Nimekukimbilia Wewe Bwana - Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
Вставка
- Опубліковано 8 лип 2022
- Watch,hear the Message and Share "TUMEKUKIMBILIA WEWE BWANA" (Gospel Song).
ZABURI 31: 1-5
1 Nimekukimbilia Wewe, Bwana, Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye,
2 Unitegee sikio lako, uniokoe hima. Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa.
3 Ndiwe genge langu na ngome yangu; Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
4 Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
5 Mikononi mwako naiweka roho yangu; Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
#AbiudMisholi#NimekukimbiliaWeweBwana#
SIKILIZA NYIMBO ZA MCH. ABIUD MISHOLI KUPITIA LINK HIZI.....
Boomplay - www.boomplaymusic.com/share/a...
Spotify - open.spotify.com/album/4tFQPN...
Hungama -
www.hungama.com/album/uje-unit...
KWA MSAADA WA MAOMBI NA USHAURI WASILIANA KWA ....
Simu - +255754045328
Email - abiudmishori500@gmail.com
9 years ago...hit 2023 ubarikiwe Sana mtumishi,, wapi like zenu
Ameen,
Praise to God
Mimi lazima siku moja nitakuja Tanzania nikuone tuu kwa machona uniombee mimi na familiar yangu
Daaah nyimbo zako uwa zinavusha ktk majaribu, napokua ktk majaribu nikizisikiliza afu naomba nashangaa navuka bila tabu yeyote.
Mimi apa nisayidiye amen 🙏🙏🙏 and amen mungu nimukubuwa san Asante mungu wangu mungu awabarik 😁😁😁
Kuna nguvu na baraka katika nyimbo hii watumishi wenzangu
Pia mimi hapa namhitaji Mungu aniangalie
Nimebarikiwa
Mtumishi wa mungu yaani napenda sana nyimbo zako Zina upako wa kiajabu karibu Kenya 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Who's there in 2024??
Mwana wamungu ubarikiwe kwa nyimbo yetu nzuri sana ❤❤❤
Mimi hapa mungu nisaidie ,nimechoshwa na mateso ,😢😢,maisha yamekuwa magumu ,nitie nguvu baba
Utavuka kwa jina la Yesu
Mimi hapa Mungu wangu nisaidie ,usiache Bwana nikaaibika...
Nyimbo zako zimajaa upako wa Roho Mtakatifu.
Zimegusa maisha yangu na nimepokea Baraka kupitia wimbo wako wa tenda miujiza
Oh Utukufu kwa Mungu
Nasema barikiwa mwana wa mungu song zako zinatenda miujiza sana
Nakukubal San @@mch.abiudmisholi
Mungu Akubariki Mwana wa Mungu Amen 🙏
Napenda Sana nyimbo zako mtumishi zinanibariki saana
Mungu akubariki sana
Amina Mtumishi Ubarikiwe saaana 🔥🔥🔥🔥
Hakika Mungu amejisazia watumishi kwenye kizazi hiki cha uharibifu Mungu akubariki sana Baba
Ningaziye ee mungu wa mbinguni
Wimbo unanibarik San jaman🎉
Napenda sana huu wimbo
Mungu wa mbinguni akatunze
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana kwa Ujumbe wako kwa jamiii!!
Tunabarikiwa saana Yesu akutunze maisha mia
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nyimbo zako zinabariki sana na kufariji Amina
Aki hii wimbo inagusa Kila mtu barikiwa sana mtu WA mungu🎉🎉🎉🎉🎉
I connect with grace of God kupitia wimbo huu
Mungu akuzidishi abiud niliona mukono wa mungu katika nyimbo zako
Unajua kuugusa Moyo wangu!
Unanibariki sanaaaa
Wimbo mtamu kweli na kanisa kaketi kitako tuu
Keep on reaching heartbroken souls,🙏 my morning lyric
Dear lord I'm here......
Barikiwa sana Mtumishi
Asanteni sana Watumishi wa Mungu
Mungu akubaruki matumizi huo wimbo huwa unanibariki kila wakati
Well done nabi abiud misholi ever One of us we feel proud for you.thanks giving to our prophet ABIUD MISHOLI.
Kama sio MUNGU!! Sumlei na aseme sasa!!!
Ubarikiwe Sana Mchungaji Abihudi, Nyimbo zako zinanibariki Sana,
More blessings mutumishi wa mungu🙌🙌🧎♀️🧎♀️🤲🙏🙏
God bless 🙏
Ameen mtumishi wa MUNGU. Endelea kubarikiwa na BWANA YESU.
Waaaah remembering this in abroad at the office Waaaah, God answers prayers
I just love the song,mimi hapa usiniache mungu
MUNGU akubarik mchungaji
Iangalie familia yang baba
AK..inanikuza..mungu..akubless
Amen 🙏🙏
Amen 🙏
The man who live through his work
Naomba uniangalie babangu Mimi na family Yangu.Amen
Damu ya yesu ifunike familia yangu
Hakika we ni mtumish wa mungu,, unaimba vizur sana😊😊 barikiwa sana
Wimbo huu umenibaliki
May our ALMIGHTY GOD BLESS YOU PROPHET ABIUD MISHOLI, may OUR ALMIGHTY GOD BLESS YOU MUCH.
Nimekukimbilia mungu wangu!
Nimemaliza maombi usiku huu, huu wimbo umenijia kichwan ndo nimeutafuta, wimbo mzuri unaonivusha, umenivusha mapito mengi sana.
Ameen ameen,
Uzidi kubarikiwa sana
Nyimbo nzuri sana ubarikiwe sana na bwana Mungu mchungaji Amen Amen 🙏🙏🙏
Thanks mchunglaji this song really blesses
God bless you
Blessed
Mungu akui nue zaidi uende mbali kueneza injili
Nikitingwa huu wimbo huwa nautumia sana asante kwa wimbo mzuri pastor Abiud nabarikiwa na huu wimbo kila siku niusikiapo
🎉🎉
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,Uzidi kutufariji kupitia nyimbo za kuabudu na za kusifu,Amina
Ameen ameen
Blessed song 🙏🙏🙏
Hakika.yesuatufunike😊😊😊😊
Nikisikliza wimbo huuu napata amani Mungu azidi kukupaka mafuta
Nice one 😊
my love for reggea...through this song i got saved and i left smoking bang ,,,i left the rasta community ,,im now a preacher of the word
Be blessed son of God!!
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Amen, much love bro❤❤❤
Amen mch abiud 2:36 2:38
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Asante yesu wangu
Angalia bwana
Damu ya yesu ifunike maisha yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ɓ
Yesu okoa Dunia mzima .
Ameen
❤❤❤ mungu akulinde
Ooh lord i trust you in my love your our refugee ,ohh lord nimekukimbilia ni siaimbike dad ,i declare and decree prosperity in Jesus name 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This song can make you feel anointed, barikiwa sana mchungaji kwa wimbo mzuri unaonena baraka maishani mwetu 🙏🙏💞
You preaching is so touching,may the Lord bless you so much .
Looking forward to meet you 🙏
This song is such a blessing to many....be blessed mtumishi
Damu ya Yesu ifunike maisha yangu
Mungu ndiye kimbilio letu... What a great message ,,, inuka uangaze
Amina sana Mt umishi was mungu
Amina sana
God is great
Am blessed with your beautiful songs Amen.
Can't get enough of this sweet song...God bless you so much pastor as you minister to his flock...Inspiring indeed
Mimi hapa nisaidie mungu wangu😭😭😭😭😭
Ameen
Tunaka nyimbo za Abihudi
I love this song❤
Damu yesu ifunike kila mahali pa maisha yangu nawale niwapendao ktk jina la Yesu yesu ninuru niangaze.❤❤❤❤❤
I really love this song so much
Damu itufinike na tuangaze
Hakika Nimekumbilia wewe Baba angu Muumba ili nisiaibike milele
Mych love from Kenya... I love this so much
Ameen
Ameen
Mungu yupo,anasikia anasaidia.
The song really encourages.God bless the management
❤❤❤❤❤❤❤
Nice song
Damu itufunike