NAMPENDA 💝 (FULL MOVIE)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2024
  • #clamvevo #jotitv #mwakatobe #zumbavevo #sengomk #mbwelamedia
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 79

  • @estaphone
    @estaphone 5 місяців тому +5

    Nzuri kweli.mke akipenda hupenda zaidi

  • @user-eb3zt3wc4b
    @user-eb3zt3wc4b 5 місяців тому +4

    Nmependa sana upo vzri wapenzi hongereni.much ❤❤❤❤ guys

  • @theprogrammer3351
    @theprogrammer3351 День тому

    Mbwela kipande chako umekitendea Kazi... Kazi nzuri

  • @johannesnyabara2527
    @johannesnyabara2527 5 місяців тому +6

    Nyie watu mmebadili kabisa mawazo yangu nakuanza kupenda muvi zetu, mko vizuri sana mtafika mbali

    • @ZUMBAVEVO
      @ZUMBAVEVO  5 місяців тому +2

      Nashukuru Sana ndugu yangu

    • @immahjayden3494
      @immahjayden3494 5 місяців тому

      ​@@ZUMBAVEVO movie smart sana,,naomba unieleze jina ya hiyo nyimbo 🙏

  • @ShamimHassan-qm1et
    @ShamimHassan-qm1et 11 днів тому

    Jamoniii had nimefurah ilivyoisha vzr😘😘

  • @user-ws7is2bu4t
    @user-ws7is2bu4t 11 днів тому

    Mbwela mtu wangu nakupenda Sana bro

  • @DellMjamo
    @DellMjamo Місяць тому +1

    Waaah! Kazi nzuri sana kutoka kwenu . Hili ningependa nilitazame Kila usiku kabla ya kulala,Hila @mbwela sijui ni kuchanganyikiwa ama muusika Sasha ana majina 2.kwa maana nimemsikia mara tatu akimuita sanura! Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndanii

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 5 місяців тому +2

    Jameni!! Eleweni!! Mapenzi ni hisia, sio tamaa

  • @DanielObara-cv4bi
    @DanielObara-cv4bi 5 місяців тому +4

    Hilo kofiii tamu kweli😅😅

  • @raeljepkemboi8932
    @raeljepkemboi8932 5 місяців тому +3

    u mean love is making me cry like a baby,,,this movie current all my emotions much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-ty5zv4tq1f
    @user-ty5zv4tq1f 5 місяців тому +2

    Imenoga🎉🎉🎉🎉🎉 Congratulations 👏👏👏👏👏👏 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-sw6fv8ed8v
    @user-sw6fv8ed8v 5 місяців тому +2

    Sengo unakuja vizuri,,,unajua kuigiza

  • @EdwardAlfredmdomo-hp1op
    @EdwardAlfredmdomo-hp1op 6 місяців тому +3

    Wa kwanza leo jamani

  • @Zix-yb1ci
    @Zix-yb1ci 3 місяці тому +1

    Jamani hii move kali sana had wana nifurahisha

  • @user-sw6fv8ed8v
    @user-sw6fv8ed8v 5 місяців тому +2

    Safi Sana,,,huo ndyo uwanaume sasa

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 5 місяців тому +1

    Sitamani iishe big up mbwela mora love from kenya 🇰🇪

  • @user-it3iw9lp9z
    @user-it3iw9lp9z 5 місяців тому +1

    Kazi safi... nazipenda sana filamu zenu..Zumba VEVO na wenziwo... keep it up.

  • @Damacline4004
    @Damacline4004 6 місяців тому +4

    Kim we unafaa kucheza sectar ya uchawi tu ndio inakufaa 😂😂😂much love from kenya 😊

  • @user-du1vv9si8w
    @user-du1vv9si8w 5 місяців тому +1

    Kazi nzuri wadau🎉🎉❤

  • @user-ub7qv8ec6o
    @user-ub7qv8ec6o 5 місяців тому +1

    Yani hii Kali sijaona🔥🔥🔥

  • @GibranMwanyalo
    @GibranMwanyalo 10 днів тому

    Mbwela nakukubali mwanzo mwisho mm shabiki yako wa nguvu kutoka Mombasa

  • @ShamimShahass
    @ShamimShahass 2 місяці тому

    Kanyimbo katamu mbela njoo unioe mimi achan na mideko hakutaki m nakupenda buree my wangu❤❤❤❤😢😢

  • @IsakaKiyalo-s3v
    @IsakaKiyalo-s3v 22 дні тому

    Mbwela unaigizaga movie nzuri sana has ukiigiza wewe ni mstarabu

  • @user-gb3fi5yl5v
    @user-gb3fi5yl5v 6 місяців тому +2

    Hongera sana nimeipenda

  • @brilliannafula5762
    @brilliannafula5762 4 місяці тому +1

    Napenda sana uigizaji wa Mbwela

  • @hassanabdulrahman3837
    @hassanabdulrahman3837 5 місяців тому +1

    Waaaah hisia bwana

  • @DanielObara-cv4bi
    @DanielObara-cv4bi 5 місяців тому +3

    Nice movie...

  • @SONIVEVO
    @SONIVEVO 6 місяців тому +3

    Hahaha nakubari nimependasana

  • @ayoubucharles4149
    @ayoubucharles4149 5 місяців тому +1

    😂😂😂😂 mapenzi we ni noma

  • @SabihaKhalfani
    @SabihaKhalfani 11 днів тому

    Jmn mm kamenikosha hako kajimbo kitam naombeni jina lake pleese😂

  • @user-cn9tw7yi3h
    @user-cn9tw7yi3h 4 місяці тому +1

    Kweli nimeamini unaye mpenda anaye ana wake ambae anamoenda sasa ona 😢😢mapezi shikamoo

  • @ZayAwazi
    @ZayAwazi 3 дні тому

    Eti nimejikazaeee
    Hahahahaahaha eti
    Silii tena

  • @loveCatholic254
    @loveCatholic254 5 місяців тому +1

    Filamu zuri ila sauti za wausika ziko chini Sana , lakini music ziko juu, fanyia Jambo hili kazi ❤

  • @user-sw6fv8ed8v
    @user-sw6fv8ed8v 5 місяців тому +2

    Unamuacha anayekupenda,,,na unaumiza hisia kwa asiyekupenda,,,kumbe ww fala weee dada

  • @amanisanga5897
    @amanisanga5897 День тому

    Bwela eti mimi mwanaume silii tena😂

  • @user-pt5we2gu4l
    @user-pt5we2gu4l 5 місяців тому +1

    Kazizuli sana ina mwanao ina kati nainamwisho

  • @MaryRuby-wz6eb
    @MaryRuby-wz6eb 5 місяців тому +2

    🎉nipe nafasi pls

  • @yosurekirahuka
    @yosurekirahuka 5 місяців тому +1

    Wooow, i like it, pèrfect job, congratulations

  • @amanisanga5897
    @amanisanga5897 День тому

    Nice

  • @AbdallahMgewa
    @AbdallahMgewa 2 місяці тому

    Kwenye hii movie nimempenda sana mideko

  • @immahjayden3494
    @immahjayden3494 5 місяців тому +2

    Nzuri sana,,,jamani jina ya nyimbo

  • @MarryIrunde-fk1bw
    @MarryIrunde-fk1bw 5 місяців тому +2

    Mideko sauti hatusikii bwan anaongeaje hivo

  • @user-sw6fv8ed8v
    @user-sw6fv8ed8v 5 місяців тому +2

    Hii balaaa,,hii muvi mbona inagusa maisha yangu?

  • @SAIJOBE47
    @SAIJOBE47 6 місяців тому +3

    🎉🎉🎉🎉

  • @mosesmashauri2420
    @mosesmashauri2420 5 місяців тому +1

    huyu mama kapendeza kweli kuwa mama ake KIM

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 3 місяці тому +1

    mbwela anasauti fulani hivi ya kubembeleza ata km anakwambia kitu cha kuumiza ,,,napenda the way unavoongea una kiutulivu flani hivi huna pupa wala haraka hongera kwa hilo mbwela

  • @ayoubucharles4149
    @ayoubucharles4149 5 місяців тому +2

    Upande wa sauti mlifeli padogo

  • @amanisanga5897
    @amanisanga5897 День тому

    Yani maana yake mmemaanisha madem wameshinda mmeniangusha😂

  • @khalidahmed8731
    @khalidahmed8731 5 місяців тому +1

    movie nzr sn lakin kiuhalisisa ni ngm sn kuish na mtu ambae hauna hisia nae

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 5 місяців тому

    Mwishowe!! Maumivu yameisha

  • @Kanginen
    @Kanginen 5 місяців тому +1

    Kwan zasha we nawe Kwa kila muvi huwa unakataa2 huyo jamaa

  • @user-zo7bd8tj4y
    @user-zo7bd8tj4y 6 місяців тому +2

    🎉

  • @kwekwetsuma3524
    @kwekwetsuma3524 6 місяців тому +2

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @MartinSumeEmurithi
    @MartinSumeEmurithi 6 місяців тому +2

    Zumba can only act as a criminal.

  • @user-it3iw9lp9z
    @user-it3iw9lp9z 5 місяців тому +1

    I truly loved it..when is the next part please ❤

  • @ashery-jr26
    @ashery-jr26 3 місяці тому

    👏

  • @SAIJOBE47
    @SAIJOBE47 6 місяців тому +1

    Zumba vevo

  • @kwinshuku617
    @kwinshuku617 6 місяців тому +3

    Song name 🎉❤

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 3 місяці тому +1

    jamani naombeni jinabla nyimbo ya ndani ya hiii muvi

  • @SajorMiduxco
    @SajorMiduxco 28 днів тому +1

    Nyimbo inaitwa nani

    • @ZUMBAVEVO
      @ZUMBAVEVO  26 днів тому

      Nenda youtube andika mtiifu

  • @IsukanijaMoneygr
    @IsukanijaMoneygr 4 місяці тому +2

    Ivi jamani huu music ni wa nani jamani tutumien lnk bas jinsi namna ya kuupata

  • @Brenda-ph5jl
    @Brenda-ph5jl Місяць тому

    😂😂😂😂

  • @kelematinlondon854
    @kelematinlondon854 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @IbrahimSelemani-bx1wq
    @IbrahimSelemani-bx1wq Місяць тому

    Mjinga kweli 😂😂eti vipi nimejikaza eee😂😂😂

    • @Awakeproduction9
      @Awakeproduction9 16 днів тому

      Mi pia nimeipenda hii pamoja na wimbo naeza pataje