Wahudumu boda boda Mombasa watishia kurejesha pikipik zao za elektroniki kwa madai ya huduma duni
Вставка
- Опубліковано 19 лис 2023
- Wahudumu boda boda za kutumia nguvu za umeme kaunti ya Mombasa wametishia kurejesha pikipiki hizo kwa kampuni miliki kwa madai ya huduma duni pamoja na nyongeza ya malipo
I really love Kenyans they only change and listen to good advice after facing the problem.
Any promise made by Ruto is a lie.
WHEN THE DEAL IS TOO GOOD, THINK TWICE.
😂😂😂ruto anafanya kenya mambo
Inaitwa uwongo wa hustler,, na badoo mtaliaa sanaa
yaani petroli ipande na nyinyi mshukishiwe...serikali ya usawa kwa kila mtu😂😂😂
Haki ya nani Ruto aliwaingiza kwa box yeye aliunda pesa zake na akaondokea 😂😂
Watu wa boda boda hoeeeh mama mboga hoeeeye na tuliwawarn
I said it...😢😢😢😢wacha kiwaramba...
The rise in fuel prices was to motivate them to take stima boda for a loan its their time to do business with Kenyans
And zakayo is working with the owners of those companies who are from the west,and secondly the rise in fuel prices is something that someone is working on it inorder for us to abandon these fuel vehicles and shift to e-vehicles and bodas
Si hio ni vitu za zakayo si mulikubali kuchukua kitawaramba 😅😅
Hasora anatawara ataware
Poleni niliwawarn
Hasola tawaraaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mtu ya boda boda ,mtu ya kihosk,mtu ya mkokoteni😂😂😂😂😂
All in all si ni hasola🤣🤣🤣
@@lilian2660 yote imekua vanity😂the worst and useless president ever since independence
Wacha umama you are fooled each and every time😂😂😂😂
Pottom hapuuu😂😂😂
Kubabake...... Mama mboga 😂😂😂😂
Mtu mwenyewe anamuani ruto kitakacho mkuta asijekulia nasisi
Hustler Nation bottom up
Mambo bado
Ruto ooooooooo wa I don’t know how to say everyone crying
Yani kila kitu ya ruto ni disaster? I think by know kama wewe ni mkenya na waskiza ruto wewe ni mjinga. Eti ruto akupunguzie bei na unamskiza? 😂
😂😂😂wah poleni juu itapanda mpende msipende kila kitu kenya....
Na mvua ya juzi ....zilizima kuzima.... Ndo hasira zote
All negative vibes about this govt
Kenya was not ready to introduce electric solutions
World is not ready n it will never. Evs are very inconvenience.
It was seen as a short term solution to hiked fuel prices. Ironically that was also the selling/marketing point
@@rydergoode6922 plus IMF expectations
Wenzao washarudisha kitambo mbona wamechelewa watu wa Mombasa, zakayo anything anapandisha pole pole anapandisha alaf Ana waangalia kma mutaandamana 😂si mafuta,Unga, mambo I'd, passport everything
Mambo ya Ruto achaneni nazo😂
Warundishe kwani walilazimishwa
😂😂😂😂😂😂😂 mtajua hamjui
😅😅😅😅😅ndio mwanzo
Why not make it chargeable at home? They should sell us the chargers!!
Capitalism does not work like that.
@@wawerukamau1260 capitalism gani hio na serikali iko involved?
@@sjsm8578 nimekubaliana na wewe
100% of those bikes are still owned by the company, so for them (company) to get maximum returns they are forced to charge from the company . They can charge from home only that they are still not enlightened. Also what happens with this bikes they are not given chargers but rather they swap batteries.
Kwanza solution ni capitalism. Give me Venture capital nianzishe company ya home charging batteries
😥😥😥 sasa inaturamba imagine
Kesho rudisheni zote hapo mlipotoa
Watu wa boda boda pigeni simu China muuziwe charger za hizo pikipiki😅😅😅 kazi rahisi hiyo
They were conned😅
Already Conned. That is Ruto for you.
Na Bdo hauthemaa yaani mpaka mseeme 😂😂😂
Mtajua hamjui, ndio tabia ya wakenya. Maziwa mala kabisa
ALIZIPELEKA STRONGHOLD YA RAILA, NDIO KIWARAMBE😂😂😂😂ITS punishment for not voting for him😂😂😂😂
😂😂😂😂😋
Stronghold ya raila na kinaturamba kila mahali ziko hata hapa Nairobi na mi husikia ziko fake sana,kumbe it's true,ati zinazima wakati wa mvua,
Ruto tialala ruto tibim 😂😂
Ruto imagine ni pesa za Kenya anaendelea kuficha,the moment ametoka kiti atakuwa amejaza pesa kila account na zingine amelima mashimo ameekea mpaka kizazi chase cha 50,MUNGU amuone tu na amazing mafikirio yake mbovu katika JINA LA YESU.
kimewaramba tena😄😄
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 thank you very important
Ata iwezi beda ngunia moja ya makaa
Kwani Ina gear ngapi ?
@@wawerukamau1260 trust me bro even more than two passengers 😂😂
Hasoraaa tano tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mlisema bottom up 😂😂😂😂..kitawaramba
Think twice bwanaa😂😂😂
Project hiyo
Hustler nation bottom up
Yes
Tumieni akili , hizi pikipiki, zililetwa na ruto ndio mwekeza, mkakibilia kama ng'ombe , hizi no toys sa watoto za kushezea, kitawaraba Bado 🤣🤣🤣🤣
1:35 😊
Na warengeshe zirudi china hatutaki hatupangwingwi
Waaaaah
Wacha kiwarambe
Rudisheni 😂😂😂😂😂
Turo uko sawa tenda haki kwa wote mafuta ikipanda pia stima ipande kwani iko nini kama hamtaki rudisheni sisi wazimio tuende tuka zichukue 😅😅😅 tujenge inchi 😅😅😅😅
Shauri yenu c nyinyi ndio mlichagua
Kimewaramba heri ya mafuta stima haina nguvu ya kubeba watu wawili
Zakayoooo!
Leave Zakayo alone kwanza amalize kukula chura, alafu ata wa sort 😔 relax....
Mdomo Tam Tam 😅😂
Kazi ya hustler ni kucon watu
Saw this coming from a mile away
Hizo ni story za jaba
Huyu ruto hakuna kitu atasema natuamini
Kimewaramba
Bottom up
Sisi tuliwambia kitambo hyo but wakenya niwajinga sana kwanini muende muakanunue pikpik ujinga tuu mwingi mko nao wakenya wapumbavu tuu
Hizi boda ni za loan ,na vile kulivyo hiyo loan hailipiki Tena.
@@wawerukamau1260 wacha kiwarambe ujinga mwingi
Why are people in business so motivated to increase prices?
rising costs my guy. I run furnished apartments and a week ago we got notices to start paying tourism levy. If they eat into my profit, I have no choice but to raise prices.
I get it, the problem is there's no yard stick for determining how much is extra is charged.
People in business do not increase prices. It is money that loses value.
Why does money lose value,? Because of government overspending and over borrowing....so that today, with 12trillion in debt, Kenya's wealth TOMORROW, YOUR WEALTH, will be 12trillion shillings LESS..
BLAME the government. Not the traders.
@@erickjuma7643oh, there is a yardstick.....it is called TAX.
calculate the amount of tax, and you can tell precisely what is being stolen by government
Yet the imf is planning to give Kenya 1.6trillion ksh,wait and see how the ksh will be weaker than even the ugandan shilling
Iyo bei iko sawa apo kwa mia tatu tusifaidike pekeetu pia kampuni ifaidike haiendi ivo tunavyo dhani eti tushinde na battery the whole day bila kueka kwa moto😂😂😂 Hii bike inafaida coz huendi nayo service kazi n kugeuza battery tu.........
Ati ni bottom up, uliskia wapi ??
Capitalism at its best.
This my friend is not capitalism.
This is Socialism, using government power to engineer society to gain more power and hence more money.
In capitalism, you freely provide a service and if it is good I pay for it; willing buyer, willing seller. Government has nothing to do with it.
Ndio hio bottoms up yenyu
🫣🫣🫣🫣😂😂😂😂😂 na bado.
kenyans should remember that whatever ruto is doing, he does it for his own benefit. let us analyze him keenly to avoid learning from experience.
The charging time and wait is the big issue 😅😅
That's not the issue.
The battery are swapped but that battery does not belong to you;it belongs to the invester.
@wawerukamau1260 the going to swap time? Distance to the swapping point too
@@isaiahizzoh9644 you have a very valid point brother.
Hizi ni bonoko
Listen to customers
Hiyo ni bottom up kwaivo kimewaramba na wakisubutu kuteremsha pia mafuta wateremshe
Pesa yenu inawaadhibu sasa
Why are they increasing the rates
The Dollar vis-a-vis the weakening Kenya shilling
Msilalamike mlichagua wenyewe Rais sasa vumilieni na chochote atakachowaletea
Uliza chebukati nani alichgua rais maybe wewe ndio ulichagua ulikuwa zikihesabiwa hizo kura ukaona alichanguli msilaumiane pesa kwa pesa ndipo uwe rais sio kwa kuchaguliwa ni pesa itumike
@@eriminahmshai najua n chungu kumeza ila madhumuni ya coments yangu nkusema hivi twapenda vya leo leo wakati pesa ikimwagwa ovyo mitaani hamkujua itahitajika kurudishwa ? oooh huyu alilaaniwa na wazazi wake , ooh huyu hafai kuwa rais tulivyo wepesi wakuamin uongo kuliko ukweli ndo sai tumefikia hapa tulipo,tulieni tulisakate goma hili jamani bado mapema
😂😂😂😂
Anything that is proposed by Ruto its ascam you must be careful,,jamaa alikula na contractor yy ameshba,,nldhan atakua akitumia electric cars kumbe ilkua ilkua tu kuingiza wajinga box biashara inoge
Musilipe mikopo tu ndio suluhisho
Ruto, ruto eeeh!!!!😂
Hapo najuwa Kuna njama fiche or ma cartels wako ndani pia,coz sivyema mtu anunue hiyo bike 160k alafu Bado kucharngiwa anawafwata tena watengeze permanent charging Kila mtu awe nayo tosha.
KIMEWARAMBAAAAAAAAAAAAA. Mafita yamepandishwa bei ili wanabodaboda wanunue piki za umeme, hasara kwenu faida kwa Ruto.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ruto 🤣🤣🤣🤣🤣
Taxes ndio wanalenga
That's bulshit Ni what those zakayo aliwadanganya mkafwata😂😂😂😂
Warudishe tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣bottom up economy wacheni kulalamika. Bado.
Mliambiwa na nani mkimbilie hizo vitu sasa
😂😂😂
Waliingizwa dole la tuuni likaingia saii wanatupigia kelele wakwende kabisa
When Ruto says black is white, don't wait to confirm, my friend run and run faster!
😂😂😂😂😂😂
Rais anasema alikuta kenya ikiwa na madeni mengi sana sasa analipa madeni mbona anapeana pikpik za madeni eti unalipia kidokido na hiyo kidokigo hatutawahi faidika heri ununue yako kiliko kupewa na unakamliwa jamani.
Wakenya huwa hawaelewi kabisa kila kitu wao wanakimbilia wacha kiwalambe
😂😂😂😂😂😂😂
Why would Boda Boda men and women even buy electric piki piki?
If they bought them, why rant?
WAKENYA WENYEWE PIA NAO SIJUI NITASEMA WANAPENDA SIFA AMA NI VP MAANA UTATUMIA VP BODABODA YA STIMA NA WAJUA VIZURI ZAKAYO ALILETA HIZO BODABODA ZA STIMA ILIAPATE KULA HUKO ANYWAY WANAITWA WA KENYA WANAKASIRIKA SAHII WANASAHAU KILICHO WAKASIRISHA ALAFU WANZE TENA KUONGEA NA HASIRA HAKI SIJUI WALIKOSEA WAPI WA KENYA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣