DEVIL'S HOUSE | Full Movie |.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Nyumba ndio chanzo cha matatizo yote ya hapo kijijini, ikiwemo mauaji na watu kupotea ovyo.
    Je familia hii mpya itaweza kupambana na majaribu hayo? Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua.
    Follow us on INSTAGRAM 👇 www.instagram....
    Follow us on TIKTOK 👇
    www.tiktok.com...
    WHATSAPP ONLY
    +255 764 397 711

КОМЕНТАРІ • 56

  • @Thetrendy0505
    @Thetrendy0505 8 місяців тому +19

    Wasio elewa maana ya movie ndo watalalamika kuhusu rangi, lakini kwa upande wangu kila kitu kipo sawa ❤🎉 tuna wapenda. 🌎

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 8 місяців тому +7

    Chibu pamoja na team yako ninawapongeza❤❤🎉🎉🎉

  • @MariamOmary-tt3fo
    @MariamOmary-tt3fo 8 місяців тому +9

    Team chiebway tuna wa kubali saanaa ❤❤ huku ndo tuna angalia movie kama za wazungu na cyo bongo movie zenu hizo 😂 😂 😂 😂 😂

  • @HasaniJuma-ew2kw
    @HasaniJuma-ew2kw 8 місяців тому +7

    Chibuzooooooombi umetisha mkali

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis 3 місяці тому +1

    Bi migombaaa ,,, hongeraaa na waigizaji wote ,,filamuu zenuuu zote nzuri na zenye mafundishooo,asanteni mungu awabarikii, naa awazidishie uwezoo ,katika kazi zenu,Kila la heri nawatakia

  • @MusaClement-tw6om
    @MusaClement-tw6om 7 місяців тому +5

    Big up ❤❤❤❤

  • @islamhalfan
    @islamhalfan 7 місяців тому +4

    Noma san💯💯💯

  • @ZainabuMalugujo
    @ZainabuMalugujo 7 місяців тому +2

    Mko vizur saña🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Oamn-b6q
    @Oamn-b6q 8 місяців тому +5

    Ni ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @romeoisack6802
    @romeoisack6802 8 місяців тому +4

    Much respect bro

  • @Ninja_Tv-c3s
    @Ninja_Tv-c3s 4 місяці тому +1

    Movie zenu tamu Sana nazipenda Ila ushirikina nao aisee

  • @mickychuku6444
    @mickychuku6444 2 місяці тому

    wangapi wanapenda kazi za #CHIBU

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 8 місяців тому +7

    😂😂😂bi migomba anadeka sio

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy 7 місяців тому +4

    Iyo movie umetulia sana😊😅

  • @tausimadezi2137
    @tausimadezi2137 8 місяців тому +4

    Nmependa Maa Sandra anavyoongea❤

  • @HillaryKipchirchir-y9f
    @HillaryKipchirchir-y9f 3 місяці тому +1

    mumeamua raundi hii vitu motomoto zinakuja👌👌 nawafatilia kutoka kenya

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 7 місяців тому +1

    Kazi tamu

  • @ericksavadia549
    @ericksavadia549 7 місяців тому +2

    Vizuri

  • @MWANDOLA1
    @MWANDOLA1 8 місяців тому +7

    Kubwa

  • @RachealMutheu-q8s
    @RachealMutheu-q8s 3 місяці тому +1

    Butua uko swa bila pombe una act poa Sanaa bila pombe nimeipenda niko kennya

  • @mickychuku6444
    @mickychuku6444 2 місяці тому

    nakubali

  • @rojaasha7024
    @rojaasha7024 8 місяців тому +4

    🎉❤

  • @mickychuku6444
    @mickychuku6444 2 місяці тому

    haaaa uo mji mi sikaii😅😅😅

  • @MusaEnock-kx6vt
    @MusaEnock-kx6vt 7 місяців тому +4

    Hiyo nyumba hata kama nimelipa codi ya miez6 nahama tu

  • @shishimagaka510
    @shishimagaka510 7 місяців тому +3

    Wabongo ubunifu zero kabsa, hii movie haina mbele wala nyuma, nmemaliza bandle langu la bure, matukio katika movie hayana uhusiano kabisaa, ovyooooooooooo kabisa

    • @AnnaLea-lq6ob
      @AnnaLea-lq6ob 7 місяців тому +2

      Watu hamna shukurani,amekosea hii tu au anakoseaga kila picha ?msifie mtu kwanza kisha mwambie jaribu kurekebisha kwa hapa au hii picha ume wrong kwa sehemu moja.

    • @HassanShaibu-g8w
      @HassanShaibu-g8w 4 місяці тому +1

      We unae laumu kuhusu hii movie igiza wew ufurahishe watu kuigiza kaz sana ujue

  • @JoyBrown-sq5um
    @JoyBrown-sq5um 7 місяців тому +1

    🔥🔥

  • @halimaali8732
    @halimaali8732 5 місяців тому +2

    ila bibi migomba😅😅

  • @officialmantembo_chanel
    @officialmantembo_chanel 8 місяців тому +3

    Hii ndio movie sasa

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 8 місяців тому +6

    🙏 KAKA! Huu mfumo wa kupost part 1 kisha part 2 halafu unakuja tena kupost FULL FILM unachosha ndugu yangu. Hata zile za EP kupost episod mpaka mbeleni unaweka tena FULL inakera. Weka part 1 weka 2 tusonge mbele. Kama hakuna umuhimu wa hizo nusu nusu tengeneza nzima moja kwa moja post full usiweke nusu nusu 🙏 NI MAONI YANGU

    • @HassanSadiki-l5c
      @HassanSadiki-l5c 8 місяців тому +2

      Hujambo...Sababu ya kufanya hv ni Hv Episode ni biashara ya You tube na Ile Full ni biashara ya VCD na DVD huwez toa series ya DVD kw episode .....
      Hyo ndio maana yke ......

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 8 місяців тому

      @@HassanSadiki-l5c ukiwa unamaanisha watu wadownload wakabani kwenye CD ?. Kwasababu ni watu wachache sana walioangalia ep wakaja kuangalia na full. Wakiangaliabwatakuwanapeleka peleka mbele sana na wengine wataangalia kidogo wakizania ni video mpya wakishaona wanaifahamu wanaachana nayo...

  • @SleyyumOmary
    @SleyyumOmary 7 місяців тому +1

    Oora man vunga 4:52

  • @JulianaTitus-zy1tm
    @JulianaTitus-zy1tm 3 місяці тому

    Strory haileweki mbnaa xaxa

  • @SleyyumOmary
    @SleyyumOmary 7 місяців тому +1

    Oora man vunga

  • @NuraMunyasia
    @NuraMunyasia 3 місяці тому

    “Samahani kwa majina naitwa Tabia ni mwenyeji wa hichi kijiji,unaweza nielekeza kule unaishi?” Vipi mtu atakusalimia kisha akuulize tu hivyo unakoishi nawe bila kufikiria unajieleza,huogopi hata bila ya movie,kiualisia tu kisha ww naye unayeulizwa unakoishi haumuulizi pia anakoishi huyo muulizaji wala hakuulizi jina lake waaah hapo bila Shaka nitashuku kuna jambo….haya tuendelee na mama Tabia mwenye tabia ya kuuliza watu wanakoishi 😂😂😂😅😢

  • @Innocentfilm
    @Innocentfilm 7 місяців тому +2

    Mungu awazidishie . Ni wenu director inspecteur innocent kutoka Congo 🇨🇩 . Nawa omba SUBUSCRIBE zenu.🎉

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 8 місяців тому +3

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @shishimagaka510
    @shishimagaka510 7 місяців тому +10

    Afu nyie jamaa hamnaga idea nyingine? Kila movie mnayotoa inahusu imani za kishirikina, ina maana mmeshindwa kuja na angle nyingine tofauti na hii mlozoea?

    • @AbdallahSaidi-vq4id
      @AbdallahSaidi-vq4id 7 місяців тому +3

      Wanazipenda hizi story kwasababu azitumii pesa nyingi

    • @sirpurkinje2836
      @sirpurkinje2836 7 місяців тому +4

      Taja sasa mfano wa angle ili waone, usitoe ushauri bubu

    • @TRONIXMAKER
      @TRONIXMAKER 7 місяців тому +5

      wwe mxhilikina nn mbna vinakukela😂😂

    • @AishaAisha-kt7jf
      @AishaAisha-kt7jf 4 місяці тому +1

      Hii ni bongo ndomana wanaleta movie za kishilikina ingekuwa vita ungekaa urus

    • @DaudiTalika-q1l
      @DaudiTalika-q1l 3 місяці тому +1

      Uwezo mdogo wa kufikiri

  • @Mankaputa
    @Mankaputa 4 місяці тому +1

    Hiiiiii

  • @AishaAisha-kt7jf
    @AishaAisha-kt7jf 4 місяці тому

    RANGI JAU

  • @SleyyumOmary
    @SleyyumOmary 7 місяців тому +1

    Oora man vunga 4:52