SAKATA LA FREMU KUVUNJWA MIKOCHENI, WATOTO WA MMILIKI NA MLINZI WASIMULIA ILIVYOKUWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 12

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 Годину тому +1

    Watt wamepangishaa bila kumshilikisha mama Yao wa Mambo pesa mtaitema uyo dd kaingizwa chaka

    • @Ajijji12
      @Ajijji12 17 хвилин тому

      Huyo mama wakambo sikavikuta anauza km nani

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 Годину тому +1

    Iyo kampuni ya ulinzi ni local sna hakuna hata mobile patrol ya gar au panic button ya kubonyeza upate msaada

  • @johansenbashange2628
    @johansenbashange2628 2 хвилини тому

    Raisi Huwa anakurupuka sana kwenye teuzi zake! Alimuhamisha Jerry Slaa kwenye wizara ya ardhi kimakosa
    Amempeleka wizara ambayo hana Cha kufanya huko

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 Годину тому

    Ayo kamuojin mm Yao na bab yao

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 Годину тому

    Anzeni na wizara ya Ardhi mtaona ujinga uliofanyika

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 Годину тому

    Tatizo lipo ardhi wabaya wanaendeleza vyao kuna vitu vya ovyo ajabu

  • @Gody360
    @Gody360 2 години тому

    Daaah

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Годину тому

    Dah hasara jmn

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 Годину тому

    Huyo ni nani anazalau mahakama

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 години тому

    Ndugu kasababisha mgogoro

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Годину тому +1

      Wacha tu hapo kuna ndugu Plus Mama wa Kambo ambae alikuta mali ila nae kaichanganya familia. Kuoa oa nayo ni matatizo matupu