Big mond umetisha sana,hiyo nyumba kubwa sana sema kiwanja ni kidogo,kwa ukubwa wa mond nyumba yake ya dream ilitakiwa hajenge kwenye kiwanja cha sio chini acres 10 na zaidi, sema umetisha platnumz
I think so , niliskia kuna ile ya kunduchi akawa anakaa harmonize kabla hajaondoka pale kikundini , so kwa fedha anayo make hawezi kukosa nyumba mbili tatu before hiyo
Kubabake 🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Waoneshe wakenya kuwa sisi ndiyo tunaowalisha chakula. Hili dude la Chibu ni bonge la Tusi. # tunasubiri wakenya waanze kupost na kusema kuwa hili dude lipo Kisumu.
🔥🔥bango la site linaonyesha jengo ni ghorofa tatu kwenda juu (Three storey) building.yani floor zitakua nne.ground floor na juu yake ghorofa tatu three storey.sio kitu kidogo.
Hatariiiiiii Jana niliangalia video yanu ya kuhusu kaligraph nikataka ni komenti jamani SIKU mkiiuona mjengo wa D mtazimia 😂😂😂 dah Leo nakutana na video hiiii na wala sikuona na sipo Nnchi na sijui kuhusu hiii Ila Daimond namjua jamani 😢 mtu mmoja mbad 😮🔥🔥✨
Acheni umaskin nyie kuoa sio jambo la watu wenye pesa ktk maisha ya cku hizi ... Ingawaje dini zetu zinasema kuoa ni lazima lkn ukiwa na pesa na ukioa tu matatizo yanakuelemea .. wanawake wa cku hizi hawana utu bali wanajali kitu ... Though sio wote but wengi wao na ndiomana walofanikiwa sana ckuhiz hawaoi
Yani watu bwana yani wanamuwazia kwaMBA Afanye iv au vile utafkir wakati anawaza kutafta Ela mpaka Mungu anamsaidia kufikaa alipofika walimsaidia watu bwanaa wanafki Sana Mondi fanya ya Moyoni mwako
Nataka kuona wale wanapenda kumuiga iga wakajenge next door yake 😅😅😅😅😅 naiyo plan IPO kabla ya wengi dogo Khaligraph ila anyway Salut O. G 🌍🌍🌍🌍........... WHEN AFRICA ALLOWED THINGS DON'T FAKE #diamondplatnumz SALUT.✊💪👍✍️
Hapo ni Mbezi Beach, Almasi street. Alinunua ghorofa hapo akalipiga chini na kuanza kitu chake
@@johnmwasilu7087 kulikuwa akuna nyumba
Mtu mbad kabisa🎉
Almasi street si unaingilia gorofa la askofu kakobe njia ya pili km unaenda E-fm radio mbele kushoto mwalimu nyerere primary school
Exactly broo@@raheemsaleh14
APA Sasa ndo anatufurahisha ❤❤🎉🎉
Our O.G.MUST B RESPECTED❤.
I WISH DIAMOND ALL THE BEST TOO.❤
Big mond umetisha sana,hiyo nyumba kubwa sana sema kiwanja ni kidogo,kwa ukubwa wa mond nyumba yake ya dream ilitakiwa hajenge kwenye kiwanja cha sio chini acres 10 na zaidi, sema umetisha platnumz
Kiwanja kidogo? Eboo kuwa serious
Hongera sana Nasibu kwa hili. Maana yamesemwa mengi dhidi yako
This is simba Diamond platunamz❤❤❤ God bless you
Diamond alivyo na roho nzuri ya kitajiri hakawii kuimaliza hiyo mansion akanipa Mimi.❤❤❤❤
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hahaha nakuwahi kabisa ukitaka mfanya kazi usinisahau😂😂😂
Aseee😂😂😂 me nitakusindikiza kuchukua hati dada 😂😂
Ameamswa ni Khaligraph
Iyi video itatazamwazaidi sns itavunja rekod mumetishaa sana
Jamaa anatisha san
I’m so proud of you Diamond Platnumz 👏
Mwamba ana nyumba nyingi saana na hiyo hapo Bado kuna nyengine ipo ufukweni full yacht itakuwepa mtaona mengi tu muda ukifika🐐
Diamond ana nyumba nyingi sanaa sema hyo ndo itakuwa komesha
I think so , niliskia kuna ile ya kunduchi akawa anakaa harmonize kabla hajaondoka pale kikundini , so kwa fedha anayo make hawezi kukosa nyumba mbili tatu before hiyo
That's good DMO
Dai.....Juuu....😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Diamond hongera Saana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏biggest Superstar in Africa🌍...bonge la Mansion 🔥🔥🔥🔥🔥
Have nimefurahi sana
Safi sana daimondi
Daimondi wetu ❤❤❤❤❤
Ma shaa Allaah
Uyo anaitwa SIMBAAAA ❤❤❤
Mashaallah diamond❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 god bless you
Safi sana
Nyumba amazon nyingi sema nyumba ya ndoto yake
Simbaaa
Ametisha sana
Wakenya mpooooo
Mimi naisubiri imalizike kujengwa kwanza ndo nije kulinganisha na nyingine
Ok yani unasubiri ulinganishe na yakwako?
Apa sasa ndi anatufuahisha❤❤❤❤❤❤
Kwaiyo munaenda kuishi wote kwenye nyumba yake si ndio?
Kwani ni yenu wote au
Kalii ngoja likamilike nimeliona live
Ipo wapi ??
@ kinondoni moscow
The 1st one today
🙏🙏
Anapo itwa baba Lao, usi pinge..
You might find out that it's an old video, nyumba imesonga Mbele sana
Ninamuomba mungu amuongezee
Tabia za masikini. Kuombea wengine wafanikiwe
Kukosoa ndo tabia za kimaskini ilimradi tu ukosoe@@barrynzeyimana6270
Tabia za kimaskini kuwa na makasiriko na mafanikio ya wengine
Kaka inabidi ubadilishe maombi yako kwanzia sasa jiombee mwenyewe
Mashallah
🎉🎉🎉
MashaAllah
apo mbezi bich tena sio mbali nakwake
Kubabake 🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Waoneshe wakenya kuwa sisi ndiyo tunaowalisha chakula. Hili dude la Chibu ni bonge la Tusi. # tunasubiri wakenya waanze kupost na kusema kuwa hili dude lipo Kisumu.
Weweee angalia maneno yako ,hio bei anayo ijengea uyo uku kwetu nika plot tu
Asa sikumeandikwa kabisa hapo kuwa Ni Mbezi.
iyo ni bonge la mjengo , lile la Kaligraph Jones ni geto kwa iyo ya Diamond... Siku atalimaliza watu watabaki mdomo wazi
Hamna nyumba hapo
South Africa pia tunamjengo😂❤
Toa ujinga wako
Respect the OG diamond kiwanja ni million 900 ill kiwanja cha khaligraph ni billion 1,475,000000
Sasa mtaa mnauficha wakati sisi tunaujuwa kitambo ni mbezi beach Almas
🔥🔥bango la site linaonyesha jengo ni ghorofa tatu kwenda juu (Three storey) building.yani floor zitakua nne.ground floor na juu yake ghorofa tatu three storey.sio kitu kidogo.
Ukweli mond Amenipa kazi za plumbing kwenye nyumba nyingi mno
Simba🙌🙌🙌
daimond kashavuka uko,,
yaan ujenge mjumba mkubwa hivi afu umuoe zuchu si upumbavu huo😅 humo anatakiwa akae bongela dem
😂😂😂😂
Huyu jamaa anasaut nzito nilikuwa najua bonge la mtu kumbe ndo huyu😂😂
Hatariiiiiii Jana niliangalia video yanu ya kuhusu kaligraph nikataka ni komenti jamani SIKU mkiiuona mjengo wa D mtazimia 😂😂😂 dah Leo nakutana na video hiiii na wala sikuona na sipo Nnchi na sijui kuhusu hiii Ila Daimond namjua jamani 😢 mtu mmoja mbad 😮🔥🔥✨
HAhaa 😂😂😂OG amewazingua😂😂
Matangazo mengi tutawakimbia 🫤🫤🫤🫤
Mbezi ya chini
Hela ya P Diddy anaitumia vizuri
Na ww unatumia vzr hela ya nani?
Na ww ya Baltazar unaila vzr 😅
Uyo jama anapenda kiki. Tusubiri hadi mwisho njo tujuwe ukweli
😅😂😂 tunawasubiri wakenya waje kusema iyo n quarter bob za huko kwao 😅😅😅😅😂😂🎉🎉❤❤
Wakenya hawana hela Njaa tu😂
Kama nyinyi @@saleemsuleiman2220
@@saleemsuleiman2220 njoo Mombasa ujione wa Tanzania omba omba kibao na pia Nairobi wame jaa tele huko kenya kwenye njaa 😂😂😂
Watanzania twawasaidia Sana Kenya nchi yao umaskini Ni mwingi Sana Dah Allah atawapa nusra insha'Allah Ameen 🤲
@@alibinali_ Wewe siunakaa KIBERA kwa slums wewe
nyumba ya TEE,NEE naNJ❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Huyo naye kashtuka Na kaligraph Jones
Respect the OG khaligraph Jones
Acheni umaskin nyie kuoa sio jambo la watu wenye pesa ktk maisha ya cku hizi ... Ingawaje dini zetu zinasema kuoa ni lazima lkn ukiwa na pesa na ukioa tu matatizo yanakuelemea .. wanawake wa cku hizi hawana utu bali wanajali kitu ... Though sio wote but wengi wao na ndiomana walofanikiwa sana ckuhiz hawaoi
Dini ipi imesema hivyo?
Et akuna kama mwambino
Achen kiki myaka yote najenga toka lock donw
Tatizo hizi nyumba hazi ishi leo tumeona kesho tuta ambiwa mengine tusubir tuone yajayo yana furahisha
Esco anaongea undwanzi tu leo
Ndio anajenga sasa ivii mmh
Live kk
From 254
Tuma 10 bob kwa MKISII
Mtaa fulan hv wa kishua maeneo fulan hv 😂😂 jiran tu hapa
Nafanya kibarua hapo per day 15000..
Niunganishe na mimi
Hii na Ile ya OG
Nilishawahi Kufika Hapo Kwenye Party Ya Dada Yake ESMA Ni MBEZI BEARCH Karibu Na Jumba La Kifahali La KAKOBE ...Tulikula Nyama Hapo Kama Zoteee ..
Our on OG has set the bar, the rest can follow 😂😂😂😂
Yes bana
Jamani tafuteni habali zinazo ereweka mnakaa kuzungumzia kitu kisicho isha au kumalizika,mbadilike waandishi
KAbisa kama ni hivi hera hana 😂😂 basi mbona munahatarisha kwenye social media nyumba iko wapi basi rosy loysi inapakiwa wapi ama mnamuongopea
Kwaiyo yote Haya kisa Kaligrah?😢
Maisha ya kuigiza wabongo 😂😂
Iyo nyumba ni HQ YA WASAFI MEDIA
Dhuu SnS hampitwi na kitu 😅
HAPO KESHO HARMONIZE ANAVOPENDA KUIGA, KESHO UNAKUTA NA YEYE ANAPOST😅😅😅
Hamo kashamaliza tayari mtwalwa
Mbona hamo alishappsti Ile amejengea mama ake goroga
Mimi nawashiri amepata ramani nzuri
Yani watu bwana yani wanamuwazia kwaMBA Afanye iv au vile utafkir wakati anawaza kutafta Ela mpaka Mungu anamsaidia kufikaa alipofika walimsaidia watu bwanaa wanafki Sana Mondi fanya ya Moyoni mwako
Wacha OG aitwe OG
Afer Diddy gave him money
Mond katisha apa
Ndio inamtowa zuchu roho😂
Nataka kuona wale wanapenda kumuiga iga wakajenge next door yake 😅😅😅😅😅 naiyo plan IPO kabla ya wengi dogo Khaligraph ila anyway Salut O. G
🌍🌍🌍🌍........... WHEN AFRICA ALLOWED THINGS DON'T FAKE #diamondplatnumz SALUT.✊💪👍✍️
Ni mbezi Beach mtaa ni almasi jirani yangu tu apa unyama sana
Mnafananisha nyumba ya OG na vitu zingine?😢
P.didy amemjengea
Harmonize anaroga upepu😭😭😭😭😭😭😭
Mbona hatumii nasibu nyange jmnii na ndio baba yake mzazi huyo mzee Abdull si wamuache km alivyo mkataa
Hatimaye Mondi ahamia Mbezi
Mbona anaishi mbezi pia
Namaanisha kujenga, Nyumba yake inayofahamika iko Madale
Watangazaji wangu leo mbona mekuwa shobo 👎
Mwijaku atajikuta Anacoo
Jayman😂😂😂😂😂
Maskini tunawazoooo 😂😂😂😂😂 ukiwasikilizaaa hawaa mawazo yaooo
Nasibu nyange sio juma sialimkataa babake uyo
Ngoja tusubiri Kirandage Ataigiza nini?
11:59 Bango linaeema kabisa 3 stories 6:28
Wanazungumzia kuhusu majengo na wahana ufahamu kuhusu majengo.
Washa sema 3 stories na wana jiuliza lina enda ghorofa ngapi😂😂
Mbona mjengo hatuuoni mmepita bara barani tu
Huku John's kashatinga navile hampendi kubaki nyuma nilijua lazima hili litatokea