Umewazidi Wote | Bahati Bukuku | Official Video
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Song: Umewazidi Wote | Artist: Bahati Bukuku
Get it from iTunes - goo.gl/gcucas
Spotify - goo.gl/nQo6Q3
UA-cam: bit.ly/2eg6s3v
Facebook: / bahatibukukutz
G+ : plus.google.co...
SUBSCRIBE Injili For Best African Gospel Songs: / injiliafrica
Like us on Facebook: / injiliafrica
Follow us on Twitter: / injiliafrica
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com
Click here to play the full audio on Spotify -> goo.gl/nQo6Q3
To download from iTunes click here -> goo.gl/gcucas
Bahati Bukuku
nice song by sheila
Bahati Bukuku umewazidi wote
Mose ft Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
kama unaangalia na kusikiliza huu wimbo 2024 gonga like ya kibabe!!
Am here
Me tooo❤
I'm third one here ❤
Am here
😂there we go till 2080
Who is watching with me ,2025 ,,,,,gonga like Bahati bukuku, for life, much love from,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ,,❤
Hii sasa ndio inavuma mummy kila mahali ni hii song ❤❤❤❤nice song
I salute my wife for standing with me in all obstacles I passed through,especially during the time I was broke and jailed but she stood with me and right now we are happy enjoying our life.she was insulted but she stood firm with me"""Thank you my sweetheart, For sure Stellah wangu you are above all""
ua-cam.com/video/mjksE0BiHEY/v-deo.html
Congratulations bro
Congratulations
🥰
She stood firm with a criminal, waaaooooh
Nothing brings joy than having a supportive patner,..to all supportive wives and husbands may your cup never run dry in Jesus name....
Amen ❤❤❤❤
Amen 🙏 and amen 🙏.
Amen
Amen 🙏 🎉❤
Mungu nibariki na wangu nitaomba nitapiga shukurani nitafast on behalf of us mungu,,, hawajui haawajui❤❤❤ 2025 likes tukisonga
Moto Mwaki Fire 🔥🔥💯💯 Chu chu
Dada bahati uwimbo umefundisha wanandoa sanah wakitaka kugombana wanaweka wimbo huu wakiangaliana wanajiuliza tulianzia wap Bab angu ❤😢
Kipindi hicho naruka majoka, wimbo huu uliwah nifanya nitokee kumpenda sana mchumba wangu na muda mwengi nilikua nikipenda kuuimba nikiwa nae japo hatima ya mwisho alikuja kufunja agano letu. Ila kupitia wimbo huu nilitokea kujua umuhim wakutulia na mpenz mmoja. Mwenyez Mungu atusameh sana kwa kweli na atujalie utuliv wa milele na wake au wachumba zetu
Ubalikiwe saaaaana bahati bukuku
Hawajui hekima yangu kwako....hawajui hekima yangu imekufikisha hapo....hawajui maombi yangu ndio yanakubeba....
Wuuueee..... I love this song wholeheartedly....
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
More greace Bahatu Bukuku...
Kama unaangalia huu wimbo December 2024 gonga like ❤
Lidya kanifanya nije nisikilize uu wimbo lidya like 👍
Mungu Nijalie Nipate mume Bora na mwenye hofu na Wewee Mungu Amen ♥️♥️♥️
Hiyi nyimbo ya BAHATI inajaa ushauli mwingi saana yani aliimba mzuri sana. Mungu akujaze nguvu na mafuta ya kumutumikia
Wimbo sio nyimbo
Najifunza kitu nikisikiliza wimbo huu, Ahsante Mungu akubariki Bahati bukuku, watu tunaanziaga mbali jamani, Ahsante kwa ujumbe wako kwa jamii
I have no idea what she is saying but man she is truly talented ❤
Good idea the mighty god bless you Bahati.
Bahati Bukuku,,mungu akuzidishie miaka migii apa duniani nakupenda mum,ubarikiwe sana,,asante kwa wimbo huu
Mwenyez Mungu uketie mahali pajuu mahali patakatifu nipo mbele zako ninakuomba kwa dhati kabisa ukayasimamie mahusiano yetu mwaka 2024 ikawe historia baba naomba kam kuna vitu vinamfany huy kaka asiwe saw nipe uvumilivu na umrudishe katika hali yake ya kawaida Baba natumai Mchumba wangu ni zawadi toka kwako Naamin zawadi hii hakuna atakae weza kuninyanganya zaidi yako wew Baba Ameen 😢😭🙏
Umeandika Kwa Uchungu Adi najikuta Nalia Jaman Jeneth Mungu Asimame Nasi Kwenye Mausiano Yetu Amen
This is my song, everything in it addresses what we have been through with my wife. She ridiculed, humiliated but stood with me all through. Thank God we are somewhere today!
Thanks for appreciating your Wife . Not many do
Ndoa ina Siri Kubwa, Moyo hakika una Siri kubwa. Sadakta dada umenena ndipo. Nakupenda bure Bukuku.
Kabisa
Nabiswa Mary nakanena kweli
Nabiswa Mary hhh
Kama unapenda nyimbo za bahati bukuku weka like
Praise God siku ya harusi yangu nitapenda kusikia nikiwa na bwanangu hii nyimbo ni ujumbe mzito mungu nilindie bwanangu muwekee ulinzi katika jina la yesu
Mungu akujalie miaka mingi hapa duniani moma nakupenda zaidi 😍🥰❤️" maneno yao nmeyasikia 😭😭😭"
Am a Muslim but I really love this song ✨✨✨💯 mwanzo hio part ya "Amewazidi Wote "
Tena ile sauti anasema nayo napenda kueka ii song mume wangu akiwa karibu.
Hapo umesema am a Muslim ila
"amewazidi wote" mbona pazuri mno
ua-cam.com/video/mjksE0BiHEY/v-deo.html
I lack words to express how gracious you're through this wonderful advise song. Be blzd mum
Hongera dada yangu kwa wimbo mzuri wimbo huu hautachuja kamwe mungu azidi kukutia nguvu
Ewe Mwenyezi Mungu mjalie neema,amani na uvumilivu kila mwanandoa anayeutazama wimbo huu.🙏
Ndoa kwa kweli ina siri kubwa isiyomithilika. Nakupenda sana mke wangu 💞💗💕💕💕🔥🔥🔥🔥🔥
Nakupenda pia baby wng
Bukuku is blessed. This is great, this song is ever new every moment you play it.
Asante sana bukuku sichoki kuziskiliza nyimbo zako zinamafunzo sana mungu akubariki n akuzidishiye Amina🙏🙏🔥🔥🔥
hawajui maombi yangu ndio yanakubeba.....maombi nikuombeayo yakupa cheo..
nice song Dada Bukuku, keep it up....all Glory be to God
Bahati bukuku asanteni Sana nyimbo wako ni wandowa asante mungu akubariki sana
To the 1% of people reading this: your amazing and loved God put u in this life for a reason and everything will be better soon
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen😢🙏🙏🙏🙏🙏🙏
My my husband make this his declaration from today henceforth in Jesus mighty name
I am tired of proving to anyone apart from God
Mum Bahati Bukuku Mungu akibariki sana na akutendee wema, pata nguvu mpya ya kuendelea kwa Jina la Yesu Kristo
Am Muslim but I love this song because of the message. God bless you Bahati, this will touch many peoples life.
Sabdio Doti we welcome you to the family of Christ Jesus the home of salvation and hope
Ameee Dada wanyakyusa tumebarikiwa kuimba
Me too I'm Muslim but this song oooh! Its impressed me a lot
Sana hata mimi naupenda sana ujumbe unaelimisha kwa wote huu
Amen amen 🙏
Hii nyimbo kila nikiisikiliza najikuta nampenda Mume wangu kwa upya kabisa,namshukuru Mungu, mume wangu ananiheshimu sana na hana mambo mengi,nampenda sana.
Jipe moyo
Wimbo mzuri sana huu,tunashukuru kwa ujumbe ;Mungu akubariki dada angu
NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA MKE MZURI. MKE MWEMA KWANGU. MKE MWENYE HESHIMA BINTI PEKEE ALIENITEKA NA KUIVAMIA MOYO WANGU. NITAKUPENDA MILELE DAIMA MKE WANGU. I LOVE YOU AND I RESPECT YOU MORE THAN YOU CAN IMAGINE..
MAIKOVIN DECOR & EVENTS COMPANY nice mke mwema utoka kwa bwana
MAIKOVIN EVENTS COMPANY
MAIKOVIN EVENTS COMPANY hongera ubarikiwe usiskilize ya watu
Amen
🙏
nakwambia huu wimbo nikifika kwa nyumba lazima niwekee mke wangu ka tumekaa na yeye kwa meza ajue aliwazidi wote.napenda nyimbo zako bukuku
Watu wapuuzi sana kwa habari mbaya za ungo huyu mama nampenda sana Mungu akuongezee maisha marefu mama bukuku
Don't lower your integrity because of what pple gossip behind your back😏🙄just assume en focus ahead🙏God will ashame the proud 🙌🙌🙌be blessed mommy🙏
Huu wimbo ni shida sana..Barikiwa sana @Bahati Bukuku
Njamani huuu wimbo inanifariji moyo na sikiya kila saha.na sauti yake mama inanifurahisha Sana.watu wanazungumsa na hawajui kyenye tumetoka.aksanti mama mungu akutiye nguvu.
This song is a bomb blessing to me. Just waiting to find the right one for me nimwimbie au aniimbie huu wimbo.God's time is the best time.
I love how her songs starts out with a problem that we face everyday in walks of life and in the end there is a Biblical teaching to it....and that is what makes it so relatable
In love with both the singer and the song😍
I agree with you big time
@@olivianmungala2262 gjiteo
Natumai ujumbe wameupokea... Mungu ndio husaidia kila mmoja kuchagua mpenzi wake... Wanaume waache tamaa... Lazima wajua kuwa mmoja anawazidi wote😍😍
This is one of the song that reminds me more of our struggle as couples our suffering; the battles we encounter; the humiliation we did receive from external forces; we pray for our parents for standing with us during this worst moment in our life; I thank my wife for standing with me at my worst and i pray for her; may you be healthy sweetheart Maxy. unforgettable memories.
Who is still watching this song in 2024❤
Me
I am and seriously enjoying it
Hakika mke mwema ni baraka kwa mumewe.. Barikiwa Bahati Bukuku
Ahsante sana Bahati kwa wimbo mtaratibu! She deserves a Grammy Award! Hongera dada!
Mume wangu mtarajiwa popote ulipo usiache kuwaambia nimewazid wanawake wote kwa kila sekta, na usikawie sana kuja kwenye maisha yangu nimechoka kuishi mwenyewe
woow pia ww umewazidi
Nipo hapa😊
Nimebarikiwa dada, maudhui katika nyimbo zako yaani yako juu, mungu azidi kukupea maarifa utuimbie nyimbo tamu kama kawaida🙏
ushauri wangu kwa wanaume wote siku zote neno hili lisikose kinywani mwenye binti za wengi wamefanya mema ila huyu mke wangu amewazidi wote 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
looooo... wangu amewazidi wote
Casine Obote maombi ya mwanamke ni mafanikio ya mwanaume
all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love your songs because they have a wonderful message, ubarikiwe sana sister
No
Till now 2020...we still with you+254
Huu wimbo niliusikia kwenye gari nikiwa nasafiri, nilihakikisha nimeufatilia hadi nikaupata, unafaa sana kwenye jamii na familia zetu zilizoporomoka, Mungu awabariki sana, endeleeni kuelimisha jamii na ya familia ya Mungu
kama bado unaendelea kusikiliza huu muziki 2019 gonga like hapa twende pamoja, Mwenyezi Mungu nijaalie nimpate wa maisha unijaalie ndoa njema nimuimbie huu wimbo kila siku🙏🙏🙏
May God answer you.
Mungu ako na wake na waume wazuri.
Wanadamu wakisema hakuna sisi tunaoamini tunasema wapo maana kwake Mungu Kuna Kila kitu
Quite a blessing tune
ii wimbo inanipambana sana
@@loisegibson9239 vpsawa mung yupo
Bahati bukuku
Pongezi Bukuku kwa kutetea familia. Watu wengi wanamezea wanaume au wanawake wa wengine mate laiti wangenjua walipotoka
Aaaah the rythm itself is wow...wimbo huu ni wa mwaka..piga like ya Bahati
2025 anyone?? This songs hits differently every time I listen to it 💯🔥🔥
God bless you as you continue scrolling down reading the comments gonga like yako hapo Kama you like reading comments.
Wow,,I like it ,,kicheko changu ni faraja kwako my dear wherever you are
Hakuna kitu napenda hii sauti na Mimi muislam naombeni like zenu kijana mwenzenu najihisi kubarikiwa kwa hiii sauti ya madame🙏
Hunishindi mimi jamani huyu Dada nampenda sana pamoja na nyimbo zake zote
@@mkollasultain4535 kabisa
Hakika hujakosea
mashaalah nice voice
Sana🔥🔥
2024 on top ☝🏿 nasubiri niowe tu huu wimbo adi kifo me namke wangu, Mungu ajalie tu 🙏 barikiwa sana kwa huu wimbo fr
Nice, your uncle is proud for you Julius,,,hongera xana,,what a blessing song
Wimbo mtamu sana yote ni kweli Asante sana dada Bukuku God bless you 😍😍😍😍
Kama upo hapa Leo 2024 Show me your love ❤️ by like
Nko hapa kutoka Kenya...
Niko from 🇰🇪
Naupenda huu wimbo sana. naomba siku moja mtoto wa mtu aliyeolewa ajue kumheshimu mume wake na kijana wa kiume vilevile
Kama unaangalia na kusikiliza huuu wimbo 2024 november gonga like apa 🎉🎉🎉
Ama kwa kweli mchango wa mke kwa mume unaweza kumuinua sana ama ukamuangusha.
Jumbo
kwel mwanamke ni maendeleo kwa mume wko
Exactly... Mwanaume anatakiwa amuheshim xn mkewe
Tito Joseph inatakiwa kuelimisha kuhusu izo alama wengine wanajua nistyle ya kulike
True big role to a man
My best song ever after work, Mwenyezi Mungu ambariki chaguo la moyo wangu 🙏
OOOOOOOOOOOOOOOh yeah........ the beats......the words......the message.........the dancing..........Jesus am rocked. How I wish all men could not just act but stick to that! You are great mrembo. You are blessed
Sarah aunt the one of khs 0711820179
Mungu akubariki sana, huu wimbo umebariki sana moyo wangu na ndoa za wengi.Amen.
Amen
Yes abarikiwe tena sana AMEN
Love this song
Huu wimbo akiy ni mtamu sana naupenda ❤❤mno juu mafundishoo
Much much love all the way from Zambia . The song has a wonderful message I love it and I play it on a daily basis🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Umwewazidi Ote my best,Dunia Haina Huruma my second third Wewe ni mungu and your complexion and dressing u are a good Artist Bahati Bukuku keep it up Excellent
True Dad
Safi na ule wa atakushangaza bwana
Umebarikiwa sauti na unawaguza wengi, lakini naomba ujue Mungu anapenda mwanamke awe natural bila mapambo Wala kusuka, nywele za bandia, nguo za kubana, barikiwa
This lady is purely blessed ,, love your music Bahati Bukuku Almighty God continue to bless you mum
Wimbo tamu Sana unafunza young people in life.. I thank you mama for this song
Wonderful song
May God bless you
@32e330eee4e;
Sijawahi kuacha kuskiliza nyimbo zako ht mara moja yaani jumbe za nyimbo zako mashaa ALLAH sauti na uzuri ulonao Masha Allah
Who's watching with me 2020...gonga like
Gonga like ya Bukuku
Nikisikia hii wimbo nalia usiku na most chana sababu Niko na mume shetani but I still pray to God to give a husband material
Am a Muslim but av loved Christianity coz of the messages I listen to from the gospels... Wish to invite Bahati in my future wedding.... love u soo much💞💕
Hapa umeimba mama,nyimbo iko sawa
husnah hamisi much love Hamsi.this is Good music .
Awesome
husnah hamisi kweli kabisa
alafu my sisre ujue yakuwa yesu yuakupeda sana. kubali kumpokea. atakupeleka bali sana.
From Kenya, receive my deep heart felt condolences may u find comfort in Ur hearts poleni Sana mtumishi
Hii wimbo inanpelekaga dunia nyingne kabsaa,Dada Bahati huwa unaimba nyimbo znabarik,lakini hii wimbo sijui niseme ina double bless.Mungu wetu Huyu akuinue zaid Dada,I love you..😍😘
J
Affected very geyser tdxeeqpaWaaaere
Awqsettt
Asasxcxdejj
Aawssswas😇🤗😍😘😎🤔😀😁😂😃😍😃😄😅😆😉😊😋🤔😐😑😎😍😘😗😙
Until you loose what you have to know it's importance. Our Helpers -wives are everything in our lives let us love and respect them. They are prayer worriors.
Exactly❤❤❤be blessed❤
Wimbo mzuri jamani wah kwa wedding 2027 must ooh 😋♥️💜💜💜
Nausubir wakati wa Mungu kunipatia someone who I can call mine.....ambaye tutatembea wote kuelekea madhabahu ya Bwana.....and I'll tell him in his face kuwa yy Amewazidi wengii na wotee🙌🙌🙌.....
Grace Isaack
Grace Isaack
Amina
Ukweli. ...its amazing
amina dadaangu
Hee mungu naomba yatimie kadiri ya imani zetu.Ahsante auntie Bahati
Nabarikiwa San nikisikia huu wimbo hongera sana dad bukuku
Who is here 2025❤❤
Yes i am
I'm here
Me❤
Am here
I am
Asante Mungu kwa kunipa make mzuri,,, Remmy mercie nakupenda saana mpenzi
I have a super human being in the name of a wife... Am so blessed. I thank God for Kamreri people for their daughter Rehema
very nice song bukuku,... warning to those who judge couples, they don't know how they began and hidden things they see to each other they can't see
maneno Yao umeyaskia maneno yao 💃💃💃ushauri wangu kwa wanaume wote siku zote.neno hili lisikose kinywani mwenyu neno hili.nimewaona warembo wengi lakini huyu pekee yake.Amewazidi Woote.Katika wasomi wote niliowaona huyu pekeee yake☝Amewazidi woooote.
Dada yang hiii nyimbo ina fundisho kubwa nimekupenda xana
Peter Kunju
nice so much my sister
hawajui tuna siri gani,hawajui ushauri wangu umekufikisha hapa..mimi penda hii wimbo sana..big up
mary patrick Dada ukovizuri sana hongera sana enderea kuongoza kondo wabwana mbinguni mungu akubariki.
Ujumbe umefika kweli amewazidi wote ❤.
This song can never grow old, can never be outdated, since it speaks into our daily lives in marriage. Every time i listen to it, i renew my commitmrnt to love you Jane Wanja as my legally wedded wife.
Tanzania kweli ni nchi ya urithi wa MUNGU BABA aliyekuja juu ya nchi. The people are blessed to work for GOD THE FATHER . This song really teach the daily life of us in our marriage.
U
Hn
Nchi zote ni urithi wa Mungu it depends on how people of any particular Country accept the Will of God.
Shohamu Wokovu Kamili. No MP
I wish ningekuwa mtzn.
My best gospel artists love thin woman of God she shows respect kwa song zake zote mpaka kwa mavazi,,my mentor
For every successful man , behind there is a woman. May all men listen to this
When God anoints you he will always give you a massage to each and every one that listens glory to the God that talented u
Always wanted to appreciate my hubby in a special way, by God's grace i have bought him 2 acres of land worth 2m and still feel it's not enough, God willing i will do more