MJADALA MZITO KUHUSU ZANZIBAR ILIVYOHARIBIKA (SEMA NASI)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 2 місяці тому +11

    Leo nimekuwa wa kwanza alhamdullillah kufuatia kipindi cha SEMA NASI

  • @thedon8467
    @thedon8467 2 місяці тому +5

    Allah Awahifadhi

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 2 місяці тому +1

    MashaAllah HOJA ZA MSINGI ZIMEONGELEWA...🎉🎉🎉

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 2 місяці тому +2

    Allah amuekee babaangu Amin

  • @SuolFat
    @SuolFat 2 місяці тому +8

    Walioiharibu znz ni ccm wa znz na bara

  • @AmeMwinyi
    @AmeMwinyi 2 місяці тому

    Nisalimie mzee wangu ENZI aje muyuni embe tyr

  • @salehabdimohamed6437
    @salehabdimohamed6437 2 місяці тому +5

    HAWA NDIO VIGOGO WA HABARI WALIOBAKIA NI HAZINA HIZI ZITUNZWE.

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 2 місяці тому +2

    Ukweli usemwe,na kipindi hichi Cha miaka 5 ya uchumi wa blue Zanzibar imechafuka haifai.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 місяці тому +1

    Viongozi wametoka TANGANYIKA hawajali , hawaoni tofauti wanaona ni sawa na MKURANGA.

  • @fatmam1997
    @fatmam1997 2 місяці тому +2

    Mashaallah ❤❤

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 2 місяці тому +2

    Viongozi wameukumbatia Muungano ni moja ya chanzo kinachoiharibu Zanzibar. Maana tulioungana nao hatuendani kabisa kimaadili.

    • @nashnene6326
      @nashnene6326 2 місяці тому +1

      Kwa kuwa una uspesho gan? Hutakiwi kujikweza na kujipandisha daraja huku ukishusha daraja wengine au ku look down on them! Hiyo ni kasoro kubwa kuwa na majivuno

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 2 місяці тому

      @@nashnene6326 Hiyo sio kujikweza. Ww huoni maadili ya Wazanzibar na Watanganyika kweli ni sawa? Hatujazowea sisi kuona watu wanavaa vitop kutembea mitaani. Lakini walipoingia Watanganyika hayo mambo ndio wanayoyafanya. Sio kua nazungumzia ushabiki.

  • @kassim1262
    @kassim1262 Місяць тому

    W2 wnatembea km wnyama wnaona haitoshi wnakuja znzbr km mvua kuja kujiuza znzb hawaulizwi kitu ukisema utaambiw ubguzi 😂😂😂

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 2 місяці тому

    Wanao iharibu zanziba watanganyika kuchakutwa nauza uchi wanatembea chango nnje hawajisitiri tumechoka na watembea uchi

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 місяці тому +1

    Hawa wazee wanikumbusha wazee wetu zamani unguja 😂

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому +1

    Watangazaji wa siku hivi hata Lugha ya Kiswahili siyo fasaha…. Bora wafundisheni

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 місяці тому

    Hao naona wanajisifu zaidi sio uhalisia wache waendelee kuporoja

  • @azzasaid1445
    @azzasaid1445 2 місяці тому

    nimeipenda couple hii ya wazee Hawa

  • @mamohamed1252
    @mamohamed1252 2 місяці тому +1

    Cardiff ni mji mkuu wa Wales. hakuna Wazanzibari wengi siyo siku hizo si wakati huu. Labda mji mwengine.

  • @tahyiatahyia792
    @tahyiatahyia792 2 місяці тому +1

    Waandishi wengi hawana taalum ya uandishi wanasomea kazi na sio kusoma elimu ya uandishi,

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 2 місяці тому

    Nyinyi zunguukeniiiiiiiii lkn ukweli ni kuwa mila na silka za mzanzibar kwa asilimia 95 zimeuliwa na MTANGANYIKA

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis 2 місяці тому +1

    Walio haribu zaziba ni nyinyi wabongo kwanza ww ezi asili yenu ww ni ccm mbaya sana munapenda wabongo ila nyinyi wabongo hawawapnd

    • @BarackMohammed-j9d
      @BarackMohammed-j9d 2 місяці тому

      sio wabongo ni viongozi wa zanzibar unafiki wao,sasa kama ww una maadili kwann uache ufuate ya wengne

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 2 місяці тому

    Alie tuondoshea Passport Ndie alietumalizia Zanzibar

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h 2 місяці тому

    Hao ni think tankers

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 місяці тому +1

    Baadhi ya watu huzaliwa WAZEE na baadhi ya watu HAWAKUI.

  • @tahyiatahyia792
    @tahyiatahyia792 2 місяці тому +1

    Tupo pamoja

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 2 місяці тому +1

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 місяці тому

    ZANZIBAR imeharibika imejaa DADA POA kutoka TANGANYIKA. MAADILI na DESTURI za KIZANZIBARI zimepotea, ZANZIBAR imekuwa kama Kinondoni.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 місяці тому

    Viongozi wametoka TANGANYIKA hawajali , hawaoni tofauti wanaona ni sawa na MKURANGA.