#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • #EXCLUSIVE: A to Z HAYATI KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADI KUUAWA, MTOTO WAKE ASIMULIA KILA KITU
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 62

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 8 місяців тому +6

    Mungu amtunze Rais Amani, he's so genuine all the time. Huwa sichoki kumsikiliza, ni zawadi kwetu.

  • @dalali_professionalwa_dodo8330

    Ukitaka kujua kwanini haswa marehemu alipigwa risasi...andika hapa youtube mahojiano ya amani thani akiwa dubai... Akielezea dhulma kubwa aloifanya marehem na nin kilipelekea auwawe... Nchi hii imemwagwa damu za watu ambao hawana hatia bila ya sababu ya msingi... Historia inafichwa fichwa mno ..ila kiukweli wazee hawa walizingua mno ..

    • @admirabisikiduduye1516
      @admirabisikiduduye1516 8 місяців тому +1

      Nilisoma makala moja , pamoja na simulizi za mitaani, baba yake hamoud na wanaharakati kadhaa wa mapinduzi waliuawa akiwemo Hanga na kuzikwa kaburi moja, kabla ya kumuua karume hamoud alitamba na kusema ipo siku nitamuua karume, vyombo vya dola vilipuuzia kwa kuwa walikuwa marafiki pete na kidole

    • @dalali_professionalwa_dodo8330
      @dalali_professionalwa_dodo8330 8 місяців тому

      @@admirabisikiduduye1516 mzee na hamoud walikuwa marafiki?

  • @mohamedbat-heif3693
    @mohamedbat-heif3693 5 місяців тому +1

    Nimevutiwa sana na mheshimiwa kwa heshma yake,upole wake na fungamano lake na dini yake,mara kwa mara hua anamshukuru Allah na kutowa shukrani zake kwa Allah kwa kutamka alhamdulillah.
    Namuombea tawfik katika harakati zake za kimaisha na za kuwaunganisha wananchi wenzake.
    Wabillah tawfiq

  • @Haarun-h4q
    @Haarun-h4q 6 місяців тому

    Baba yake huyu Abeid Amani Karume hivi sasa yupo Jahannam.Mapinduzi ya 1964 Zanzibar ni mauwaji na Karume alishiriki.Malipo ni duniani na Karume akauwawa.

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 8 місяців тому +2

    Sasa hivi Simai amejiuzulu kwasababu anataka kujaza pombe zanzibar na sharia haimruhusu😊

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 Місяць тому

    MBONA HAMUKUMPINDUA MUINGEREZA ?! SULTAN ALIKUA MZANZIBARI ANAPINDULIWA KIVIPI ?!

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 7 місяців тому +1

    Ahsante Mh umeeleza ukweli usiopingika nimependa sana ,hususan kufilisika kwaviwanda vyetu 🎉🎉🎉

  • @khamismakame5934
    @khamismakame5934 8 місяців тому +2

    muandishi mie napenda kwanza ujue nini tofauti ya hayati na marehemu maiti ya kiislam baada kuzikwa huitwa marehemu maana hua tunamuombea rehma kutoka kwa mwenyezi Mungu na hao wengine hiyana hayati maana yao wao mie siijui

  • @Itarusii
    @Itarusii 8 місяців тому +1

    Kazi kweli. Tuna la kujifunza hapo. Historia mpaka mtu uje kufahamu ukweli ni changamoto. Yale yale ya Sokoine. Tuendelee kujuzana.

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 6 місяців тому

    Ukiuwa Kwa upanga utauliwa Kwa upanga hili halina mjadala

  • @SEBASTIANBEKKO-ni8nn
    @SEBASTIANBEKKO-ni8nn 14 днів тому

    Mh Rais yuko vzr sana.

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 Рік тому +1

    Mtoa maada nahisi mmekwenda mchomo na mmepoteza maada ya lengo na madhumuni yote ya topic yenu! maada ilikua kuelezea kifo cha karume mwanzo hadi mwisho sio kuruka kwenye maada za mapindunzi,uchumi na uwongozi na maisha yao,vigugumizi na kupoteza mda wa
    wasikilizaji.
    Anyway mmejitahidi but mmepoteza muelekeo wa maada yenu bila kujijua wala kujitambua.
    Asanteni

    • @fatmaabeid9668
      @fatmaabeid9668 9 місяців тому

      Hajajitaarisha wala hakusoma histri ya mzee karume ili ataarishe masuala

  • @wizkidayo390
    @wizkidayo390 Рік тому +7

    Mh ameanza vizuri anamaliza vibaya mpka anafanya kigugumizi sisi tunataka nchi yetu yenye mamlaka kamili asiseme uwongo c aseme tu 😢😢

    • @leblue4768
      @leblue4768 Рік тому +1

      Dhulma zao watazilipa hapahapa

    • @hassannyagawa2308
      @hassannyagawa2308 Рік тому

      Unalaumu nini. Huyo saa hizi mzee unatakasema alishiriki kumuuwa baba yake au wewe unajuwa vizuri twambie

  • @moviesgreatdirectors3193
    @moviesgreatdirectors3193 8 місяців тому

    Muungano wa leo siyo Muungano maana washirika hawako sawa. Zanzibar ina Serikali yake, Tanganyika haina serikali. Maono ya hayati Karume kuhusu Muungano ulikuwa wa kuwa wa nchi moja yenye serikali moja.

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 Рік тому +2

    Hapo kasemq kweli walionda kushambulia, na walioenda kushambulia walikuwa group
    Lakini mzee aman hujatwambia walioshambia ni gari ya aina gani? Na watu wa aina gani?
    Mie sisemi. 😂😂😂

  • @nathanamon6876
    @nathanamon6876 Рік тому +12

    MUNGU azidi kumpa uhai Mzee wetu hata like basi wakuu nimekua wa kwanza hapa

  • @Brandsonce-qs2yt
    @Brandsonce-qs2yt 9 місяців тому +1

    Safi sana kwa kumusikia

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 Рік тому +2

    Stories nyingi zinasima Mzee Karume alizaliwa Malawi kijijini na aliletwa Zanzibar na Kambarage apindue hatujui Nani Mkweli

  • @HassanBoy-cp2zr
    @HassanBoy-cp2zr Рік тому +1

    VIP Levi pesa za wizi zishamaliza

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 Рік тому +1

    Tujiulize wale wengine walioenda nangari walitafutwa vipi?
    Au ndio hao waliokamatwa katika mawaziri na vipi walifinguliwa kesi za mauaji?

    • @fatmaabeid9668
      @fatmaabeid9668 9 місяців тому

      Uyo muandishi hana maswala yake sijui hakusoma histri ya mzee karumee hajahitaarisha hasa na mauala ya mzee karume

  • @omarmussa5755
    @omarmussa5755 Рік тому +1

    Muandishi kazi nzr sana brother

  • @emmanuelsanga3797
    @emmanuelsanga3797 Рік тому +1

    Nakuona unachekiii cm why

  • @allyhusseinally2461
    @allyhusseinally2461 Рік тому +4

    Appreciate history ya mzee wetu🇹🇿🙏🤲♥️

  • @salimukungulilo2928
    @salimukungulilo2928 Рік тому +1

    Allahuma umghofirie na UMREHEMU NAUMPE MAKAZI JANNATI FIRDAWSNUZULA Amin

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 9 місяців тому

    Kwanini mzee Karume aliuwawa?

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +2

    😍😍😍❤️

  • @mlulamsiliwa7123
    @mlulamsiliwa7123 7 місяців тому

    😮😮😮😮😮😮

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 Рік тому +1

    Thabit kombo kafa mwaka gani?

  • @bekabeka-ww2mn
    @bekabeka-ww2mn Рік тому +1

    world on fire

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🙏

  • @razackmuba8195
    @razackmuba8195 Рік тому

    Mh,

  • @SliJuma-un9sl
    @SliJuma-un9sl Рік тому

    Hunaishu wewe ulipokua madarakani alifanya nini mbwa

    • @salimamani6672
      @salimamani6672 Рік тому

      Mpumbavu sana wewe unajuwa nani aliye leta Zanzibar mariziano mpaka leo ikiwa shwari hakuna Raisi duniani kote au kiongozi asiye kuwa na mapungufu walipita maraisi wangapi Zanzibar kabla yeke je kulikuwa na neno mariziano?

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 10 місяців тому

      Subhanallah una haja gani kutu k ana

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 8 місяців тому +1

      MATUSI SI MTAJI

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 Місяць тому

      ​@@salimamani6672Mariziano ya nini kelbu mkubwa weye !

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому

    Mamlaka kamili hayawezi kupatikana kwa makaratasi

    • @SalehToli-n1x
      @SalehToli-n1x Рік тому

      Yanapatikanaje?

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      @@SalehToli-n1x hujaskia walivyo sema nchi hawajaipata kwa makaratasi na haitatoka kwa makaratasi sasa akili kichwani mwako

  • @benjaminmanento4120
    @benjaminmanento4120 6 місяців тому

    Asante, nimefaidi sana. Huyu mzee ana HEKIMA NYINGI. Mungu ambariki.

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 6 місяців тому

    Viwanda viliendeshwa kwa ujamaa na mazoea rushwa matumizi mabaya ya vyeo na kutoajiri wataalamu wa kitosha.

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d Рік тому

    Si kweli baba ako hakuzaliwa mwera kazaliwa malawi huo ni kweli nyi nyi hamna asili ya uzanzibari

    • @KhalidMohammed-mq3km
      @KhalidMohammed-mq3km 8 місяців тому

      Kumamae wallah yaani utazani wewe ndio mzazi wao gastadialo stupid

  • @tatumuhando6107
    @tatumuhando6107 Рік тому

    Aliemuuwa karume ni shemeji yake huyo anaezungumza hapo ni mjomba wake aliezaliwa na mama yake Baba na mama mmoja ninaushahidi na ninayoyazungumza mkitaka kujua zaidi wasafi mnitafute niwapeni story maana nilikuwepo eneo la tukio japo nilikuwa mdogo

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 Рік тому

    Alishambulia alikuwa na wenzake wanavyosema mashahidi ndani ya afisi kuu. Kilikuwa ni kikundi cha huyo jamaa ambao walitumwa na wanavyosema mashahidi aliyeua kauliwa na watu wake ambao walimpeleka aue.
    Hadithi hiyo niliipata ndani ya ofisi kuu kwa mzee wa ccm ambaye wakati huo alikuwa kijana wa asp

    • @lastborn7810
      @lastborn7810 Рік тому +1

      Nae ni nyerere na wanajua lakini hawasemi 😂

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 8 місяців тому +1

    Wauwaji na uvamizi na wengine wamekosa radhi kuwa wanafiki Mwenyezi Mungu mkubwa ndio anaejuwa na haki ataleta In Shaa Allah ameen