BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @RaymonTz746
    @RaymonTz746 2 місяці тому +108

    Rahasa upo vizury ipo siku dunia inzima itatambua kipaji chako na utaheshimika upo sirious sana Never give up

    • @HalemaNoor-qq9ym
      @HalemaNoor-qq9ym Місяць тому

      Rahasa we ni hensam natamani unge kuamyboyfrend

  • @nshimiyimanaalex6467
    @nshimiyimanaalex6467 2 місяці тому +21

    Asanteni sana 🇷🇼 Kigali Rwanda turabakunda cyaneeeee ❤❤❤❤ mungu ni mwema kbs

  • @HildasHildas
    @HildasHildas 2 місяці тому +55

    Watching from Kenya and I love it ebu nipatieni like zenyu jamani ❤❤❤❤

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 2 місяці тому +18

    i was praying KOFIA IZUNGUMZIE MAMA KAROBO ORIGINAL AM HAPPY FOR THE CARE YOU TAKE FOR MR JACOB❤❤❤❤❤❤KENYANS WELL REPRESENTED🎉🎉🎉😂😂😂❤❤

  • @BrianMulari
    @BrianMulari 2 місяці тому +17

    Daahh!!!aisee baba karobo utatoa wapi usaidizi Tena kofia ndio hiyo imeibiwa utafanyaje mzee wangu nakuonea huruma sana wewe na mwanao karobo

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 місяці тому +23

    watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Leo mama karobo umenichekesha ukiwa na fasheni 😅😅😅😅

    • @ShukuruKimathi-p5v
      @ShukuruKimathi-p5v Місяць тому

      Watching from kenya Leo mama karobo umenicheke😅😅

  • @latwibujuma
    @latwibujuma 2 місяці тому +56

    Wow nilikaa kinyonge sana leo nikajua haitatoka hii kazi hongera sana kaka kwa kazi nzuri ❣️❣️❣️

  • @ChristianMumba-sb6fn
    @ChristianMumba-sb6fn Місяць тому +4

    Mwendelezo jamini mume achiya apatu ❤I watching from Congo RDC 🇨🇩 CONGO

  • @MaimunaLugua-tf7vh
    @MaimunaLugua-tf7vh 2 місяці тому +59

    Baba karobo kazi safi sana mm siombi like ila na congratulate team baba karobo MUNGU awape nguvu awape uwezo kila jambo lenu liwe sawa Ameen 🙏🙏🙏🙏

  • @rizikishukuru7490
    @rizikishukuru7490 2 місяці тому +30

    Nimechelewa lkn nimefika naomba like hata tano hongereni San kazi nzuri 🔥🔥🔥

  • @victorwandia7008
    @victorwandia7008 2 місяці тому +21

    Kazi mzuri baba joan,twapenda filamu yako kutoka Kenya❤

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 2 місяці тому +36

    Namupenda karobo na baba yke na zujat from south Africa ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @BennyMabendi
    @BennyMabendi 2 місяці тому +26

    Jamani mama karobo feki ana moyo chuma Mungu akusamehe sana

  • @ValentineChepkemboi-jt7it
    @ValentineChepkemboi-jt7it 2 місяці тому +12

    Babakarobo mama karobo na karobo mwenyewe na mafuns wengine ka mr. Lahasa zulieti, fasheni, nuktinawengineo nawapenda sana movie zenyu zinapendeza much love from this side❤❤❤❤❤

  • @FreddyHamuri-b5n
    @FreddyHamuri-b5n 2 місяці тому +10

    Jamani musitupe final muendeleze tuna wapenda ❤sana baba karobo na team yake pia❤ so much

  • @Nadzuwamangale
    @Nadzuwamangale 2 місяці тому +23

    Ila mama karobo na mpenzi wako fashen balaa limekukuta Sasa 😂😂😂😂😂😂 kofia chukuwa mauwa Yako kwa kuwaonya wapuuzi Hawa wawili 😂😂😂😂

  • @EmmyMo
    @EmmyMo 2 місяці тому +40

    Ommy umeenda moja kwa moja kwa ba mkwe huogopiii na mmbo ya zawadi juu😂😂😂🎉🎉🎉

  • @JosephKibi
    @JosephKibi Місяць тому +2

    Waouh, naipenda iyi History kabisa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @sifasiraji2903
    @sifasiraji2903 2 місяці тому +32

    Ila watu mko fast duuuh ongereni kwa kazi nzuri

  • @suleimanpalmer552
    @suleimanpalmer552 2 місяці тому +30

    Nupti baba karobo samahani fikisha salamu zangu kwa nupti she's my best character mehn😎😎😎🤩🤩

  • @AzizaQueen-lr8oz
    @AzizaQueen-lr8oz 2 місяці тому +47

    Very nice 🎉🎉🎉🎉🎉 time baba karobo naomba mumwage makopa apo ❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana

  • @AtiboTome
    @AtiboTome 2 місяці тому +8

    Mungu hakulinde BABA KALOBO, kutoka MOZAMBIQUE 🍿🍔

  • @FloraMwamlima-s6g
    @FloraMwamlima-s6g 2 місяці тому +27

    Wa kwanza Leo nipen maua yangu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 2 місяці тому +6

    😂😂😂😂 nimecheka.sana.haki ya mungu mama karobo na mpenzi wake

  • @LydiaBichanga
    @LydiaBichanga 2 місяці тому +111

    Jamani natoka kènya nafuatilia sàna baba karobo nipe likes zangu mm

  • @musanaberanyiratungane7119
    @musanaberanyiratungane7119 2 місяці тому +9

    Kazinzuri sana hii movie inamafunzo mengi mno ❤❤❤❤❤❤❤

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x 2 місяці тому +12

    Mama karobo na kipenzi chako mpoo mambo ndio hayo sasa😂😂😂😂 mwanaume anakula mbio jamani

  • @ShahariShirazi
    @ShahariShirazi Місяць тому +2

    Good job baba karobo🎉kam unampend baba karobo gonga like ❤❤

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 2 місяці тому +147

    Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 like zangu jamani mama kalobo na fashoni muta azibiwa

  • @Msellabajoucd6
    @Msellabajoucd6 2 місяці тому +13

    Bola uzima kbx baba kalobo mon combat ❤❤❤

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 місяці тому +123

    Jamani natoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tunaifatilia sana naombeni like zenu jamani🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RajaboSaideRachide
    @RajaboSaideRachide 2 місяці тому +82

    Namkubali sana karobo Mimi naongea kutoka Mozambique naomba like zenu ❤❤❤❤❤

  • @Agathamdenye
    @Agathamdenye 2 місяці тому +8

    Movie ni nzuri isipokuwa mnatoa vipande kimojakimoja

  • @HalimaAli-e4w
    @HalimaAli-e4w 2 місяці тому +127

    Tangu nimeanza hii move sijapata hat like hat moja2😢😢

  • @Dickson.254
    @Dickson.254 2 місяці тому +102

    Mimi ni msabiki wa kipindi cha baba yangu kipofu,wapi likes zangu ❤❤

  • @جوزفينامحمد
    @جوزفينامحمد 2 місяці тому +73

    Watu wangu waburundi ngongeni like apa nawapenda sana

  • @Salimoquibuanaquibuana-f7l
    @Salimoquibuanaquibuana-f7l 2 місяці тому +43

    Nimependa saana. naomba like zagu🎉🎉🎉

  • @HMm-b8j
    @HMm-b8j 2 місяці тому +11

    Wapi maua ya kofia🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉jamemenii🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @LeyianSteven
    @LeyianSteven 2 місяці тому +270

    Nawakilisha vyema kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪. Mnipe likes za BABA KAROBO 🎉🎉🎉

  • @MrEdu47-yj2vs
    @MrEdu47-yj2vs 2 місяці тому +26

    Jamani natoka 🎉❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunaifatilia sana naombeni likes 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @HappyBackgammon-w1f
    @HappyBackgammon-w1f 2 місяці тому +8

    Leo mama karobo Na fashen mmeni chekesha kweli wahuni nyinyi.Waovu Hawa mnakimbia kama wanafiki.

  • @lavana5474
    @lavana5474 2 місяці тому +12

    Weee ila omari mambo mbaya 🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 2 місяці тому +14

    Team kofia tujuane hapa tafadhali mabaya yanalipa mabaya na mema yanalipa mema hiyo kofia Iko na mambo 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 2 місяці тому +27

    Mimi siongei langu jicho,ila anemkubali dogo omar na dogo karobo aachie mawardi ya like hapa

  • @FelixUrban-bw9iy
    @FelixUrban-bw9iy 2 місяці тому +19

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤munafanya unyama mwingi sana 3:56

  • @EnockWafula-l1l
    @EnockWafula-l1l 2 місяці тому +3

    Nice movie next episode 32 please, otherwise I am watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @KelvinSisa-t3t
    @KelvinSisa-t3t 2 місяці тому +51

    Nimekuwa wa kwanza kutoka kenya wapi like za karobo

  • @Kelvo-g1g
    @Kelvo-g1g 2 місяці тому +16

    Kofia kawatishia wa2 dooo hapo Sasa napenda sana baba karobo kutoka Kenya naombeni like zenu jameni

  • @RuthwaChege
    @RuthwaChege 2 місяці тому +55

    Wa kwanza toka kenya 🇰🇪 like zangu wapendwa🎉🎉 pamoja na baba karobo

  • @CharlesMs25Daghaly
    @CharlesMs25Daghaly 2 місяці тому +4

    Nimeipend nafuu ameikunywa Mamak saf Sana ❤❤❤❤

  • @aminakenyaa9337
    @aminakenyaa9337 2 місяці тому +44

    Namim Leo mnipe like naomba maana kipindi ni kitamu sana endelea kutufunza baba karobo 🎉🎉🎉🎉mauwa yako🎉❤🎉❤

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 2 місяці тому +12

    😂😂😂😂😂asant Dj , ila mama karobo na kibeteni chake hawanaga hata la maana ,unashauriana ujinga 😂😂😂

  • @FelixKimutai-g9v
    @FelixKimutai-g9v 2 місяці тому +4

    I like you so much brother love you from Kenya

  • @ibrahimmagawa1997
    @ibrahimmagawa1997 2 місяці тому +42

    Me wakwanza naomba like🇹🇿

  • @kondebouy1308
    @kondebouy1308 2 місяці тому +17

    Mapema kama mzungu 254 mpo

  • @SIAMINTOOLETATIO
    @SIAMINTOOLETATIO 2 місяці тому +19

    Wa kwanza leo kutoka 🇰🇪 wapi likes sangu

  • @NduwayezuFiacre
    @NduwayezuFiacre 2 місяці тому +31

    Jameni nimewahi mapema nikiwa Burundi nipeni like zangu hata mia.nawapongezeni wote team yote

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 2 місяці тому +6

    Jamani pongezi kwa KAZI mzuri nimecheka Leo atari 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @naomongera-j9h
    @naomongera-j9h 2 місяці тому +28

    Number 100 views wapi likes zangu

  • @skylinelukhalo6444
    @skylinelukhalo6444 2 місяці тому +69

    Leo nimewai mapema c hta pia mm munipe like zangu jamani😊

  • @MillicentMoraashMongeri-s8p
    @MillicentMoraashMongeri-s8p 2 місяці тому +7

    Natoka Kenya wapi like zangu jameni❤❤Kwa mpigo baba karobo

  • @anualhemed6808
    @anualhemed6808 2 місяці тому +35

    Baba uishi miaka mimgi yny faida 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FabienNtakirutimana-ei5ej
    @FabienNtakirutimana-ei5ej 2 місяці тому +10

    Number one from🇧🇮🇧🇮

  • @EmmyLove-k6u
    @EmmyLove-k6u 2 місяці тому +4

    Dada kibanio nakukubali sanaaaaaaa huna baya mwenyeweeeee❤❤❤❤❤❤❤

  • @eleuthereflash1174
    @eleuthereflash1174 2 місяці тому +24

    Wa kwa za DRC, KUITAZAMA
    nipeni likes zangu tafadhali

  • @Masonkingtz-dr8wm
    @Masonkingtz-dr8wm 2 місяці тому +10

    Naomba like 🎉🎉 Tanzania moja nimeanza A mpaka niakikishe Z kufutilia baba yangu kipofu

  • @KabedemeodeAbeldaniel
    @KabedemeodeAbeldaniel 2 місяці тому +31

    Wakwanza nipe like zangu

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 2 місяці тому +9

    Ila makalogo mgumu jamani 😂😂😂😂😂hatoi hat choziiii😅😅😅

  • @ZinabTanz
    @ZinabTanz 2 місяці тому +12

    Leo nimewahi jamani wa kwanza like zangu😂😂

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 місяці тому +63

    Asalaamu walekum bwana yesu asifie yeyote ,,,atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @footballfamily4426
    @footballfamily4426 2 місяці тому +21

    FROM KENYA NIPENI LIKE

  • @LynEliza-u8t
    @LynEliza-u8t 2 місяці тому +14

    Mbona mnanyanyania like ivo n chakula au kama chakula basi NAMI wanipe nile

  • @LenatusAbeli-v7h
    @LenatusAbeli-v7h 2 місяці тому +62

    Chap San mapema kabla mzigo haija waka naomba like zangu❤❤❤❤

    • @PhaniceNyaboke-rf7nh
      @PhaniceNyaboke-rf7nh 2 місяці тому +2

      𝑁𝑖𝑝𝑒𝑤𝑒 𝑙𝑖𝑘𝑒 𝑝𝑖𝑎❤

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 2 місяці тому +20

    Jamn watu mnawahi wallah na mm nipen like hat 20 tuu nawapenda sana ❤❤❤

  • @gibsonmwanyika9150
    @gibsonmwanyika9150 2 місяці тому +6

    From kenya 🇰🇪 tuko pamoja

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 2 місяці тому +2

    Hongereni sana kwa kazi nzuri
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Saraspasher56
    @Saraspasher56 2 місяці тому +19

    Anaanza kuning'ang'ania tena kama umeskia hi like apa

  • @MwaliSuleih
    @MwaliSuleih 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂sasa mbona wakimbia😂😂😂😂😂😂Yan fasheni ww jamani nmecheka mie jaman nyie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Masha'Allah kazi inazid kubamba Bamba kbxa Allah awafilishe mnapohirtajia katika maisha yenu ❤❤❤❤❤❤❤

  • @sisilializ
    @sisilializ 2 місяці тому +12

    Jamani natoka kenya nafuatia sana baba karobo nipe likes zangu mimi🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MASHAULISABUYA
    @MASHAULISABUYA 2 місяці тому +2

    Waooo jamani baba karobo tupe utam zaidi ya hii❤

  • @GRASIANOMSOLA
    @GRASIANOMSOLA 2 місяці тому +7

    Daaa. makolobo leo umenikosha kwa kofia du nimecheka Sana umesoma mita na fason kweli malipo ya ubaya no ubaya vp Mather akifa na we nisababu**

  • @Lindakageha-d9y
    @Lindakageha-d9y 20 днів тому +1

    Umekula mbio mpenzi wangu hahaa😹😹😹😹 fashenii witching from 🇰🇪

  • @Gracenelima254
    @Gracenelima254 2 місяці тому +3

    I'm watching from Jordan 🇯🇴 wapi like wakuu😊

  • @AbdulhalimHaji-i3c
    @AbdulhalimHaji-i3c Місяць тому +2

    na mm naomba like

  • @MaryNyamboye-u1n
    @MaryNyamboye-u1n 2 місяці тому +22

    Pia mm leo niko chini ya Mia nipeeni hizo like bwana

  • @FirminyPaluku
    @FirminyPaluku 2 місяці тому +1

    Asante sana tena sana kwa kazi MUNGU awape nguvu ya kazi

  • @khallmismasoud24
    @khallmismasoud24 2 місяці тому +34

    Ndani ya one minute naomba like zenu❤

  • @MASHAULISABUYA
    @MASHAULISABUYA 2 місяці тому +1

    Dah jamani inatakiwa tujifuze kupitia hii move baba kalobo anpitia mateso mazito❤❤❤

  • @faithnayla2374
    @faithnayla2374 2 місяці тому +11

    Wa kwanza jamani nipe like mbili tuu

  • @AshaSHESHE-no2zl
    @AshaSHESHE-no2zl 2 місяці тому +12

    Nilikua najiona wa kwanza kumbe watu wanalalaga youtube

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 2 місяці тому

    Yes safisana.mzee nenda ukajionee mwenyewe mama kalobo siyo mtu mzuri kabisa

  • @aslizy
    @aslizy 2 місяці тому +4

    Woyooo bas msiwe mnatuchelewesha san jamn mnatukata uhondo❤❤❤

  • @HellenKitsao-zk5vg
    @HellenKitsao-zk5vg 2 місяці тому +2

    Episode tamu sana but group ya mr rahasa mnatuangusha😂😂❤❤ love from kenya

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 2 місяці тому +6

    Tunaomba mfanye mpango baba karobo aone jmn maan anatesek ili mama,karobo aumbuke

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 2 місяці тому +2

    Congratulations keep it up good job ❤❤❤

  • @chamtvonline9058
    @chamtvonline9058 2 місяці тому +9

    Like za Congo tuzi weke wapi 😁❤️🤝🇨🇩

  • @IngabireLucie-r2c
    @IngabireLucie-r2c 2 місяці тому +9

    Mama kalobo wa feke na papa kalobo mnanifeahisha saana Mimi na kaa ni Ruth. Kutoka apa RWANDA na sijuwi ruga ya ki swahiri ila nasikia Tenanawapenda saana♥️♥️♥️

  • @martinkioko6437
    @martinkioko6437 2 місяці тому +1

    Wah haki mama karobo Hana roho mbaya na mdaganyivu Sana likes zangu kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪 🇰🇪

  • @MariamBakary
    @MariamBakary 2 місяці тому +35

    Wakwanza nipeni like at kumi❤

  • @pablonsanzumuhire2024
    @pablonsanzumuhire2024 2 місяці тому +1

    Watu wangu sana vipi hapo Dalesamu.big up Baba Kalobo