Ameeeen, msimuache Yesu, tunzeni hazina hii ya malezi mazuri mliyopokea mdum nayo hata uzeeeni. Kwa Dunia ya sasa kuona team ya vijana wako kanisani ni kushukuru Mungu, tuwaombee na kuwatia moyo maana ni kizazi kitakacho rithi NAFASI zetu....
Wapendwa katika Kristo hasa Wachungaji na viongozi wa kway, sifa na muziki, shetani anatumia sana hizi step ili kuwatoa watu katika kuabudu katika Roho na kweli. Step zimebadili kanisa kuwa mahali kama ngoma za kienyeji kumsifu shetani! Kwaya zinaenenda kama dunia ienendavyo jambo hilo litaligharimu kanisa. Kuna umuhimu wa kulitafakari ili kupata steps znazomshusha Roho wa Mungu.
Waimbaji na viongozi ea kwaya na kushilikiana na mch na wazee kagueni nyimbo kabla ya kurekodi nyimbo ili mshauri ili vijana wetu watumike vizuri kwa maudhui mazuli ya injili ya kirsto
Heee watu mnajua kukosoa duu, hongereni sana ila toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utao a kibanzi kwenye jicho la mwenzako, Waacheni watoto wameimba vzr na step wamecheza vzr
Mnafanya vizuri ,km tulivyosema wanalipa lakini Mungu ni roho Mungu wetu anaabudiwa ktk roho ,na adui yetu ni roho na Leo vitakuu iko rohoni ,adui anahila ,Muuaji matukio mengi Leo makanisani msababishaji ni yeye tusiangalie na kutegemea Hosp Bali tuombe na tuombeane, huko iwe ziada, huenda hutanielewa lkn ni hiyo ndiyo hali halisi
Ameeeen, msimuache Yesu, tunzeni hazina hii ya malezi mazuri mliyopokea mdum nayo hata uzeeeni. Kwa Dunia ya sasa kuona team ya vijana wako kanisani ni kushukuru Mungu, tuwaombee na kuwatia moyo maana ni kizazi kitakacho rithi NAFASI zetu....
Hata SISI tulianzia huku mpaka sasa tunaendelea kumtumikia Mungu, kipekee nawapenda.... Nawaombea.
❤❤❤ and I answer your song 🎵 😊
@@RuthGeoffrey ameeeen nyimbo zangu zipo pia kwa UA-cam yangu karibu.
❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥 AISEH MMEKIWASHA VIJANA WENZETU
Wapendwa katika Kristo hasa Wachungaji na viongozi wa kway, sifa na muziki, shetani anatumia sana hizi step ili kuwatoa watu katika kuabudu katika Roho na kweli. Step zimebadili kanisa kuwa mahali kama ngoma za kienyeji kumsifu shetani! Kwaya zinaenenda kama dunia ienendavyo jambo hilo litaligharimu kanisa. Kuna umuhimu wa kulitafakari ili kupata steps znazomshusha Roho wa Mungu.
Msienende kama mataifa Kuna hukumu mbele muwe watakatifu mwili na Roho
Waimbaji na viongozi ea kwaya na kushilikiana na mch na wazee kagueni nyimbo kabla ya kurekodi nyimbo ili mshauri ili vijana wetu watumike vizuri kwa maudhui mazuli ya injili ya kirsto
Sifa na utukufu kwa mwenyezi Mungu
Mpo vzr vijana wa Yesu
Mungu awatunze
Vijana wenye nguvu mungu awabaliki sana
Chezeni mpaka shetani aone wivu mko vizuri
Barikiwa sana nilishawahi fika shalom nilibarikiwa sana
Kwanza nimewapenda pigen injili vijana Mungu yuko nanyi
Nakubali sana Mungu azidi kuwainua
Bwana awabariki waendalee kumtumikia mungu
Ongera sana MUNGU awabaliki
Wow ni kali kweli
Kweli nyie ni makomandoo wa yesu mungu awabariki
Hongereni wapendwa wangu MUNGU awabariki sanaa
Mkumbuke Mungu katika ujana wako, uzee ukija atakukumbuka pia. Stairo ya Daudi alicheza nguo zikatoka
Mbarikiwe sana Vijana wangu. Naona mnaendelea kuchanja mbuga. Tumieni nguvu zenu ktk kumwimbia Mungu na sio dunia
Kweli ni makomando nimewapenda❤❤❤❤❤
Mumeimba vizuri mungo a❤pewe sifa
Mbalikiwe watumishi wangu
Mungu awabariki Sana
Mungu awasaidie
Safi sana
mungu awabariki sana Jamani vijana wanajua kucheze kweli 🎊🎊🎊🎊🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Site tushilkiane kumtmikia bwna Amin.
Mungu wa mbinguni yupo bwana amen
Hongera
God bless you young commandoes may our God keep you going ❤❤❤
Hongereni,chezeni hakika kwa kumtukuza Mungu wetu wa Mbinguni.
Asant
Heee watu mnajua kukosoa duu, hongereni sana ila toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utao a kibanzi kwenye jicho la mwenzako,
Waacheni watoto wameimba vzr na step wamecheza vzr
Hongera vijana, mtumikieni Mungu mngali na nguvu, barikiws
Amina - Ubarikiwe
I love it shangweeeee kwa God
Nzuri
Kwann msinywe soda Kwa kazi hii nimependa
Hakuna kurud nyuma hakika mnacheza vizur Sana mcheen Mungu aliyetuumba
Mko vizuri sana nitawatafuta mje mtumike Malawi
Ukiwa na nguvu rukaruka kwa Yesu
Mbarikiwe
Amen great work vijana
wanavuji kweli 🎉❤ngomeeeeeeeeee❤
Mungu awabariki kwa wimbozuri wakumsifu mungu ameeeen💯💯💯💯🤲
Hakika mko vizuri
Glory and honour to our God for a toutching song be blessed young youths for serving God while you are young Amen 🙏
Hongereni sana
Tu 2 makomando was yesu tunabomoa ngome ya shetani kwajina la yesu Kristi uhishie milele daima mungu hawabarik watumishi wake wote asante
À
Amen mmepikwa kwa kweli hongereni vijana
kweli mnavipiga Vita vizuri keep it up
Mko vizuri mungu awabariki sana vijana wenzangu
Nice song God bless you
Hongera sana
Mmenyoa na viduku Mungu atuhurumie
Good job,mungu awabariki
Nimeipenda
Ongela vijana
Mungu awatangulie wapendwa katika bwana
God blesse you guys nice song
Chezeni KWA YESU Mpaka Shetani Some Wivu
Kwa kweli hiyo kwaya imenibariki sana, vijana tumikeni mngali na nguvu huu ni wakati wenu na Mungu anawapenda sana shetani ameshindwa.
Kahm sehm gan
Mnafanya vizuri ,km tulivyosema wanalipa lakini Mungu ni roho Mungu wetu anaabudiwa ktk roho ,na adui yetu ni roho na Leo vitakuu iko rohoni ,adui anahila ,Muuaji matukio mengi Leo makanisani msababishaji ni yeye tusiangalie na kutegemea Hosp Bali tuombe na tuombeane, huko iwe ziada, huenda hutanielewa lkn ni hiyo ndiyo hali halisi
kiukwel nyie ni noma
Ameeen
Powerful choir ya watoto mbarikiwe sn tuned in gulf....🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞🙏🙏🙏
Amina
Congratulations may God bless you
Safiii
Nzuriiii😍
Hongereni Sana watumishi
Amen 🙏🙏
Thank you makomandoo was Yesu May the Lord Jesus Christ continue blessing you and inspire your work.
Asante - ubarikiwe
Hongereni kwaya smart
Mashujaa wa krst
Kiufupi mnajua
Kama Hadi watoto wa like wamenyoa kiduku Kuna Nini hapo
ongela
Mko vizur bwana awabariki
Taji sololost umesolo vzr San kwa hisia
Mungu azidi kuwaonekania hongera sana
Good,"God bless you
Thanks alot commanders
ongera sana mungu awabalik
Mko vizur injili iendelee
Sako vizuri
Barikiweni sana
Perfect
Wooow it's Nice, I like it
Hongera sana kwawimbohuu mungu awabarik
Barkiwa
Kweli nyinyi ni macomado
I laik
Beautiful. God bless you.
Supachaj
Mnaimba vizuri, ila msipoacha mawigi hayo na nguo za kubana,heren bado shetani anawatawala tuu!
Mbarikiwe sana
Hongereni Sana watumishi wa Mungu, kanisa Gani Hilo?
Nzur
hongera vijana
Hongeren Sana vijana
Hongeraen
Vizuri
Amina sana
Mungu akujaze nguvu
Mungu awatie nguvu
Hongera Sana Yesu awatunze 🙏🙏
Siku za leo imebaki kusifia namna ya kucheza tu utasikia ulimwona fulan yule alivyochexa