BORA NIZIPASUE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 802

  • @mrfesto6480
    @mrfesto6480 Місяць тому +150

    Akiwa mwanamke Kiboga
    Akiwa mtoto Andunje
    Akiwa mtu mzima Nishai
    Akizeeka Babu
    Joti ni mbunifu sana kuliko wote hapa Bongo❤❤🎉

  • @elvira9325
    @elvira9325 Місяць тому +54

    Napendaga sana timbwili la kiboga akiingiza mwanamke

  • @ELIAS-j7x2d
    @ELIAS-j7x2d Місяць тому +233

    Kama una imani utafika 2025 uiona comedy za joti gonga like 🎉

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 Місяць тому +73

    Sema manager mnafiki sana😂😂😂 eti shepu unayo😂

  • @AlbertJr-u8q
    @AlbertJr-u8q Місяць тому +40

    Iyo tamka ya joti eti.. Anhaaaaa 😂😂😂😂 jaman watu wamezaliwa na vipaji mkononi wamevishika 🎉🎉🎉fire 🔥🔥🔥

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 10 днів тому +1

    Joti ni talent moja iliyo bora zaidi katika tasnia ya uigizaji Tanzania itachukua miaka mingi sana kupata mtu bora san mwenye kipaji kikubwa kam joti the great

  • @BimlatJuma
    @BimlatJuma Місяць тому +16

    Sio vichekesho tu Bali ni funzo kwa walio wengi wanawake wa kileo kujitwika majukum ambayo hayawahusu❤

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 Місяць тому +13

    LOCATION ikiwa na watu wengi + mixer na raia wasiohusika huwa inaku tamusanaaa.. inaleta uwalisia sana..(KAMA wahindi location ya mtu moja kuiba utakuta watu zaidi 100 wanakimbiza mwizi)👍👍GOOD❤️❤️

  • @MaseleMichael-h9x
    @MaseleMichael-h9x Місяць тому +27

    😂😂Joti kweri hujawahi kosea lazime nicheki tuzo ni halali uzichukuwe

  • @erickurio8167
    @erickurio8167 Місяць тому +259

    Ukisoma hii comment weekend ukapate pesa na Furaha🎉

  • @innocentmassao
    @innocentmassao 23 дні тому +8

    Nilikua najiuliza nani yule ana kichwa cha duara😂😂😂😂😂

  • @samsonwanya13
    @samsonwanya13 Місяць тому +16

    Hii ndo comedy bora ya joti mwaka huu

  • @Awoshy
    @Awoshy Місяць тому +20

    Meneja sasa anavyomjaza mfanyakaziwake...shepu ipo 😂😂😂😂😂weka iyo koro hapo🤣🤣🤣🤣🤣🙌

  • @StephanieGerald-qj8vt
    @StephanieGerald-qj8vt Місяць тому +12

    Huyu meneja wa kiboga ni meneja wangu kabisa😂😂😂😂

  • @VeronicaJovni
    @VeronicaJovni Місяць тому +5

    Ila joti wewe kiboho umesuka mpaka rasta kweli wewe mbunifu uko powa uko vizuri sana mungu akubaliki🎉🎉🎉🎉❤❤

    • @KikiSalum
      @KikiSalum Місяць тому +1

      Ambariki mptotoshaj huyu fala anahamasish ushogo

    • @MinahAhmed-e9i
      @MinahAhmed-e9i Місяць тому

      Ni wigi hilo

    • @NasraSuleiman-g3y
      @NasraSuleiman-g3y 28 днів тому

      Ni wigi la rasta jamani hilo 😅 mbona mnapanic jamani😅

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION Місяць тому +16

    Dorcus hiyo ngua nooo!!! Anapokaa Tabora yooote nje (asali)

  • @MichaelMgallaTz
    @MichaelMgallaTz 28 днів тому +1

    Wakisema Mbona Ulisema Utafika Mbali Mwaka Huu 2024 Halaf Tunakuona pale pale vile vile Waambie #MUDA UTAONGEA 🙏🏻🙏🏻

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 Місяць тому +1

    Kidunia 😂 sio kesi mwana ume kuji Fanya mke ila tukija katika Imani za dini zetu noma thanaa mungu ana chukia

  • @Mrpasakaonline70
    @Mrpasakaonline70 14 днів тому +1

    Joti very nice,you best comedian in the world like me

  • @ANGELMAJUTOMAJUTO
    @ANGELMAJUTOMAJUTO 29 днів тому +5

    Daah joti ni kiboko ya comedia anajuwa saana 😂😂

  • @sylviaecke1772
    @sylviaecke1772 Місяць тому +5

    Napenda hier rasta❤❤❤kiboga😂😂😂

  • @ChingaKenboy-fz8yr
    @ChingaKenboy-fz8yr Місяць тому +4

    Anataka akipasue😂😂😂alafu wewe,sijapenda nawapenda sana team joty🎉🎉🎉#Chingakenboy

  • @stephnjesh563
    @stephnjesh563 Місяць тому +4

    Kiboga is my favourite character in all plays.❤❤❤❤❤❤❤

  • @ShadiaRamadham
    @ShadiaRamadham Місяць тому +18

    Ningepata boss km meneja wa kiboga😂😂😂😂😂

  • @ErickmidoMsodock
    @ErickmidoMsodock Місяць тому +2

    From Japan Kuma moto I love u YANGA bingwa I

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 Місяць тому +9

    Toka drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu bwana Joti ❤❤❤❤

  • @angelleslie2549
    @angelleslie2549 12 днів тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka wallah jotiiiiiiii chizi

  • @ZenabAli95
    @ZenabAli95 2 дні тому

    😂😂😂😂😂😂😂joti wewe mwisho🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mashaallah

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki Місяць тому +21

    Uyu dada Huwa anavaa nguo fupi sana na alivyo kibongeee mhh akikaa mapaja yote njeee😅😅😅apn kwa kwel😅😅

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Місяць тому +4

    Kupatwa kwa Kiboga leo..,Alafu Leina ndo amechoma kibanda 😂😂😂😂

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p Місяць тому +1

    Sikwa mekapp iyo kiboga 😂😂😂😂😂😂😂 eti. Nitumie naya kutolea na pesa umepewa keshi 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z 24 дні тому +4

    ACHA ujinga na kujiweka kama mwanamke Ivi watoto wako wajifunze nini mnatuharibia vizazi muogopeni mungu hamkuja duniani kwa kazi hiyo

    • @SanuraFadhili-k3n
      @SanuraFadhili-k3n 24 дні тому

      Sas sisana2 munguka mpakipaji

    • @lysterrichard8417
      @lysterrichard8417 22 дні тому +1

      We hela had ukaliwe mwenzako ndio utafutaje wake .. sio vzr kusema hivyo

    • @ZawadiMoris
      @ZawadiMoris 16 днів тому +1

      Acha ujinga wewe,kabla hajawa na familia anafanya kaxi hiyo napia familia yake inaishi vizuri Kwa kaxi hiyo hiyo we unaongea ushubwada gani,peleka huko

    • @paulshibhiti9584
      @paulshibhiti9584 11 днів тому

      Mwamba yupo kazini wewe

  • @misanyamisanya7499
    @misanyamisanya7499 Місяць тому +2

    😀 kwa mwaka huu hii episode kila nkiangalia nacheka sana

  • @DeboraSaranya
    @DeboraSaranya 29 днів тому +2

    This is the best jot's comedy of the year 😅😅😅😅

  • @NUH23
    @NUH23 29 днів тому +1

    Buenos días 🧉🧉🙏😂😂😂😂jaja es que los capítulos son muy divertidos...no logro comprender bien suajili pero me gusta verlos 😅😅😅hoy con trenzas y sombra verde en los párpados se ve genial 👌..un abrazo chicos ❤buen sábado 🇦🇷😘🇹🇿

  • @richardkalumuna5558
    @richardkalumuna5558 Місяць тому +8

    Hivi hizi nguo anazozivaaga kibonge,mnazizingatia na miguu kama tembo

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 Місяць тому +14

    Kma umegundua hapo ni golden folk Mikocheni nipe likes

    • @wiley7327
      @wiley7327 Місяць тому

      sinza makaburini hapo. panafanana na pale mikocheni B lakini sio

  • @FaridaLihondo-q4t
    @FaridaLihondo-q4t Місяць тому +14

    Shepu unayo unayo shepu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @matanobaya619
    @matanobaya619 Місяць тому +3

    Meneja umenifuraisha kwa kumsapoti kiboga😂😂😂😂.ati avue...😅😅😅.shepu ipooo😂😂😂.

  • @ajerisonArtz7817
    @ajerisonArtz7817 4 дні тому

    Daahh joti hadi kusuka.. Utengwe babaaa😂😂

  • @DouglasMassop
    @DouglasMassop Місяць тому +3

    Nanga nakukubal sana😮😊😂

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 19 днів тому +2

    Anataka avunje kibolo chenyewe! hahahha

  • @JahaMosara
    @JahaMosara 29 днів тому

    Watu wanafki eti shepu unayo tena namba 8😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv Місяць тому +4

    Acha kula Acha kula😂😂😂😂

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 Місяць тому +4

    Kila mtu ana mtu anayempenda❤❤❤😂

  • @swalehmalik1875
    @swalehmalik1875 Місяць тому +5

    🔥🔥🔥🔥 moto sana sana...team joti

  • @SumeyaMohamed-oj1dm
    @SumeyaMohamed-oj1dm Місяць тому +2

    joti wanifurahisha sana 😅napenda comedies video zako

  • @Habarimbalimbali21
    @Habarimbalimbali21 Місяць тому +9

    Kama unaamini joti ni balaa nipe like zako hapa

  • @HadijaHassan-lm4fi
    @HadijaHassan-lm4fi Місяць тому

    Unawezaaa mm nimechkaa snaa et wee tanguliaa ntakufata

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy Місяць тому +7

    Eti na yakutolea Kah 😂😂😂😂

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 Місяць тому

    Hahahahahahahahahahah jot nakupenda❤❤❤❤na nakupenda haswa ukiigiza kama kibogaaa

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Місяць тому

    Huyo ni Asha ngedere😁😁😁❤❤❤🎉🎉

  • @aminaomari9984
    @aminaomari9984 Місяць тому

    Imewezaaaaa❤❤ from Kenya

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 Місяць тому +3

    Kila mtu wa kwanza tuuuuu! Kah 🤣🤣🤣🤣

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 Місяць тому +2

    Ila uhusika wako kama MWANAMKE binafsi sijawahi kuuelewa wala kuupenda. Samahani sana kwa maoni YANGU.🙏🙏🙏

  • @tanimal9984
    @tanimal9984 29 днів тому +1

    Dah hii ni talent ya kipekee sana

  • @simonsangu6040
    @simonsangu6040 Місяць тому

    JOTI unaweza saaana na mungu azd kua nawe daima

  • @Mbonekoimmortal
    @Mbonekoimmortal 24 дні тому +1

    Vraiment ni Sawa kbs

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 27 днів тому

    Khaaaa😂😂😂😂😂upasue koro za mwenzio tena jamani heeee😂😂

  • @tommie254
    @tommie254 Місяць тому +1

    Hebu acha kula acha kula 🤩🇰🇪

  • @schneider1999
    @schneider1999 Місяць тому

    Kiboga aise unaweza kwakweli bravo 👏

  • @AlbertJr-u8q
    @AlbertJr-u8q Місяць тому +14

    Jamani wanaowahi kuangalia na kukoment ni wezi wa mitandao hawalali sec. 02 tu tayar watu washawahi 😂😂😂😅 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 Місяць тому

    Mpenzi wangu neema bado nakupenda rudi jamani😢😢❤

  • @masoudfundiumeme8892
    @masoudfundiumeme8892 Місяць тому +1

    Namm nimewawah❤❤❤❤❤

  • @KelvinDavidAbdallah
    @KelvinDavidAbdallah 28 днів тому

    Joti ndio baba lao siku zote atabaki kua JUUUUUUUU🔥🔥🔥

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 Місяць тому

    Nampenda Joti akiigiza kiboga mimi nimecheka kweli😅😅😅😅😅😅😅

  • @JaqlineExavery
    @JaqlineExavery Місяць тому +1

    Joti noma sana😂 unataka kuuwa kabisa😂😂😂😂😂

  • @LiquidMatejoe
    @LiquidMatejoe Місяць тому +3

    Namwangaikia mama yangu vilivyoooo😂

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Місяць тому

    Kiboga tulikumiss yaan,❤❤🎉🎉

  • @agnesraymond7894
    @agnesraymond7894 Місяць тому

    Dada Kiboga unajuaa😂😂😂😂nimwendo wa kuzipasua tyuu😅😅😅

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 Місяць тому

    Weh❤❤❤❤❤ aeke kwa meza😂😂😂😂😂 🇬🇧

  • @chrissy766
    @chrissy766 Місяць тому

    aaah this combination is funny maana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MeshackMnyenyelwa-j6g
    @MeshackMnyenyelwa-j6g Місяць тому +2

    Leo wakwanza jott utafika mbinguni ukiwa umechoka sana😂😂😂😂

  • @pallangyodaniel8918
    @pallangyodaniel8918 17 днів тому

    JOTI kasuka kweli mjue jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😂😅😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂

  • @LevaniaStephano
    @LevaniaStephano Місяць тому +2

    Kiweke hapa nikipasueee 🤣🤣🤣🤣

  • @Moses-le4ik
    @Moses-le4ik Місяць тому

    hahahahhahaahhahaha,,, eti we tangulia mi ntakufata 😅😅😅😅😅

  • @FARAJAAFYUSISYE-sk2wb
    @FARAJAAFYUSISYE-sk2wb 26 днів тому +2

    Hilo ni gauni au shart mhm

  • @win-art1051
    @win-art1051 26 днів тому

    Io acha kula na sarakasi juu 😂😂😂😂😂 nimecheka sana

  • @irenechristian3281
    @irenechristian3281 Місяць тому +1

    Nanga meneja mnafik sana😅😅😅

  • @munirajackson2695
    @munirajackson2695 Місяць тому

    ,😂😂😂 jamaniii kiboga wataka pasua kabisa aaa.. kesho hutaki kula tena

  • @latifamiluko-gr9iw
    @latifamiluko-gr9iw Місяць тому

    Nampenda sana Joti anajua bhana😂😂😂😂😂

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 21 день тому

    Joti Mungu akuwekee mdamrefuu 😂😂😂😂

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 Місяць тому

    Nishai kitombangile kitwango mikazo,migunoo,misuguanooo😅😅😅

  • @alish2182
    @alish2182 Місяць тому +1

    Kiboga nomaa😂😂😂😂😂

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 Місяць тому +3

    Team strong tumechelewa au

  • @JasminiJamsoni
    @JasminiJamsoni Місяць тому

    Shepu iko wap kibogaa ❤❤❤❤😂😂

  • @CharlesKulwa-v4k
    @CharlesKulwa-v4k Місяць тому

    Hongera sana joti kazinzuri sana 😂😂😂

  • @KelvinMhina-sb4vr
    @KelvinMhina-sb4vr Місяць тому +1

    😀😀😀kolo itapasuliwa kweli

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 Місяць тому +1

    😂😂😂meneja mzuiee😅😅😅

  • @nassryabuu3176
    @nassryabuu3176 Місяць тому +2

    Sema Nanga mnafki sana mwanangu😂😂😂😂

  • @MtaitalianoKipingu
    @MtaitalianoKipingu Місяць тому

    Ijumaaa Kareem 🙏🙏

  • @FarajaSamwel-o9c
    @FarajaSamwel-o9c 7 днів тому

    Shape unAyoo

  • @mirajidrissa9139
    @mirajidrissa9139 Місяць тому +1

    Ulitakiwaaaa umuuuwe tu😂😂😂

  • @mariambarkat2251
    @mariambarkat2251 Місяць тому

    Hiyo Sarakasi sasa kabinuka juu chini na kandambili zake mguuni, unafanya mchezo na kutapeliwa na mpenzi wako ❤😂

  • @michaelelia7058
    @michaelelia7058 Місяць тому +3

    Duuuuh ila doris ana tako jamani kaaaaah😂😂like kama umeliona

  • @HamisLugome
    @HamisLugome Місяць тому

    Uyo anaweza 🎉

  • @nancybungei9113
    @nancybungei9113 Місяць тому

    Mbunifu mzuri ❤🇰🇪

  • @BoscoGakire-y8x
    @BoscoGakire-y8x Місяць тому

    Kibonga unamambo😂😂😂💯🥰

  • @dianerditto
    @dianerditto Місяць тому

    😅😅😅😂meneja kwa backup yuko 💯

  • @maomkeku
    @maomkeku 16 днів тому

    Bora kipasuliwe tukose wote😂😂😂😂