SHERIA NGOWI AFICHUA SIRI JEZI ZA YANGA SC, "NINA JEZI HADI ZA 2027"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    - www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

КОМЕНТАРІ • 80

  • @user-ri5pc6es4m
    @user-ri5pc6es4m Місяць тому +11

    Waoo hongela sana kaka jezi kali mno

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe Місяць тому +9

    Hongera umejibu Kila swali hakika wewe ni namba Moja unajua unachofanya hukurupuki

  • @Ntabo393
    @Ntabo393 Місяць тому +14

    Sportpesa haioneshwi ila mnavyoizuia isionekane ndo tunaiona Zaid 😂😂😂🎉

    • @lucymsheshi5871
      @lucymsheshi5871 Місяць тому +3

      Hapo ndio watu watatafuta ili waone😊😊😊😊

  • @zecabernardo1692
    @zecabernardo1692 Місяць тому +2

    Mzee SHERIA NGOI nimerizika sana na maelezo yako kweli ww ni mbunifu hatari. Mwananchiiiii onyeeeee-Nipo Mozambique

  • @Onesmo-f6j
    @Onesmo-f6j Місяць тому +6

    Jez Kali sana ngow una baya

  • @user-ri5pc6es4m
    @user-ri5pc6es4m Місяць тому +7

    Nimbunif mzuri sana unasitahili maua yako

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr Місяць тому +4

    Sheria kaka wala usitumie nguvu,,wanayanga tumezipokea kwa mikono miwili jezi nzuri.hao wote ni sanda.group.

  • @IbrahimMoga-q9w
    @IbrahimMoga-q9w Місяць тому +1

    Brother Shelia umeuwasha sana

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr Місяць тому +6

    Siku nyingine walete sabuni za kigoma na ile jezi yao.sawa.

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 Місяць тому +2

    Anajua kujibu maswali sana.

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe Місяць тому +3

    Simba Wala yanga hatukuziumba rangi bali tumezichagua yanga ilichagua kijani njano na nyeusi na Simba walichagua nyeupe na nyekundu lakini siyo ajabu kutumia rangi nyingine Kwa hiyo kuongeza rangi katika jezi ingawa rangi mama zinajulikana hata hivyo hatutatumia nyekundu hiyo wanatumia wachawi na waganga mbona Simba hamuwaulizi kuhusu rangi ya bluu

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 Місяць тому

    SHERIA NGOWI unatisha sanaaaa upo vizuri mnoooo....!

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 Місяць тому +1

    Anatumia nguvu sana kuitetea lkn hamna kitu hapo

  • @ezecqhero7144
    @ezecqhero7144 Місяць тому +1

    Afu wanaizuia sportpesa isionekane ila watangazaji kwenye vipindi wanavaa jezi za Man U au Arsenal zimeandikwa Team Viewer au Emirates .... 😂😂😂😂😂😂😂😂 Crown banaaa

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Місяць тому +2

    😂😂😂😂😂 wakinanani watajeni 😂😂😂😂 semeni kolo😂😂😂😂

  • @allymbwana1264
    @allymbwana1264 Місяць тому +3

    Piga kazi kaka mitoko ya mana kabisa

  • @JumaSango-yo8bj
    @JumaSango-yo8bj Місяць тому

    Noma sana crown 👑

  • @saidsoudamiri4054
    @saidsoudamiri4054 Місяць тому +1

    Design ya jazi za mpira na design ya nguo za wanamitindo ni mbingu na ardhi. Ndio maana nike na adidas bidhaa zao nyingi ni bidhaa za michezo na sio nguo za kawaida. Na gucci, lv, levis wamebakia kwenye mavazi ya kawaida. Huyu jamaa kwenye jezi vitu vingi havijui. Barcelona hata miaka 100 ijayo hawezi kuvaa rangi nyeupe, Madridi hawezi kuvaa rangi za Barcelona maisha. Huu ndio ulimwengu wa football na sio mambo ya mitindo. Ukiwa mwanamitindo bakia na mitindo na mambo ya fashion na kuwavalisha ma model.

  • @PaschalJacob-mj1yj
    @PaschalJacob-mj1yj Місяць тому

    Nakubali sana kazi yenu

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 Місяць тому +2

    Simba .hamjui kutenveneza jezi makolo na machekecheo yenu ya mahindi

  • @mossesmabulajr.3453
    @mossesmabulajr.3453 Місяць тому

    I like it for being a story teller😂

  • @modricsteven3502
    @modricsteven3502 Місяць тому

    Kwani watu hawajaona jezi ya Timu ya Taifa ya Nigeria.... ?

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 Місяць тому

    Asante Sheria kwa majibu manzuri sana.

  • @EmmanuelMassawe-ww9dz
    @EmmanuelMassawe-ww9dz Місяць тому +1

    Wachambuzi wabongo bana simba awajawai kusema wamebadilisha mbunifu simba imebadili mzabuni wa kutengeneza jersey chambua mpira wanajikuta wanachambua muwekezaji😅

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 Місяць тому +1

    Tatizo ni kutoka katika uhalisia wa rangi yaani traditional colour green and yellow

    • @carrenbenson2111
      @carrenbenson2111 Місяць тому

      kwani yanga anapangiwa rangi acha hizo, ndio wivu wenyewe huooo, sanda fc

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Місяць тому +1

    Salim ukimaliza kawafundishe makolo wenzako

  • @amoslazaro1609
    @amoslazaro1609 Місяць тому

    Ngoi mii nakukubar san rakin kwajez hiz umefer yanga hatuna rangi hizo

  • @ericksalvatory5181
    @ericksalvatory5181 Місяць тому

    Sheria ngowi wewe Huna baya kaka ,Uzi umetulia Sana.

  • @gmbrown1429
    @gmbrown1429 Місяць тому +2

    Jezi imejaa fujo, kama nguo cartoon ya watoto 😞😞😞

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 Місяць тому

    Ngow watakuchosha sana hao sijui kolo hao na maswali yao ya police, sie wa yanga tumeridhika jezi nzuri kwetu

  • @VeriMnyakiwele
    @VeriMnyakiwele Місяць тому +3

    Wewe hata kama nikukosoa hapana jesi mbaya bhana me yanga lakini kwenye jezi nyeusi Tumeiga colour nyeupe ya Simba tuongee ukweli

    • @jofreystewart9482
      @jofreystewart9482 Місяць тому +2

      Wewe sio yanga acha uongo wenyewe tumeilewa kali kinoma tuacheni na jezi zetu vaeni sanda zenu

    • @aishabakari8040
      @aishabakari8040 Місяць тому +1

      We kolo tuliza kipwete hicho 😅😅😅😅

    • @BibeBivani
      @BibeBivani Місяць тому

      Wewe kengeeeeee

    • @VeriMnyakiwele
      @VeriMnyakiwele Місяць тому

      @@BibeBivani itakuwa mamaako labda kenge maana nyie ndiyo ambao hamuitakii memaa timu yetu kwenye ukweli tuseme ukweli hatuna rangi nyeupe kwenye aina ya jezi zetu

    • @gracemtonga3263
      @gracemtonga3263 Місяць тому +2

      Na rangi ya blue Simba naye ana asili nayo ya wapi?

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 Місяць тому

    Ngow wanakuchosha tu jezi nzuri endelea kupiga kazi, mengine hayo ni maneno ya mkosaji

  • @amoslazaro1609
    @amoslazaro1609 Місяць тому

    Hiv wazee wayanga muko wap mbona hamukemei huu upuz wangoi hiv kwer hiz doo rang zayanga ebu twambien ss wijuku wen tujuee

  • @josephmngongo4656
    @josephmngongo4656 Місяць тому

    Ila hii kuzuia ety media isioneshe mdhamini wa Jersey ni ukichaa. Ni sawa na mwanadada anakuwa anaficha nyeti zake na wakati video yake ya connection ishazagaa. Anaficha nini sasa? Wajifunze kwa media kubwa duniani huo ushamba wameshaachana nao

  • @user-gr6hz5oq2g
    @user-gr6hz5oq2g Місяць тому +1

    Jezi za tp mazembe

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n Місяць тому

    Ni vitenge km vitenge vyengine

  • @Tassyomy
    @Tassyomy Місяць тому +1

    𝐇𝐀𝐋𝐀𝐅𝐔 𝐌𝐁𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐓𝐔𝐎𝐍𝐈 𝐋𝐎𝐆𝐎 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐉𝐄𝐙𝐈 𝐙𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐀𝐌𝐀 𝐙𝐈𝐋𝐄 𝐉𝐄𝐙 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐓𝐈..!!😉

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 Місяць тому

    Sanda fc kila siku nyekundu, nyeupe, mmeongeza na bluu mmemaliza haijulikan jezi ya msimu upi yamefanana tu

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 Місяць тому

    Hana mpya huyu

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 Місяць тому

    Hakuna timu ilioumbwiwa rangi hiyo bluu mnayotumia miitoa wapi wakati mnasema nyekundu na nyeupe ndio simba acheni hizo tukutane uwanjani ndo swala la msingi

  • @SaidMkome
    @SaidMkome Місяць тому

    Vitenge tyuu batiki ongera

  • @nurdinmajanga279
    @nurdinmajanga279 Місяць тому

    Katiba ya yanga ni langi ya njano na kijani
    Reo hakuna njano kuna gordi na nyeupe ss msimu ujao wataweka nyekundu

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz Місяць тому

      Reo - Leo
      Gordi - Gold
      Langi - Rangi
      Unakosoa rangi wakati hata kuandika tabu😂

  • @mulhatramadhan1147
    @mulhatramadhan1147 Місяць тому

    Na mbunifu wa simba aje azifafanue sanda zake

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 Місяць тому

    Sanda je ziongelee

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j Місяць тому

    😂 ubaya ubwela kitenge cha taifa tunaenda kukichana na kukipigia deki kwa raha zetu Wana Simbaaaa!!!!!!!..

    • @BibeBivani
      @BibeBivani Місяць тому +1

      Una teseka ukiwa wapi

  • @ommyclever5404
    @ommyclever5404 Місяць тому

    Mbona km azina quality sn

  • @musakihama7205
    @musakihama7205 Місяць тому

    Umesahau 2012 mlikula tano 0 hiyo miaka 20 ya wapi,?au wewe na ulionao pia hawajui?

  • @jeromejanson3003
    @jeromejanson3003 Місяць тому +1

    Sio uzi ni vitenge tu vya kutoka Congo na Nigeria 😂😂😂😂😂😂😂

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 Місяць тому

    Ngow wanakuchosha tu jezi nzuri endelea kupiga kazi, mengine hayo ni maneno ya mkosaji