HUZUNI: AGIZO LA DC BOMBOKO NA MAHAKAMA LAPUUZWA, NYUMBA ZOTE ZABOMOLEWA “FAMILIA YALALA NJE”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 155

  • @zanzibarisland5116
    @zanzibarisland5116 14 днів тому +8

    @ millard ayo, taarifa haijakamilika....kuna watu hapo wanatakiwa kuhojiwa

    • @muhsinmwamkunja9702
      @muhsinmwamkunja9702 12 днів тому +1

      Kweli kabisa kuna mambo nyuma ya pazia hayaongelewi hapa

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 11 днів тому +5

    Rais Samia nakuomba mrudishe silaha kwenye sekta ya Ardhi mama tunakuomba sana

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 14 днів тому +4

    Mungu nisaidie nipate japo kibanda cha udongo kwa jasho langu,😢😢😢😢 poleni sana mama na wanao daah.

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 7 днів тому +1

    Ndio ccm mamangu

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 14 днів тому +6

    Kama kauli ya mahakama haisikilizwi watu wanatakaje au wanaogopa nini Sasa jaman😢

  • @dycemullah3254
    @dycemullah3254 14 днів тому +6

    Eeeh Mwenyezi MUNGU TENDA KWA HAWA WAJA WAKO
    AAAAMMMEEEEN🙏🏿🙏🏿

    • @muhsinmwamkunja9702
      @muhsinmwamkunja9702 12 днів тому

      Iyo stori nyuma ya pazia ni nzito wengi wanaingalia kwenye mtandao tuu

  • @jacksommary5214
    @jacksommary5214 14 днів тому +7

    Mama Samia Rais wetu tunakuomba ebu mrudishe Slaa kwenye hii Wizara, alikuwa ni msaada sana kwako na wananchi wako pia.

    • @zepinashatibu5149
      @zepinashatibu5149 14 днів тому +1

      Kumbe hayupo jaman yule baba alikuwa kama makonda

    • @nourannouuran3514
      @nourannouuran3514 13 днів тому +1

      Sjui kwa nn walimtoa

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 11 днів тому

      kweli kabisa silaa ndo alikuwa anaiwezea hii wizara ya ardhi yaani sijuh kwanini alimtoa jamani

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 14 днів тому +4

    Mmmmmmh 😢 hapo kosa ni mwanaume kuuza Bila kujali km Kuna mke na watoto Ila hizo pesa zitaisha. Pesa ni km upepo

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 14 днів тому +4

    Poleni sana 😭😭viongozi Mungu awarehemu mana sio kwa unyanyasaji huu

  • @SudyMohamedy
    @SudyMohamedy 14 днів тому +4

    Hii ndo Tanzania ya amani tunaoambiwa

  • @eddymaphy
    @eddymaphy 14 днів тому +3

    Huyu Nyanyaetu WALLAH ameongea maneno mazito yenye hisia kali sana pamoja na huyu mtoto wake MJANE ameumia sana na matendo ya Baba tapeli,
    Mungu atawalipia hapa hapa duniani kabla umautu haujawafikia,,🤲 Aamen

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 14 днів тому +4

    Wanaume wa tz wanatunyanyasa sana hi... yote kutokuwa.. na emani na Sheria... mzuri kwenye serekari yetu,,,na police wasenge sana wakishapokea rushwa tu hata huruma hawana disi mungu hanakuona mtakula izo pesa mbaka mnaenda kaburini

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA 14 днів тому +3

    Haya mambo yanaumiza jamani unapoiangalia hii intavyuu huyu jiran ameguswa sana hii nchi dah mungu atahukumu kwayote hasa nyinyi maaskal madhalim wahaki za wanyonge

  • @KebbyMody
    @KebbyMody 8 днів тому

    Wakitoka hapo wanadai wtt wanajali mama zao wanaume WAPO waziri wengine mungu anajua yatatukuta mengi haya wanaume wanaume wanaooa wanawake na utu uzima ndio walivyo mungu anisamehe kwakweli

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 2 дні тому

    pole sana😢😢😢😢

  • @princeSamson-vy1ow
    @princeSamson-vy1ow 14 днів тому +2

    Mtamkumbuka Waziri #Jerrysilaa

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 14 днів тому

    Pole sana bibi mungu samia huoni hili

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 4 дні тому

    Ukweli Bwana Slaa alikuwa hacheki na Hawa nyani wasiokuwa na huruma kwa binadamu wenzao,kubomoa nyumba ya mtu ni mbaya sana.

  • @emmanuelmasatu
    @emmanuelmasatu 14 днів тому +1

    Inasikitisha sana sana. Adui wa mwanamke nimwanamke.

  • @AishaAisha-q4t
    @AishaAisha-q4t 14 днів тому +2

    Pole mama yamenikuta hayo nimefukuzwa kama mbwa lkn machozi ya mnyonge hayaendi bure ameshindwa kukuachia hata nyumba moja

  • @TatuHaji-k8s
    @TatuHaji-k8s 14 днів тому +2

    Pole mama

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 14 днів тому +3

    Serikali bana imsaidie uyo mama jaman

  • @EvetaSilayo
    @EvetaSilayo 14 днів тому

    Mungu tusaidie na Tanzania yetu

  • @DonkrstianoEssaga
    @DonkrstianoEssaga 5 днів тому

    Hola

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n 9 днів тому

    Kwani polic wa hostabey kulikon jamn mbna iko kituo kina nitisha now

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому +1

    polesana mama kwamtihani kamahuwo amakwelimaskini hanahaki hakiniya matajiri ..

  • @ramamwanga7551
    @ramamwanga7551 14 днів тому

    Inasikitisha sana

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 13 днів тому

    YAAA ILLAHY TUEPUSHE NA MABALAA,POLEN SANA JAMAN

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 14 днів тому

    Jirani umeongea vizuri sana Emungu wangu CCM Mmeskia uku??? Mama yetu fanya kitu watu wapuuzi wachache wasitualibie

  • @joyceryoba4813
    @joyceryoba4813 14 днів тому +1

    Aisee eti kelele uache 😅 mungu utusaidie

  • @irhamseif
    @irhamseif 11 днів тому

    Kumbe bi mdogo mrangi🤔 basi kwisha habari ya uyo mama

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 14 днів тому +1

    Yarabii wasmamie wajawako

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 13 днів тому

    Poleni sana 😭😭😭,Mimi ninachojiuliza hivi Hao watu wanapata wapi nguvu ya kubomoa nyumba ambayo tayari mahakama imeshasema isibomolewe, ni kwamba wao wapo juu ya Sheria au ni nini

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 14 днів тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭 MAISHA GANIIIIIII HAYAAAA

  • @OmegaJustine
    @OmegaJustine 3 дні тому

    Inaonekana kuna watu Wana nguvu hata hawana hofuuu sababu wanajua sababu 😢

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 14 днів тому

    Poleni sana wahanga ndio kauli za viongozi wetu hizo... Tanzania ni nchi yenye maslah kwa watu wenye kipato haowanaokucheka wanauhakika wa kula nakulala pazuri..wewe kama nifukara basi utajuta kuzaliwa

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому

    jamani yani mama samiya hajaliyonahilitatizo kwanini mamahuyuana adhiriwahivi subuhana allh

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 21 годину тому

    Ukimwaga unga namwaga mboga iyo inakuwa drooo

  • @AishaTarimo-hj2nj
    @AishaTarimo-hj2nj 14 днів тому

    Daaah😢😢😢😢😢

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 День тому

    Baba angekuwepo rip magu

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому

    na adhabuya munguinawangoja laanawakubwa

  • @estylsamu8960
    @estylsamu8960 14 днів тому

    Kwann huyo baba asitafutweee😭😭 ila sis wanawake jamani tunatendeana ukatilii sana

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 3 дні тому

    Tutamkumbuka Jery Slaa

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 3 дні тому

    Raisi wetu tunaomba umrudishe Muheshimiwa Slaa ndiyo alikuwa mkombozi wa wananchi wa Dar vinginevyo tutaumia sana

  • @Kuruthum-v8j
    @Kuruthum-v8j 14 днів тому

    Tanzania yangu 😢

  • @romwaldoamsi2783
    @romwaldoamsi2783 14 днів тому

    Mmmmh. Dunia hiii

  • @PascalSabonga
    @PascalSabonga 5 днів тому

    KAMA KAOA MRANGI BASI KWISHA HABARI YAKE

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 11 днів тому

    Hawa wabomoaji kwahyo namaamuz ya DC wamekaidi dah

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 14 днів тому +1

    Kwa kweli nachukia umasikini, I HATE BEING POOR 😢

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 14 днів тому

    Jamani nyie pole mama

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 21 годину тому

    Hapo viongozi wanasingiziwa tutafute chanzo chake ninani ukute ni huyohuyo mama kwamaana imeandikwa mwanamke mjinga huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 14 днів тому +2

    Samia karaza damu na ndiomana kila police anatoa hamri na hawasikirizi mku wawiraya na wote wanausika hapo ruswaa imetumika Samia angekuwa mkari wangeshimu mahakama na mkuu wa wiraya...wanaume mbwa. Sana me ndiomana napambana mwenyewe nijenge nyumba yangu sitaji kuja kuteseka badae

    • @zuberinyenzi1982
      @zuberinyenzi1982 14 днів тому

      Bila kumsahau na babaako maana nae yupo kwenye kundi la mbwa na wewe mtoto wake pia ni mbwa

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 14 днів тому

      Hata hiyo unayotaka ajenge mwenyew mwanae wakiume anaeza iuza na yy akiwepi😂

  • @KennedyVictor-j2g
    @KennedyVictor-j2g 14 днів тому +2

    Siyo kwa serikali hii jamani sisi tuliibiwa tv mpya kabisa Samsung nchi45 mwizi alakimbia mzamini ambaye ni ndugu wa huyo mwinzi tukamkamata tulienda naempaka mahakamani akakiri kweli matokeo yake tulidhulumiwa tv mbele ya mahakama mm siyoni haki yeyote hapo

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 14 днів тому

    Ila warangi Mungu anawaona. Mtakuja kugombana mtu na mdogo wake

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g 5 днів тому

    Jerry slaaa arudi

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 19 годин тому

    Nchi sio hii basi tu hatuna pa kwenda. Na ndio maa polisi walilaaniwa kipindi cha mtume akawaapiza kuwaambia mtavaa vibwebwe kama ngedere mpaka Dunia inaisha. Jee? Mnawaona je? Basi hao wacheni tu wacheke madhila ya mtu. Mwisho ukifika watajua kama walikuwa hawajui.

  • @elishajilungu1055
    @elishajilungu1055 12 днів тому

    Ndo mjue sasa kumbe wanawake hampendani na uongozi hamuuwezi angekuwa kiongozi mwanaume hapo mbona huyo jamaa mbona ingekuwa chap tu

  • @SihaSanyajuu
    @SihaSanyajuu 14 днів тому

    Haya ndyo mnasema Tanzania ya haki sawa sasa tuone haki ya samia ikitendeka 😢😢

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n 9 днів тому

    R i p magufuri

  • @danielkanso
    @danielkanso 14 днів тому

    Maisha gani haya yaani katiba enyewe ni mbovu lakini haifuatwi wanachi mnafikiri tunaenda wapi kwani tz hatuna utaratibu au utaratibu uliopo ni wakutumia nguvu kubwa kuzuia maandamano ya watu wasio na silaha.

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka 14 днів тому +2

    Bibi anaongea vzr nimependa ongea yake tu 😂😂😂😂😂

    • @Lyimogirl
      @Lyimogirl 14 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Lameck-f5i
    @Lameck-f5i 14 днів тому

    Dah Peponi au Mbiguni tungehubiliwa kuwa kwenda lazima uwe na pesa dah!, Masikini sijui ingekuwaj?, Lakini ashukiwe MUNGU ni wa wote hewa haiuzwi tunavuta Bure. Ukiwasikiliza waliohojiwa na majibu yake MUNGU atusamehe bila kutuhesabia😢😢😢😢

  • @Nicas-g1m
    @Nicas-g1m 14 днів тому

    Ipo siku itafika tu.. inauma sana

  • @JACKLINEPETER-t9p
    @JACKLINEPETER-t9p 13 днів тому

    Huyo mwanaume anajua labda hizo hela atakaa nazo hadi kufa kwake .kama kaoa mke mdogo huyu ni kampenda kwa sababu ya hizo pesa.anamsubr ziishe atamtimua kama hamfaham ,alafu utajirudisha kwa mke mkubwa kama hajawahi mtendea kitu.na wanawake tulivyowadhahifu wepesi wa kusamehe atampokea. Lakin si kwangu mm nakusagia chupa namuuwa kidogo kidogo mshenzi sana huyo mwanaume.Mungu simama na huyo bibi wa watu .japo wenye pesa ndo wanasilizwa,maskini hawana kauli.Rushwa ndo imejaa Tanzania

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 14 днів тому

    Ostaberry pole mama

  • @AhmedAbdullah-v7b
    @AhmedAbdullah-v7b 2 дні тому

    Wakati wa unanijua mimi ni nani umerudi

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 14 днів тому +1

    Kila mwenye pesa ana sauti yake

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому +1

    pesainatembeya rushwatu ndoinasemakweli sihaki

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 14 днів тому

    Kanunua kigogo hapo😢

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 14 днів тому

    Kitu na dadake mnalewa na mume mmoja kisa pesa 😢😢😢
    Baada ya miezi watamuua mwanaume mali wamilili wao 😢😢

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 7 днів тому

    Tatizo lilianzia kwa kupata mwanamke wa kirangi then akamleta na ndugu yake wakamshawishi mzee wampurule abaki ziro then wamtupe kama gunia.

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 7 днів тому

    JPM 😭😭

  • @mundisumka5868
    @mundisumka5868 14 днів тому

    Duu serikali yetu iko wapi,ciyo kutenda haki,bali haki ionekane kutendeka,, kwa nchi yetu kuna utawala wa sheria kweli?

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 14 днів тому +2

    CCM hoyeeeeeeeee

    • @VivianNasari-jq6id
      @VivianNasari-jq6id 14 днів тому

      Hoieeeee

    • @gililwise
      @gililwise 14 днів тому

      Hoyeeee

    • @gililwise
      @gililwise 14 днів тому

      Uwiiii jamani hao watoto mtawafanya waichukie nchi yao.serikali haipo inaandikisha daftari la wapiga kura.pole mama

  • @josephineokama2200
    @josephineokama2200 11 днів тому

    Jerry silaha yuko wapi jamani kwanini mama alikutoa kwenye hii sekta jamani ?

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 14 днів тому

    NCHI INAANGAMIA WATU WANALIA KILA KONA MAUAJI KILA KONA JAMANI
    JOSEPH POMBE MAGUFULI PUMZIKA BABA ULIPENDA WANANCHI WAKO WA HALI YA CHINI
    I LOVE MY COUNTRY BUT THE GOVERNMENT IS NOT GOING WELL ENOUGH 😔

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 14 днів тому

    Hivi tanzania ina matatizo gani

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 13 днів тому

    Sasa anafanya nini huku kaisha bpmoa mununuz.mme

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 14 днів тому +1

    MAMA SAMIA SEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ KISWAHILI ?

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 14 днів тому

    Duniani kuna kila aina ya mapito 😢

  • @MatildeBjelland
    @MatildeBjelland 14 днів тому +1

    Wakulaumiwa ni baba aliuza cyo polisi

    • @Lyimogirl
      @Lyimogirl 14 днів тому

      Ukweli unasema wakulaumiwa nihuyo aliuza

    • @GudilaAkaro
      @GudilaAkaro 14 днів тому

      Vp kuhusu zio la mahakama

  • @alisuleiman9627
    @alisuleiman9627 14 днів тому +1

    Polisi hawana makosa yeyote wakulaumiwa ni aliyeuza bila makubaliano ya wote

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 14 днів тому

      Na piah hakuna sheria ya mwanaume au mwanamke kuuza nyumba bila wao wawili kukubaliana sema2 hii serikali inahujumiwaa😅

    • @Lyimogirl
      @Lyimogirl 14 днів тому

      Ndio wakulaumiwa nihuyo mzeee

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 11 днів тому

    Kila mtu ana sema rais samia awa saidie yeye huko alipo ana mambo kibao 😢

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 14 днів тому

    Tanzania hakuna serikali, hakuna anaetii mahakama wala mkuu wa wilaya. Police wanaungana na watu kunyanyasa masikini alooo.

  • @mohamedmuya9648
    @mohamedmuya9648 14 днів тому

    Hapo ndo utapata majibu kwanini wamemtoa Jery slaa

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 14 днів тому

    Makufuli tuta mkumbuka Samia kalala

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому

    sawakabisa hatshviunadhani sisiyem huwainapita huwahaypiti basituukwakuwa wanaibaweziwakubwa

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka 14 днів тому +1

    Walinipeleka ostabery walikuja defendary flan ivi 😁

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому

    jsisiem kazikuuwa watutu wauwajiwakubwa ilawajuwe hayomaoshatu nayanamwisho

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 14 днів тому

    😢

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r 14 днів тому

    Apo kunawatu wanaitaj akunza Cha zihada

  • @DaheerK
    @DaheerK 12 днів тому

    Ndio maana ninakibanda changu kwa upuuz huu wa kuolewa na matahila mzee kala pesa kitambo duuh

  • @mohamedmuya9648
    @mohamedmuya9648 14 днів тому

    Kiwanja wamenunua wao ccm na serikali ya ccm wataiba kura ccm nchi ya ccm Mwenyezmungu inusuru Tanzania sasahv watanzania tunasubir miujiza yako tu maana hatuwezi kupata haki bila upanga na tunauogopa upanga

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 14 днів тому

    WATOTO WAONEWEHURUMA THAMBI HYO JAMAN MPAKA MADAFTAR YA WATOTO WA SHULE MALAIKA HAO JAMAN

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 14 днів тому

    Wanaume ni mbwa jamani

    • @hajimahamudu7059
      @hajimahamudu7059 14 днів тому

      Kwaiyo mama Ako aliolewa na mbwa wakakuzaa wewe mbwa mdogo

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 14 днів тому

    UHALIFU MKUBWA USIKU WAUWAJI INATISHA WATOTO

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 14 днів тому

    Warangi wachawi na ndio tabia zao huchafu kushea mwanaume Moja hata haibu hawaoni,,,

  • @tanzaboy4824
    @tanzaboy4824 14 днів тому

    R.I.P MAGUFURI

  • @damasmassawe3601
    @damasmassawe3601 14 днів тому

    sasaivi hakuna kusikiliza mahakama wala nani nimwendo wakutumia pesa tu

  • @cristinajeremiah2450
    @cristinajeremiah2450 14 днів тому

    Bwana wewe ni hakimu wa haki