UKHTY ADILA AMFUNZA BIBI HARUSI LIVE HOLINI - NI FURAHA NZITO KWENYE HALI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @aishaothman8638
    @aishaothman8638 11 місяців тому +16

    MAA SHAA ALLAH niko hapa 2024🎉❤❤❤nani yuko karibu a like comment yangu

  • @abdallahmbwana
    @abdallahmbwana 4 роки тому +5

    Maashallah kaswida nzuri sana hata sisi wakenya tuna furahiya na tunazipenda sana qaswida zake ukhty

  • @yaskabaaa2173
    @yaskabaaa2173 2 роки тому +2

    Mansha Allah...ana sauti tamu eeehhh....Nishampenda sana..me ni mwenzenu kutoka Kenya....

  • @Hudynamasoud
    @Hudynamasoud 9 місяців тому +2

    Naipendasana hii kaswidwa

  • @nawalthany3844
    @nawalthany3844 4 роки тому +6

    Napenda nyimbo zako keep it up. Naomba ukija Kenya tuonane inshaaalh

  • @atfatnassor4393
    @atfatnassor4393 4 роки тому +9

    Jamani anaeimba shunnaa😘😍😍 mwenywe nampenda bure amekalia mpole Mashallah kma kasida yake 🤗🤗😘sichoki kuskiliza wallah mambo matam tam kma haya visaut minalghay 💃💃💃💃💃💃atfat nassor 🙌🙌🙋😘😉😁

  • @farida4595
    @farida4595 3 роки тому +8

    Naipnda hii qswda mashallah ❤️❤️❤️❤️ sauti yko Sasa mashallah

  • @zakiafaki7682
    @zakiafaki7682 4 роки тому +2

    MaashaAlla kasida nzuri ya kumfunza mwana. Waimbaji wame damshi. Na sauti nzuri za kupendeza MaaAshalla.

  • @nusraharuna
    @nusraharuna 5 місяців тому +1

    Ukitaka na madufu inawezena bila vinanda ila wanawake tu ujumbe mzuri mashallah

  • @raheemaal-hady9328
    @raheemaal-hady9328 4 роки тому +3

    Maa Shaa Allaah Maa Shaa Allaah ukht Adeela ana sauti unique sana

  • @mozaseif7299
    @mozaseif7299 5 років тому +11

    Mashallah sauty mzuri na nguo pia nimezipenda

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 5 років тому +26

    Hizi sio kasida ni nyimbo za harusi 2 ila zimetulia vina na mafunzo mazuri sana shukrani

  • @hajrasuleiman2610
    @hajrasuleiman2610 4 роки тому +3

    Mashaaaa allah nimejifunza dada zanguni sauti pyaaambeeee

  • @yusuphjumanne6107
    @yusuphjumanne6107 4 роки тому +1

    Hongereni kwa qaswida nzuri bi hadia nyuha wa sgd

  • @UmiiAmiri-eh5lj
    @UmiiAmiri-eh5lj Рік тому +1

    Ongela manenomatam san mashaallah ❤❤❤

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 3 роки тому +3

    Good good Mrs.Adila keep it up....mashaallah....welcome to Kenya Adila and group....we love you all🥰

  • @vuaimakame915
    @vuaimakame915 3 роки тому +3

    Very fantastic song big up ukhuty

  • @aduedu9380
    @aduedu9380 4 роки тому +1

    Mashallah nimeipenda San. Nakusalimu sanaaaaa adila sabra hapa kutoka ujerumani nisahimie bihasina na yote kwaujumla kaswida pambee nimeipenda.

    • @athumanirajabu8035
      @athumanirajabu8035 4 роки тому

      Mashallah ukht mashallah 3 dadaz mashallah mungu awatangulie

  • @swalhiyaswalhiyahaji2665
    @swalhiyaswalhiyahaji2665 4 роки тому +3

    Maashaalah Allah awazidishie kipaji chenu aaamina

  • @kadirdhulfiqaar7820
    @kadirdhulfiqaar7820 4 роки тому +8

    Wow this woman is fire she has incredible talent her voice is so adorable ma sha allah

  • @NuruMohamedi-gy8fl
    @NuruMohamedi-gy8fl 4 місяці тому

    Naipenda san hii qswda sauti Yako Sasa mashallah

  • @Aisha-om9go
    @Aisha-om9go 5 років тому +11

    Masha Allah naipenda Sana hii qaswida

  • @nurjaynamujahid6601
    @nurjaynamujahid6601 4 роки тому +2

    Mashallah Allah akujaalie afya Bora uzid kutuelemisha

  • @jamilaiddy3478
    @jamilaiddy3478 5 років тому +3

    Adila manshaallh allh akuzidishie nimependa kwakwel

  • @ndamawakongokongo2281
    @ndamawakongokongo2281 5 років тому +19

    Mashallah Mashallah maneno matamushukran nimejifunza kitu madada zangu 😍😍😍😍😍💞💞💞💞💞💞

  • @huweiy6587
    @huweiy6587 4 роки тому +4

    Napenda nisikize tu hii kasida imetulia😘

  • @ahsansalum5292
    @ahsansalum5292 5 років тому +4

    Mashallwah ukht mwanacha hapo umelatia

  • @fatmaali1935
    @fatmaali1935 2 роки тому +2

    Ma shaa Allah so lovely

  • @BimkubwaKhamis-w4x
    @BimkubwaKhamis-w4x Місяць тому

    Nazipenda Sana kasida ukhty adila jaman❤❤❤❤

  • @saphinaisama9353
    @saphinaisama9353 3 роки тому +4

    Mashaallah naupenda wimbo huu

  • @tatumohdhaji7907
    @tatumohdhaji7907 4 роки тому +3

    Masha Allah ukhty adila mungu akupe Kila la kheri na familia yako

  • @allyhamumy8787
    @allyhamumy8787 5 років тому +18

    Bravoooooo!!Keep it up Sister very verly nice song with a very attractive voice.Frankly speaking sister Adila nobody can able to compete with.

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 4 роки тому +2

    Ukhty asanta sana sauti yako mzuri sana mashallah

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 5 років тому +5

    Mungejitahidi kuifatilia dini kiundani mukasoma kwanza ila sio kwa taarabu hizo .
    Allah atupe kauli thaabit mwisho wa maisha yetu

    • @yakubuzam4065
      @yakubuzam4065 5 років тому +1

      Na ww ulifungua kuja kusikiliza wanavo mfunda biharus....umeisoma vizur din Mana ata kucomment usinge komment

    • @zariakhalufani9882
      @zariakhalufani9882 4 роки тому

      Na ww masoud allah akupe kaulnzr dunian n akhera n ukisema kitu chunguza

    • @zariakhalufani9882
      @zariakhalufani9882 4 роки тому

      Qaswd zpo ainanyng yan maadh tofaut n hao wamemfunda mwali kw kidini apo hawajkosea kabxa chunguza nd utoe comment

    • @mwanambarouk2486
      @mwanambarouk2486 4 роки тому

      ni nzr sana mashallah

  • @manbegazitv
    @manbegazitv 3 роки тому +1

    mashallah qasida nzuri ssna

  • @ShamsaSwaleh-g6h
    @ShamsaSwaleh-g6h 5 місяців тому

    Nzuri sana we noma mungo akujalie

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 5 років тому +8

    Maa shaa allah nimekupendeni maakhwaty kaswida on point 👌👌👌❤❤

  • @kinanaissango3492
    @kinanaissango3492 5 років тому +4

    Maaxha Allah ndoa kweli yaitaji subira

  • @2pacchakour348
    @2pacchakour348 Рік тому +2

    Depuis paris je suis fan de la music de Zanzibar, Tanzanie

  • @jaquleenolyver1669
    @jaquleenolyver1669 4 роки тому +5

    Napenda jamn ingawa ni mkristo ila nikiskiliza loo yangu inakua na amani

  • @sabityally8286
    @sabityally8286 5 років тому +7

    Dada nimekupenda sna

  • @ZenaShabani-n1f
    @ZenaShabani-n1f 7 місяців тому +1

    Kaswid jamn nzur saan

  • @MargaretJabu
    @MargaretJabu 4 місяці тому

    Nimependa sana japo mkristo ina mafunzo mazuri nimependa❤ 8:51 8:53

  • @alikiloko1974
    @alikiloko1974 Рік тому +2

    wasomaji wana sauti nzuri mashaallah pia wamependeza

  • @asilarashid4744
    @asilarashid4744 4 роки тому +8

    It's amazing MashaAllah😇

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 4 роки тому +1

    Ukhyt adira mashaa Allah unasauti nzury ya kuimba nakukubari sana naujumbe wako ni mzito ila tuu mmekoseya kitu kimoja minanda ni haramu

  • @khelefabdulla2604
    @khelefabdulla2604 3 роки тому +3

    Pambe nimependa sana sana 🙏🙏

  • @fatmakombo8632
    @fatmakombo8632 4 роки тому +7

    Lovely voice mashaAllah dear sis 😘😘

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому +5

    Alhamdulillah maa Shaa allh mupo vizur

  • @Hudynamasoud
    @Hudynamasoud 9 місяців тому +1

    Mashaallh ❤❤❤❤❤❤❤

  • @shadidamossi8153
    @shadidamossi8153 5 років тому +5

    Qasda nzr Mashallah imetufunza mengi kutoka kwko Dada anguuuu

  • @mwanaishanathanielchai3084
    @mwanaishanathanielchai3084 4 роки тому +2

    MashaAllah mola awazidishie

  • @SADAJUMA-r5b
    @SADAJUMA-r5b 5 місяців тому

    Hongera sana kwa kaswida zuri❤❤❤

  • @omarmussa1245
    @omarmussa1245 3 роки тому +2

    Mashallah mungu akuzidishie

  • @youmnaaboubakar5486
    @youmnaaboubakar5486 4 роки тому +6

    Uk vzr mashaaallah👍👌👌👌👌

  • @mwanaharusiame827
    @mwanaharusiame827 4 роки тому +2

    mashallah kasida nzur sana nimezipenda

  • @fatmakombo8632
    @fatmakombo8632 4 роки тому +7

    MashaAllah lovely voice

  • @ukhtyitiffah3506
    @ukhtyitiffah3506 3 роки тому +6

    Very song and voice lovely masha Allah ukhty Adili,💯❣️❣️❣️

  • @damarissaline.2315
    @damarissaline.2315 4 роки тому +1

    Sauti ulibarikiwa dada ...Mashaallah Mashaallah.

  • @zaitunihamisi5189
    @zaitunihamisi5189 3 роки тому

    Congra sis Adila but don't spoil like mwanacha daynat and Asha nyimbo zako na dida muko poa

  • @mwanatumukhamisi667
    @mwanatumukhamisi667 2 роки тому +2

    Mashallah tamu sana

  • @fatmakombo8632
    @fatmakombo8632 4 роки тому +3

    😘😘wow mashaAllah nyc voice sister

  • @mansourshaibu4182
    @mansourshaibu4182 5 років тому +16

    Nimependa manen mzr yalopangwa na kupangika

  • @jumamudi2641
    @jumamudi2641 4 роки тому +5

    Mashalla umejua kutunga mashairi mungu akuzidishiee💥✖➗💦💤💢

  • @ahmedameir3302
    @ahmedameir3302 4 роки тому +1

    wako vizuri wameolewa?mwanacha nimemkubali sana

  • @shabanimnuvala7945
    @shabanimnuvala7945 4 роки тому +3

    Yeeeeessss ofcause I like it
    It so amazing

  • @hidayabakar7026
    @hidayabakar7026 5 років тому +15

    Mzuri ila wanaharibu kasida wanageuza nyimbo siyo kasida tenaa

    • @Tariqxxtenations
      @Tariqxxtenations 5 років тому

      Huu mtihani walai😭😭😭

    • @masoudyrashidy9041
      @masoudyrashidy9041 5 років тому

      Kweli dada hidaya

    • @zariakhalufani9882
      @zariakhalufani9882 5 років тому +1

      Token apa kwn apo c anamwmbia mwali km anamfunda2 mbona mnamajungu co elew shghl n mazngr n qaswd zpo aina mbalimbal apo anamfunda mwali kidini

    • @maryamyahaya8250
      @maryamyahaya8250 4 роки тому +1

      Huu mtihani kwa wanawake wakiislaam mwanamke hafai kuonekana hivi na kupandisha saut nimtihani wallah

  • @nasraomar7816
    @nasraomar7816 5 років тому +4

    Mashaallah kaswida mzur

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 5 років тому +6

    Mashaa allah .hongereren sana mafunzo mazur kwel

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 5 років тому +3

    Ujumbe mzr .hongereni

  • @salumkadogo8971
    @salumkadogo8971 4 роки тому +4

    Mashaallah nimeipenda

  • @hadijahamisihembahadijaham2478
    @hadijahamisihembahadijaham2478 3 роки тому +1

    Mashallaa inapendeza

  • @saphiniasuleyman997
    @saphiniasuleyman997 4 роки тому +1

    Mko vizur sanaa yaah daaah

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 5 років тому +4

    Mashaallah jmn adi raha

  • @jamilaiddy3478
    @jamilaiddy3478 5 років тому +5

    Voice manshaallha

  • @Swamyhassan_sy
    @Swamyhassan_sy 4 місяці тому

    Mashaallah nzur sanaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @samirayussuf280
    @samirayussuf280 5 років тому +6

    Naipenda hongereni🥰

  • @halimamusa7912
    @halimamusa7912 4 роки тому +4

    Nmeipenda saaaaaana

  • @habibahamad9514
    @habibahamad9514 3 роки тому +1

    Mashaallah up vizur

  • @zalkhasuleiman5274
    @zalkhasuleiman5274 5 років тому +5

    Mashallah nimependa na nimejifunza kitu

  • @zainabuselemani892
    @zainabuselemani892 4 роки тому +2

    Mashaaa Allaah maneno kumtyuuh❤❤❤❤❤❤

  • @iddyfakih6471
    @iddyfakih6471 4 роки тому

    Hongera sn unajuwa kuimba

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz Рік тому

    ❤❤❤❤mashaallah nawapenda

  • @Zuhal-k2q
    @Zuhal-k2q 10 місяців тому

    ❤❤❤ kungwi hodar

  • @saumumhina2357
    @saumumhina2357 4 роки тому +2

    Nimeupenda huu mwimbooo🙏🏻🙏🏻🌹🌹🌹🌹🌹

  • @gllythetraveler2430
    @gllythetraveler2430 4 роки тому +3

    MaShaaAllah, beautiful message lol🤗😘

  • @AishaAlfan-d4d
    @AishaAlfan-d4d Місяць тому

    Mashallh❤❤❤❤ 2:55 2:57

  • @abdullatifmohamed5764
    @abdullatifmohamed5764 3 роки тому +3

    I appriciating the service

  • @zawadially6006
    @zawadially6006 5 років тому +3

    Nimewapenda bule jaman

  • @hamidasalim4226
    @hamidasalim4226 4 роки тому +1

    MashaAllah sooo nyc n cutee siss love uh from kenya mombasa🇰🇪🇰🇪

  • @ummmykassim6957
    @ummmykassim6957 4 роки тому +6

    Mashaalllah mac* like it♥️♥️🤗👍

    • @salehsoud5628
      @salehsoud5628 4 роки тому +1

      Masha Allah kasida nzur sana tena ina ujumbe mzur

    • @kulthumomqr1232
      @kulthumomqr1232 4 роки тому +1

      Ziko poa Mashaallah.....I like it

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 роки тому +4

    Nyimbo itabaki kuwa nyimbo tuu

  • @Jakotybokono
    @Jakotybokono Рік тому +2

    Natumahi mwafanya jinsi mnavyo husia

  • @fatumaabdallah9674
    @fatumaabdallah9674 4 роки тому +1

    Kwenye haruc yangu ntakutafuta mamyyyy

  • @sabrinarifaty4261
    @sabrinarifaty4261 4 роки тому +5

    Mashallah ❤️😍😍❤️

  • @muzdalifayassin9961
    @muzdalifayassin9961 5 років тому +4

    It's so nice mshllh

  • @yusrajuma3606
    @yusrajuma3606 5 років тому +3

    mashallah kwasida nzuri

  • @twilindeissa9343
    @twilindeissa9343 5 років тому +5

    Nawakubali nawapenda

  • @azizarashidy500
    @azizarashidy500 4 роки тому +4

    MaashaAllah......

  • @manzesetv7703
    @manzesetv7703 4 роки тому +1

    Adila ww jaman Ilove