MAMA MTOTO wa STEVE NYERERE AFUNGUKA ''Ndoa sio lazima"AKUNA ANAEJUA SABABU YA SISI KUACHANA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 323

  • @raniathebosslady7073
    @raniathebosslady7073 2 роки тому +19

    I like the way she talks, they way she express her self, she is the woman with dignity, nampenda Sana'a

  • @raniathebosslady7073
    @raniathebosslady7073 2 роки тому +23

    She is the best actress, number one in Tanzania, I admire her acts,she is amazing, wallah, huyu ndio actress mzur in Tanzania nampa 100% number one in Tanzania

  • @roseneema4020
    @roseneema4020 2 роки тому +39

    She is so cute and she deserves better than Steve . Am praying for her for the best.

  • @salamaali4726
    @salamaali4726 2 роки тому +9

    So cute nakupenda sana kweli mapenzi ni upofu kwan chongo huona kengeza.

  • @neemakilango7445
    @neemakilango7445 2 роки тому +36

    Huyu dada ni mzuri you deserve better my dear a

  • @jacklinalberto3338
    @jacklinalberto3338 2 роки тому +5

    She is beautfful achana nae Mw/Mungu atakupa mwingine ucjal

  • @chriacuschanga8730
    @chriacuschanga8730 2 роки тому +1

    Sipendi bongo movie wala wasanii siwafatiliagi lkn huyu Dada nampenda sana sana She's smart inside and outside yan yupo vzuri balaa. MUNGU akutunze na akutunzie mwanao mwaya #lots of ❤

  • @EdokiaCostantine
    @EdokiaCostantine 6 місяців тому +1

    Nakupenda sana wewe dada na move zako nzuri

  • @gloryqueen6296
    @gloryqueen6296 2 роки тому +10

    Nakupenda sana Mungu akutie nguvu mwanamke mwezangu...

  • @kishakisha730
    @kishakisha730 2 роки тому +14

    Steve Ana roho kubwa Sanaa. Ana roho Masikini Sanaa. Mtu ukizaa Nae sio umwekee bifu. Badirika Steve. Ana roho ya kichwawi. Badirika Steve unatia aibu. Unasali kweli Steve? Wala huna ofu ya mungu.

  • @mantentonja1210
    @mantentonja1210 2 роки тому +2

    Nakupenda Sana wellu Mungu atakutia nguvu achana nae Kwanza Ana roho mbaya

  • @sunwin.Resudahexiaomianbao
    @sunwin.Resudahexiaomianbao 2 роки тому +3

    Dada welu Hakuna kumsujudia mtu hata kama unakwama VP unayo pitia nikama yangu maisha nimejipambania nikafungua kajiduka ka nguo bwana kazuia mpaka ndugu zake kunisabahi na mtoto Wang wanaume wengin nishida tupu

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 2 роки тому

      Wengi wao wako ivyo Ila tuendelee kupiga kazi,na kumwomba mungu, 🙏🙏

  • @naakabwe1595
    @naakabwe1595 2 роки тому +3

    Dada aliebarikiwa utu na utulivu nakupenda sana unauzuri wa asili na haujishaui ata kdg Allah aibariki kaz yako

  • @deborabrown2114
    @deborabrown2114 2 роки тому +1

    Nakupenda sana welu unajua sana Mungu akusimamie

  • @juliasitibenda7160
    @juliasitibenda7160 2 роки тому +15

    yaan huyu mwanamke nampenda sana toka enzi za movie yake ya matirida

  • @nduwimanadidjaaimee5964
    @nduwimanadidjaaimee5964 2 роки тому +14

    Matilda mzuri Sana kbs napenda dass❤️❤️❤️❤️

    • @lovecutetz9668
      @lovecutetz9668 2 роки тому

      Pole sn achana nae bhnaa riziki anagawa maanani

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 Рік тому +3

    Ninyi wote mnaojadili hapo kwani hamjajua kuwa yote hayo yanatokana na nn? Lazima mjue huo ni wivu wa mapenzi jamani Steve anampenda Sana lkn Welu Hana mpango na Steve hiyo ndio shida wanatunishiana misuli mm ningeshauri mazungumzo ya hivyo myafanye kwa kubalance msiongeze chuki ninyi Akina Dida mtavuna ajali wasanii wengi wanawake wa kibongo hawana heshima kwa waume zao kabisa kwa hiyo msichochee moto wa mabox.

  • @veronyanganda2166
    @veronyanganda2166 2 роки тому

    Pole saana Dada hiyo Hali ilishanikta nilivyoacha namzazi mwenzangu alikua anazani hata nitoweke duniani pasipo kjali tumezaa kwakweli kna baadhi ya wanaume nimashetani kwenye hii dunia.

  • @veronyanganda2166
    @veronyanganda2166 2 роки тому

    Hii kali imenigusa saana maana ilishanitokea kna mijanaume ina roho zakishetani kasoro mapembe yaani mpaka nashindwa kuelezea ila mungu ck zote nimwaminifu atutee saana wanawake haswa wale single mother tusimame imara maisha yaendelee kwawatoto wetu.

  • @jumahamisi5383
    @jumahamisi5383 2 роки тому +3

    Actor mzuri sana wa bongo movie huyu Dem

  • @benyavan5774
    @benyavan5774 2 роки тому +6

    Hii tabia ya kusemana kwwnye mitandao mambo binafs haina afya muyaseme na kwenu hapo

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 роки тому +5

    Nakupendaaaa bureeeeee welu I♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +3

    Nimekuelewa vizuri *WELU* Ila kiukweli mimi sijawah kumkubali steve nyerere.

  • @nicoletanjau9875
    @nicoletanjau9875 2 роки тому +3

    She's beautiful and intelligent woman 💝 but why this men's ware so wicked surely...

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 2 роки тому +22

    Huyu dada ni mzr jmn nampenda kweli.

  • @moseskisingi7696
    @moseskisingi7696 2 роки тому +2

    Ila wanawake kwakweli mmebarikiwa mioyo.
    Yaani kweli kabisa huyu dada aliamua kulala na Steve,kama haitoshi akaruhusu kutotumia kinga kiasi cha mbegu za Steve kuingia ndani yake? KWELI JAMANI?
    Mungu nisamehe, lakini ukweli ni kwamba Mama zetu,Binti zetu na Dada zetu kichwani wana mapungufu makubwa sana.

  • @restbeshy3817
    @restbeshy3817 2 роки тому

    Mungu akutie nguvu pamoja na washiriki wako wanaokisapot achana na huyo asiyejua maana ya mapambano. Mtitu na jb na wote wanaokushika mkono mungu awaongezee Mara dufu maana hawakusaidii wewe Bali wanampa maisha Bora mtoto

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 2 роки тому +17

    Dada mrembo mwenye utulivu wake yaani Nina list yangu ya wasanii nao waelewa na wewe umo

  • @theresiamartin3008
    @theresiamartin3008 2 роки тому +6

    Huyu Dada nampenda jmn the way anavyo act

  • @cathykan7572
    @cathykan7572 Рік тому

    Mzuri Mashaallah! 😔😢❤️❤️

  • @ChristineRobi-y6u
    @ChristineRobi-y6u 7 місяців тому

    Mzuri mashallah❤️❤️

  • @laxmikhairah1503
    @laxmikhairah1503 2 роки тому +2

    Ndyo mana bible inasemaga be careful to not marry your enemy pole Dada ndyo sehemu ya maish mola akusimamie

  • @alfashine3643
    @alfashine3643 2 роки тому +2

    I love you my sis wellu you deserve congratulations ❤️❤️❤️🥰🥰🥰🙏🙏

  • @thawabuunique8054
    @thawabuunique8054 2 роки тому +6

    Mwanamke aliyefundwa akafundika huwezi Seema public mapungufu ya mzazi mwenzio hata kama unabifu nae, hiyo sio hekima ukiona hivo WW ndo mwenye shida,

    • @veronicasambagi9479
      @veronicasambagi9479 2 роки тому

      Ww kuweza kuwa na lijitu kama steve

    • @mwakwelisaid3152
      @mwakwelisaid3152 2 роки тому +1

      Lakni hajataja mapungufu bali Steve n kiziba rizk lakini kwa Mungu atamjalia

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 роки тому

      Huyu anatumiwa na wenye tofauti na steve. Nimeona Steve ana uvumilivu sana

    • @bellogregory7175
      @bellogregory7175 2 роки тому

      @@veronicasambagi9479 🤣🤣🤣🤣🤣ya Nini mie ya Nini mie ( in tivu ake voice)

  • @irenegeofrey6158
    @irenegeofrey6158 2 роки тому +2

    Welu n mzuri jamani mashallah

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 Рік тому

    Huku juma huku dida eewh buanaa,,nakupenda bure wellu sengo

  • @josephmaguza6413
    @josephmaguza6413 2 роки тому +4

    Nampenda sana uyu mdada sijui nifanyaje

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 роки тому

    Uyudada namupendag dida nakuag nakukubal😘😘

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 2 роки тому +2

    Wanafiki na wambea hujionaga wao ni wasafi sana,,hii studio ya kipuuzi

  • @zulfaomar8185
    @zulfaomar8185 2 роки тому +4

    Dada mzuri hivi unazaa na steve kweli

  • @ashamwalabu2998
    @ashamwalabu2998 2 роки тому

    Kumb uyu dda kazaa nastvu 😘😘

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 2 роки тому +5

    Dah!! Mapenzi kweli ni kipofu yaani Steve nyerere kazaa na mrembo kama huyu?

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 роки тому +1

    Welu sengo very young this one went one school with my youngest sister quit school and decided to pursue her career I love her❤️ beautiful girl

    • @user-pe9uo4ec6y
      @user-pe9uo4ec6y 2 роки тому +1

      Exactly kasema Lord Baden na aliacha shule akiwa form two kwasababu ya matatizo ya familia yao

    • @yama_virginhairthequeen1065
      @yama_virginhairthequeen1065 2 роки тому

      @@user-pe9uo4ec6y yes my sister told me so

    • @sekelamwangomo5458
      @sekelamwangomo5458 2 роки тому

      @@user-pe9uo4ec6y so she might be young km wa 1995?

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому

    Cyo vizur wadada kuwasema waume zenu mitandaon cyo powa kbsaa at kma mmeachna? Aijalish kumbuka mmella kitanda kimoja mmesher mengi leo hi unamuona afai aisee wanawake wengi mbingun watapasikia

  • @aminamaulid9931
    @aminamaulid9931 7 місяців тому

    Sjui ulifata nn Kwa yule kijeba mi naona ulimkubar bila ww kujijua na hisi kale kajitu kafup kashirikina ujue hamuendan hata kdg

  • @slywish4098
    @slywish4098 2 роки тому +3

    Dah mapenzi bana yani dem mkal hv ety steve kala doh mcheleee😴😴😴

  • @neemamzava5891
    @neemamzava5891 2 роки тому +6

    Namapozi yote hayo kweli steve kakuweza .wanaume shkamon

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +1

      Anajickiag uy dada kujifanya mzngu Mara ajui English.afu piya hvi inawezekana je mtu n mume wke kuongelea masuala yenu kwenye midia??? Wakat mlipokuwa na furaha na rahaaa mlkuwa mnatunziana Siri zenu mm cpendi haya mambo jmn

    • @mhonokihita8203
      @mhonokihita8203 2 роки тому +1

      Stv alivyo mfupi sipati picha alivyokuwa anapambana na huu mwili.

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому

      🤣🤣🤣😜🤣sana

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому

      @@mhonokihita8203 🤣🤣🤣🤣

    • @pendo8082
      @pendo8082 Рік тому

      ​@@mhonokihita8203 😂😂😂

  • @sheilajuma8963
    @sheilajuma8963 2 роки тому +1

    wallah dada umeongea points

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 2 роки тому +11

    Juma mmbea jmn mpaka kiti kaona kibayaa mweee

  • @RoseMbise-rw9sz
    @RoseMbise-rw9sz Рік тому

    Hongera

  • @kishakisha730
    @kishakisha730 2 роки тому +8

    Wanaume wafupi Ni short kuliko umeme wa Tanesco. Dada mzuri alifata Nini kwa Mr short? Anataka asiganikiwe mungu ndio mtoa riziki. Steve anaa faika tuuu. Mtu umezaa nae ameshakuwa ndugu Yao. Kwa Nini unamwaribia malengo yake? Hiyo roho uliyokuwa nayo itaku cost Sana unakowlekea sio kuzuri. Change your attitude Steve.

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 Рік тому

    Ili kubalance story inatakiwa mmuhoji na Steve
    Ukisikiliza upande mmoja tu huwezi kujua vya uvunguni zaidi,
    Nashauri muwakutanishe wote wawili kama mlivyofanya kwa Mkojani na Samofi

  • @Rebekasteven-gp4ft
    @Rebekasteven-gp4ft 5 місяців тому

    Rebeka❤

  • @upepobeka6877
    @upepobeka6877 6 місяців тому

    Huyu dada ana upendo sana yani alivyo mzr hivyo bado kazaa

  • @hassanibanzi9322
    @hassanibanzi9322 2 роки тому

    Ila welu she's pretty walah❤

  • @stivenjohn7746
    @stivenjohn7746 2 роки тому

    Akili ana uyo

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому +1

    Dada anajifanyaga anamapoz uyu navingereza vizivyo isha atimae duh kweli mapenz shikamo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kuangukia kwa Steve mmmmmm hatar 🤣🤣ndomana waswahili wasema uchagua sn upata koroma nimeamin 🤣

  • @barakakagere5479
    @barakakagere5479 2 роки тому +3

    so cute

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому +4

    Mimi nampenda Sana huyu dada nataka Kaka yangu akupe.acha na stive ni mnafiki Hana lolote

  • @فاطمةجوهر-ر8ش
    @فاطمةجوهر-ر8ش 2 роки тому

    Kuweni kama chuchu hapendi kuongelea mambo yake nampenda sana chuchu

  • @kishakisha730
    @kishakisha730 2 роки тому

    Welu ulivyo mzuri uendani na Steve. Uendani na wanaume wafupi tofauti. Uliingia choo Cha kiume .j

  • @peterdani9740
    @peterdani9740 2 роки тому +4

    Steven kumbe mshamba 2 mtoto kama huyo nilikuwg namkubari sn rakini Steven kumbe hmm k2

    • @modysultan6170
      @modysultan6170 2 роки тому

      elimu unajua ukisoma kidogo hata lasaba b ushamba ushamba unakuwa huna

  • @NancyMrangu
    @NancyMrangu 7 місяців тому +1

    Wanaume wafupi hawana akili pole mwaya hata hamuendani ndy kawaida ya hao wanaume wakihurumiwa

  • @mohammedalikhan5766
    @mohammedalikhan5766 2 роки тому +1

    Mimi nasimama na msemo unaosema "HAKUNA MTU ALIEWAHI KUSHINDWA KWENYE KESI YA UPANDE MMOJA"

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 2 роки тому +1

    Huy dada nampend mnoo, wanaume wa hv wapo weng sanaa 😭

  • @ibrahimvcphilimoni7115
    @ibrahimvcphilimoni7115 2 роки тому

    Ndoaa siyooo kuvunjaaa mkasahauriana Ebuuuu Jitahidiii kujuaaa kuwaa kukosea kupooo mtaachana na wangapiii nanyie mnashabikia baadala ya kushauli acheni Maisha ya Kuwaaa na Roho mbaya Kwenye ndoa ya watuuu. Me nawaombea mrudiane msameheaneee

  • @ashuragonga5244
    @ashuragonga5244 2 роки тому +2

    Welu sengo msanii wg ninaempenda, usijali mdogo wg jipange upya , kuteleza sio kuanguka, Cha muhimu afya hasa afya ya akili na we uko sawa, mfanye historia tu !

  • @renoxnmpinga576
    @renoxnmpinga576 2 роки тому +3

    Mbn dada mstaarabu,mzuri,mpole

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому

    Stev, aliwezaje kupata goma kama hili jamani🤣🤣🤣🤣😂

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 7 місяців тому

    Halafu mlivyo wamb ea Sasa kutaka kuju a siri za watu na ma mbo ya watu Sasa mrihani

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 2 роки тому

    Aitwa nan uyo manz?

  • @zohrazohra1051
    @zohrazohra1051 2 роки тому

    Nakupenda dada

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 2 роки тому

    Mary I love u so much

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 роки тому

    Nimekushangaa dada mzuri hv kulalwa na stivu nyerere mi yule hapana kwakweli hata ndoa

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому

    Hata haendan na hyo steve....mapenz bana....😝🤔🤦

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 2 роки тому

    Huyu mdada sijui alifuata nn Kwa tivu hawajaendan hata kama n pesa mmmhhh..she is very cute

  • @nurdinmasoud9953
    @nurdinmasoud9953 2 роки тому

    Love u more c* welu sengo😍

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 роки тому

    Nice

  • @florahosea3934
    @florahosea3934 2 роки тому

    Dada wapi wengi hata kwetu wapo

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 роки тому +3

    Niseme ukweli midia sasahivi hazina balans ilimradi mtu yupo kwenye maic

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 2 роки тому +2

    Mzuriiiii

  • @pendo8082
    @pendo8082 Рік тому

    Yan Lokole mmbea wa Taifa kaona kukukaa kwenye kiti hato sikia story😂😂😂

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 роки тому

    Kama kweli stevu unakosea sana mana uyu mmezaa wote kesho we umeishiwa mama anasomesha mtoto.wachana na izo mwanamke mzuri wacana nae

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 2 роки тому

    Wanaume wengi wako hivyo ukiachana nae anataka ufulie akuone una maishamagumu ndiy happy yao

    • @zubedamagambo9600
      @zubedamagambo9600 2 роки тому

      Yaan n washenzi mno, wanapenda mapenzi yakivunjika mwanamke atesekee, achakae. Mwanamke akinawiri akapendeza ,wanaumia. Roho mbaya tu

    • @zainabusabas7421
      @zainabusabas7421 2 роки тому

      @@zubedamagambo9600 mimi ndiy najifanya sinadhiki hata kama nikiwa na dhiki na hanijui ndiyo kwanza nakia happy napendeza hapo jitu linaumia roho linatamani kama likuue😂😂😂😂

  • @khadijamasoudmikidady1726
    @khadijamasoudmikidady1726 2 роки тому +1

    💖💖💖

  • @khalfanikassimu7380
    @khalfanikassimu7380 Рік тому

    dah kuna watu Wana Bahat Yakula vizuri

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому

    Ayo macho huuzi

  • @neemadevis883
    @neemadevis883 2 роки тому +1

    kumbe huyu kazaa na Steve mdada nampenda huyu

  • @rhodamiguma7336
    @rhodamiguma7336 2 роки тому

    Hv Weru jmn kwa uzur huo y ukamkubal mtu km stive, we type zako km Ramsey Rey

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 2 роки тому +7

    wanaume hawa wapo mie baba watoto wangu pia mpk kuniroga nisisimame kimaisha na nimezaa nae wallah hawa wanaume wajinga sana kuacha sio tabu kuacha akuache yy vitiko akufanyie yy shida hii

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 2 роки тому +4

    I love her

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 2 роки тому

    Achana nae huyo dada welu, we ongea na Mungu wako ndo anatoa ridhiki na simwanadam, anataka akuone unahangaika ukampigie magot kwa lipi labda

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 2 роки тому +6

    Ila kweli mpenzi niupofu ukimwaona na Steve hawaendani kabisa

  • @farhannahkulishwaburekunam5360

    We juma lokole unasema nini wewe we ndo mnafiki unaharibu mahusiano ya watu wengi yacht mahusiano ya steve

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 роки тому +1

    Matildaaaa

  • @pascalcharles9807
    @pascalcharles9807 Рік тому

    Cjui nimm pekeyangu huyu dada werusengo huwa namfananisha Christina shusho.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 роки тому +3

    Dada mzazi mwenzio hata akikukosea bora ukae kimya

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 2 роки тому +1

      Ili aendelee kukukalia rohoni

    • @tinamahega9848
      @tinamahega9848 2 роки тому

      @@fatmafaki6163 hapo Sasa,kama vile ni miungu

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 роки тому

    Hayo yote kisa hakuungwa mkokono naboss ndio maana mna pita huku nakule ilitu mmuongeleye vibaya

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 2 роки тому

    Ulimbebea Mimba Steve ukidhani utabebelewa na Mbeleko na ukamzalia kbsa ulifeli binti.

  • @nasmaomary2207
    @nasmaomary2207 2 роки тому

    Wanaume Kama hao wako wengi jamani mi yamenikuta