Hofu imeibuka Lodwar kufuatia mzozo kati ya polisi na maafisa KDF
Вставка
- Опубліковано 22 кві 2024
- Hofu imeibuka eneo la Lodwar kaunti ya Turkana kufuatia mzozo kati ya maafisa wa polisi na wenzao wa kijeshi. Hii ni baada ya maafisa wa jeshi kudaiwa kumshambulia na kumpiga afisa wa polisi siku tano zilizopita. Sasa wito umetolewa kwa mawaziri wa usalama na ulinzi kuingilia kati swala hili.
Polisi ndo wakona kiburi Sana hongera kdf good bless you kabisa
Wazi mkuu😂😂😂
Hao askari wawe na heshima,stop mistreating our soldiers
Police ndio hawana discipline wanajeshi wako sawa hawa wameskiza upande moja tu wa police hawaja skiza kdf but I'm very sure police mwenye alikua roadblock ndio alikua na shida na kdf because huyo driver wa kdf huwa hawasimami njiani, so please citizen tv mtupatie pia side ya kdf tuwaskie wana yapi yakusema?
Ni sawa hao polisi kupewa kichapo na kdf ....hapo hakuna kesi ....hio iliiisha hio kesi ni kutuziba macho wataongeleashwa na watu waendeleee na biashara zao
Hongera Kwa wanajeshi😅muongezewe mshahara good work
Ile siku kdf watafanya operation kwenu hapo ndio utajua chenye inazuia kdf ni order. Wanaua raia kama ndege ngojea
Walikua wanataka kitu kindogo as usual
Mwenye hajawahi ona Vita huongea Kama wewe, Police follow rules of law that's the restraint Kama hawangefuata Sheria ingekuaje ?
Ingekuaje kivipi kwn police anaeza piga KDF?
@@rashidrama1477 these people carry the same gun undergo the same vigorous military training the difference is only the roles, and Law and international statutes which restrain them, look at the country like Sudan the war was between which groups, let's be careful if things can go south it will be dangerous
Kazi nzuri hio..lazima men in blue wajue nani ndio kusema😂😂😂
Sasa nani ndio kusema...inaisaidia aje nchi...huo ni utoto
Polisi wengi wana kiburi na huhangaisha waKenya kila waendapo: hizo hongo hadi kina OCPD, OCS na majaji huzitafuna pamoja. KDF kwa kweli wanadharau hawa kwa hizo tabia dhaifu. Dunia mviringo, endapo, wamepatana na hao polisi wamejua KDF sio keki. Hongera kwa polisi wanaoifanya kazi nzuri ipasavyo.
Police walikua wanataka hongo
Kazi ni kuchukua hongo tu
I stand with KDF.
Akiliyako nimeiona
@@jamessila3219 wapi😁
Me too
Being KDF does not Mean Not to Respect the Rule of Law.
Hakuna Mahali utawahi sikia military imewekewa road block.Magari ya jeshi yanajulikana kwani polisi mwenyewe ni mgeni?
Labda WA jua kali
People will never appreciate Police I don't know why?
Which country am I in? 😢
Alikuwa anataka za chai
Because it's a rotten department@@georgebadia6830
Hongera Kwa wanajeshi 😂😂muongezewe mshahara good work🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwani Leo ndio hii video imekua news Kwa citizen na niliona jana ikitrend mtandaoni.KDF bravoo!!!
I look at the comments and summarily give kudos to kdf officers
Huyo polisi ana ujinga sana. Anawekea KDF road block!!. Walifanya vizuri sana kumchapa huyo polisi
😂😂😂😂😂 Nmeshangaa wanablock kdf
Maafisa wa Polisi wanafaa kupigia saluti Jeshi 💯
Bila kubishana piga saluti kama asenali ikipigia mancity saluti😂
Polisi husumbua watu barabarani, truth be told.
Thanks to our soldiers. Respect kdf manugu!
KDF vehicles are well known,why block them???
How can you block a KDF track and insist on inspection, I thought that's the work of military police, those policemen were jinga kabisa
dont joke with kdf
Polisi ni watu wasumbufu sana na hizo D na E zao. Who blocks a military vehicle in an operational area an area where the same police couldnt maintain law and order reason they had to call KDF who are protecting us from Alshaabab, to protect them as they protect the people of Lodwar. We stand with our KDF any day. They are not corrupt and hideous like the kenya police. Kenyans know you and never expect Kenyans to side with the police, we meet them every day, kazi yao ni hogo and killing innocent civilians. Watu wa tumbo kubwa na akili hakuna. Muachane na warriors wetu KDF, tunawapenda tena sana. All the best KDF, we love you and you make us proud as Kenyans and we see why we pay you using our taxes. Police are just crooks in uniform and ŵith the right to carry guns and a cofa.
Mwafrika soma na uelewe Sheria. Kenya sio Uganda
Uko na kasoro upstairs
Wakenya ni vichwa ngumu sana na lazima wafinywe kidogo ndio uwakumbushe maneno ya sheria 😂 hio maneno ya hongo huwa inaenezwa na wakenya wenyewe, mtu akishikwa unaskia akisema Wacha tuongee afande😅😅
Polisi respect kdf
Elewa sheria vizuri kabla ya kupanua mdomo.Nguvu ya wanajeshi huisha nje ya gate za kambi zao.Huko nje hufuata sheria ya wananchi ambayo huimizwa na kulindwa na polisi.
@@edwingichobi1657 thank you very much sisi hatuchui mambo ya Sheria lkn nimejifinxa kitu bro👍
Yeah sure
@@luciamusyimi9975 kdf forever, polisi waheshimu kdf
Big Up KDF, polisi wengi Wana upuzi
Indiscipline in Ruto’s govt from top down
Polisi walifanya makosa, tangu lini Lori ya jeshi ikawekewa kizuizi isipite. Polisi huyo anafaa kujua alikosea yeye Dio chanzo cha hio Mambo.
Military vehicles are never ever detained at any check point have worked in military outside country for years
Police wanafaa kichapo cha mbwa good job to our kdf 🫡🫡
KDF fanya kazi kabisa ... Hawa polisi kazi ni kulala na kula na bandit
Polisi wapigwe kabisaa waskie vile huwa tunaskia wakituwekelea vitu hatujafanya
Wallahy tena
I'm sure huyo karao alikuwa kwa roadblock alidai kitu kidogo ndio afungue hio roadblock😂😂
Wote wako na shida, kila mtu anataka kuonyesha ako na nguvu
Police ndio alikataa kutoa buria/road block KDF wapite ikabid washuke b4 niendelee gar ya jeshi haina baria yaingia au kupita popote apart from kwamba huyo police knew well ilkua kdf's vehicle(for your information tutanyorosha police mpaka washike adabu)kama kwel niwanaume watkujie barracks coz sis tutawachapa in every road block its unless wakituona watoroke na waende kabisa shenz type
Discipline Discipline ni kitu kizuri mwisho watauwana
Hongera jeshi letu wakomeshe hawa polisi kuchukua hongo
I am teling it ls the same behaviour in High school taken to security oficers. Where one school think is superior than the other. Madharau
KDF nawapenda sana❤ ukichokoza nyuki atauma hadi nywele 😂
I stand with the Kdf.
Adan Dwale take action and transfer all those officers from those places. Otherwise sirikal ni moja. Please respect one another.
Duale has no power to transfer soldiers
Military is more organized than the police. They have their own systems and everything.
Especially kdf
@@hakeemahmed2874😂😅has no power but transfers already underway. Kimewaramba, don't joke with military.
@@RickyEric958the soldiers ndio watapata tabu juu assaulting a police officer ni offence, hao majamaa hata sidhani wako job saa hii
Those are soldiers we don't expect them to be soft . putting them on handcuffs is embarrassing and interdicting them is even unthinkable..let us not practice double standard we love kdf.
iyo dio ilikuwa siku ya kwanza ya polisi kuona gari la jeshi likipita katika hicho kizuizi ?
Good job wanajeshi. Finya hawa watu
Kwani citizen ndo mmejua Leo, seems you are are outdated. Hongera KDF. Polisi hawana heshima
2 brothers are fighting one another u support one aganist the other .kaeni na amani left hand cutting the right hand makes no sense at all❤
Stop wasting bullets..we are paying taxes.Waeke tu bunduki kando wapigane😂 na respect itadumu.
What if there were rashing to recure someone's life somewhere? Huyo kdf alifanya kazi mzuri sana kwa huyo ofisa.
Congratulations to the KDF
Mmewahi ona kdf wakichungua hango. KDF must be respected for their discipline
Hakuna cku ata moja ntashabikia police blue nachojua mm kdf ndio kusema
😂😂😂😂 wacha KDF watarudi badae
I hope you see what they did to likoni jana😅😅😂
Polisi wa sasa, shame on you ig koome
We stand with KDF
Bravo kdf heshimu jeshi
Pigananeni Iko Nini😂😂😂
KDF wakosawa wanalinda inchi na awafayi kuwekewa rodblock
Tandikeni hao 50-bob collectors kabisa. 😂😂
You guys achenii na Hawa police wachapwee , police especially traffic police. Hiio kulagaii watu achaa wachapwee kabisaa kwanza awaaa wa Mombasa ferry and central and makupa 😢😢😢 KDF chapa hao watu kabisa
😂😂
KDF used to be a very disciplined force but this is what corruption does am.pretty sure if you investigate these KDF officers from their academic and how they entered into KDF it will not shock anyone....I will repeat again corruption is now destroying KDF
Wewe ni msenge tu hujui kitu..Sikia story what happened and what has been happening
Ulikosa job sasa you've never heal
@@antibiotic7238nimeenda Kwa Kambi za jeshi mingi sana, na hata huko Kuna barrier, hata Kama wewe ni askari huwezi ingia na silaha Kambi yao, hao wanajeshi wako na bahati sana juu kama wangepatana na wazimu, angewalipua hapo Kwa barrier na hakuna kitu angefanyiwa juu yeye ndio ako kazi hapo
Wafanye tizi na KDF b4 waende kupigana na Nyangau za Haiti
Nonsense huyo police kwani ni mjinga aje They have to respect KDF..
We don't complain 😌 no matter what happens. Long live kdf
Upumbavu mkubwa...kwa nini gari la jeshi linaekewa kizuizi
Police wamejerewa kufika Haiti Sasa wanafanyia kdf mazoesi
Polisi wanakuanga na ujinga sana,niaje unaeza bishana na Army officer....kdf ndio wanafanya mnapata amani huko lodwar
You understand what goes in operational areas. The reason why kdf are in that location in the first place. Polisi walishindwa na kazi and they had to bring in kdf to help them do their work and now this. They silently do ask kdf for assistance wakivamiwa. KDF is the superior force, heshima idumu Abnormal Police (AP)
@@user-yh1mi5qi4khakuna kitu unajua wewe 🤣🤣 hii mipaka ni kazi ya jeshi, police hawafai kuwa huko, police anapigana na Al shabaab, OLF na Toposa na hio ni kazi ya jeshi, askari ndio anasaidia jeshi not the other way around 😂😂
That's why there is a big difference between Police service and Defence Forces. KDF sio jokes.
Hiyo road block lazima utoe pesa ndio wafungue wako na madharau sana kdd nyonga mtu
No policemen you should not joke with kdf plz
Kdf is a disciplined force sio such acts
Police shame on yu
napongeza kdf police wako na ujiga sana juu ya kitu kidogo
Angefinya makende ya huyo police ndio wajue kdf Havana akili kama yao
Polisi Ni raiyaa
Wako na bahati siku join kdf kilasiku nigekua chapa polisi kumi kwa siku.
Sasa uta ekea Road block 🚧 military 🪖 kweli police 🚔 wana kichwa mbaya.
Heshimu kdf mafala nyinyi hongo tu ndo mnajua
Na kwa nini huyo police hakufungua njia
Police should know kdf are suffering day and night outside protecting the country out of terrorists ,Police hajui Gari la sirikali mbona anafunga barabara
Hao wasimamishwe kazi mara moja
Blue 🔵 boys respect kdf
Polisi lazima apige saluti
Nyinyi raia wa lodwa ni washamba mnateteya hao mafisa wa pololise waliozoeya kuchukuwa hongo
I blame the police those guys don't think straight....! Mbona wafungie military n government vehicles road block?!?!
Why Elect road block to Military Trucks shame on you
Aliitishaushuru ya kiwanja kwa disciplined forces
Bna msiondoe na mnaona hao ni wakubwa wenu
Polisi ni rayia,..they should respect kdf
Mbona wanasimamisha KDF na walikuwa kazi?
KDF don't be coward
Askari apigwe tu
Police wapewe adabu wanakiburi sana
Askari chungeni jeshi sana - unajua jeshi inaeza sema polisi waende wote nyumbani na wataenda
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 wanasema kama nani?
Masikar waache kibur kwa kdf
Hayo yalipita muyache uchochezi.
huyo police man afungia kdf kwa nini ako na kiburi huyo
Ile ujinga hiko Kenya wacha tu, Wakenya wenyewe ni kuropoka
In this case Mr. Inspector General &Cs Mr. Kindiki should act immediately to solve the situation before getting worse.
Polisi wako wajinga sana😂
I stand with KDF
Ooh na hizo pikipiki zote inafanya nini station
Surely this is not allowed in our country hii ishindwe kabisa.kiburi za nini jamani wote ni wa ulinzi
Aki nowadays kiburi iko juu ...anyway tuheshimu kila mmoja wetu
Congratulations kdf
Nikama wanataka kitu kidogo ya barabara ju mostly wanaona kila gari 😅😅😅😅😅
I support you 100%