Wakazi wa Old Town Mombasa walalamikia utovu wa usalama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 бер 2020
  • Wakazi wa Old Town wanavitaka vitengo vya usalama kuwakamata vijana wanaowahangaisha wakazi. Hii ni baada ya video kuonyesha jinsi genge la wahalifu likiwashambulia wakazi mchana peupe.

КОМЕНТАРІ • 12

  • @aminamohamed3916
    @aminamohamed3916 2 роки тому +1

    salàm alekum inasikitisha sana

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 4 роки тому +2

    Sio kukamatwa wauliwe tuu moja Kwa moja wakishikwa nyinyi mnawatoa

  • @mabruqjumamponda7629
    @mabruqjumamponda7629 4 роки тому +2

    Shida kubwa Sana hapa ni sisi wazazi,mtoto uleavyo ndivyo akuwavyo so pls tufate maadili ya kijamii.
    Leo mwanangu hawezi ingia nyumbani na vitu za ajabu na Mimi mzazi nisiulize zime toka wapi?
    Pili askishikwa na tuhuma za uwizi au uvutaji bhangi Mimi ndio wa kwanza kumtetea No this is wrong Kama mwizi afungwe.
    Na pia akifika miaka kumi na nane atoke nyumbani atafute ama apewe mke apase kujua majukumu lakini bado sisi tuna uswahili mwingi.

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 4 роки тому +1

      Ni kweli ss ndo wakulaumiwa maana tumewadekeza sana watoto wetu mbaka inafika hatua wao ndo wenye kutupiga mapanga inasikitisha sana.

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 4 роки тому +1

    Ndio ni sawa lakini polisi wakague wahalifu na innocents

    • @abdulrahmanshabban5942
      @abdulrahmanshabban5942 4 роки тому

      Aliyo yaongea Twalib Abdulrahman swadakta kabisa Allah akupe umri coz Kuna tatizo

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 4 роки тому +1

    Jamani ni hatari kabisa sana

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 4 роки тому +2

    Hamtaki kuwapeana Kwa serikali watoto wenu na wamewashinda

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 4 роки тому

    Wezi mwawajua kwa majina bt mumenyamaza hamuwesemi ,kazi kulaumu serekali kila siku.badilikeni mupate salama na furaha .

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 4 роки тому +2

    Kweli kabisa jama Mombasa imekuwa mahali ya hatari sana

  • @azimsameja8919
    @azimsameja8919 4 роки тому +1

    Tume uzwa sote Hawa wanajuwa ni kitu gani Ina endelya