EXCLUSIVE NA ALIKIBA: "HUWEZI KUIGA KIPAJI CHA MTU/ SIWEZI KUIMBA SAIZI"/ SIAMINI ISHU YA DIMPOZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Shot, Edited and Uploaded by Jacka Beleghe
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 340

  • @mapenzi_tz1511
    @mapenzi_tz1511 6 років тому +31

    Mm nasemaga ukimuhoji Kiba Mambo yanayo muhusu Ata kujibu vizuri Lakini ya uchonganishi au umbea Awezi kukujibu sasa kunaawandishi Awajui kuuliza mtu Alafu Usipo wa jibu unaonekana eti unadharau,, Waaandishi Wengi wanapenda Udaki kuliko Mambo ya msingi ya kumjenga au kumshauri msanii,
    KINGKIBA YUKO NOMAL TU MBONA

  • @lilhomies2541
    @lilhomies2541 6 років тому +19

    Wangapi wamerudia rudia kipande cha mwisho..

  • @kambiibrahim415
    @kambiibrahim415 6 років тому +30

    Nimeshuhudia Interview nyingi za King Kiba huwa hazitendeagi haki ila hii he did great. #kingmusic

  • @geofreyndibalema6882
    @geofreyndibalema6882 6 років тому +13

    Jamani eeh!! Tuongee tuuamalize ila kiba nimaaaaaaaaaaa nampenda bureeeee👏👏🔥🔥🔥🙌🙌

  • @abdallamwinyi4790
    @abdallamwinyi4790 6 років тому +80

    Kumbe kiba akiulizwa maswali pasi na umbea...hua anajibu vizuri pamoja sana king...!!

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 6 років тому +22

    Eti unamagari mengi sana hii sijui ndo inaitwaje nakuishika kabisa 😁😁😁😁😁hapo ulinchekesha sana ukimhoji king lazima utulize muasho wako wakisimi

  • @gbconline2006
    @gbconline2006 6 років тому +12

    Dada haamini kuongea na kingkiba 😂😂😂 keep it up 👏👏👏💥💥💥

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 років тому +14

    Dinny kumbe unajua pa kufanyia umbea hapo kwa Alikiba umetulia 😂😂😂

  • @raji3432
    @raji3432 6 років тому +65

    Kiba anajibu maswali kiakili sana bt wajinga hawaelewag2

  • @phil_kioko_
    @phil_kioko_ 6 років тому +11

    YAani kuinterview Kiba ni achievement. Respect the King

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 6 років тому +19

    saf King hupendag umbea xx aimbe ili iweje..

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 6 років тому +1

    Anajibu kiakili sana bro safi sana ILA PITIA HAPA KUONA UCHAFU UKIGEUZWA KUWA MAPAMBO YA NDANI!! SUBSCRIBE channel hii kuni sapoti, Bofya picha kushoto.

  • @alharamainetravel2652
    @alharamainetravel2652 6 років тому +4

    That we like you king kiba,its because you are very careful to all of your interviews.I salute you Bro

  • @ancelinhoonlinesport4235
    @ancelinhoonlinesport4235 6 років тому +10

    Huyu demu muoga 😂😂😂 kapaniki kinoma

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 6 років тому +16

    Chezea kiba yoooo mmenda bila mick yenu yenye Dizz angewajua asinge kubali

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 6 років тому +16

    Abdu asa kicheche anavomuangalia uyo dini

  • @mohammedhobe3071
    @mohammedhobe3071 6 років тому

    WATANGAZAJ WA ONLINE TV`s MAJORITY NI WABOVU mpk aibu ..So far this gal she`s` gonna be good bt ryt nw Ana fail ktk kuulza maswal Especially suala la sumu la ommy

  • @allyadamtz
    @allyadamtz 5 років тому

    Unapp muhoji huyu mtu lazima vigezo na masharti vizingatiwe!vinginevyo unaweza jikuta unajihoji mwenyewe 😂😂😂😂😂

  • @mwasitially1030
    @mwasitially1030 6 років тому +27

    Dina nasoro leo huamini kabisa km umemuoji king kiba

  • @innomallya8741
    @innomallya8741 5 років тому

    😂😁😂😂😂dada kapagawa na gari. umemuhoji dakika chache lakini umechoka, huyo ndio King kiba.

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 6 років тому

    king kiba siyo wa kukurupukia Dina nmpongeza amejitahidi Kwa kumuhoji Na king kiba amemujibu vzr nimependa mahojiano yalimuwepo poa

  • @kingkiba3728
    @kingkiba3728 6 років тому +15

    Dada leo ataota kamuoji ali kiba

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 років тому +30

    😂😂dinny bana eti unamagari mengi apo mwisho ujaamini kam umefanya interview na king kiba

    • @K25795
      @K25795 6 років тому

      😂😂😂😂 nime cheka sna

    • @evangunge8348
      @evangunge8348 6 років тому

      Hhahhaha yan kachekeshaaa

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 років тому

      True 😜😂😂😂😂

    • @abdallahlijei2922
      @abdallahlijei2922 6 років тому

      Haai

    • @mtaanitv3991
      @mtaanitv3991 6 років тому

      Kwakweli yani kiba yuko vizur ukimuoji unatakiwa uwe na akili nyingi hatakagi maswali ya kijinga huyo yuko tofaut sana na kina fulan

  • @omabizo686
    @omabizo686 6 років тому +2

    Hehehhe eti unamagari mengi sana kumbe umeyaona we wengine kule wanasema kiba hana magari pumbaaaaaavvvvvvvvv

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 років тому +1

    Yaa naona leo roho ilikuea haipo mwili ndo ulikuwepo mtangazaj maan ulikuwa huamni kam ndo wew unamhoji alikiba😂😂

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 5 років тому

    Hahahaaa mbona mike haina logo? Maana mziki wa huyo mnaemuhoji siyo wa kawaida. Ange chomoa na umeona hapo kakushangaaa kwanza hadi umepanic
    Ila kupata interview na huyu jamaa napo ni kipaji. Mmejitahidi

  • @ayshamamak3130
    @ayshamamak3130 6 років тому +3

    Dina nassor umeenda teuka mshusho mbele ya safari mamaaa huamini kama king angekubali kuongea na ww

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 4 роки тому

    Sema alikiba anamjuaga huyu dsm anapotokeaga that's y anamjibugi hivi

  • @fostetz7647
    @fostetz7647 5 років тому

    Yaan Alikiba Anaiongea kwakulinga kinoma Anajisikia Sana Aminia Diamond Nimtu Anaeingea Kwakujiachia

  • @frankmhagama1174
    @frankmhagama1174 6 років тому +3

    Hahaaa mtangazaj haamini kama ameligusa Gari la Alikiba

  • @jasminomary2225
    @jasminomary2225 6 років тому +6

    Hahahahha dinny haamin wallah kama kamuoji king uwiiii

  • @salimaomar2032
    @salimaomar2032 6 років тому +17

    Dina wewe😅😅😅😅😅umefurahi sana kumhoji king 👑

  • @djgmp8140
    @djgmp8140 6 років тому

    @alikiba brother je madanza vp

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 років тому +2

    King's music record @officialalikiba for life 👍 👍 👍

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 років тому +8

    We dinna hujatulia wewe hahahahaha eti una magari mengi

  • @sish7012
    @sish7012 6 років тому

    Kiba njoo uku kunaumbea mpya uku nasikia wapewa pikipiki majina mama mondi kaiba aaaaaa

  • @omaryhajji2629
    @omaryhajji2629 6 років тому +1

    Hhhhhh nimekupenda bure dada jins mahojiano yko .kwanza uko chaming ndio mtangazaji anavyotakiwa priciet u 🤘🏾

  • @issasuddy2063
    @issasuddy2063 5 років тому

    Safi sana kaka nakutakia uweze kufika mbali kwenye kundi lako tuko pamoja

  • @inspectoraronreal5623
    @inspectoraronreal5623 6 років тому

    King,,,, mtamalizia wenyew mm siongei umbea

  • @zahararajabu4169
    @zahararajabu4169 6 років тому +1

    Du yan dina leo sijui kama atalala wallah maana yupo na furaha sana leo kumuhoji kiba yanii namm nimefurah sana dina my lv nakuona had unatetemeka mamy uwiii sema.leo utakuwa unacheka cheka mwenyewe kwa furaha 😂😂😂😂

  • @onesmocharles4034
    @onesmocharles4034 3 роки тому

    kafurah baada king hajagundua kam anahojiwa na dizzim angekataa

  • @mrishomzelela4627
    @mrishomzelela4627 5 років тому

    mic haina nembo ya dizzim walijishtukia

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 років тому

    Shoct kwani vp hujaamini kaa umemuhoji king

  • @niyonzimakalitas9076
    @niyonzimakalitas9076 6 років тому +7

    Yes ooo the king of music much love from America

  • @againstallodds8548
    @againstallodds8548 6 років тому +1

    Kweli Kiba umbea si ndugu yako ww hupendi Kabisa na ndio maana unakwepa maswali mengi alafu watu wanakwambia unamadharau lkn naona media zimeanza kukusoma leo umejibu vzuri sana coz umbea pembeni

  • @desmondstand4875
    @desmondstand4875 6 років тому

    ua-cam.com/video/XCBh4G7S-Lo/v-deo.html check out hapa👈👈👈

  • @mussamshengelijr4295
    @mussamshengelijr4295 6 років тому +2

    D.nasoro umeona unaenda kuhoji watu hata wigi halidondoki huyo ndo #king

  • @kabaisamtotowamama5226
    @kabaisamtotowamama5226 6 років тому +2

    Awapeleke na wasafi kuwatambulisha bas

  • @mussaafidh721
    @mussaafidh721 6 років тому

    kiba bhn anazingua kamuuliza Dada wawatu we ni dancer kwl huyu mfalme

  • @khalfanadam9824
    @khalfanadam9824 6 років тому

    Uyo dada mbona mick yake haionyeshi ni wawapi

  • @mwatanoally2472
    @mwatanoally2472 5 років тому

    Siku takayo mshika alikiba mkon sitonawa

  • @elastojack1204
    @elastojack1204 6 років тому +2

    chama lawana achieni jiwe lingine mzee nakuamin xana mzee baba

  • @noctanjalika4162
    @noctanjalika4162 5 років тому

    namkubal sana,penda sana kazi zako

  • @messibanda714
    @messibanda714 6 років тому

    Uyo muongo kiba hana wasanii alafu kujielza awezagi puuuuuuuu we mtangazaji toka apo hana nyimbo kabla ajaowa alikuwa atoagi nyimbo anakaA mwaka ad mwaka

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 років тому

      😂😂😀😀😁😁mzee naona unaumia sana kuhusu kiba

  • @fredmankaingu4172
    @fredmankaingu4172 6 років тому +2

    Poa sana mtangazaji umehoji vizuri tena kwa mtu mwenyewe katulia

  • @dottoswebbe4652
    @dottoswebbe4652 6 років тому

    Ata we mwenyewe umetisha pia

  • @kittsmohamud
    @kittsmohamud 6 років тому +1

    Jameni hilo weave limeona siku mirefu 😂😂😂😂😂

  • @boazmtileghe9161
    @boazmtileghe9161 6 років тому

    Magri mengi sana baba dahh we mtangazaji bhana duhhhh nakuona tu

  • @ayoubkilima5219
    @ayoubkilima5219 6 років тому

    alikiba ni king hakun mwingine

  • @ephaniahamis9021
    @ephaniahamis9021 6 років тому

    uyo domo ninan kwanza akafie uko

  • @husseinbaliza6729
    @husseinbaliza6729 5 років тому

    King uposawa pamoja sana

  • @MBAGOTV
    @MBAGOTV 5 років тому

    Mpe like

  • @abdulkarimhamissi3755
    @abdulkarimhamissi3755 6 років тому

    Dada unajua hongera

  • @kellyedson188
    @kellyedson188 6 років тому

    Aminia kings music

  • @paschalluwela5629
    @paschalluwela5629 6 років тому

    king kiba sanaaaa term ikovizuli mwambie sina hataliiiii sana vi2adim wapange vijana moto uwemkaliiii amnakupoa saiv atupoi wala atupyanki kiba kizazi sanaaaa pande mbeya

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 6 років тому

    Leo kajibu pw

  • @DIweni
    @DIweni 6 років тому +2

    Duu! Dada ake hujaamin kama umechonga na bingwa.

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 років тому

      😂😀😀😀😂😀😂😀😀😂😀😂😀😂😀😂😀😂😀😂😀we jamaa umenichekesha

  • @ramadhanichaulembo1329
    @ramadhanichaulembo1329 5 років тому +1

    Kg ajua kujibu vizuri maswar

  • @hollanddutch-day
    @hollanddutch-day 6 років тому +3

    Umejibu swali vizuri kuhusu kuumwa kwa Ommy Dimpozi,respect Alikiba

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 6 років тому

    Short and clear words from king kiba umeskiako hapo mambo za mara bro..bro..bro ama kulala na wasichana wangapi anajibu alieulizwa

  • @merrymakuli7132
    @merrymakuli7132 6 років тому

    safiii alikiba unajib vzr umbea haukuga umejua kuwakomesha kina naniiiiii

  • @boscomseso2724
    @boscomseso2724 6 років тому

    Kig kiba Kama unamukubal king gonga like

  • @unitedtanzania_1
    @unitedtanzania_1 6 років тому

    mbona mlitoa logo ya mic dizm online ili kiba asijue kama ni dizm online ina maana asingekubali hii..

  • @ernestjoseph5991
    @ernestjoseph5991 6 років тому +1

    Dada huyu mbea sana et una magar mengi 😂😂😂😂

  • @halpajordan7117
    @halpajordan7117 4 роки тому

    Kiba una macho yakimalaya

  • @karimissa763
    @karimissa763 6 років тому

    Huyu ndio king

  • @hermannmkamba6892
    @hermannmkamba6892 6 років тому

    king uko vzur

  • @khadijaali3688
    @khadijaali3688 6 років тому

    Huyu dada hajui km ali kiba hapendi umbea

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 6 років тому

    uyu demu unimbamba tu sana

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 6 років тому +5

    Heeeeee hatar

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 5 років тому

    king

  • @boscomseso2724
    @boscomseso2724 6 років тому

    katisha

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 6 років тому +29

    Jamani uyo mwenye kilemba ni Handsome kiukweli uwa sichoki kuitazama hii video yao ya #MwambieSina kwa sababu yke tuu gonga like km pia wewe Umemuona ni Handsame kuliko Alikiba😁😁😁😁😁

  • @nassorhassan8908
    @nassorhassan8908 6 років тому

    Good good 👑 king

  • @rashidruru174
    @rashidruru174 6 років тому +4

    🤣🤣🤣🤣 unatetemeka

  • @jacksonmkandila8543
    @jacksonmkandila8543 6 років тому

    pw sana bladha king

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 6 років тому

    King is fire

  • @ddennisskkattulla5942
    @ddennisskkattulla5942 6 років тому

    Nice king

  • @mamadoublem353
    @mamadoublem353 6 років тому +2

    Dina leo kauwa kenge imekuwa sikuuu sio dada mdogo big up king shemelaaaa wawakenya

    • @aishawoooiii2777
      @aishawoooiii2777 5 років тому

      ,Hahaha nakwambia akija kenya nimjeuli nilijaribu kumsalimia vile nimtanzania mwenzangu jibu nikabaki hoi alisema sipendi watz napenda wakenya we aliniaibisha sana

  • @rainnahmlundi1266
    @rainnahmlundi1266 6 років тому

    Good good

  • @ashirafuabdalah4366
    @ashirafuabdalah4366 6 років тому

    king kiba juuuuuuu

  • @gideonpatrick7476
    @gideonpatrick7476 6 років тому

    king music ni noma

  • @africaonetv5462
    @africaonetv5462 6 років тому

    king up

  • @barakabakari5987
    @barakabakari5987 4 роки тому

    King

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 років тому +8

    Hatare sana

  • @stephanomwakyobe4675
    @stephanomwakyobe4675 6 років тому

    king

  • @jeezyk5623
    @jeezyk5623 6 років тому

    King

  • @vumimanga9363
    @vumimanga9363 6 років тому +7

    Dinna umenichekesha sana hujiamini kuongea na kingkiba bhn 😁😁😂

  • @nassycholo9288
    @nassycholo9288 6 років тому

    Hi

  • @josecassianomalido5072
    @josecassianomalido5072 6 років тому

    Rais wa music