Saida Karoli - Baba Tajiri (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @WMJSTUDIOCHIPMUNKS
    @WMJSTUDIOCHIPMUNKS  2 роки тому +127

    ua-cam.com/video/tCWqmtFjGFg/v-deo.html

  • @AliceNeemaKarisa
    @AliceNeemaKarisa 11 місяців тому +50

    Utajiri na kuabudu Kwa roho na kweli ni bora sana nipitiene tusonge pamoja please

  • @MashakaBahati
    @MashakaBahati Рік тому +33

    Moja ya nyimbo ambayo haichoshi kuisikiliza na ukiisikiliza vizur unaweza toa machozi😢😢😢 popote ulipo saida pokea maua yako 🌺🌺🌺🌺

  • @frankiewellswells7148
    @frankiewellswells7148 Рік тому +154

    Ending 2023 with this song, kama unaelewa kiswahili gonga like ukipita

    • @michezo256
      @michezo256 4 місяці тому

      Mimi Mkenya naelewa fika sana kiswahili, niliupenda wimbo huu tangu utotoni mwangu

  • @judithchagusia4795
    @judithchagusia4795 3 роки тому +85

    Wimbo wenye mafunzo kwa wenye pesa,usidharau MTU,thanks said

  • @assumptamwende-vv4vt
    @assumptamwende-vv4vt Рік тому +20

    Saida kaloli asante sana kwaio wimbo na mungu azidi,tena na azid sana,kkuinua kwenye mzikii milele umetufundixha mambo mengi xana kwenye io wimbo sanasana xsi wasanii wakesho🙏

  • @JapharSwaleh
    @JapharSwaleh 7 місяців тому +30

    Nyimbo hii inanikumbusha mbali san inanifanya nimkumbuke dada yangu kipenzi Mungu ailaze roho yake pema peponi amina

  • @rudahindwaenock679
    @rudahindwaenock679 13 днів тому +1

    Huyu mama angeli pewa Grammy award kwa ajili ya nyimbo zake… sijuw Kama wa Tanzania wana mpa heshima zake sababu sisi wa congo tuna mpenda sana

  • @AngelaWaeni
    @AngelaWaeni 7 місяців тому +16

    Mimi nilipoteza mifugo juu ya hii wimbo 😂😂i can't get enough of it still 2024 , mafunzo n smart

  • @nicksongreyson1759
    @nicksongreyson1759 Рік тому +18

    Wimbo Bora na wenye maudhui ndani yake bigup Saida

  • @lulu-oz7ih
    @lulu-oz7ih 9 місяців тому +24

    The producer of this bit😩😩❤️❤️

  • @joasdamian5197
    @joasdamian5197 27 днів тому +11

    2024 mwezi wa 12 bado tuna enjoy huu wimbo kama na wwe unaendelea kupata ujumbe huu mzuri kutoka kwa saida.Just like

  • @quinterawuor6198
    @quinterawuor6198 11 місяців тому +66

    2024 mko wapi❤

  • @shantelshantel6298
    @shantelshantel6298 9 місяців тому +5

    Waaaaa hii wimbo inanikumbusha kwa machungu nilivyo teswaa nilikua karibu kujiua but Mungu ninani alipiga walio nitesa viboko

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 Рік тому +21

    Nliupenda huu wimbo since 2002until now 2023, Glory be to God 🙏🙏🙏🙏

    • @mrgmwando9494
      @mrgmwando9494 Рік тому +2

      🤣🤣🤣🤣wewe tuko pamoja

    • @yunispatrick8613
      @yunispatrick8613 Рік тому +1

      @@mrgmwando9494 Nakwambia huu wimbo uko na mafunzo mazuri sana

    • @shuwenasamit3311
      @shuwenasamit3311 Рік тому +1

      Mipia

    • @Nashlyne-y9j
      @Nashlyne-y9j 8 місяців тому

      Ghai ady ckua nimezaliwa but naipenda sana good morals and lessons

    • @yunispatrick8613
      @yunispatrick8613 8 місяців тому +2

      @@Nashlyne-y9j kwani wewe ulizaliwa lini 😂😂😂😂😂

  • @silaskatamu9881
    @silaskatamu9881 Рік тому +26

    A big lesson to the current generation. Respect to all humanity, 🎉🎉. Listening from Mumias Kenya.

  • @adinahlovine6000
    @adinahlovine6000 Рік тому +65

    This song really teaches people on how to be humble...we are all God's children..

  • @salomewanyonyi4237
    @salomewanyonyi4237 2 роки тому +18

    Wealthy is vanity bt only humble before God will give us mercy.Nice one Saida

  • @annahm7034
    @annahm7034 11 днів тому +1

    Love her music a lot and this song I listened 18 years ago just shortly before I moved from Kenya to California, USA. I think she's one of great singers who unfortunately are underated. Many greetings from Silicon Valley California, USA!!!

  • @mutumakaundu
    @mutumakaundu Рік тому +14

    On a typical Sunday afternoon, growing up in the eastern part of Kenya, my dad's cassette radio played this masterpiece non-stop.....fast forward to Sunday afternoon, 29th October,2023, I still love the song.

  • @rachelkwamboka6417
    @rachelkwamboka6417 3 роки тому +7

    Kwangu Mimi Sasa ni maajabu ya Musa combining ya firauni..this lady made me solemn and myself!! Sikuwahi muona na macho am Soo happy to see her live. Technology, achana nayo

  • @clementmarandu2712
    @clementmarandu2712 3 роки тому +33

    Mafunzo halisi katika maisha yetu ya kila siku. Hongera Saida Karoli

  • @AnneJuma-yv8xg
    @AnneJuma-yv8xg 11 місяців тому +12

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sana na unasikitisha sana aky wadau wenzangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @estherwamalabe56
    @estherwamalabe56 3 місяці тому +11

    Penda mwenzako jinsi unavyojipenda wewe, sis wote ni upepo humu duniani,usijione umefika na kudharau wengine

  • @JoyceMuthoni-u6j
    @JoyceMuthoni-u6j Рік тому +44

    It's 2023 qnd can't get enough of this masterpiece ❤❤the message😢😢the beats😊

    • @Shilurofficial
      @Shilurofficial Рік тому

      I'm here with you ❤❤

    • @keanii
      @keanii 9 місяців тому

      Am in 2027 the message still strong

  • @MusaWainaina
    @MusaWainaina Рік тому +2

    Kwa hakika pesa sio Kila kitu katika haya maisha big u Saida Karoli be blessed

  • @erickimuyu252
    @erickimuyu252 10 місяців тому +2

    Wow wow...i remember those days back in primary school..i wrote insha about this song i scored 35/40...my teacher was like "hii story umeitoa wapi?...so touching"kumbe wimbo duuuh...nice song ever

  • @faithmmbaiza4036
    @faithmmbaiza4036 2 роки тому +12

    Am just in love with the beatings the message the sweet voice.Saida We Kenyans love your music.Very educative.You such a blessed.Karoli persue and accomplish what God started in you by His name.

  • @gracekoki2729
    @gracekoki2729 3 роки тому +12

    Wimbo mzuri sana na wenye ushauri mwema.Tujifunze jameni kila mtu ana umuimu mbele ya Mola wetu.Asante sana dada karoi kwa ushauri.

    • @polycapmoracha9955
      @polycapmoracha9955 3 роки тому

      asati Sana wimbo musuri Sana Na wenye ushauri musuri Sana mbele ya mola asati Sana dada karoli kwa Kila wimbo musuri

  • @FaithVishy-wv8lp
    @FaithVishy-wv8lp Рік тому +9

    Huu wimbo unanikumbusha baba yangu alikuwa anapenda nilikuwa around 8 yrs old but Kwa sababu mamangu hakufanikiwa kumpata mtoto wa kiume dada zake walitufurusha nyumbani the yr 2010 na wakamletea msichana mdogo hadi Leo hii Niko 25 yrs old sijawai msikia Wala hakurudi kututafuta😢😢😢😢😢😢😢

  • @metrineomukatia3685
    @metrineomukatia3685 3 роки тому +11

    Kwa nyimbo zako dada saida..hii ni mstari wa mbeli penda sana

  • @wesleyokindo6247
    @wesleyokindo6247 3 роки тому +53

    When I was around five years elsewhere I heard this song tears rolled down my cheeks thank you God who uplifts the poor and needy

  • @charlesnyamoko
    @charlesnyamoko 4 місяці тому +12

    2024tuko wapi mwezi WA 8 ukienda kuisha we are already welcoming the Christmas 🎉🎉🎉

  • @anaeliotakwa1251
    @anaeliotakwa1251 2 роки тому +3

    Nyimbo yanikumbusha baba. Mtu alitufanyia madhila .ila kwa Sasa mungu naye ana ukubwa wake.

  • @bejakamanza2542
    @bejakamanza2542 3 роки тому +10

    Hongerah xna Saida ju uu wimbo umejaa ukwl m2pu.

  • @margaretwanyoike9879
    @margaretwanyoike9879 2 роки тому +35

    This song reminds me of my stepfather..The moment he wakes up he would put this song.I grew fond of this song due to its message..Over pass 15years I have been looking for this song and finally…Usingililie kazi yake mola..Kweliiiiiii.

  • @luciaangelyne1580
    @luciaangelyne1580 2 роки тому +3

    This song is so touching, for sure usidharau mtu au maumbile kwa sababu ya utajiri, kweli ni kazi ya mola

  • @katerinakatie491
    @katerinakatie491 2 роки тому +34

    My grandfather ensured I listened to this, years ago.... It humbles me, life is indeed vanity upon vanity!

  • @patiencejuma1930
    @patiencejuma1930 2 роки тому +3

    Great lesson. Mbele ya Mungu sote tuko sawa.

  • @TiyamikePhiri-nx1dx
    @TiyamikePhiri-nx1dx Рік тому +2

    Naisha marefu dada yangu uwu wimbo naupenda sana kuliko moyo wangu endelea kutuelimisha kupitia kwenye nyimbo zako from Malawi

  • @petermalaki5498
    @petermalaki5498 Рік тому +18

    This was a very emotional song by Saida Karoli. The lesson is that however great you are, don't look down upon the physically disabled. You too could have the leisure of fathering them. Respect the way GOD has created them. Let's have humility. Wealth is nothing compared to real human beings. Be mindful of the physically disabled.

  • @TumutangirireAcleo-xy7tk
    @TumutangirireAcleo-xy7tk 7 місяців тому

    Wimbo mzuri kabisa wenye kubeba mafunzo, ujumbe na hisia nzito. Much❤Saida

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 3 роки тому +2

    nampendaga sana huyu mama.sema ruge alimuibiaga sana.yu wapi sasa yeye katangulia saida yupo mpaka leo.vyote tutaviacha hapa hapa hata uwe na utajili kiasi gani

  • @mariamsospeter9518
    @mariamsospeter9518 Рік тому +12

    2023gonga like huu wimbo nammiss sana babaang endelea kumpuzika kwa amani babaang kipenz nakumiss sana babaang 😢😢😢

  • @carolinanyofu1386
    @carolinanyofu1386 3 роки тому +30

    Usidharau mtu yeyote. Kuna leo na kesho

    • @michezo256
      @michezo256 4 місяці тому

      Adhabu ya Mugu ni kali sana

  • @abedmutune310
    @abedmutune310 2 роки тому +160

    This was the initial meaning of music before the wicked generations erupted.
    To educate and entertain the society morally.

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 2 роки тому +3

      😂😂😂Don make me lough before the wicked generations erupted

    • @charlesmwaura5453
      @charlesmwaura5453 Рік тому +1

      5

    • @priscalucy9626
      @priscalucy9626 Рік тому +2

      😂😂😂😂😂true oh parents we are being entertained with shock everyday 😢😢😢

    • @scollersyombua
      @scollersyombua 10 місяців тому

      wadoz mstyle hup sasa

    • @freddyfredricks3435
      @freddyfredricks3435 9 місяців тому

      Wicked generations captured me😂😂😂😂😂. I guess we both r of this wicked gen#😅😅😅

  • @ngetichweldon648
    @ngetichweldon648 2 роки тому +25

    This was my late friend Cheruiyot cheptirgei Stephen favourite song, we should always humble ourselves, continue resting in peace bro, if you could be alive today I could call you, a good hearted guy, educative song, I can play a thousand times. Saida carol God bless you.

  • @eliamwanamayo3596
    @eliamwanamayo3596 Рік тому +228

    Like here who have back to listen 2024❤❤

  • @disiiclinton6748
    @disiiclinton6748 Рік тому +28

    When it plays I vividly remember my two aunties who died the same week but different days back in 2005...
    Continue Resting In Peace Auntie..

    • @marthakarungari4585
      @marthakarungari4585 Рік тому +1

      Ooh my...i heard this song in the year 2007 while travelling....since then nliiona UA-cam i month ago ....i listen it almost everyday....has alot of teachings

    • @Lasic456
      @Lasic456 Рік тому +1

      Pain bro😭

    • @christinewavinya3978
      @christinewavinya3978 9 місяців тому

      Reminds me of my cuzo jemo 😢😢continue rip

  • @ruthkanini9811
    @ruthkanini9811 3 роки тому +7

    Nice song napenda sana kuisikiliza barikiwa

  • @josephotieno3943
    @josephotieno3943 Місяць тому +1

    I listened to this song for the first time in the year 2003 when I was in class 6 and fell in love with it instantly.
    Leonard Mambo Mbotela loved to play it on his "Baga-Moyo" evening program on KBC radio.
    I can't believe that's a whooping 21 years ago and still the song sounds fresh as ever!

  • @evratvkenya9263
    @evratvkenya9263 3 роки тому +14

    ngoma kali sana saida karoli king of traditional song 100%

  • @milkamugomo218
    @milkamugomo218 3 роки тому +11

    Umenikumbusha mbali asubui tukienda shamba babu alipenda kuweka cassette yako kazi inakuwa rahisi sana

  • @elishamwakapoja
    @elishamwakapoja 6 місяців тому +4

    Nyimbo nzuri yenye ujumbe mzito Maishani❤

  • @ShipsBM
    @ShipsBM 6 місяців тому +20

    Wewe bosi, usitumie ubosi wako kuwanyanyasa wenzako, kwelii.

  • @bonfaceaminga1777
    @bonfaceaminga1777 2 роки тому +42

    This song is a boom for sure....it really humbles everyone

  • @gediongitonga5816
    @gediongitonga5816 Рік тому +9

    This song will never lose its message ❤, Great message indeed!

  • @ObbyKapesa
    @ObbyKapesa 4 місяці тому +4

    ❤❤tuliotoka down kimaisha mungu ameweka vipaj vinavyo gusa ulimwengu ❤

  • @patiencekimani7682
    @patiencekimani7682 2 роки тому +9

    Mziki mnene.Shujaa Saida.

  • @issanalapa9312
    @issanalapa9312 3 роки тому +12

    Hongera sana dada ni wosia wanamuziki hawawezi kazi kuimba mapenzi tunahitaji msanii saida

  • @dorcasnduku529
    @dorcasnduku529 Рік тому

    My mom's favorite song.. she's always telling me play me Saida Karoli ile ngoma ya ule mtu alifukuza viwete.
    Me too i love the song ❤❤❤❤❤❤.Back in primary school.
    Saida is a living legend😍😍❤️❤️❤️. I love you Saida

  • @BernardRotich-i7f
    @BernardRotich-i7f 2 місяці тому +1

    Zae nateswa sana Na boss Wangu Mimi nliajiriwa kujunga ngombe naomba usaidizi cjapewa pesa kutoka February Na zae nateswa sana

  • @SamsonKarori-j8g
    @SamsonKarori-j8g Рік тому +1

    This should be a gospel teaching lesson.anyway thanks mummy.naona ata jina zetu zina rhyme

  • @FranciscaNduku-ht4gd
    @FranciscaNduku-ht4gd Рік тому +3

    Money can't buy anything,be blessed saida

  • @MorrisKyalo-km6fm
    @MorrisKyalo-km6fm Рік тому +2

    My father's lovely song ....hii hatungekosa kuekewa kwa ile self radio yake

  • @christinayusto6553
    @christinayusto6553 Місяць тому

    Dadaaaaaa umetisha sana kwa ujumbe huu ubarikiwe sana

  • @mokayatony1605
    @mokayatony1605 Рік тому +12

    Nice composition. Great lessons and a wonderful melodious voice that pricks the soul and speaks to the heart

  • @armphib9332
    @armphib9332 2 роки тому +2

    #@Omwami Wafula.I used to listen this song at teenage,it was like I had good gramming capacity!!I wonder is there any rich people who normally listen this song?God have mercy on them.Keep it up Saida.

  • @ruthmhando522
    @ruthmhando522 5 місяців тому

    Huu wimbo una ujumbe mkubwa sana na funzo kubwa. Usidharau mtu katika maisha.

  • @VirginiaMusyoka-t8v
    @VirginiaMusyoka-t8v 8 місяців тому +1

    Avery inspirational song with special message,intelligently produced.Be blessed Saida

  • @douglasmokua2532
    @douglasmokua2532 3 роки тому +319

    When it plays, I remember when my dad was arrested for no reason and how much the poor are undermined by the Rich people. Today I have little, I pray that God gives me and I should give to less fortunate too.

  • @VirginiaMutindi-h4p
    @VirginiaMutindi-h4p Рік тому

    Nyimbo zako zanipa nguvu nyingi yakuishi umbarikiwe sana dadangu

  • @paulrotich4102
    @paulrotich4102 2 роки тому +57

    This song touch my heart and soul and still teach me a lot of lessons.

    • @Mwanakengombo
      @Mwanakengombo 11 місяців тому

      Who else listening the message of the song #2024

  • @Lulvercameleonkemba
    @Lulvercameleonkemba 9 місяців тому +1

    Daaah leo nimemiss huu wimbo ajabu yaani nilivyo usikia nikaweka isia kama inatokea huu muda nikajiskia baridi nakusisimuka 😢😢😢😢

  • @nkamucharles5766
    @nkamucharles5766 2 роки тому +2

    Dada 🇹🇿🎂 Saida MUNGU akupe maisha malefu sana hapa duniani pia nyimbo zinaujumbe mzuri Sana napenda mafundisho yako Sana.

  • @mariamsospeter8622
    @mariamsospeter8622 3 роки тому +18

    Endelea kupumzika kwa amani babaang kipenzi nikisikia huu wimbo nakukumbuka lakin hakuna nanma😭😭😭😭

    • @theonestrenatus954
      @theonestrenatus954 2 роки тому

      Pole sana ndg

    • @mariamsospeter9518
      @mariamsospeter9518 Рік тому

      Asante

    • @GodfreyKapalale
      @GodfreyKapalale 8 місяців тому

      pole @mariamsospeter8622

    • @janetnashi299
      @janetnashi299 2 місяці тому

      This song reminds me of my late dad how he used to be a good hearted person and always generous but when he died no one ashawai nihelp but it's okay God is always good continue resting in peace dad 😢

  • @kanudamandago5825
    @kanudamandago5825 8 місяців тому +1

    Am listening from DUBAI safii sanaa proud of being Tanzanian

  • @divinabuyeke9176
    @divinabuyeke9176 11 місяців тому +1

    Malipo ni hapa hapa duniani tenda mema nenda zako

  • @catembula3839
    @catembula3839 8 місяців тому +11

    2024 bado niko hapa❤

    • @michezo256
      @michezo256 4 місяці тому

      mimi hapa 2024 nikiwa kampala

  • @samsonmwania8903
    @samsonmwania8903 Рік тому +1

    Very hot as if its from studio just the other day bravo...... The message is clear humble yourself before God humble you,,,,,,,nice melody ❤

  • @kevy254
    @kevy254 9 місяців тому

    Malkia wa kibongo, nyimbo hayasahauliki kamwe. Sauti tamu ❤❤❤

  • @melisahmercy2591
    @melisahmercy2591 3 роки тому +37

    Wooow still here 2021 july ....still hot....ikiimba nilikuwa primary na ilikuwa enzi za compact tape ingeisha nachukia kalamu kurewind😅

  • @pascalkachui8769
    @pascalkachui8769 Місяць тому +1

    Saida Karoli mama wa taifa ukingali natufunza kupitiya huu wimbo . Mpaka kizazi cha tano watabarikiya na huu wimbo

  • @BrysonAswani
    @BrysonAswani 7 місяців тому +4

    Mungu akubariki sana nice song 😜

  • @puritykimani4420
    @puritykimani4420 Рік тому +1

    Hustle nation this is yours.....endeleeni kunyanyasa wanyonge with the taxes

  • @praxidesnanjala9072
    @praxidesnanjala9072 2 роки тому +2

    Am learning a lesson in this song may Almighty God 🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe sana mama

  • @erickowino2309
    @erickowino2309 3 роки тому +4

    Shukan dada Hilo nyimbo yaguza roho

  • @kegaamos
    @kegaamos 6 місяців тому

    Wimbo wanisisitizia mcheka kilema humpata. Watching from Thika, Kenya

  • @leahmwendwa563
    @leahmwendwa563 3 роки тому +15

    Still rocking... I grew up taking lessons from this song..
    "Msiingililie kazi yake mola"

  • @ErickJoackim-n6g
    @ErickJoackim-n6g 3 місяці тому +1

    Thank you mom for this song I fell happy when l listen it❤❤❤👏👏👏👏👏

  • @dorcasrotich7570
    @dorcasrotich7570 2 роки тому +9

    The sun that melts butter is the same Sun that hardens Clay ,stay humble

  • @DianaAwino-p9g
    @DianaAwino-p9g 3 місяці тому +5

    Kama uko hapa 2nd oct 2024 gonga like tukisonga 🎉🎉

  • @MuddyKijenga
    @MuddyKijenga 8 днів тому

    Ujumbe mzurisanat mungu akubariki

  • @LitaAmni
    @LitaAmni Рік тому

    Nakumbuka mum akitusimulia hii wimbo jikoni tukipika ugali wah may your soul rest in peace mum

  • @philemonrarin5042
    @philemonrarin5042 Рік тому +2

    this an emotional song composed by karoli extremely it taches and soothes my heart it's reminds me back to ancient times that it's parable that the rich man exploits and oppressed the have nots/pauper because they don't have ability to defend herself I was very painful to re-flashback that story because the rich man claims he must to do what's in real sense no one dare to experiment 😢😢 God help me,,,,karoli receive God's blessings wherever you were my sister

  • @bethngari5703
    @bethngari5703 2 роки тому +25

    Sweet melodies Voice🥰 still rocking 🔥

  • @Terry-uf5un
    @Terry-uf5un 9 місяців тому +2

    Am Terry 4rm Juba, iii song ikona mafuzo mob saana

  • @franciskamburi98
    @franciskamburi98 Рік тому +3

    Woooooo.....what a great lesson.......2024❤ still listening to this hit

  • @tommulongo3441
    @tommulongo3441 Рік тому +3

    From kenya,Beautiul lesson.It reminds of Lazarus and the rich man.Rarely u can get richmen who are not wicked.That is why they die miserably.

  • @patohranking2537
    @patohranking2537 2 роки тому +5

    This song it's so awesome and touching,saidakaroli# God bless u