RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ALIVYOTEMBELEA SEHEMU ANAYONUNUA NGUO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Tunayo story kutokea kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ambapo ametembelea sehemu anayonunuaga mashati katika Kiwanda cha Binti Africa ambapo alianza kuvaa nguo zinazotokana na eneo hilo tangu mwaka 2013.

КОМЕНТАРІ • 35

  • @shaabankhamis1051
    @shaabankhamis1051 5 років тому +2

    na bado mtamkumbuka sana watoto wa mama kazi mlikua hamfanyi wwngi wenu mlikua mnauza unga kutuharibia ndugu zetu wazazi wenu mafisadi mlikua mtanyanya watu mjini mkiambiwa mnasema unanijua Mimi Nani kumamamake mtakoma tunyooshe magu na bado

  • @evelynmon6491
    @evelynmon6491 5 років тому

    Wow! my president 💞

  • @oscarchacha8703
    @oscarchacha8703 5 років тому +2

    Kweli, Ufipa ni wa kuwaacha kama walivyo. Awali walisema ni Rais dhaifu, Serikali imemshinda, anachekacheka, anasafiri sana nk sasa amekuwa mzuri. Mhe. JK uzuri wake ni MZALENDO na anaipenda TANZANIA. Pia bahati nzuri anawajua vizuri WANASIASA WA MAJI TAKA, ndio maana hakukubali kuacha NCHI iongozwe na NYUMBU. Anawakumbusha kuwa "MAISHA BORA YANAPATIKANA KWA KUFANYA KAZI". Mhe. Dr. JPM anawaambia "HapaKaziTu". MUNGU ibariki TANZANIA

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 років тому

    mh saafi sanaa inaleta rahaa sana kuona kiongozi wetu mstaafu unakumbuka watu wako bado tunakupendaa rais wetu

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 5 років тому +2

    Dada anafanya kazi nzuri sana OK sawa ila PITIA HAPA KUONA MAPAMBO YA KUTENGENEZA bofya kapicha kushoto

  • @jennifermrope1577
    @jennifermrope1577 5 років тому +14

    Baba tunakukumbuka baba jaman baba 😢😢😢hali zo flohana kama simba vile kama umemkumbuka baba gonga like tuwe kwenye majonz ya kummic wote😢😢😢

    • @abednego3876
      @abednego3876 5 років тому

      Ameacha Taifa sehemu salama.

  • @man.lule.585
    @man.lule.585 5 років тому +7

    Rais Bora.ni Magufuli tu akunaga na aitatokea maana kiongozi mzuri awezi pendwa na wavunja sheria maana walizoea kujipatia mali bila jasho. Ongera Mh Kikwete kwa kumuachia kiti Mh. Magufuli A.k.a Katapila.

  • @fettyameir4514
    @fettyameir4514 5 років тому +3

    Penda San Rais Mstaafu

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 років тому +4

    Huyu ndie rais asiye na kisasi wara majigambo zarau mwerewa mnyenyekevu. mpenda watu na anakubali kukosolewa.

  • @shaabankhamis1051
    @shaabankhamis1051 5 років тому

    vizuri zaidi saivi tunaheshimiana pesa za magumashi hazipo mafala nyinyi na mtazidi kummisi hatorudi tena na kwataarifa yenu akitoka magu kinakuja kifaa kuliko magu mtajuta

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 5 років тому

      Shaaban khamis, katika hao Mafala na WAZAZI wako wamo???

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 5 років тому

    Nguo nzuri sana hizo

  • @testmyphone1305
    @testmyphone1305 5 років тому +2

    mtaongea maneno yote mwaka huu ila huyu ndie raisi wa pekee

  • @medardjustinian5223
    @medardjustinian5223 5 років тому

    Wako sehemu gani?

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 5 років тому

    Watanzania wote KABLA ya yote kwa pamoja tuseme " ASANTE MUNGU" bila kujali ni dini gani. Ni lini tumepata RAIS MBOVU???? TUMSHUKURU MUNGU JAMANI. Tunabahati saaaaaaaana kuanzia MWALIMU na hivi sasa tuna DOCTOR. Ukiwa Mwalimu mzuri utapata wanafunzi "BORA". Tuzidi kumuomba Mungu tulete PROFESSOR. Mungu ibariki TANZANIA

  • @edoell
    @edoell 5 років тому

    Hivi huyu mzee huwa anakasilika kweli maana wakati wote na tabasam na hana stress au ndio mbinu ya kutopata makunyanzi.

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 5 років тому

    Tunawapata vipii?

  • @robsonmwongi895
    @robsonmwongi895 5 років тому

    nakuelewa sanaaa

  • @graceloby1699
    @graceloby1699 5 років тому +1

    ndiyo kazi uliyokuwa unaweza

  • @saulmwakyanjala5449
    @saulmwakyanjala5449 5 років тому +12

    MH, KIKWETE SITAKUSAHAU MAISHANI MWANGU UNALIPENDA TAIFA LAKO KUMLETA MH, MAGUFULI NA KUMTUPA NJE LOWASSA MUNGU AKULINDE

    • @abednego3876
      @abednego3876 5 років тому

      Yaani Angemleta Lowasa Bendera ya taifa ingekuwa Rubega ....tungeliwa mno na Taifa lingeanguka

    • @oscarchacha8703
      @oscarchacha8703 5 років тому

      Mwanafyale, haya maneno magumu sana, na inaonesha ni kweli yamekutoka moyoni. Nayaacha kama yalivyo, siongezi wala kupunguza kitu

    • @godfreymligo5140
      @godfreymligo5140 5 років тому

      Hunamacho wala masikio

    • @mustaferkurasikaomary2700
      @mustaferkurasikaomary2700 5 років тому

      saul mwakyanjala nikwel

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 5 років тому

    kiwanda kipowapi hicho?

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 5 років тому

    Unakubalika

  • @godfreymligo5140
    @godfreymligo5140 5 років тому

    Duh! We mzee umeondoka umetuletea sikio lakufa hasikii la mtu yani twapigika kwelikweli

  • @marthamohamed5261
    @marthamohamed5261 5 років тому

    🇹🇿🇹🇿

  • @ukashamajaliwa1280
    @ukashamajaliwa1280 5 років тому

    Anapendeza hata kuongea

  • @godfreymligo5140
    @godfreymligo5140 5 років тому

    Bora ya wewe ulilipa watumishi hewa hukufukuza hovyo watumishi lakini watumishi vyeo walipanda ,mishahara ulipandisha ,uliajili kila sekta japo pesa zilitumika lakini Nazi wanyonge walipata sahizi hata jkt ya mkataba no shida mishahara ileile ulio tuachia ww vyeo vilevile na wengine wamevuliwa ama kufukuzwa kabisa tens bila barua wala kiinua mgongo.....