Sikiliza Shuhuda Hizi 4, ya Mwisho Inasikitisha | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @mariethalema1365
    @mariethalema1365 3 місяці тому +3

    😢😢😢 imenikumbusha kijana aliyefariki December last year, alikua HIV +ve Imani hizi hizi anasema anatumia vifaa vya kiroho eti akaacha dawa mpaka akafariki maskini 😢😭

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 3 місяці тому +1

      Yaani jamani acheni uko vitani huna hutumii kile ambacho unaeza mshawishi Mungu ukapona but unaacha kwa ujinga

  • @leahnjinge7136
    @leahnjinge7136 Місяць тому +1

    Mungu pia anatumia hao madaktar kuponya ndio maana akawaweka

  • @MaryGeorge-l2v
    @MaryGeorge-l2v 14 днів тому

    Mtumishi natamani siku moja nikutane na wewe uiombee familia yangu , ubarikiwe kwa mafundisho ,shuhuda na maombi ,

  • @happiness_713
    @happiness_713 3 місяці тому +3

    Yeah, we perish because of lack of knowledge 🥹

    • @mariethalema1365
      @mariethalema1365 3 місяці тому

      Kabisa, kukosa maarifa au kupuuza Neno au kulitumia vibaya ni kuangamia, mf walevi wanaotumia tukio la harusi ya Kana kujitetea 😠

  • @ROSEWANJIRU-q2m
    @ROSEWANJIRU-q2m 25 днів тому

    JAMANI NAOMBENI NUMBER ZA REVEREND KIMARO

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 3 місяці тому +1

    Kamwe mungu haezi kuatumia ma doctar,,Kama ambavyo anaweza gutumia ma wakili wake.watumish wake ni zaidi

  • @JuliethKajuna-qk1qh
    @JuliethKajuna-qk1qh Місяць тому

    Mtumishi wa Bwana Mungu akutunze katika huduma yako naomba umwombee dada yangu Stewat Samwel yuko bukoba anaumwa sukari na presure na hawezi kuongea wala kula na hospital amelazwa mara mbili na kuruhusiwa nasasa yuko nyumbani

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 3 місяці тому

    Hapo na Mimi Leo sijaelewa,,,harafu wapo wanao jiita.wapo walio pewa neema ya guponya .Musa aliwah guponya sumu ya nyoka

  • @leahogutu9818
    @leahogutu9818 Місяць тому

    Sema tupone Baba hawa manabii wanatudanganya ni wapiga dili tuu

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 3 місяці тому

    Wachungaji tuwasameh Mana na wao wanamwil

  • @alicekatana1429
    @alicekatana1429 Місяць тому

    😂😂😂 amen 🙏

  • @PhilipoSteven
    @PhilipoSteven 3 місяці тому

    Shida mahubili mnayo tubilia mnatubilia kua yesu anaponya kila kitu kosa liko wapia hapo

    • @mariethalema1365
      @mariethalema1365 3 місяці тому

      Sikiliza vizuri anachofundisha Mchungaji, Yesu anao uweza kabisa wakutuponya kila kitu lkn pia kutumia mikono ya wauguzi & dawa ambazo ni kazi ya mikono ya mwadamu kwa maarifa Mungu awapayo na pia twatumia mimea aliyoiweka Mungu mwenyewe tukapona! Haya yote ni maarifa tupaswayo kuwa nayo ili tusiangamie. Mungu atusaidie & kutupa hekima. Ubarikiwe mpendwa!

    • @susankileo8702
      @susankileo8702 3 місяці тому +2

      Ni kweli Yesu anaponya tena kwa damu yake ya thamani. Ukiamini hata dawa hutazitumia ila kwa imani na Roho Mtakatifu akuongoze kuhusu kutokutumia dawa