MWIJAKU: ZUCHU ONDOKA WASAFI DIAMOND ANAKUNYONYA/NITAKUPA GHOROFA LANGU UKITOKA WASAFI/NITAKUSAPOTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @Fathma-fg3vq
    @Fathma-fg3vq 6 днів тому +7

    Ila kaka MWIJAKU anaongea point atakama mtasema niuchawa..ila Ako vizuri sana... Big up kakangu ❤❤❤🌹🌹🌹🌹

    • @RehemaKatana-m6l
      @RehemaKatana-m6l 6 днів тому +1

      Kwel kabsaa.sai zuu Yuko juu akitoka ataweza kujisimamia

  • @RabiaWahadh
    @RabiaWahadh 6 днів тому +6

    Zuch Forever Mwijaku Kamkubal Zuch Nimeipenda

  • @richardJanson-h7c
    @richardJanson-h7c 5 днів тому +2

    Mwijaku Mwijaku Mwijaku mtu wamaana kabisa 😅😅😅

  • @SaphinaSaid
    @SaphinaSaid 4 дні тому

    🎉🎉🎉 ukwli huo hongel kak 1:41 1:41

  • @abisalomwasike8280
    @abisalomwasike8280 6 днів тому +3

    Zuchu forever

  • @typohneprofiel515
    @typohneprofiel515 4 дні тому

    Waambie ukweli Mwijaku

  • @chibudangote0126
    @chibudangote0126 5 днів тому +1

    SI UWASAIDIE WASANII WA KING'S MUSIC MWANZO

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 3 дні тому +1

    We puwa mwinjalu we ndo unajifanya unajuwa dini mbona unamm paushauri diva amtowe mwenyezimungu kasoro unaamrisha zina huna haya .weye mwenyezimungu sikuhizi mnamchezeya sana bilawoga ikosi kuyako .utajibu maswali kwa alaah .

  • @FaridaAlsabibi
    @FaridaAlsabibi 2 години тому

    Kweli maneno yake zuchu anachezeliwa tu

  • @RehemaKatana-m6l
    @RehemaKatana-m6l 6 днів тому +4

    Zuchu forever❤❤

  • @alexsakilu2650
    @alexsakilu2650 5 днів тому

    Ally kaoa je Rajab kaoa Burton mnafik sana

  • @IbrahimIssanofoumou
    @IbrahimIssanofoumou 2 дні тому

    Hhhhhhh zuchu Nani diamond ampenda Aliyah

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 5 днів тому

    Wewe Wacha ujinga sana,

  • @fbr5113
    @fbr5113 6 днів тому +9

    WAKATI ZUCH ANAHANGAIKA MLIKUWA WAPI KUMASIDIA ATOKE? LEO KESHAKUWA MALI MNAJIFANYA WASHAURI. WANAFKI WAKUBWA NYIE NA AKITOKA MNAMTENGENEZEA MAADUI AANGUKE. ZUCHU ALISHAAPA HATOKI WCB MASHOGA HAMNA NAFASI KAJINYONGENI TU MSHAOZA MONDI HAWATAKI.

  • @deogratiusprosper4796
    @deogratiusprosper4796 День тому

    Kesi na Masoud imefikia wapi ili huu mdomo ufungwe

  • @SamsonMsafiri
    @SamsonMsafiri 6 днів тому +2

    Hapa ndipo nimeamini huyu jamaa kashakua chizi 🥱🥱

    • @khadijas4201
      @khadijas4201 5 днів тому

      Wala sio chizi asemakweli uzuri yake haogopi mtu yuamugopa mungu

    • @NuruMfaume
      @NuruMfaume 5 днів тому

      ​@@khadijas4201mbona hajamwambia hamonise aoe?

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 5 днів тому

    Mwijaku ana vituko😂

  • @saudaglorieuselokomba2615
    @saudaglorieuselokomba2615 4 дні тому

    Lavalava kafanya je kwani😂😂😂🤣

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n 6 днів тому +2

    ACHA KUINGIZA DINI KWENYE UPUUZI KICHWA MVIRINGO WEWW

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 5 днів тому

    Ama kweli ndo nimejua mwijaku ni chizi poa

  • @alexsakilu2650
    @alexsakilu2650 5 днів тому +1

    Mnafiki mkubwa sana wew bila Naseeb Zuchu ungemjua wanawake wa kislam wangap wanalala na wanaume wasiowaoa. Kila cku unapiga vita Naseeb

    • @DaudiMakaza
      @DaudiMakaza 2 дні тому

      Hyo bl Hain man ht mm mond bla Bob junior kl mtu Ana mwanz wk

  • @Halimamnekea
    @Halimamnekea 6 днів тому +1

    Lkn kweli bhana kwa nn hamuoi bora atafute mwanaume mwingine aolewe apate family azae watoto

    • @RehemaKatana-m6l
      @RehemaKatana-m6l 6 днів тому +1

      Kwel lakini..zuchu kashatoka kimaisha kama diamond hataku kumuoa..heri zuchu atoke akajitaftie maisha

  • @kandekeortega9931
    @kandekeortega9931 2 дні тому

    Kwanini siku zooote unamuwongelea vibaya Diamond 💎 ananyamanza Wallahi nawaomba Familia ya Diamond mumupeleke mahakamani ili awe funzo kwawengine yani sisi watu wa EAST Africa hatukubaliani nawatu wakuchafuwa Brand zawatu hamehangaikiya myaka mingi mufungeni uyo ana jazba Roho mbaya uchawi wakwanza kwabinadamu ni Mdomo fungulia mashtaka huyo aheshim watu anatukera huyo si muislam akiwongeya Quran mnahisi amesoma huyo ni mnaswala hata wamarekani wanajuwa kiarabu Quran naruga zingine huyo ni mnaswala Mwinjaku

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 4 дні тому

    Unajisemesha tu

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 6 днів тому

    😂😂😂😂ila mwijaku na lavalava haziivi

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 5 днів тому

    Mwambie boss wako kwanza aoe ndio amwambie mwambino moment mwambino umezidi kumsema

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 5 днів тому

    Sasa huo ushauri si umpelekee Boss wako
    Mwambie aowe.
    Na Harmonize mwambie aowe aachane na Mishangazi

  • @stevenkampaun6384
    @stevenkampaun6384 6 днів тому +2

    We mavi tulia uko

  • @Fadproduction1
    @Fadproduction1 5 днів тому

    ni icho kipara kinacho msumbuwa

  • @adamnasibu5931
    @adamnasibu5931 6 днів тому

    Hata Ibra kashakuwa mkubwa atoke kondegang ajitegemee maana harmomavi anamnyonya

  • @TonnyKelly-h7o
    @TonnyKelly-h7o 6 днів тому +2

    Usiseme takataka mtu ww kwani ww nani kwani

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 6 днів тому

    Tafuta ugali kaka.. Kenya tunakukubali I say 🇰🇪♥️

  • @ZaitunJuma-l5p
    @ZaitunJuma-l5p 5 днів тому

    Mzazi wake hajaona mwanawe anachezew we ndio unaumia

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 5 днів тому

    Wewe leo watafuta pesa kutoka kwa fredi

  • @djsebons1389
    @djsebons1389 6 днів тому

    Ivi kweli kunamutu bado anamcukiya DC?yani kama maji ashikiki kumcukiya nakumpenda yote umoumo dhu!

  • @ZaveriaAlfonse
    @ZaveriaAlfonse 5 днів тому

    Tumeshajuw unataka hela mbwa ni mbwa tu we unabweka tu

  • @farhiyaareef9518
    @farhiyaareef9518 4 дні тому

    SI AKAMSHAURI NA HAMISA YUKO HUKO ANAPIKA NA KUPAKUA NA AZIZ KI...

  • @zr7808
    @zr7808 5 днів тому +1

    Yote unasema nimekubali neno moja tu, dada yetu zuchu asikubali kuchezewa mwili yeye ni binti wa kiislamu kufanya haram si sawa tunakumbushana tu

    • @salumathuman-ll1mi
      @salumathuman-ll1mi 2 дні тому

      Ww umeolewa na huyo mwizi mwenzio au wivu kwamwenzio kwasabab yupo pazuri acha uchawiiiiii

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 5 днів тому

    Kazi yenu kuiba waimbaji wa WCB ndio fahari yenu kwani kutafuta mazao mengine hamuwezi mpaka wa wcb ? Mbona chuki mnataka kuona mwambino anaferi maisha ndio furaha yenu . Vunja hana jeuri ya kumpita Daiimond pesa alimwambia muonyeshe bank statement mkapiga chenga mkome mtoto wa watu unamkond3sha.kumsemasema kila.s8ku.hakutoki.mdomoni.uwe na haya.

  • @MaryamHaji-d2g
    @MaryamHaji-d2g 6 днів тому

    😅😅😅

  • @ZaveriaAlfonse
    @ZaveriaAlfonse 5 днів тому

    We mjinga sana wasaf kubha kuliko msanii huna akili mtu akiwa masikin hata hamuon akifanikiwa mnaona wamaana sana mnamkimbilia akiwa masikini hamuwaon nawew tafuta msanii wako umtoe tuone kam unaweza da binadam kaz san

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 6 днів тому +1

    😂😂😂😂😂

  • @ChristianKalunga-s4w
    @ChristianKalunga-s4w 6 днів тому

    We mubupafu