1d 29 днів тому

    Mara imeisha mara bado kwani nani msimamizi jameni

  • @Rais-we1ne
    @Rais-we1ne 29 днів тому

    Mark the road

  • @musakibwana4596
    @musakibwana4596 29 днів тому

    Huku imeisha, huku itamalizika mwezi ujao. Until the ribbon is cut, I have no reason to smile.

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 29 днів тому

    Hiii barabara itazenduliwa lini lakn

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 28 днів тому

      Unaona barabara inaelekea kuisha ifunguliwe wewe unasema kuhusu kuzinduliwa, barabara ilizinduliwa kitambo na aliekua raisi Uhuru Kenyatta

  • @raphaeljulo3826
    @raphaeljulo3826 29 днів тому +2

    Uhuru projects

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 23 дні тому

    Uhuru's job.huyu muuwaji akuna kitu amefanyia wakenya

    • @princeellyuds71
      @princeellyuds71 15 днів тому

      Kaskia vibaya uko kwenu na watu wenu wenye wamuawa

  • @variousplaces
    @variousplaces 21 день тому

    Eti Inaunganisha Kisiwa cha Mombasa na Lamu?
    0:28 -0:33.
    Vipi hapo Francis Mtalaki unatupaka uongo mtupu! Hii ni Mombasa to Kwale not Lamu