NI KWA NEEMA(Official Video)- Kwaya ya Mt.Secilia Makuburi DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 406

  • @mamokatello-gx1qp
    @mamokatello-gx1qp 7 місяців тому +6

    Amazing lyrics, wenye utunzi wa hali ya juu. Wimbo unaobariki nafsi yangu kila uchao. Hakika kwa kweli nipo nilivyo maana amenifinyanga akaniumba nilivyo ndio maana nimetumwa. Shukrani la dhati kwa mtunzi, wanakwaya na wote waliofanikisha kazi mufti.

  • @CosmasSeverin
    @CosmasSeverin 27 днів тому

    Kupitia wimbo huu nawaombea waimbaji wote dunia nzima mungu azidi kuwabariki ikiwemo mama angu kipenzi.🙏🙏🙏

  • @MichelMwamba-bz7uj
    @MichelMwamba-bz7uj Рік тому +1

    Ndugu msikate tamaa wa uinbaji uyo ni neema ya mungu mutunze kila siku na kila wakati asante

  • @cleophasomondi5475
    @cleophasomondi5475 4 роки тому +12

    Nimetumwa leo kuziganga jeraha, kuhuisha zilizo jeruhiwa....Nimetumwa leo kuwachunga kondoo walopotea niwarudishe zizini.... all the way from +254 being blessed with this song

  • @roseidoa5155
    @roseidoa5155 Рік тому +1

    Waooo mungu awabariki xana munaimba vzr xana tunawapenda

  • @godkingtz1364
    @godkingtz1364 4 роки тому +2

    Nice song ndio mana siachi kwaya

  • @rosegrace7915
    @rosegrace7915 4 роки тому +5

    That's the real catholic melody. Wimbo unabariki, umetulia na pia unatia hamasa ya kuendelea kuusikiliza zaidi. Hongereni Mt.Secilia.

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Amina sana, ni kwa neema ya Mungu

  • @juliethpetro7993
    @juliethpetro7993 2 роки тому +3

    Umenichoma sana wimbo huu una ujumbe mzurii. It's so very good song . Hakika n kwa neema ya Mungu 🙏🙏

  • @GaudensiaMalechela
    @GaudensiaMalechela Рік тому +1

    Kweli in neema ya Mungu awabariki sana, muweze kuinjilisha neno lake.

  • @hollodaud-kx8yl
    @hollodaud-kx8yl Рік тому +1

    Mwenyezi mungu awabariki hakika huu wimbo unanitakasa nawaombea muendelee kutangaza neno la mungu, NI KWA NEEMA,

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 4 роки тому +3

    kweli ni kwa neema ya Mungu...Amina

  • @classjapuonj
    @classjapuonj 11 місяців тому +2

    The year is 2020 February and March, my mother is slowly wasting away with cancer of the liver and then I discover this song. This song gave me peace until she died on 30th March that year, and still gives me that every day. Thank you ❤

  • @johnjosephat9873
    @johnjosephat9873 2 роки тому +3

    Katika nyimbo zangu 10 bora huu upo top 5....
    Nice work, God is good.

  • @brianokello9168
    @brianokello9168 Місяць тому

    I love this gospel song in shwaili language i feel am blessed whatcing from Northern uganda

  • @raymondmwanyalo9614
    @raymondmwanyalo9614 Рік тому +2

    Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa utunzi na uwimbaji huu bomba ,kwa kweli NI KWA NEEMA.

  • @asteriuskajuni2344
    @asteriuskajuni2344 3 роки тому +2

    Wimbo mtamu

  • @thomasnyamari401
    @thomasnyamari401 4 роки тому +2

    Wimbo mzuri kabisa ni kwa neema ya Mungu tunaishi, asante sana kwa mtunzi na wanakwaya Mola awabariki siku zote.

  • @elizabethrobert6024
    @elizabethrobert6024 4 роки тому +1

    Nikwaneema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo mbarikiwe watumishi wa Mungu

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Asante sana. Nawe ubarikiwe kwa kutusikiliza

  • @cayusoginga
    @cayusoginga 7 місяців тому +1

    Cayus oginga Watching from manga girls high school 🎉

  • @mkamandye4790
    @mkamandye4790 4 роки тому +1

    Baraka za Bwana wetu YESU KRISTO NA UPENDO WA MUNGU BABA viwe nanyi katika utume huu wa uimbaji

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Asante sana barikiwa

  • @juliusmgonafivi3355
    @juliusmgonafivi3355 4 роки тому +1

    Nawakubali sana hasa mlipokuja kuinjirisha jimbo kuu la Songea mliimba wimbo huu niliupenda sana hongereni Kwa utume

  • @idifoncebaptista7397
    @idifoncebaptista7397 4 роки тому +5

    Fire

  • @VctorMenlady-u4r
    @VctorMenlady-u4r 9 місяців тому +1

    Yes Nikwaneema2 mbarikiwe wapendwa Sauti zenu zpate mbali Mbele za Bwana wetu🙏🙏🙏

  • @ericktemba192
    @ericktemba192 3 роки тому +1

    Nabarikiwa mnoo na wimbo huuu ongereni sana wana sesilia kwaya yangu

  • @olivernyakiage954
    @olivernyakiage954 4 роки тому +3

    Mungu wangu umenitoa mbali, ni kwa neema yako nimekuwa jinsi nilivyo, hongera waimbaji

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Asante barikiwa. Subscribe kwa ajili ya kupata nyimbo mpya mara zitokapo

    • @frankaldo6945
      @frankaldo6945 4 роки тому

      Asante Mungu kwa kunitoa mbali na mpaka sasa Niko nilivyo hivi ni kwa neema

  • @eneriaemanuely8858
    @eneriaemanuely8858 4 роки тому +1

    Mbarikiwe na bwana mnaimba vizur

  • @evamaro6177
    @evamaro6177 4 роки тому +3

    Nyimbo nzurii sana hongerenii

  • @beatricecharles5119
    @beatricecharles5119 4 роки тому +2

    Hakika yote ni kwa neema
    Pongezi nyingi kwa wanakwaya wote
    Mungu azidi kuwapigania

  • @TeknoNiger-qb6id
    @TeknoNiger-qb6id 4 місяці тому

    Asante I sana hii nyimbo imenipa tafakar nimekumbuka niliko Toka kwaneema yamungu

  • @marymashiku372
    @marymashiku372 3 роки тому +1

    Kweli kabisa huu wimbo ni mtamu sana. Hongera sana kwaya ya Mt. Secilia Makuburi.

  • @sombimalujo
    @sombimalujo Рік тому +1

    This song show how beautiful of traditional Catholic church with holy music! congratulation st . Cecilia choir
    also they show some words from first letter of apostle Paul to Corinthian 🙏

  • @eliasmajawanga4794
    @eliasmajawanga4794 4 роки тому +8

    Safi kabisa Mt. Sesilia, Sijawahi kujutia tangu nilipowafahamu ninyi watumishi.
    Big up sana Fundi Myonga, kiukweli una vipaji vingi cyo kwa vibrator hiyo uliyowa-coach, kwenye upande wa organ ndo kabisa usiseme. Mungu akubariki sana Mwalimu nakukubali.

  • @motamohele8252
    @motamohele8252 4 роки тому +2

    Hongera sana kwaya kwa uinjilishaji mzur na pia nampongeza mohele kwa hatua hii Mungu awatangulie kwa kila hatua. Amina

  • @great7282
    @great7282 4 роки тому +5

    Wimbo tamu sana Mashallah.
    kinanda Moto sana. #shukran sana

  • @NaomiMhagama
    @NaomiMhagama Рік тому

    Hongereni kwa wimbo mzuri

  • @josephinebiringanine7113
    @josephinebiringanine7113 4 роки тому +3

    Nikwaneema Ya Mungu nimekuwa Ivi nilivyo 🙏 you guys you make me cry 😭👌👌 Be blessed Watoto wa Mungu 🙏

  • @corneliusmutua3168
    @corneliusmutua3168 2 роки тому +1

    The climax is dope🥰🎶...nimetumwa leo kuhubiri injili,nimetumwa leo....eiiiish🥰🥰

  • @cayusoginga
    @cayusoginga 8 місяців тому +2

    Cayus oginga Watching from manga girls high school kenya 🎉

  • @geekei2681
    @geekei2681 2 роки тому +1

    Sweet song got it's addiction

  • @kanikisimon7495
    @kanikisimon7495 4 роки тому +2

    Myonga ni namba nyingine hatari duniani🤝🤝🤝🤝🤝🤝kazi nzuri sana

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 4 роки тому +3

    Great Sesilia choir nawakubali sana .... endelea kumimina vitu... tuwekeeni na ile classical ya Mvano Simon

  • @cayusoginga
    @cayusoginga 8 місяців тому +1

    Congratulations for a job well done

  • @NickyBakery
    @NickyBakery 4 роки тому +1

    Karibuni tena Pugu

  • @elizabethjoseph7292
    @elizabethjoseph7292 4 роки тому +1

    Mungu awabariki wanakwaya wa Mt, Sesilia Makuburi, mmenibariki kila mara

  • @chrissshine1315
    @chrissshine1315 4 роки тому +3

    Ni kwa neema 2 ya mungu nimekuwa hvi nilivooo

  • @maukadekandege6617
    @maukadekandege6617 3 роки тому

    Hongera na barikiw sana

  • @lamecktheonest7542
    @lamecktheonest7542 2 роки тому

    Hongereni sana, nawasubiri bunju

  • @dominicknenamye6445
    @dominicknenamye6445 4 роки тому +2

    Hongereni sana wanakwaya wa kwaya ya mt Sesilia kutoka makuburi kwa wimbo wenu mzuri hakika nimeburudika vya kutosha Mungu awabariki mpaka mshangae. Wenu from Kigoma.

  • @RachelNestory-ct4gx
    @RachelNestory-ct4gx 7 місяців тому

    ❤❤mungu hazidi kuwaimalisha na kumwimbia katika roho na kweli

  • @bibianaamede7845
    @bibianaamede7845 7 місяців тому

    Hongereni sana kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mahususi Mungu awabariki unaifariji sana

  • @theresiatesha4233
    @theresiatesha4233 4 роки тому +2

    Hongeren sana wana secilia mungu awao gezee vifua mzidi kubarikiwa zaid nazadi. Manweza sana kuwa kwaya bora

  • @elizabethonsongo1456
    @elizabethonsongo1456 4 роки тому +3

    AMEN NI KWA NEEMA YA MUNGU TU TUNAVYOHIZI

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Amina sana. Bless you

  • @kennoscar8319
    @kennoscar8319 4 роки тому +3

    Kazi nzuri sana

  • @carokifusa7490
    @carokifusa7490 3 роки тому

    Iko vzur saan

  • @rosemarydeogratias8240
    @rosemarydeogratias8240 2 роки тому

    Imba daima tunawaombea mzidi kuinjilisha

  • @bobrobert3374
    @bobrobert3374 4 роки тому +3

    Ni kwa neema ya mungu tu hongereni sana kwa wimbo mzuri

  • @charleskamau7448
    @charleskamau7448 3 роки тому +2

    If only i could be attending mass in TZ and come back to my motherland KE...

  • @johnnew-world2970
    @johnnew-world2970 4 роки тому +16

    The love of Afrikan choirs🙏🙏🙏🙏, stay blessed my Afrikan brothers and sisters...I feel home wherever I am in Afrika, my pride, my home...watching from Namibia 🇳🇦🇳🇦 by particular...though the language is a challenge, the spirit is in work🙏🙏

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Thanks and stay blessed

    • @KwayaYaMtSeciliaMakuburi
      @KwayaYaMtSeciliaMakuburi  4 роки тому

      Thank you so much John. on behalf of Secilia choir- makuburi parish; were kindly invite you once you visit Tanzania specifically Dar es Salaam. thank you once again & God bless you brother

    • @douglaskapkiai2769
      @douglaskapkiai2769 3 роки тому

      Great song. Superb organist,gifted voices.

  • @reginamanyasi2329
    @reginamanyasi2329 2 роки тому

    Honger xaan wapedw god blesses.

  • @valeriengunda7837
    @valeriengunda7837 Рік тому +1

    Que Dieu vous bénisse abondamment, qu'il vous accorde une longue vie

  • @mahangatv2255
    @mahangatv2255 2 роки тому

    waooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo......rahel

  • @jamesmanyama2218
    @jamesmanyama2218 3 роки тому +3

    I am very much more blessed with this song GOD BLESS YOU SENIOR TEACHER MYONGA

  • @carolineonyango469
    @carolineonyango469 4 роки тому +1

    Hakika ni kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo

  • @dominickvitus4665
    @dominickvitus4665 Рік тому

    Brother organist Shikamoo, bless up.!!

  • @carolineonyango469
    @carolineonyango469 4 роки тому +1

    Hakika ni kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo, waimbaji wetu mbarikiwe sana.

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Amina sana. Ubarikiwe sana kwa kutuhamisha. Ni kwa Neema tu

  • @peterngugi7603
    @peterngugi7603 3 роки тому +3

    Can't count times I've watched this song and still not getting enough of it. GREAT SONG!!!!!

  • @MVO_victormboya
    @MVO_victormboya 4 роки тому +1

    Nimetumwa leo. Mungu awabariki.

  • @couragetv3314
    @couragetv3314 4 роки тому +2

    Ni kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo🙏🏾🙏🏾🙏🏾 proudly religious

  • @mathayomwanyika7501
    @mathayomwanyika7501 2 роки тому +2

    Mumependeza

  • @kwayayamt.yohanembatizaji_9701
    @kwayayamt.yohanembatizaji_9701 3 роки тому

    Hongereni sana wana Cecilia kwa kazi nzuri ya kuitangaza injili ya Bwana

  • @kumbunimavika5888
    @kumbunimavika5888 4 роки тому +1

    Mbarikiwe wapendwa, mmeinjilisha vema

  • @linettimanoifredrick8764
    @linettimanoifredrick8764 7 місяців тому

    Nice song , mungu azidi kuwape Neema na kuwabariki siku zote 🔥🙏

  • @eliasjuma5924
    @eliasjuma5924 4 роки тому +1

    Ni Kwel ni kwa neema tu

  • @pauljoseph5105
    @pauljoseph5105 3 роки тому

    Ni wimbo uliotukuka na uinjirishaji wenye kukonga nyoyo na kuimarisha Imani ndani ya mioyo ya kila Atakaye pata kuusikiliza.

  • @prinahrinah2227
    @prinahrinah2227 4 роки тому +9

    The song draws me nearer to God. It’s by God’s Grace that I am the way I am. Amen. Can’t get enough of it 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🙏🏻

  • @mafunitv1445
    @mafunitv1445 4 роки тому +1

    Kazi nzuri hakika Mungu awabariki sana kwa kutuinjilisha kwa njia ya nyimbo.

    • @dcconnection1834
      @dcconnection1834 4 роки тому +1

      Asante F. Hakika mnatupa moyo wa kuendelea kumtumikia Mungu. Mtuombee

    • @valentinavenance4258
      @valentinavenance4258 4 роки тому +1

      Hongera myonga upo vizur mwl wangu.

    • @paschalcharles780
      @paschalcharles780 4 роки тому +1

      Ujumbe Safi kweli neema tu kweli

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Tunashukuru sana kwa comments zenu. Zinatutia moyo wa kufanya kazi zaidi injili ifike mbali

  • @cayusoginga
    @cayusoginga 8 місяців тому +1

    Watching from manga girls high school kenya

  • @fidelenzambimana6980
    @fidelenzambimana6980 4 роки тому +1

    Nyimbo nzuri saaaaana.Asanteni sana.mungu awabariki.kutoka Italy

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому +1

      Asante sana kwa kutusikiliza naamini umebarikiwa. Subscribe kwa ajili ya matole mapya ya nyimbo kutoka kwa kwaya hii.

    • @GodfreyUrassa-xt1bx
      @GodfreyUrassa-xt1bx 8 місяців тому +1

      Amina nyimbo nzuri sana

  • @fionaotieno5703
    @fionaotieno5703 2 роки тому +4

    Exquisite song,God continue to bless you guys abundantly.. listening from🇰🇪

  • @AnsbertNgurumo
    @AnsbertNgurumo 4 роки тому +1

    Asanteni sana. Ni utunzi mzuri. Na waimbaji wameutendea haki. Dakika mbili za mwisho ndiyo sehemu bora ya wimbo huu ikipambwa na bass. Mungu awape karama zaidi na zaidi.

    • @ayubj.myonga4694
      @ayubj.myonga4694 4 роки тому

      Asante Sana mwl mkuu! Tumshukuru Mungu

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому +1

      Asante sana kiongozi. Mungu azidi kukubariki kwa kutubariki

  • @gosbertrutayega4546
    @gosbertrutayega4546 4 роки тому +5

    Hongereni sana wana wa Mungu wa wimbo mzuri sana, mmeutendea haki. Nawapenda sana

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому +1

      Asante. Tunakupenda pia

  • @sesiliajosephat7519
    @sesiliajosephat7519 4 роки тому

    Nzuri sana Tamu mno mt.sesilia utuombee

  • @tinasimon3135
    @tinasimon3135 4 роки тому +1

    Kweli ni kwa neema ya Mungu niko hivi nilivyo. Barikiweni tele

  • @saraphinamsafiri6171
    @saraphinamsafiri6171 4 роки тому +3

    Nawaelewa sana ndugu zangu,wimbo mzuri mno.humsogeza MUNGU karibu .amazing

  • @MrsmaseleNgwandu
    @MrsmaseleNgwandu 7 місяців тому

    Mungu hawatie nguvu

  • @angelasteven6015
    @angelasteven6015 3 роки тому

    Mungu awatangulie mfike mbali

  • @valeriamgani4524
    @valeriamgani4524 Рік тому

    Jamani wimbo Mzuri sana❤️💥💥👋👋👋👋

  • @dominamsonge3088
    @dominamsonge3088 4 роки тому +1

    Kwa Neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo....asanteni Secilia. Ni ujumbe ambao huwa natembea nao leo nimepata wimbo nitakuwa najiimbia.
    Mbarikiwe sana

    • @ayubj.myonga4694
      @ayubj.myonga4694 4 роки тому

      Karibu sana tuimbe na tutafakari pamoja

    • @tricy2722
      @tricy2722 4 роки тому

      Asante nawe ubarikiwe kwa kutusikiliza

  • @annakhanje2952
    @annakhanje2952 4 роки тому +3

    Waooh,Mungu awabariki Sana mmeimba vizur Yani narudiarudia kuausikiliza ,msichoke kumwimbia yeye kwani ni kwa neema yake ndo maana sisi tuko tulivyo

  • @johnmwanga9706
    @johnmwanga9706 4 роки тому +4

    Safi sana mt cecilia , Myonga upo vzr sna

  • @mercykhahukani
    @mercykhahukani 4 роки тому +1

    Hongereni sana...

  • @eliezernzota9297
    @eliezernzota9297 4 роки тому +2

    Nzury ....tunasubir na daima na milele kama sio baraka za bwana

  • @fredmhiche3614
    @fredmhiche3614 4 роки тому +1

    Hongera sana mdogo angu Ayoub kwa utunzi mzuri. Credits to Holy Trinity also for a wonderful production.

  • @frechaymaafrera9126
    @frechaymaafrera9126 3 роки тому +2

    This far is God thanks my dear brother s and sisters be blessed great messege

  • @simonthongori8586
    @simonthongori8586 3 роки тому

    Kweli kabisaaa, ni kwa neema yake tu mimi niko hivyo nilivyo . Hongera na Mungu awabariki .

  • @MsafiriMapunda-fe1rx
    @MsafiriMapunda-fe1rx Рік тому

    Amina Wimbo umenbariki sanaaa hongereni wanakwaya

  • @petermasila7163
    @petermasila7163 4 роки тому

    Honereni sana wanamtakatifu secilia makuburi na mwalimu Ayub myonga

  • @owaretwalter6151
    @owaretwalter6151 4 роки тому +2

    Wimbo tamu sana linaguza hisia ya yeyote yule,hongera waimbaji.

  • @davidirungu6337
    @davidirungu6337 4 роки тому +1

    Kazi njema jina la Mungu lipate sifa

    • @michaelmatinya7179
      @michaelmatinya7179 4 роки тому

      mbarikiwe

    • @dcconnection1834
      @dcconnection1834 4 роки тому

      @@michaelmatinya7179 asante sana Michael tuzidi kuombeana mkuu.kuna kazi ipo jokoni sooooon itakuwa on air

  • @phelisterkamanthe4494
    @phelisterkamanthe4494 4 роки тому +1

    nice song inanibariki sana