ENG. HERSI AFUNGUKA MAZITO"SUALA LA UWANJA MPYA WA YANGA| NAFASI YA KUGOMBEA UBUNGE".
Вставка
- Опубліковано 28 кві 2024
- CATCH US LIVE, BONGO FM 📻
90.0 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 89.7 DODOMA 📻 | 89.9 ARUSHA 📻 | 104.9 MBEYA 📻 | 90.0 MWANZA 📻 | SHINYANGA 89.9 📻 | KIGOMA 89.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: bongo_fmtz
TWITTER: https: BONGO FM
FACEBOOK: BONGO FM
#rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #micheZo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumonukuu
#kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbatv #diamond #yangasc #wcb #singidafountaingate #kondegang #wcb #yangatv #diamond #simbatv #live #simbasc #kingmusicofficial #simbasc #live #simbatv #diamond #diamond #yangatv #yangasc #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang #singidafountaingate #wcb #yangatv #yangasc #diamond #simbatv #live #simbasc #simbatv #diamond #yangatv #wcb #singidafountaingate #kondegang - Спорт
Kama unakubali huyu MWAMBA anaweza hata kuwa Waziri wa Michezo hapa nchini,,,Gonga like Yako hapa sawa!!!
Eng. Hersi unaonekana hata ulivyokuwa shule darasani ulikuwa kichwa sana, yaani ni mpole, umetulia, unachagua maneno ya kuongea, una hekima, sio mtu wa kupayuka ovyo na kuendeshwa na hisia zako (emotions) , na ni mtu wa kuona mbali na kujiamini sana na unaejua unachokifanya na kukisimamia hadi mwisho, umtii na heshima kwa watu, hakika wewe ni kiongozi bora sana - keep it up utafika mbali sana kijana !
Tuna lmani sana na RAIS WETU kijana Kuliko vilabu vyote Africa WANAINCHI TUPO NYUMA YAKO mungu akupe afya njema na maisha marefu 💚💛💚💛💚💛💚
Dah! ENG. HERSI nakufananisha N mfalme Sulekman aliyemwkmba Mungu amjalie hekima kuliko Mali kwani 'Hekima ni chanzo cha maarifa" Almighty God bless your future plans for the Young African Sc. Skills growth and development.
Eng hongera Sana kwa kuiongoza vizuri team yetu
Mungu amekupa hekima na elimu ya Hali ya juu saanaaa perzdaaaa wa ukweeliii
The guy is real nice, knowlagble, na ameifokosha mbali.Yanga
Mungu akufanyie wepesi kwenye kila.khatua
Our president is Handsome..Smart and intelligent we Love you soo Much as Wananchi
Mungu akubariki kwa kz nzur unazo zifanya mwahuu tena unatupa ubigwa
Mungu awabariki wote
Kilalakheir kiongozi wetu M/Mungu akuweke kwenye uongozi wa Yanga
Hilo la kubaki yanga sijui kama Kuna mwana yanga anatamani wewe rais na safi yako yote Hadi wapiga picha muondoke akitokea mtu wa aina hiyo tutamshangaa sana
Pumbavu sana wewe makoro mkubwa
@@ramadhanabdul2297nadhani hujamuelewa! Rudia kusoma Kwa utaratibu
@@ramadhanabdul2297Mbn kamaanisha vizury tyuu sema weyee ndo hujamuelewa
Hujamuelewa kaongea kuwa hadhani kama kuna mtu atataka aondoke Yanga kuanzia yeye hadi wapiga picha wa Yanga....Ndio maana kamalizia nakusema kuwa tutamshangaa sanaI@@ramadhanabdul2297
Salute Sir ❤️♥️
Tunakuombea baba kwa Mwenyez Mungu uwe na maisha marefu
Wewe ndio kiongozi bora kwetu wana Yanga
Hao wanaomuombea awe m bunge sipendi wanatutia gundu timu yetu Ili tuteseke.mm Dua zang abaki yanga mpka kufa
Congratulations president 💚
🎉mungu akufanyie wepesi kwakila Jambo 🎉🎉🎉
Engineer Rais yanga forever mpaka achoke mwenyewe
❤❤❤ mwananchiiiii
Big up my Presida
Mungu atatuwezesha
Kwanza ww inabidi uwe Raisi wa Tz.......
Rais mama samia kijana anakufaa sana kwenye kwy utawala wako
Hongera sana kiongozi watu tunakutegemea rais wa mfano
A.mpenda michezo anafaa.
daaaah kak abduli hafali fund nmefrh san kukuskia nam shule yangu imetoka wa2 braz hongra san muktar apa
❤
ENG HERIS mie nahisi acha MAMA amalize mihula yake then tukuachie TANZANIA utuongoze , wewe ndo unatufanya wana YANGA leo hii tuna vimba mitaani, Mungu akufanyie wepesi ktk safari yako ya utendani na akujaalie ufike mbali zaidi ya hapo ulipo DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Hersi na Gsm kwa ujumla wenu tunaomba muendelee, haya mafanikio ya Yanga yametokana na jitihada zenu, tunaamini Mtachukua ubingwa wa Afrika, Mungu awalinde.
Vp kuhusu uwanja wa Dodoma , uwanja uliotiwa saini na aliyekuwa rais magufuli na mfalume wa Morocco
Mm mwenyewe,nakuombea uendelee kubaki Yanga.lakini mapenzi ya MUNGU yatimizwe.
YANGA IS BIG NATION
SUBSCRIBERS WAMEONGEZEKAA FROM 10.01 K to 11.2K ❤❤❤
Raisi wetu wa boli tunakukubali sana presda wetu wana jangwani tunakupenda mnooooo
Natamani uongoze maisha
Uyu jamaa anajua kujielezea sana
Jemedari saidi,, unalakuongea juu ya huyu kijana?? Eng hersi
Ninakuombea sana baadaye uje kuwa Raisi wa Ttanzania
Hahahahaaa😂😂 make hapo kwanza nicheke.
Hayo ni maneno ya mdomoni 2 fanyeni vitendo tuone mtatoboa
Binafisi huyu ndiye rais wangu erewa neno rais wangu
Shukurani kwa renovations za viwanja na viwanja vipya. Ni aibu kuona kiwanja kama CCM Kirumba, kimefumbiwa macho. Sijui kama ni suala la kisiasa au vipi.
Uyu ni rais kweli yanga ajawai tokea Toka yanga izaliwe
Yaan mtu akifanya vzuri tu. Chao anaingiziwa kwenye siasa hii imekaaje ndg zangu. Mbona wenzetu mbele mbele hakuna hii kitu au wale huwa wanakataga?
Pongezi nyingi kwako rais
Katika kitu ambacho sifikiri ni rais wa yanga kuondoka yanga yanga ipo hapo kwasababu yake yeye na g,s,m hiyo ndo sababu ya wanayanga kumpenda na kumthamini hiyi nizaidi ya zawadi Tanzania tunakupenda sana rais wetu
Niliwambia huyu jamaa nyota kali sana na hapo anatafutiwa angle atapewa wizara huyo mi nakwambia mtu kwelikweli huyo na namwona mbaali sana sio Wizara tuu.
Haki iko siku huyu Hersi atakuwa Rais wa FIFA
Mungu akujalie maisha malefu uwe kiongzi yanga
kuna kitu sijaelewa ,,,huyu mwanamke anamuuliza Hersi kuwa mama samia amewaahidi yanga uwanja,,,rais amewaahid yanga uwanja???? lini
Wewe mwisho ni rais wa nchi hatolala mtu na njaa kulala njaa kutaka kwako
Hahaaa😂😂 nzuri Sana hii
Safi Engineer ❤ Yanga mbele 🎉.
Porojo nyingi
Pole sana
naona hilo jina BAOLA ASBUH MNGETAFUTA JENGNE BWANAA
Kwl kbs,maan hawa kizazi cha sasa "Mmh watafkiria" lile bao la kiutuuzima 😂😂😂
Daar huyu jamaa ni jinis aisee katika watu wanaaaakili nilio wahi kuwaona huyu jamaa ni mwisho ukisema uangalie pande huezi muelewa lakini uyu jamaa anatisha
Great thinker