MAKONGORO NYERERE: NAPENDA WANAWAKE /NILIKUA NASEMWA MTOTO WA NYERERE KAHARIBIKIWA/AHSANTE SAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 118

  • @evarinenathaniel9838
    @evarinenathaniel9838 3 роки тому +10

    Be blessed my President Samia Suluhu. Umeikumbuka family ya Julius Kambarage Nyerere.

    • @lennykiganga4763
      @lennykiganga4763 3 роки тому

      Hatuchaguliwi kwa fadhira kama ingekua hivo hata baba ake angemuweka serikalin nyie ndo mnaturudixha nyuma kwan familia ya nyerere ina nn muhim ni utendaj sio kukumbukana hapa

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 3 роки тому

    Hongera sana, mwalimu nyerere ametuachia arama isio futika🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿 Tanzania yetu sote

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 роки тому +3

    Mkapa kikwete magu mungu anawaona mmeumbuliwa na mama samia sjui waliwachukia kwann Hawa watt wa mzee nyerere

  • @reaper5534
    @reaper5534 3 роки тому +10

    Safi mama. Sasa brother chapakazi husimwangushe mama yetu tafadhali. Hongera

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 роки тому

      "Husimwangushe" ndo nini? Hapo umeniacha kidogo tafadhali

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 3 роки тому +1

    Great sense of humor sana .. kipaji ya mzee wake

  • @dianafyondi9048
    @dianafyondi9048 3 роки тому +10

    Mama samia kafanya jambo jema sana. Kuimbuka familia ya baba yetu hayati mwalimu julias nyerele

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 3 роки тому +5

    What a memory, a moment and time to be living.

  • @yakobodeles6103
    @yakobodeles6103 3 роки тому +4

    Hongera rc wetu njoo chapa kazi

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 3 роки тому +6

    Manyara mpempata Agrey Mwanri mwingine mtaishi kwa kucheka na kutabasamu sana kwani ni mtu wa vichekesho ila ndani ya utendaji. Big up sana .

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 3 роки тому +10

    Karibu manyara haswa mji ndogo wa Haydom-manyara,,tuwe na kilimo cha kisasa karibu sana

  • @yasintamakongoro9458
    @yasintamakongoro9458 3 роки тому +4

    Nakuombea Sana my lovely dady

  • @africa7479
    @africa7479 3 роки тому +7

    Anapenda sana utani huyuuuu baba

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 роки тому +1

    Uko sawa makongoro nyerere

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 3 роки тому +3

    Jamaa kaingia ikulu akiwa vyombo sasa cjui akiwa mwenyewe itakuajee aiseee big up faru john (konyagi)

  • @joelmwanza6009
    @joelmwanza6009 3 роки тому +3

    Huyo Makongoro anapotential sana ila hajapata nafasi ya ku-shine! Mimi namiona kama Presidential material kusema ukweli ila let's wait and see.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 роки тому

      hata mdogo wake madaraka. nilimsikiliza akiwa miongoni mwa walitoa documedntary ya mzee Nyerere; acha tuu

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +14

    Ila huyu mkuu wa mkoa wa Manyara makongoro nyerere tutaona mengi vituko vingi kama Agrey Mwanry mzee wa Toronto soma iyooo

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 3 роки тому +2

    Ongera naomba ukafanye vizuri kazi kama mama yetu kipenzi alivyokuamini na kuheshimu kazi aliofanya baba yetu wa taifa letu

  • @costandunguru7603
    @costandunguru7603 3 роки тому +10

    Hajabebwa, alishakuwa mbunge akiwa NCCR, pia alishawahi kuwa mkiti was cha wa mkoa, na amekuwa MNEC, anavigezo.tusiwe na mtizamo hasi tu

    • @praygodmtui1407
      @praygodmtui1407 3 роки тому

      Umeongea ukweli ana uwezo Wa kutosha ila watu wana tabia ya kuchafua wengine

  • @shaibutz1485
    @shaibutz1485 3 роки тому +5

    Wasafi for life

  • @mwanaidsalehe1109
    @mwanaidsalehe1109 3 роки тому +1

    Hongera.

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha3733 3 роки тому +8

    Yuko poa

  • @paulinanyanzala9072
    @paulinanyanzala9072 3 роки тому +1

    Anaweza na anafaa sana kaonesha makali yake wanaojificha kwa kilaji ni wafukunyungu

  • @reaper5534
    @reaper5534 3 роки тому +10

    😂😁Wanawake oyeeee!

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 роки тому +3

    Hata mimi sina Jingi la kusema 🙏

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 3 роки тому +2

    Huyu ni politician na siasa anaweza. Na Ana bahati Sana ya kupendwa popote anapokwenda. Na hua Hana madharau. Pamoja na kwamba ni mtoto wa baba wa Taifa lakini anaishi kawaida sanaaa

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 3 роки тому +2

    Reporter yupo vizuri muno

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 роки тому +4

    Hahhhhh...,Kazi iendelee bwana makongoro., kada mwenye historia yake. 1995 alikikacha chama chake akasema kimekiuka misingi yake...anatufundisha kutokata tamaa ktika maisha, uyu ni moja kati ya watoto Wa mwalimu alieonesha matamanio yake ya kuwatumikia wananchi tangu siku nyingi sana akipingana na matarajio ya baba yake tangu kipind icho

  • @neemaernest4167
    @neemaernest4167 3 роки тому

    Hongera

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 3 роки тому +5

    Hawa watoto wa baba wa Taifa wanazeeka na ndio wanazidi kufanana na baba yao kwa sura kuna yule Madaraka mm namkubali sana yupo makin sana ila makongoro bwana labda kwa vile amekua mzee atapiga kazi ngoja tumuone kwanza utendaji wake kwanza ila rais tunamshukuru kwa kuwakumbuka watoto wa baba wa Taifa letu Tanzania

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 3 роки тому +1

    Mdomo umeufanyeje makongoro, pole babuuu

  • @princesgiven4720
    @princesgiven4720 3 роки тому +2

    Duuuh huyu kweli cjui

  • @jackjoshua3666
    @jackjoshua3666 3 роки тому

    Namfaham kwa kiasi kidogo naweza sema Wana manyara mna neema kubwa yakuwa na baba uyu hakika mtaona matunda yake

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 3 роки тому

    Makongoro miaka za 80 alikuwa makini sana ila tuu alitulizwa sana kifamilia la mwalimu lisije kuleta taswira mbaya na maadui wa Ujamaa na kujitegemea, lakini mama Samia amafanya teuzi la maana sana,....uongozi wa mama italeta heshima kwa watanzania wote ila bado uteuzi kwa akina Sunche Kapeto.....

  • @dadapechi
    @dadapechi 3 роки тому +2

    Jingi la kusema . Kiswahili hichi

  • @samtabusitha6422
    @samtabusitha6422 3 роки тому +8

    nakubal

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +6

    Huyu kwa vigezo sidhani ila sababu mtoto wa Nyerere

    • @hassansalum5362
      @hassansalum5362 3 роки тому

      Mtu kasoma unasema kwa kua mtoto wa Nyerere

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 роки тому

      Vigezo unavyoongelea ni vipi huyu alikuwa katika siasa muda mrefu sana basi tu.

    • @anthonykondobole3962
      @anthonykondobole3962 3 роки тому

      Kwn kuteuliwa kwa nafasi za serkali kunahitaji vyeti? Au unasoma katiba

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 3 роки тому

      Huyu hajui chochote eb tutajie hivyo vigezo vya kuwa mkuu wa mkoa ili tukusaidie kuwa jamaa yuko fiti

  • @nikutusyamsokwa3476
    @nikutusyamsokwa3476 3 роки тому

    Sins shaka naMakongoro,an utulivu was kutosha

  • @lennykiganga4763
    @lennykiganga4763 3 роки тому

    Acha tuone kazi zikiongea sio mnamsifu kwa mahaba tu kwan kuwa mtt wa nyerere ndo kufanya kama nyerere, kama angekua mzuri sn hata baba ake asingeacha kumpatia uongoz

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 3 роки тому +1

    Amekumbukwa mtoto wa mzee Nyerere hata hivyo babayao hakupiga pesa wale maisha yao yote km kina Fulani watoto wao wanakula bataa hadi tujukuu

  • @ismailmohammed8418
    @ismailmohammed8418 3 роки тому

    C.makongoro nyerere ! Mimi binasfi ninakufahamu na kuamini utafanya kazi kubwa ! Ur social to people hogera

  • @nadewakala5089
    @nadewakala5089 3 роки тому

    Mzee ugepuzika tu kwani hatuna vijana waliisoma manyara nawaomba manyara tufanye kazi kwa Bodii mbunge wetu atutuletea maedeleo

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Kwa huyu , kazi ipo,,,,

  • @jumaubwa239
    @jumaubwa239 3 роки тому

    Naona upooo...,

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha3733 3 роки тому

    Anaweza Sana kwani wanalima ?

  • @abdulrahmanpaskalina7627
    @abdulrahmanpaskalina7627 3 роки тому

    Vizuri unajua unachopaswa kufanya kulitumikia Taifa.

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 3 роки тому

    Huna makosa.......

  • @joevang4685
    @joevang4685 3 роки тому

    mbona kama aliingia kapiga vitu

  • @immanlazalo8992
    @immanlazalo8992 3 роки тому

    Piga kazi

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 3 роки тому +2

    Huyu mama nimwenye huruma nakukumbka walio sailka abalikiwe xana

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 роки тому

      Hivi ni swala la huruma na kukumbuka walio sahaulika ama ni swala la utendaji katika kuhudumia wananchi?

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 3 роки тому

      Huruma ya kujipendekeza kwenye HAKUNA. Waliomwacha hawakuwa na roho mbaya, walimtunza kama mtoto lkn wakijua kuwa pombe na kazi haviendi pamoja. Sitii neno leo Tusubirie KAZI iendelee.

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 3 роки тому +1

      @@Zaburi- sio "swala" sema "suala"

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 роки тому +1

      @@chiefmahucha6847 thank you for correcting me

  • @geraldpallangyo7726
    @geraldpallangyo7726 3 роки тому +6

    Uwache pombe weww

    • @mbwanakhamis9634
      @mbwanakhamis9634 3 роки тому

      Kwn ni mlevi??

    • @mlandasymon1980
      @mlandasymon1980 3 роки тому +2

      Aiseee km anakunywa aaache KBS, pombe haijawah mwacha mtu salama, hasa yeye km kiongoz mkubwa ajitathmin mara 2, bt nampenda sana huyu mzee, Nimempenda sana Mama Samia kumpa shavu huyu mzee, ashindwe mwenyewe sasa

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 роки тому

      Heti Acha pombe Ila sura inaonekana😂 🤣😂😂

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 3 роки тому

      Kumbe mlevi...je ?? Unauhakika na hilo ?? Usimwangalie mtu sura au mdomo....hiyo miaka tu nakupenda wanawake.

    • @hamismabula5813
      @hamismabula5813 3 роки тому +2

      Mh! Humo kwenye vyama na serikali mbona wapo wengi tu wanaokunywa pombe!?
      Cha msingi atekeleze tu wajibu wake! Hata mama kamteua haina maana kwamba hajui kuwa anakunywa!

  • @stevensulle1200
    @stevensulle1200 3 роки тому

    KARIBU MANYARA

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 3 роки тому +1

    Duh” Amezeeka haraka sana mbona”

  • @chifunyomboke3737
    @chifunyomboke3737 3 роки тому

    Punguza gambe lakini

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 роки тому +2

    Basi jamaa utakuta usiku wa jana kuamkia leo kapiga pombe mbwiii na demu mkali wa kimburu 😅

  • @mariambilonkwa5183
    @mariambilonkwa5183 3 роки тому +3

    Huyu na Anna mgwira mbona huyu anaonekana kazeeka xan

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 3 роки тому

      Hizo ni nafasi za kuteuliwa anaweza akateuliwa hata kijana wa miaka 18 AMA mzee wa miaka 70.

    • @mariambilonkwa5183
      @mariambilonkwa5183 3 роки тому

      @@marykarebeti9410 mm nilikia amestaafishwa kwa 62yre

  • @godsonndamgoba1934
    @godsonndamgoba1934 3 роки тому +2

    Na u NEC vip

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 3 роки тому +3

    Huyo kateuliwa kwa sababu ni mtoto wa Nyerere.

    • @nurukhalifa9413
      @nurukhalifa9413 3 роки тому +2

      Aya na wewe subir kuteuliwa sababu sr name yako Budoya😀😀😀😀😀😀

    • @lusajomwaikambo6058
      @lusajomwaikambo6058 3 роки тому

      Tatizo cha pombe.

    • @geraldswai5492
      @geraldswai5492 3 роки тому

      Kwa hiyo

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 роки тому +1

      Hapana fuatilia historia yake utaona kwanza alikuwa mwanajeshi kisha siasa kaanza muda hata upinzani alikuweko sema tu baba yake alikuwa hampi nafasi tu.

    • @alinanineedom8442
      @alinanineedom8442 3 роки тому +1

      Kumbuka alikua mjumbe wa kamati kuu na mjumbe wa NEC...pia ashakuaga mbunge jamhuri na Afrika mashariki

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 роки тому

    Kabla ya hapo alikuwa nani

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 3 роки тому +1

    Usemi wa wahenga mtoto wa mtu ni mtu 2 na mtoto wa nyoka ni nyoka 2 ila mtoto wa shetani ni shetani mzoefu na ukiwa na damu ya dhuluma na chuki pia kizazi choko ufata mkondo +255 aka nguzo mia 100 zanzibari

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 3 роки тому +2

    Mbona anaonekana kama chapombe

    • @magrethmsuya5542
      @magrethmsuya5542 3 роки тому

      Mm na mshukuru mungu na mshukuru mama samia kwa kiikumbuka familia ya baba yetu mwalimu nyerere

    • @magrethmsuya5542
      @magrethmsuya5542 3 роки тому

      Mama samia kwa wema na uruma nyingi uliyonayo naomba mungu kwa akili yako ata msiba usikuchome usizurike kwa chochote mama yetu, mungu akutunze mama

  • @alljzayumbajuma8637
    @alljzayumbajuma8637 3 роки тому

    Mzee wa bwaksi

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 роки тому

    asA.sA.aKiNi .mi.niMiLa.LA.giA.i.ljaNa.iLe.umE.me.Me.sA.iVi. aMuNa.ruKu.nDo.kA.mTu.uNiNu.nUa.LukU.uPaTi.wAngiNe.tuNi.lALa.giZa.seKaLi.muNgA.LiyE.wAnA.mChi.si.wAnGuiNe.tuNiLa.LA.giZa.sA.iVi.lk.rUkU.shiDa.f

  • @africa7479
    @africa7479 3 роки тому +4

    Anapenda sana utani huyuuuu baba