Lulu nikwambie kitu biga kazi mama unaweza na washabiki zako tupo nawe. Achana na wanaume mabwege wenye rangi za kuolewa hivi mwanaume wa shoka anagombana vip na mwanamke.kwanza lulu unaweza. Nikwambie kitu mzee pdd amenituma anamtaka huyo mrembo kwa garama yeyote. We love you and we need your songs. Ameishiwa huyo mshauri aolewe kuigiza hanampya
brother hemmedy phd ww nimuelewa sana brother upo tafauti sana ww ndani ya bongo ww ni mfalme wabongo movies ila huyu binti msamehe kuweni kitu Kimoja usijali brother me nimshabiki wako mkubwa sana yaliopita yamepita piga kazi brother
Ila usenge sana mwanaume kujibizana na mwanamke i hate that hata kama mwanamke amekosea you have to respect them wanawake ni watu poa japo ni wadhaifu kuwa na adabu hemed
Lulu nikwambie kitu biga kazi mama unaweza na washabiki zako tupo nawe. Achana na wanaume mabwege wenye rangi za kuolewa hivi mwanaume wa shoka anagombana vip na mwanamke.kwanza lulu unaweza. Nikwambie kitu mzee pdd amenituma anamtaka huyo mrembo kwa garama yeyote. We love you and we need your songs. Ameishiwa huyo mshauri aolewe kuigiza hanampya
Kisiruke tena wakat tuko live 😂😂😂 daaah
Un professional kabisaa😅
Pole Lulu pambana mwanaume hawezi kukuliza
Pole sana mtakua sawa nidhamu msigombane mtupe raha.
Joyce Wowowo😂na Mwaraabu wa kuchovywaaa😂dah mmejua kunichekesha
Hemedy msenge tuuuuuu!!! Atoke! Anamajigambo sana kwanini unashimilia vitu moyoni wakat mwanaume!
lulu msengetuu
Huyu kaka hemedi anajiskia sana
Atoke tu
Kisiruke😂😂😂 tuko nayo tayari
Ila lulu mzuri sana bwana Nicki Minaj wa TZ❤❤❤
Kumbe igizo ila mmeweza❤❤😢nyie noma sana kaka umetisha
Pole Lulu diva
Asante Mungu kwa kutufanya wanawake tukipata maumivu tulie
Mm nimewambia nyimbo itakua najina la belinda hhhhhhhhhhh ila nimekosea kdg imekua move
I knew it...... Wanacheza na akili zetu mbwa hawa
Wanatafuta kiki ya movie msishangae alafu hii xene itakuwepo kwenye series😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Joice wowowo..😂😂😂
Kiki nzur sana mmejitahid kuitengeneza
I knew it…wabongo bila kiki mambo hayaendi
Pole Lulu...😊
Diva acheza na fasi ya mwijaku hemedi acheza na fasi ya baba levo
Asante sana
hahah ila google bana waambie wafnye translation ya hii sentensi yako
Hemedi bwn eti Joyce wowowo uyu kicha kweli 😅😅
😂😂😂hiii kiki mmepanga kuipa ubunifu
Lulu wangu jmn kpez❤❤
Pole sana kipenz lulu
Jamaa silipendagi ila linajua kuigiza, ndio wasanii wajifunze kiki wafanyage na bongo movie, hii lazima iende🙌🙌🙌🙌
Safi sana wanawake wa kibongo ndo walivo 😂😂😂😂
Tuna subiri movie 🍿😂😂😂
Hemed nimecheka sanaaaa, Joyce wowowowooooooo😂
Mmecheka ka jinga😂
Jamani watu wako serious na kiki yao 😂😂😂
Ndo kisharuka ivo😢
Sijawahi kuona machozi yanafutwa kwenye miwani
Duh jaman hiz kiki
Hajui kaz hemedy uyo anachanganyaje kaz na mamb yke ya kke
Jaman luu pole
Awa washa shenyeshana bn😂😂
Kumbe kiki ya movie.wameweza,nilitaka kushangaa emed anaga mambo hayo.
Hemedi kumbe wew chizi eeeh mwanaume anajikaza nini wew unatushusha bhana
Ila wasaniiii bhana wanapenda San kikiiiiiii
Binadam bwn Kama Kik mmeweza sana
Kisiruke wapi??
Mbona na movie nisawasawa nawanacho kifanya nikulipizana kbsa
brother hemmedy phd ww nimuelewa sana brother upo tafauti sana ww ndani ya bongo ww ni mfalme wabongo movies ila huyu binti msamehe kuweni kitu Kimoja usijali brother me nimshabiki wako mkubwa sana yaliopita yamepita piga kazi brother
Kiukweli hemed umekera hata kama ni kiki
😂😂 Ndio we babu sasa anakataa nini
Kisiluke afu kimejirusha 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂kikiiiiiii
Ukweli unauma 😂😂😂😂😂😂😂dada analia nini sasa wakati kaambiwa ukweli shep feki 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hemedi inamuhusu nn cz hai nimaisha binafsi ya mtu naongeza au ajaongeza ni yy
😂😂😂 ukorofi huo jamani
Movie kali wazee 😂😂😂
namkubali sanaa hemed
Ududu mwingi , daaah wa bongo niwa actor sana yani 😂😂😂😂
Wa Tanzania hawaendi bila kiki
Lulu pole msame bule hemedi Kwan Lulu kakukosa nn
Joy wowowo😅😅😅😅
Wabongo bana kiki Kila mahali
Mmmh hizo ni kiki tuuu waacha kutuetia
Wabongo wasenge kweli 😂😂😂
Mzee chilo hapo yuko wapi jmn?
🤣🤣🤣
Jaman Lulu 🥺
Hemed unazinguwa bro.... Napenda kazi zako lkn kwa hili sio Sawa ww ni mtoto wakiume
Hii ni kiki sio kweli
Kwa kiki.mmeweza jamani binge la.movie themed ni noma kumbe movie.mmejua Belinda kijambike
Joyce wowooooo😂😂😂
Kisharuka mbona unawaamini waandishi baaba😂😂😂😂😂😂
Wabongo kwa kiki duuuh
Mji una hekaheka huu😅😅😅
We acha to
joyce wowo wo lkn meneja umekosea
Ila usenge sana mwanaume kujibizana na mwanamke i hate that hata kama mwanamke amekosea you have to respect them wanawake ni watu poa japo ni wadhaifu kuwa na adabu hemed
Joyce wowowo
The fact wote wamelia ni waigizaji wazuri itakuwa movie Kali
kiki tu hii
Lulu mbona hatulii mnalazimisha kupakaa make up 😅😅😅
Ila hizi kiki zitawaua😂😂😂
Hemedi Kwa hapa umeniudhi 😢😢umemliza Lulu wangu
Kweli aisee, sio poa
Kiki hii imeenda loh😅😅😅😅😅😂😂😂
Wasani wa movie mbona mnatuchanganya sisi mashabiki wenu?
Kiukweliii hemed kashajiona super staa ila anajitia aibuuu uweziii kujibizana namtotowakike kiukweliiiii alafuuuu haibuuuii sana tenaaa
Mbona imeshakwenda mitandaoni
Ila kalulu kazuri jamani dah kamwanamke kazuri sana ila naona huu ugomv wa hemed kichaa na Joyce mwakajambile ulikuwa zamani
Joyce wowowo na mwarabu wa kuchovyaaa😂😂😂
Hemedi anajishauwa sana
Lulu usilie kipenz Chang 🎉🎉Nakukubali hatar
Ni kiki
Hutakiwiiiiiii......
kiki za kishamba
😢ududu mwingi
Yani wasani wa Tanzania kichefuchefu sana kila kitu kiki daah 🤦🏻
Wanahalibu makazi zawatu na wanalia hawana hata aibu waone
Hihiii ni kikiii ya pikipik
Hawa wanagombana kwa sababu gani?
waandishi wa bongo usiwape imani 😂😂 sasa mbona tunawaona kwa hewa😂😂😂
uyo hemed anajikuta nan jaman waigizaji wapo kibao aende nalangi yake kama papai lililoungua najua aendeee
Mission accomplished
Iyo Filme itakosa ubora akitoka Hamed niaminini Mimi uyo mwamba noma sana🇹🇿🇲🇿
🇲🇿🇲🇿
Mwamba gan han ata jina cku izi utopolo
Mbona kama watoto wkt washakua
Duh ila wandishi mmeambiwa msiweke nyie mmeiweka ila ingekuwa mfumo msingeweka😂😂😂
Hemed kama mwanamke
Achanebi nae huyo hemedy hatumpend hpat hvo
Mwakijambile 😅😅
Barazuli uyo mwanamme hamchukii mwanamke 😢
Ni kiki
@Mina.15 poa
Waliambiw wasirushe na wakarusha🤣🤣Hii nchi🤣🤣
😂😂😂😂hy ndio tz
Mi sielewi nchi yangu inakoenda
Nliwambia apo awali hawa jinsia wako na Jambo lao....soon litadondoka...wew mtu hamuelewani lakin nyuma kuna picha zake.....Una promote nn vile😅
Sas ndo ulie😂😂
Hii n kiki hata Jana tumeonaa kuna mov inatoka wameshirikiana " Hemedy hanaga tabia y kugombana na watu ovyooo 😂
Lulu kiranga komo😅😅😅