CHIEF GODLOVE: NAONYESHA UTAJIRI WANGU ILI MUUMIE/UTAJIRI WA DIAMOND HAUTISHI/VIMBAO NA PESA/MWIJAKU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Tumepiga Story na CHIEF GODLOVE
    ````````````````````````````````````````````````````
    Facebook Page @chazymedia
    instagram @chazymedia
    Tiktok @chazymedia
    ``````````````````````````````````````````````````````````````

КОМЕНТАРІ • 66

  • @funnytv9361
    @funnytv9361 3 місяці тому +4

    Jamaa anajibu fact sana smart iyo energy 🙌

  • @Nanata1995
    @Nanata1995 3 місяці тому +2

    Brother, I have accepted you very much, I am in the USA 🇺🇸

  • @JumaMembe-k4x
    @JumaMembe-k4x 3 місяці тому +14

    Jamani kunasiri mkubwa sana ila mm naelewa nivile watu kutokujijua tu ila binaadamu tuna viumbe tumezaliwa nao ndio utajili wako

  • @aiyaavibes7610
    @aiyaavibes7610 3 місяці тому +2

    Much respect to you CHIEF GODLOVE

  • @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
    @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE 3 місяці тому +2

    Chief umeongea neno ambayo imenigusa , kwamba kama hauja zungumziwa nawatu kwamba kidogo ulichonacho umesaidia laba unazitoa ngambo yapili.kwahio mambo hayo yapo kiukweli , asante sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MbweaWajangwani
    @MbweaWajangwani 2 місяці тому +1

    Kweli kabisa hiyo point sana ukifanya hivyo utafanikiwa zaidi dana

  • @vinceochieng9619
    @vinceochieng9619 2 місяці тому +1

    The guy has wisdom in his talks

  • @Stevmwamba2090
    @Stevmwamba2090 3 місяці тому +6

    Yah hiyo nakubali ukiona huitwi majina kama hayo ujue bado hujatoboa

  • @TumainiAnthony-xe9gt
    @TumainiAnthony-xe9gt 3 місяці тому +1

    Umetisha Sana kiongozi wangu, tupo pamoja

  • @maryhaule5625
    @maryhaule5625 2 місяці тому

    Kweli kabisa kabisa uko sahihi

  • @RaphaelMgaya-ms5hy
    @RaphaelMgaya-ms5hy Місяць тому

    laki moja moja hizo

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 3 місяці тому +2

    Leo umeongea point.

  • @Nicholasasu-s5q
    @Nicholasasu-s5q 2 місяці тому

    Ukitaka kuishi kwa amani na raha duniani basi usijionyeshe wala usijigambe kwa sababu maisha nimafupi sana na kama unaakili timamu basi kamwe auwezi kuringa sisi wote nimchanga tuu

  • @SalomeflavioManhique
    @SalomeflavioManhique 11 днів тому

    Kwani ni Rais au lais

  • @BornifaceMwampulo
    @BornifaceMwampulo Місяць тому

    Huyu jamaa anajua anachokifanya hapana jamani wamwache na maisha yake Mimi namkubari sana

  • @DeoUrio-k6f
    @DeoUrio-k6f 2 місяці тому

    Jamaa anadharau sana eti maskini hapendezi

  • @ObediMwakapiki-yv7kf
    @ObediMwakapiki-yv7kf 2 місяці тому

    Kwahiyo chifu amekataa MUNGU Aishi mbinguni

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 3 місяці тому +1

    Hehehe ati hakuna...

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 2 місяці тому

    We jamaa hufai hata kufundisha elimu dunia mpotoshaji

  • @JERRYMWAKABONA
    @JERRYMWAKABONA 2 місяці тому

    😂NI MR IP

  • @barakambise6494
    @barakambise6494 2 місяці тому

    ndio uzuri waumie

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 2 місяці тому

    Oya we acha ujinga huo 😂😂😂

  • @Nicholasasu-s5q
    @Nicholasasu-s5q 2 місяці тому

    PESA HAIWEZI KUKUPA AMANI WALA FURAHA UKITAKA KUISHI KWA AMANI NA FURAHA USITAMANI PESA WALA KUTAKA VITU VYA SAMANI MAANA SISI WOTE NIMCHANGA SISI WOTE NI MAREHEMU

  • @salimchibonge5446
    @salimchibonge5446 2 місяці тому

    Nimefrahi sana ulipomjibu msenge mwanahabari,wadiisha umeguna kisha ukamwambia Hilo swali unataka kuniuliza swali la kinafki sana 😂😂😂😂

  • @EmanuelJoseph-cx3hz
    @EmanuelJoseph-cx3hz 2 місяці тому

    Watu elfu moja apo Kwa haraha kashapiga ml100

  • @JoaquimMashalangende-fw7xs
    @JoaquimMashalangende-fw7xs 3 місяці тому

    Kweli kiangozi wetu

  • @SalumuAlly-d9q
    @SalumuAlly-d9q 2 місяці тому

    Huyo jamaa mganga wa kienyeji nini mbona una pete vidole vyote 😅😅😅

  • @WilfredWilfred-v5q
    @WilfredWilfred-v5q 3 місяці тому +1

    Mwandishi wa hbr umepata somo apo

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 2 місяці тому

    PESA ZA MASHARITI ,KUTOKUOA HATA SISI TUNAJUA HIZO JIA ILA YESU ATOSHA

  • @FidkimKim
    @FidkimKim 3 місяці тому

    Fidd kim✌️✌️❤️❤️

  • @hamidusibye5241
    @hamidusibye5241 2 місяці тому

    nimesema unatakiwa ufanye nini.......huelewi😂😂 6:46

  • @JoaquimMashalangende-fw7xs
    @JoaquimMashalangende-fw7xs 3 місяці тому +1

    Kiongozi vap ilimo watu

  • @josephkamanzi
    @josephkamanzi 2 місяці тому

    Mimi niko mkoa wa kagera
    Yani chifu mimi Nakupenda sana masomo yako nimeyadanarodi nikiyasikia yananipa NGUVU ya kupambana na kujiamini kwamba inawezekana kufanijiwa.kabisa

  • @user-vs3tn2lm9s
    @user-vs3tn2lm9s 3 місяці тому

    Chief, how can I find him or how can I get his number because I talk to him and I live in the United States in Chicago

  • @MichaelPoison-fv8jo
    @MichaelPoison-fv8jo 3 місяці тому +2

    Vigari vya madogo mtaani

  • @karimhussein1413
    @karimhussein1413 3 місяці тому +1

    100,000 ×1000 embuzidiaheni apo kama hampi mtaji huyu jamaa ina maana the more watu wa join.. Anapata mzigo

    • @BensonAlex-w7l
      @BensonAlex-w7l 3 місяці тому

      Sasa million 100 n hela gani dogo !!!!

  • @hamisimwakatobe706
    @hamisimwakatobe706 3 місяці тому

    Pesa haitafutwi ila inategewa mtego huyo chief tyr ametega tyr kwa hiyo tumuelewe

  • @wazirijunior3343
    @wazirijunior3343 2 місяці тому

    Toka hapa kwani si wengine hajitumi familia zetu unazilisha ww🤣🤣🤣🤣

  • @BarakaJosephat-d1s
    @BarakaJosephat-d1s 2 місяці тому

    uhakika ata asinge kuja wala kukuhoj an

  • @kizazisanagang
    @kizazisanagang 3 місяці тому +3

    Stop wasting time the guys confuses youth to do unbelievable things to get money....this is an end world and people worship the devil to get money...uyu n free mason msizingulike kirahisi bana....

  • @AholeLifilima
    @AholeLifilima 2 місяці тому

    Mumeuona nyau nyau juu ya ukuta😂

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 2 місяці тому

    Kweri

  • @HappyBabyOctopus-es2iy
    @HappyBabyOctopus-es2iy 3 місяці тому

    Kama huna D mbili huezi elewa

  • @MichaelPoison-fv8jo
    @MichaelPoison-fv8jo 3 місяці тому

    Mama kazaa chema

  • @uwayomisago5694
    @uwayomisago5694 3 місяці тому +3

    Mwizi huu anatapeli wajinga laki Moja moja

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 3 місяці тому +1

    Rengo tupambane uko poa dogo

  • @falialaofficiel7335
    @falialaofficiel7335 2 місяці тому +1

    Mumuache uyo kijana anafanya promotion ya 666
    Na ni raisi sana kukuwa kama yeye ila siyo vizuri

    • @annanamuyala
      @annanamuyala 2 місяці тому

      Ni chapa ya 666 watawaunganisha wengi kupitia pesa musahada wa mwanadamu ni yesu tu mungu atusaidie

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 3 місяці тому +1

    Wewe unakunwa😂

  • @marlonstudios4408
    @marlonstudios4408 3 місяці тому +1

    Jamaa tapeli uyu 😂

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 2 місяці тому

    Ukitaka kuharibu biashara Oa mke uone .

  • @bigmtoro
    @bigmtoro 3 місяці тому +1

    Sasa anatataka kuwaongopea vijana ndio anazitafuta pesa sasa hizo laki moja zenyu ndio utajiri wake ...show imeisha sasa anataka kuvuna kutoka kwa vijana investment imenawiri sasa anavuna...sasa ndio wajinga mtamtajirisha huyu pimbi kweli mjini akili nguvu vijijini...ponzi scheme 😂😂😂

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 3 місяці тому +1

    Hizo pesa anazogawa sio za jasho wala mipango ni blood money aache kupotosha watu watu wanapoteza mda kufatilia watu kama hawa pesa ni Siri pesa ni Siri tufanye kazi watanzania tuache hawa watu wa network Sisi tuishi Kwa uhalisia wetu

    • @BensonAlex-w7l
      @BensonAlex-w7l 3 місяці тому

      We ndio unapotosha watu,,,pambana uondokane na mawazo ya kijinga

    • @DavidMbwilo-qk1bz
      @DavidMbwilo-qk1bz 3 місяці тому

      @@BensonAlex-w7l watu tunapambana haya maisha usilolijua ni ucku wa Giza wew mwenyew hapo ulipo mtaan kwako I think kuna matajir unawajua ushawahi kuona wanafanya ujinga kama huu hii mitandao inawapoteza Sana mnapelekea kuiga maisha ya watu bakin kwenye uhalisia wenu ni lini utakuwa na akili hawa watu wa system wanawapoteza Sana

  • @AhjuceAqeeb
    @AhjuceAqeeb 2 місяці тому +1

    Hapo nmeondoka na mawili
    1. Fanya yako usiangalie ya mtu
    2. utajili ni siri
    Kitendo cha kutaka kujua pesa anapataje hapo hujaangaika na yako unaangaika na yake 😂😂😂😂😂😂 chukua hio

  • @karimhussein1413
    @karimhussein1413 3 місяці тому +2

    100,000 ×1000 embuzidiaheni apo kama hampi mtaji huyu jamaa ina maana the more watu wa join.. Anapata mzigo