Watoto wa Dar wanapenda maisha ya starehe na kazi hawataki. Yaani mijitu ya miaka hadi 40 inaishi kwao unakuta kila mtu ana chunba 1 au 2 wanabanana hapo na kila mtu anaolewa au kuola pale pale. Ndiyo maana hata mitandaoni wanatukana sana maana wanakuwa na stress ya hela na wanashinda nyumbani. tu. Kazi yao ni kuomba hela hasa ukipanga nyumba hizi za familia utakoma. Wewe ndo unakuwa kama duka la Mangi kila siku wanaomba hela
Sasa mmeenda kumleta Mzee kwenye makamera kumdhalilisha tu, mnampanga na maneno ambayo yanazidi kujieleza vizuri hajatoa asilimia ya Mke wa kwanza aliyekuwepo wakati viwanja hivi vyote vinanunuliwa, watoto komaeni nanasilimia ya Mama yenu
Ever na Delila wamesha ingia kati familia haitabaki salama, Ni kweli mzee hiyo ni mali yake kwa Uzunguzaji wake na wasi wasi sana na Mengi kujirudia tena.
Hakuna KUOA HOVYO,ila kuzini hovyo. Heshimu saaaaaaana IMANI ya mwenzio. Muislam anakibali kutoka kwa ALLAH kuoa zaidi ya mke mmoja,kama atakuwa MUADILIFU katika NDOA yake. Chunguza sana,kama wewe huna MCHEPUKO,inawezekana,Baba yako,Dada yako,Mama yako Shangazi yako, Mkeo wanaChepuka. Heshimu sana kitu kinachoitwa NDOA. Ndio maana Wahenga wanasema " MKE WA MTU.....SUMU"
Hapa kunashida kama ya Marehemu Mengi ,Mke wa kwanza ni marehemu na kawacha watoto mke wa pili anampelekesha Mzee kwa mali alizokuta .Kifupi Mzee anaendeshwa tu hapo,ndio maana anaanza na nyadhfa alizotumikia Taifa badala ya kutueleza kiufasaha ni mkorogo gani wamefanya kumilikisha watu ardhi kwa ukigeugeu. Aseme ipi kauza na ipi kaweka muwekezaji hilo ndio la muhimu
@@leokamil6284Wewe umeelewa vizuri, Mzee anapelekeshwa kasahau alikua na ndoa ya Kwanza, nawashauri watoto simameni imara Mpate asilimia ya Mama yenu, mapenzi ya uzeeni mabaya sana Mzee mpaka anadiriki kusema viwanja vyote vina majina yangu kasahau wakati ananunua alikua kwenye ndoa na mke wa Kwanza, na viwanja hivi ni mali ya wanandoa, halafu watoto wakisimamia haki ya Mama yao anasema walikua wadogo, nyie wazee mapenzi yanawafanya mnavuruga familia na kujidhalilisha mbele za watu
Hakujenga yeye hio Aridh Ni yake amepangisha mtu ajenge alafu aumie kwa muda wa miaka 10 ndo mktab unavyosema mkataba ukiisha amkabizi mzee Mali sas mkataba haujish hio ajajinyeng imejwa
Alichokosea Mzee umenunua kiwanja wakati uko na mke ndani anakupikia na kukuzalia watoto wakati Mzee anaenda kazini, iweke viwanja vyote viwe jina lako na pia asilimia ya Mke wa Kwanza iko wapi? Kifupi nawaelewa watoto wa Mke wa Kwanza wanapigania asilimia ya Mama yao
Cha ajabu, yule mtoto wakat anahojiwa alisema ety, kwa sasa mzee amezeeka Sana hivyo HAWEZI hata kutembea Wala kuzungumza, na haoni😂😂😂, Sasa mzee huyu hapa yupo fit, KIJANA ATALAANIWA AISEEEE
@@2116-n Bora Mzee angejificha ndani mtoto wake alimsitiri aibu hii ya kwenye makamera, Mzee amelitendea Taifa heshima kubwa sana kumuona anagonbea kiwanja kwenye kamera haikustahili kabisa, hapo Kuna machawa wanamvuruga Mzee wetu wamembeba kuja kumuanika kwa faida zao binafsi
Anaedai ni Joan ndy muwekezaji miaka 10 mzee anajua hilo kwa nn auze sehemu ambayo kuna mkataba wa miaka 10 kesi ipo kwa mzee na sio mnunuzi, mnunuzi kesi yake kuvunjia watu usiku
Anatoa taarifa nususu hazijakamilika ili apate pesa,kila unavyotizama video yeye pesa inaingia kwa hio utataka habari uelewa utaangalia video zaidi ya moja.
HAPO DAR MTAMALIZANA SANA NA ARDHI ZA WENYENYE WATOTO TAFUTENI ZENU
Watoto wa Dar wanapenda maisha ya starehe na kazi hawataki. Yaani mijitu ya miaka hadi 40 inaishi kwao unakuta kila mtu ana chunba 1 au 2 wanabanana hapo na kila mtu anaolewa au kuola pale pale. Ndiyo maana hata mitandaoni wanatukana sana maana wanakuwa na stress ya hela na wanashinda nyumbani. tu. Kazi yao ni kuomba hela hasa ukipanga nyumba hizi za familia utakoma. Wewe ndo unakuwa kama duka la Mangi kila siku wanaomba hela
Watoto wanagombea mali ingali mwenye nazo bado mzima hii ni maajabu
Sasa mmeenda kumleta Mzee kwenye makamera kumdhalilisha tu, mnampanga na maneno ambayo yanazidi kujieleza vizuri hajatoa asilimia ya Mke wa kwanza aliyekuwepo wakati viwanja hivi vyote vinanunuliwa, watoto komaeni nanasilimia ya Mama yenu
💯✅Fungu la Mkewe wa kwanza na Watoto wake Halali wa Ndoa awape
Huyu naye anamaliza bando .masifa kama wa....
Ever na Delila wamesha ingia kati familia haitabaki salama, Ni kweli mzee hiyo ni mali yake kwa Uzunguzaji wake na wasi wasi sana na Mengi kujirudia tena.
Uligawa viwanja pasipo haki ndo maana yanakurudi
MZEE, JUZI KIJANA WAKO WAKAT ANAHOJIWA ALISEMA ETY, UMEZEEKA SANA, HUWEZI HATA KUTEMBEA, NA HUONI, SASA MBONA UKO FIT TU, mzee kijana wako ameanza kulaanika sasa,
Mzee kaitwa Kipofu😮😅 Mali hizi jamani ...,mama wa Kambo kapewa Lawama kibao.., Watoto tafuteni vya kwenu
@@nururaymond5 nimeamini Kuna watu wanaweza kuua kwasababu ya mali
Huko kuchezacheza ndio nini wee dada ukiongea na watu. Simama kiheshima ok
Anazingua hadi macho yanauma
Tulia bwana ukiongea
Dada angu pole mzee ndio.ivo kawakataa sijui itakuwaje sasa
Nenda kwenye mada vyote hivyo si ulisha viacha
Vyovyote itavokua joan ame invest haki yake haiwezi kufukiwa! Itabidi alipwe tu
Mi sijaelewa vipi nyie wenzangu mumeelewa???
Vijana kujimilikisha mali za wazee, hatutaki kutafuta za kwetu,
Vijana wake ndio mataperi, mzee kauza chake, wapangaji na zakaria imekula kwao. Huwezi rithi labla mzazi hajafariki
@@RenaldaZeramulana mzazi akiamua kuza chake hakuna mtt anaeza zuiya
Johan anatolea macho mali za baba yake?
Craziest mzee wake smart alishakunywa mapema amevuta chake mapema kabisa .....
Smart move mzee Maftah
Jo ni mwekizaji
Buyer be aware
Mwisho wa ubaya ni ubwela
Wazee tamaa zenu mnachanganya familia zenu kuoa hovyo ni hatari
Kwahiyo kuowa ni kosa au
Mpuuzi huyo@@martinmalale9167
Hakuna KUOA HOVYO,ila kuzini hovyo. Heshimu saaaaaaana IMANI ya mwenzio. Muislam anakibali kutoka kwa ALLAH kuoa zaidi ya mke mmoja,kama atakuwa MUADILIFU katika NDOA yake. Chunguza sana,kama wewe huna MCHEPUKO,inawezekana,Baba yako,Dada yako,Mama yako Shangazi yako, Mkeo wanaChepuka. Heshimu sana kitu kinachoitwa NDOA. Ndio maana Wahenga wanasema " MKE WA MTU.....SUMU"
@@leokamil6284 haha unaonekana bado mtoto tunza hii kauli utakuja kupata majibu ukiwa mzee na wewe!
Halafu mali ya mzee haihusiani na watoto
Kulinge ndo mmiliki hata Mzee anasema mwenyewe
Akuna aneyebisha ata angempa bure i ssue masilai ya mwekezaji?
Akuzinga tia
Muwekezaji ana haki ht km kumeuzwa
Nime elewa sasa, kumbe joann yy inaonekana alimtumia mtoto wa mzee na si mzee mwenyewe
Yuko mkataba mzee siyo watoto
Ahahahaaaa 😂😂😂 mzee kumbe aliuza kwa kulinge. Johan anasema kaingia mkataba miaka 10 na mzee zakaria
Mali! Mali! Mali!
Tafuta pesa kimbia laana za wazazi
Ndo malipo ya serikali ya ccm iyo waambie na wajukuu wako katiba ikiwa nzuri nchi itanyooka
Uyuu kaanza kazi 2024 ila anajua notice ya 2023
Ulimsikiliza vizuri lkn kule mwanzo? Amesema yeye ni mpangaji tokea 2021 notice ndio walipewa 2023
@@mudymbarouk8279wapo wengi kama hao wa kukurupuka,hawasikilizi vizuri habari
Uwe unasikiliza vizuri KABLA hujacomment
Watoto tujifuze kutafuta vyetu
Hapa kunashida kama ya Marehemu Mengi ,Mke wa kwanza ni marehemu na kawacha watoto mke wa pili anampelekesha Mzee kwa mali alizokuta .Kifupi Mzee anaendeshwa tu hapo,ndio maana anaanza na nyadhfa alizotumikia Taifa badala ya kutueleza kiufasaha ni mkorogo gani wamefanya kumilikisha watu ardhi kwa ukigeugeu. Aseme ipi kauza na ipi kaweka muwekezaji hilo ndio la muhimu
@@leokamil6284Wewe umeelewa vizuri, Mzee anapelekeshwa kasahau alikua na ndoa ya Kwanza, nawashauri watoto simameni imara Mpate asilimia ya Mama yenu, mapenzi ya uzeeni mabaya sana Mzee mpaka anadiriki kusema viwanja vyote vina majina yangu kasahau wakati ananunua alikua kwenye ndoa na mke wa Kwanza, na viwanja hivi ni mali ya wanandoa, halafu watoto wakisimamia haki ya Mama yao anasema walikua wadogo, nyie wazee mapenzi yanawafanya mnavuruga familia na kujidhalilisha mbele za watu
Alikua anamsumbua aliyempangisha
PLATE NO SALMA
Wasiojulikana watamgusa Kila mtuu
Ok
mzee ameuza mali yake,sasa shida ni wsle wanaosubiri wazee wafe ili wapate vya dezo!!mzee huyo yupo fiti na mali ni zake,ameamua kuuza!!
Hakujenga yeye hio Aridh Ni yake amepangisha mtu ajenge alafu aumie kwa muda wa miaka 10 ndo mktab unavyosema mkataba ukiisha amkabizi mzee Mali sas mkataba haujish hio ajajinyeng imejwa
Kauza akiwana mkataba muwezaji bila kujali masilai ya mwekezaji ndicho kinacho mtesa
Alichokosea Mzee umenunua kiwanja wakati uko na mke ndani anakupikia na kukuzalia watoto wakati Mzee anaenda kazini, iweke viwanja vyote viwe jina lako na pia asilimia ya Mke wa Kwanza iko wapi? Kifupi nawaelewa watoto wa Mke wa Kwanza wanapigania asilimia ya Mama yao
Cha ajabu, yule mtoto wakat anahojiwa alisema ety, kwa sasa mzee amezeeka Sana hivyo HAWEZI hata kutembea Wala kuzungumza, na haoni😂😂😂, Sasa mzee huyu hapa yupo fit, KIJANA ATALAANIWA AISEEEE
@@2116-n Bora Mzee angejificha ndani mtoto wake alimsitiri aibu hii ya kwenye makamera, Mzee amelitendea Taifa heshima kubwa sana kumuona anagonbea kiwanja kwenye kamera haikustahili kabisa, hapo Kuna machawa wanamvuruga Mzee wetu wamembeba kuja kumuanika kwa faida zao binafsi
Midhali slaa hayupo mzee sahau kupta haki yako
Mzee yupi unamaanisha,kama huyo kashasema aliuza,hana mgogoro na mtu
Anaedai ni Joan ndy muwekezaji miaka 10 mzee anajua hilo kwa nn auze sehemu ambayo kuna mkataba wa miaka 10 kesi ipo kwa mzee na sio mnunuzi, mnunuzi kesi yake kuvunjia watu usiku
hatar
KUMBE MDINGI ALISHASUKUMA KITAMBO
Notesssssssss 😂😂😂😂😂😂😂
Mzeee kasha maliza kazi ,hapo hawana chao mzee kauza mali yake na kumbukumbu bado anazo
Hivi ninyi ayo mnaona hapo mmetoa taarifa kwa ukamilifu et?
Millad Taarifa hii mbona haijakamilika?
Anatoa taarifa nususu hazijakamilika ili apate pesa,kila unavyotizama video yeye pesa inaingia kwa hio utataka habari uelewa utaangalia video zaidi ya moja.
Yani salma kumbe mwislamu alafu nywele wazi muogope mungu ww
.