Jamaa mmoja aliyepatikana kwenye patashika ya polisi na raia Likoni afariki
Вставка
- Опубліковано 28 бер 2020
- Familia moja huko zibani eneo bunge la Matuga kaunti ya kwale wanadai haki baada ya jamaa wao kupokea kichapo ijumaa wakati wa utekelezaji marufuku ya kutotoka nje ilipoanza kutekelezwa. Kulingana na simulizi la familia ya marehemu, jamaa huyo alikuwa ametoka hospitalini alikompeleka mama mja mzito alikokumbana na maafisa wa polisi waliomchapa kivukoni likoni.
Whoever did this won't go unpunished God still lives
Wakenya Wakenya Corona ilete ugomvi kati ya wananch na jeshi la polis wafundisheni jamani siyo kuwaadhibu kiasi hicho
Poleni wa Kenya Sisi huku TANZANIA 🇹🇿 tuko vizuri hakuna kupigana
We need justice for the poor,this is not how police should work,God is watching all these
i could say afadhali corona kuliko hawa.. they are dangerous killers with no mercy.. but GOD is seeing them
May the blessings and peace of Allah be up on the poor brother who died !!!
SUBHANNAH Allah, Allah ampe kauli thabit pole sana kwa familia yote
Yes. We have to trust the same killers to investigate. How sad.
CORONA IMEUA MKENYA MMOJA. JE POLISI MAJAMBAZI wakenya wataua wakenya wangapi??!!'''?
That's was stupid from police, may they never know peace,
May they get CORONA hehehe
daniel karuga can you see my comment?
SHAME SHAME SHAME SHAME SHAME TO THESE INHUMAN POLICE. GOD'S JUDGMENT IS COMING! SHAME
Paula Mwikali why are these people standing close to each other?
Waliotekeleza hayo mungu awaadhibu hapahapa kama namna walivo mfanyia marehemu na familia kueni na subira wakati huu mgumu
Mm nilijuwa haya yatatokea n wengine kuwa vilema
🤣🤣🤣🤣jameni
@@lizzann2535 🤣🤣🤣
Those are da results of curfew pple should b aware of this instead of cursing gova
Mimi nimechoka tu..Mungu tuonee huruma
What about the family he was feeding,? Mr president Uhuru you are not helping people.. I wish you knew what it takes. It Hurts
Walai
Very sad! Both COVID-19 and the soldiers are finishing citizens
The salary to the police is from the tax that the people of Kenya pay. How comes that the police do not respect the people who pay their salaries. No more beatings to the wananchi, give them fine or arrest them.
Mungu ajalie magonjwa haya yaishe alafu mukuje na hii BBI yanu AMUTAMINI
Hajauliwa na virusi ya corona bali maafisa wa police 😰
Imagine
Ooh noo...my condolences to the family
Haki haizami Mungu atamlipia Isha Allah
Bear in mind my fellow citizens.... Police are not our friends... These men will always take a chance to harm the mwananchi..
Aki hawa wanyama si wapate corona
Corona will deal with them mercilessly
The Law of Cause and effect: Every action has a reactional consequence and we reap what we have sown. Nature will deal with those crooks who call themselves police.
So sad 😭😭
Waaaaah,so sad
Pray for kenya. 😢 😭
Woiye
Mungu Yoko kwakite Kama unauna mamuzi ya binadamu niyamaana Sana kuliko yamungu no sawa
Ati polisi watafanya uchunguzi how?
Kwao kujae giza na utelezi,wawe na kuchanganyikiwa na wakose kabisa amani hapa nduniani shinda na magojwa ikawe sehemu yao
The same killers,are the one to investigate??
Nanikati ya asikari na Huyo marehemu alikuwa msamaria mwema hatua ichukuliwe
Uchunguzi wa nn tena wajinga nyinyi LAANA TU LALLAH nyinyi ... police wakenya kazi yao ni hiyo yakuwa wananchi LAANA iwashukie nyinyi
Inalillah wainaillahi rajiun
It is very painful!
Inauma sana! Tuwe pole sote
Sad
Kenyans we are suffering this 😢😢😢 really the Kenyan police are treating their citizens like their enemy 😓😓😓😓😓😭😭
Oh God of mercy
Serikali ya ufaransa yaliua "yellow jacket" sana pia. Lakini, sisikilizi hapa Kenya...
Ooh my God
😭😭😭😭😭😭justice for bodaboda man😭
Woooi
Jaman mbn polisi zakenya mbn zk hv
Tukisema ''pwani si kenya'' wenzetu tuelewe.Tumechoka kudhurumiwa na taifa la kenya
Inna lilah waina lilah rajuin 😭😭😭
Oh God. Very sad and painful. Inhumanity. Waache kuchapa watu please. Its not fair. My heartfelt condolences to the family of the departed.
Why doing this to poor innocent kenya police 😭😭😭😭
Ayo polisi kumbe wanajuwa kupiga mbona awapigi ayo wanayo kata watu mabanga kupiga watu wasiyo na hatiya ndio wanajua Mungu anawaona sana
Killed by police not corona so sad...atleast police should listen to someone they meet at night to save a life not all u meet is criminals others are emergency.
💯 true before they start beating listen to someone problem first
So sad
are we jst gonna ignore this or give justic to the deceased
subhana Allah uchunguzi gani na neno liko wazi msidai haki watu nikuhukumia Allah ndo mwenye haki wala siserekali walifanya vibaya sana kwa wananchi wallah mimi bado niko nao uchungu mim sikuepo lakini venye nimeona kwenye you tube wallah inasikitisha sana
Wauwaji bado wanaenda kufanya kesi how sure are we muta2tendea haki hii curfew ata iishe wenye mungu atasema wakufe nayo sawa wenye amepangia waishii sawa pia
Shame on you Mr policemen
Ni vile wamehisi wanaweza tukosa ktk chaguzi zao na wakatupata hapa kwa corona na hii ni dawa pekee waweza toa kwa raia wasina hatia,hawakuangalia condition ambazo zaweza kua ni dharura,africa tuko na visasi za wenyewe kwa wenyewe,hebu angalia maradhi imeletwa na mzungu na mchina lakini adhabu anapata mwafrica utafkiri alikiapo maabara wakati wa kutengenezwa kirusi hicho
Haiya uhuru mazao bado unayavuna sasa Endeleeni Tu askari wako killers
Mapolisi bila heshima uuuii.Why why did they did such stupidity.
The world is watching,God will make them pay here on earth
Ati natwaomba Mungu atusamehe ila twaongeza machungu kwake .
Imagine aki
we are under colonization. kama askari zetu hawatuhurumi nani watatulinda.. sheytani zote
The President do something
If the police still walk free .without any legal action that will give them some pride even after this pandemic and you can guess it what happens to the mwnanchi
Where is the peace? where is the justice ? Very very sad. This is murder, that of a lovely responsible young man. And i pray all those who caused it fall under the bullets of Al-Shabaab. Amen
Better wangengoja corono imuue basi na kuzuia. Unfair
Justice justice justice justice 😭😭😭😭
😭😭😭😭
Sharia zaki IBILISI muhusika ni mauaji ni WEWE. KishA wewe ndio mchunguzi! Bila Qur'an Kua muongozo wetu hatutapata HAKI hata SIKU moja
Police wanateguwa vipi kitendawili walichotega.police beating lead to his death .
Police:takes motorbike as evidence to slove murder they committed
Wala bado Allah ataleta makubwa zaidi ya hayo..! Kila kwenye nchi za DEMOCRACY NA kuacha Sharia ya Allah...... Mpaka turudi kwenye dini yetu ya jihaaad.
Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun,
Sasa pikipiki itaongea ama,
Ni heli Corona kuliko polisi wa KENYA 😏😏
Na wafunguwe kesi kabisa
Hao mapolice wapewe hiyo maiti wale sababu hivo ndivo wanataka
Hii miaskari ya Kenya mijinga kweli Alshababu wameyashinda sasa yanaua Raia mbwa kabisa
Sleepless nights and calamity days....in there family and there generation ,,,to the police who did this....sorry my fellow kenyan....ur Promoted to glory were ...uwill face the true judgement.........mungu atakutetea
kisa cha gomora kina rudi tena mana mashoga wapo watu wauwana visa kila aina sijui kizazi chetu kitaishi vip
Polisi wa kenya wanaroho za kinyama wanashindwa kupigana na alshababu wanapiga raiya,iyo damu imemwagika nyinyi polisi itawacost
hao askari mnawachekea unganisheni nguvu ya uma nao afe mmoja
Sometimes it is better to listen someone who is out time of curfew they have reason ask them why they are out
kuchapana fimbo sio sahihi nyinyi wakenya ni ndugu moja wasenge nyinyi
So bad the police who did that usiwai rudia tena
One dead on corona and one dead on cafew zinapelekana unyo unyo soo bad. Shame
The behavior of Kenya Police projects the thinking of each an average African,it matters not if they are schooled or Not...what an African can do when given 'some small power' can be very disastrous not only to themselves but to all those who look weak in front of them,just look at your Governor,MCA ,MP and even the Chairman of the school board....Their thoughts and plans are pure evil...the Reason why Africa must be and should be recolonized ASAP...
Kuuliza tu kwani corona huambukizana usiku tu mchana hapana?
😭😭😭
This is so wrong oh God
What's wrong with Kenyan police? This is so sad.
This is murder plain and simple.
Uchunguzi gani tena?
Ati uchunguzi
Uchunguzi????
Mumewahi sikia Uhuru akiteta ama kutoa amri ya wauwaji wakamatwe? Ni wakenya wangapi wamekufa uongozini wa Uhuru pasipo hatua yeyote kuchukuliwa? Nani anaamini the whole president doesn't know who killed Kenei? Hata huyu jamaa ni yeye tu na mungu wake Uhuru hana shida na hiyo, wakenya wataendelea tu kukufa manake hatuna dhamana yeyote kwa viongozi hawa isipokua kura na Kodi tu, mradi wao washibe
Use a killer to investigate a killer😢
All this will be followed by karma, To them its no pain but they left wounds in pples heart's karma will follow on them!
Na hao polisi hawajachukuliwa hatua jamani hii ni uzuni
Huyo ni mshenzi saaana
Sosad
Polisi sio rafiki hata kidogo
Hio piki piki pia imeenda kufanyiwa uchunguzi
This is bad.
How can a criminal investigate the case cos those police killed him now investigating, what are they investigating, Kenyan police are putting serious enermity between them and the public, remember a police is someone u need to trust so that ur free even to share with them any crimes at your neighbour hood, if l may ask what is wrong with some of Kenya police