usichoke mwimbo wa Mch. Abiudi unakukumbusha usikae kimya lia na Mungu wangu piga kelele kama Petro alvopga kelele kuwa Yesu Nishike Mkono, Usiniache, Abebe Mizigo yako na Mungu akusaidie. Mungu yupo na akujibu.
May the Lord receive glory and honour. Truly it's a great and powerful worship song. God bless you servant of God. Truly you have touched my heart. I love all your music. Baraka.
Oo yesu uliyeyashinda majaribu yote na ukafa na kufufuka baada ya CK tatu dam Yako iliyomwagika msalabani iniponye inisafishe na kunuondolea nguvu za Giza zinazonisumbua amen
Nishike mkono Bwana hii mwaka inapoisha badilisha maisha yangu ondowa aibu kwangu lete heshima usiniwache nimebaki na wewe Mungu wangu niguze tena Baba that is my pray O LORD REMEMBER ME IN JESUS NAME AMEN
ROHO NIJAWE TENA song is not added to this channel. And I lost it with the stolen laptop. Can I find it please? KAMA SIKU YA PENTECOSTE. I just love listening to mch. Abiudi songs coz they're a blessing to me from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 When I'm free I listen to his soothing music. May God continue using you. 🙏🙏🙏🙏🙏
2024 yesu nishike mkono nisizamee katika dhambi nitembee katika kusudi lako Amen
Amen amen am from tiktok mpaka huku mungu endelea kunishika mkono kwa maisha yangu n pia wengine
Amen amen amen namie naomba Yesu nishike mkononi pamoja nawapenzi wako amen amen
Nishike mkono Bwana, twende nawe hadi mbinguni,bila wewe mimi siwezi,wewe ndiwe msaada wangu Baba 🙏🙏
In tears 😢😢 I listen to this song.In the battle I face ,tenda miujiza ee Yesu . Amina.
Mtumishi wa mungu yaani napenda sana nyimbo zako zina upako karibu Kenya 🇰🇪🙏
Yesu nakuita nishike mkono,, nimekaa kimya,nimezama, naongea lakini hakuna anaye elewa, nirudishie nehema yako kwangu........
usichoke mwimbo wa Mch. Abiudi unakukumbusha usikae kimya lia na Mungu wangu piga kelele kama Petro alvopga kelele kuwa Yesu Nishike Mkono, Usiniache, Abebe Mizigo yako na Mungu akusaidie. Mungu yupo na akujibu.
MUNGU NIMWEMA MWIMBO MZURI SAN
AMIN
Who cannot be blessed by God's glory in this? Amen, Amen and Amen!!
Hallelujah hallelujah 🙏🙏❤
Mungu wangu nishike mkono this year pamoja n my family, mungu nibariki pia nipate bwana😔😔🙏🙏🙏
Yesu nishike mkono maana peke yangu siwezi nakutegemea wewe bwana yesu
Ubarikiwe sana kwa nyimbo zenye kutia moyo tunapokuwa tunaelekea kukata tamaa
Nishike mkono bwana yesu nisiazilike mm na family yngu
Amen Amen naomba mungu anishike mkono Kwa kanzi yake ninaye mfanyia And God bless you pastor
Im confused with Life but the moment i listen to this song i get a sense of direction..Nishike Mkono Bwana❤❤❤❤😢😢
Nishike mkono bwana,,,,,*10000000 I love this song
Napenda maneno. Yaliyomo ndani ya hii nyimbo baraka tele
Nishike mkono bwana usinije nazama peke yangu kweli sitaweza.unionee huruma kama petero.uniondolee aibu kwa maisha yangu.ndio maombi yangu bwana wa mabwana
Ni kwl kabisa nishike mkono Bwana peke yangu siwezi Safari niliyo nayo Ni ya shida. Barikiwa na Bwana Mchungaji
Hiii nyimbo nikiskliza nafel kulia kwauhalisia uliopo kwenye maisha yetu ubalikiwee mtumish abiud
Aminaaaa na upends Sana HUU Wimbo , Mungu tulindiee Vizazi vyetu walinde wanetu
Nishike mkono Yesu, usiniache, 🙇🙏
Amina Amina......so touching song
Ubarikiwe sana mtumishi🤣🙏👏💋💞👍🌹🥑🍉Amina kubwa😂😂😂😂😂😂😂
Amen wimbo umeningusa alleluja
Napenda huu wimbo sana,mungu ambariki hii hunduma sana👏
Niliribarikiwa kupitia kwa huu wimbo wimbo.., ubarikiwe sanaa mchungaji😅❤
Nimefarijika sana abiud mungu wambinguni akutuze
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Amina wakati nataka kuomba nazama kwenye usingizi ikabidi nitafute huu wimbo
Be blessed Man of God am blessed indeed we God forever 😢😢
Amen ,, siwezi peke yangu nishike mkono Bwana Yesu. 24/3/2024
Ameen
Haya Mimi bwana yeSu nishike mkono na familia yangu nisiende vinginevyo niwe mmoja wa wtoto wako watii
Amen 🙏🙏🙏 bila ww swez bhna
Nikweli sana tunazama pst mungu akuinuwe
Bila wewe bwana mimi siwezi maisha yangu yoote nakutegemea
Petero wa simoni,,,,such an amazing peace of work I love it
May the Lord receive glory and honour. Truly it's a great and powerful worship song. God bless you servant of God. Truly you have touched my heart. I love all your music. Baraka.
Usikae kimya ..call God👏
Amen 🙏🙌🙌🙌 nishike mkono bwan
GOD bless you pastors am very inspired by this very song it gives me hope where I have failed.
Huu wimbo hunijaza sana ki imani,,barikiwa sana mchungaji
Wewe ni wangu Bwana nishike mkono siezi bila wewe 🙏
Ubarikiwe mchungaji hakika huu wimbo wanibariki sana
Jesus hold me without you I may fall
yesu nishike mkono Hali imekuwa ngumu sana kwangu
Amini Mungu atakutendea,atakushika mkono
@@faithchelangat328 Amen siz
Bila ww Mungu mimi siwez nishike mkono Mungu
Nkweli bila yesu cwez
fhenk your God bless your Jesus 🙏🙏♥️
Nabii tembea kenya 🇰🇪
God bless you be lifted ,powerful revelation
What an amazing old time singing. It's a great blessing to me. I listen to this song everyday I get out of bed. Amen 🙏🙏🙏
IMANA ibahe umugisha hano mu Rwanda Kigali indirimbo zanyu turazikurikira neza, Kandi ziradufasha, zigizwe namagambo meza yubugingo buhoraho, Amen 🙏🙏
Abiud is a talented in music and he is called by God to spread the good news of Him. ❤
Ameen,
Praise to God
This song touches my soul so much and may you be lifted in Jesus name
Barikiwa sana mtu wa mungu
Mwaka huu Bwana nishike mkono uniongoze maana sitoweza bila wewe
Eee mungu wangu nishike mkono unitangulie pila wewe mm ziwezi ,nko inje ya Kenya 🇰🇪 usiniaje
Nisheke mkono bwana wakati wa kuomba❤❤❤
Naomba ewe mwenyezi Mungu unishike mkono twende pamoja , Hali ngumu matumaini yangu ni kwako
Oo yesu uliyeyashinda majaribu yote na ukafa na kufufuka baada ya CK tatu dam Yako iliyomwagika msalabani iniponye inisafishe na kunuondolea nguvu za Giza zinazonisumbua amen
Mungu wangu niokoe na hali niliyonayo nizaliwe upya kwa dam yake yesu cristor inisafishe inioshe
ubarikiwe mch kwa huduma nzuri
Unikumbuke na mm Bwana Yesu Kristo nisije nikazama hili ni ombi langu kwako daima
Yesu nishike mkono ya dunia ni mengi ,nijue njia ya ukweli
Nishike mkono Bwana hii mwaka inapoisha badilisha maisha yangu ondowa aibu kwangu lete heshima usiniwache nimebaki na wewe Mungu wangu niguze tena Baba that is my pray O LORD REMEMBER ME IN JESUS NAME AMEN
Nishiko mkono bwana kwa kila jambo,siwezi bila wewe,God bless you mtumishi
Ameen
It's encouraging I love it
What a touching gospel song
Amen Bwana Yesu nishike mkono nisizame katika hii Dunia .Amen
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
God I need your hand in my life and my family indeed is A blessing song ,I need you God
4
Usiniache Yesu wangu
Nishike mkono bwana kwa haya ninayo pitia 😭😭bila ww siwezi ww ndie msaada wangu nko hapa nakuabudu
Shalom abiud
I love this song so much, it inspires me.God bless you man of God.
Me too
Nasikiapo huu wimbo nitizame maisha yangu nabakia kilia. Eeeee babayangu nishike mkono usiniache
Among my favorite songs.lts always new every time I listen to it.
Wimbo Huu unaniweka katika uwepo wa bwana kweli mungu akubaliki abiudi
Wimbo huu ni kumukaribia Mungu wetu ,asifiwe Mungu wetu kwa ku ongoza PST.
Nishike mchono bwana usiniache bwana nyimbo zako zina nguvu kweli uwe nami baba nakuliliya nikiwa naima usiache bwana
ukisikia huu wimbo unakua kiiman has mimi ubarkiwe baba
Nishike mkono bwana, ninakuitaji bwana
Huuu wimbo jmn 🙏🙏🙏🙏
Baba tuponye
Amina
Usiniache Bwana niongoze
Ukweli Mimi pila wewe mungu siwezi 🙏🙏🙏
Napenda huu wimbo Sana ubarikiwe Sana PST
I'm Doreen from Kenya I love this song glory to God
Oh God please, nishike mkono
nice song. Nourishing.
Ubarikiwe sana abiud
mungu beba maisha yangu
ROHO NIJAWE TENA song is not added to this channel. And I lost it with the stolen laptop. Can I find it please?
KAMA SIKU YA PENTECOSTE.
I just love listening to mch. Abiudi songs coz they're a blessing to me from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
When I'm free I listen to his soothing music. May God continue using you.
🙏🙏🙏🙏🙏
Love it,,,💖💖heaven is the dream
This song is so touching and spiritually builiding us faithfully . thank you and be blessed man of God😇
Mungu awabaliki wote
Mungu akubaliki mtumishi nyimbo zako zinanibalik sanaaa🙏🙏🙏🙏
Nyimbo za huyu jama zote nazipenda ukweli ingawa ni msabato matengenezo
Design yenye Wimbo inaanza unajua tu inaguza
❤i really love this song 🎵
Mungu akubaliki PST
Be blessed pastor