MSAKO | FULL MOVIE |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 чер 2024
  • #clamvevo #kimvevo #sengo #tanu #butua
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 53

  • @richardchristopher7141
    @richardchristopher7141 10 днів тому +3

    Vigezo namasharti viko pw kabisa kwenye hii movie like kama tuko pamoja❤

  • @lionlee257
    @lionlee257 2 дні тому

    Mbuela safi sana
    Nakukubali 🔥🔥🔥

  • @kinanaissango3492
    @kinanaissango3492 24 дні тому +2

    But all in all kazi nzuri washiriki wote wameshoo love kwa moyo mmoja kabisa japo kwa wale ambao hawaja fit ni kwakua tuu uhalisia wao hauruhusu wao kua ktk seem hizo bravo✍️

  • @NiyiduhaRenè
    @NiyiduhaRenè 3 дні тому

    Mbona kaisha vibaya jameeeni

  • @kinanaissango3492
    @kinanaissango3492 24 дні тому +2

    Kim VEVO apa umezingua 😅very sad kaka Ako alipitia jeshi tulitaka tumuone hukomafunzoni aliiva ,, alafu butua anafaa kuigiza mlevi tuu ama mporipori pia mmeo kwa snake boy hafai kua jambazi wamjini huko maporini ndio ana faaa ungemtumia rafiki ake kakoso Kwa snake boy anafaa kua jambazi yule

  • @user-xu5rh6ub5j
    @user-xu5rh6ub5j 16 днів тому +1

    Kazi nzuri kim

  • @LembeliAthanasi
    @LembeliAthanasi 6 днів тому

    Pamoja sana

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 12 днів тому +1

    Jman punguzenii kutuleteaa movies za vijijinii Kila msaniii saiv anatoaaa movie location yakee vijijinii ndo nin xax

  • @Teddyzhukenya01
    @Teddyzhukenya01 8 днів тому

    Nimetazama KIM VEVO

  • @kellyigorNinziza
    @kellyigorNinziza 4 дні тому

    Hhahaha 😂Kipara bwana ,eti unakwend kushoot nani!!??? Jason Statham 😅, ila nawakubali saana wadau

  • @joymkenya2359
    @joymkenya2359 11 днів тому

    Movie Smart ❤wa TZ 👍 we love you 😊

  • @user-ed1sj5it4s
    @user-ed1sj5it4s 3 дні тому

    Kim ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 14 днів тому

    😂😂😂😂umeanza lini kubutua mwanamke Mbwela

  • @danibboy6831
    @danibboy6831 12 днів тому

    Napenda movie zenu endeleeni ivyo ivyo

  • @FridaMwaipaja
    @FridaMwaipaja 12 днів тому

    Unawezaaa 💯💯💯💯💯

  • @damarismuli8364
    @damarismuli8364 17 днів тому

    I love this man boya hogera sana dugu

  • @Irankundasadiki-yx1vf
    @Irankundasadiki-yx1vf 17 днів тому

    Munayiaca acaje injethu ivi kuyiingiza ndani imewashinda ahaaaa ngoja tukaonethu

  • @yohananyamaruri9105
    @yohananyamaruri9105 25 днів тому

    Kim hongera❤ Tunaomba part two

  • @PeterChengo
    @PeterChengo 25 днів тому

    Kim dadangu hongera🎉🎉🎉🎉🎉

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 14 днів тому

    Kaka mpake shedo na kijora juu 😂😂😂

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 25 днів тому +1

    Mbona hamukutumalizia muliachia nusu hatukujuwa hatima ya begi

  • @user-dv2wl3gh4n
    @user-dv2wl3gh4n 25 днів тому

    Anakuangalia kama hakuangalii😂😂😂😂

  • @joseulemcheshi1890
    @joseulemcheshi1890 15 днів тому

    Hamjaonyesha nani aliendea polisi lakini ni mimi hapa

  • @NillyNilly-fm5pw
    @NillyNilly-fm5pw 25 днів тому

    Wow nimeipeda

  • @SaidBurhan-t1t
    @SaidBurhan-t1t 10 днів тому +1

    Mwenye coctati za mwasi naziomba jamani

  • @selemaniseif7767
    @selemaniseif7767 19 днів тому

    Mwas❤❤

  • @Zenji_znz
    @Zenji_znz 10 днів тому

    NAOMBA MUNILIPE MB ZANGU MCHEZO MZURI IMEISHIA BIBAYA

  • @SaidBurhan-t1t
    @SaidBurhan-t1t 10 днів тому

    Jamani huyu mwasi anajuwa kuecti sana

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 16 днів тому

    Mwisho mbaya

  • @SamwelWafula-xt3jf
    @SamwelWafula-xt3jf 10 днів тому

    Mambo poa Sana

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 14 днів тому

    Jamani mbona sijaelewa hapo imekuwaje tena ,maana police walifikaje na nani alitoa taarifa

  • @shadyasaid5828
    @shadyasaid5828 9 днів тому

    Msiwe mnaongea maneno ya ovyo kwenye Movie zenu kama vile Kahaba n.k kwasababu hizi movie zinatizamwa na Rika zote.

  • @kaka-of2oq
    @kaka-of2oq 24 дні тому

    Ipo vyema ila mlitakiwa tuone namna polis waluvyopata taarifa kuhusu begi

  • @user-sz9wm4bm5c
    @user-sz9wm4bm5c 13 днів тому

    😢😢😢😢

  • @ImmaculateMkhambe
    @ImmaculateMkhambe 19 днів тому

    Hawayuniiiiii

  • @JuliusMelle
    @JuliusMelle 13 днів тому

    Morali

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 14 днів тому

    Ndo mwisho kivipi sasa

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 14 днів тому

    Kiparaaaaa

  • @Irankundasadiki-yx1vf
    @Irankundasadiki-yx1vf 16 днів тому

    Mutiye yakufwatiya ili tujuwe mwisho ya ile begi

  • @AminaBakari-oy9eb
    @AminaBakari-oy9eb 15 днів тому

    Ila kipar😂😂😂

  • @StanleyaStella
    @StanleyaStella 25 днів тому

    Ila butua yani umekaa kimchongo mchongo

  • @772moana
    @772moana 21 день тому

    ❤️❤️❤️❤️

  • @giselemauwa4477
    @giselemauwa4477 22 дні тому

    ❤❤

  • @StanleyaStella
    @StanleyaStella 25 днів тому

    ❤❤❤❤❤

  • @SaidBurhan-t1t
    @SaidBurhan-t1t 10 днів тому

    Mwenye coctati za mwasi naziomba jamani 54:00 54:02

  • @Bestudio-2
    @Bestudio-2 25 днів тому

    Hakuna kulala

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 25 днів тому +10

    Nimewahi jamani taem strong Oman nawakilisha 🎉🎉🎉🎉 nipewe like zangu 😂😂😂

    • @NeemaNixon
      @NeemaNixon 25 днів тому +3

      Hujaenda kupika😂😂

    • @ukhtymwana40
      @ukhtymwana40 25 днів тому

      @@NeemaNixon mwanzoni nilizani chozi nikaifungua naona mkimbizano kuja kusoma jina kumbe misako nika left fast 😂😂😂

  • @halimadonath1862
    @halimadonath1862 14 днів тому

    Jamani muwe mnarudia kutizama vipande vyote mkishatoka location kabla ya kuvirusha maana Kuna baadhi ya vipande sauti haipo vizuri

  • @damarismuli8364
    @damarismuli8364 17 днів тому

    I love this man boya hogera sana dugu

  • @SaidBurhan-t1t
    @SaidBurhan-t1t 10 днів тому

    Mwenye coctati za mwasi naziomba jamani