MTOTO WA SHEIKHE (Ep 3)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 5 місяців тому +20

    Mtoto washekhe naye huwa shekhe😂hairat na baba ake ushehe umewazidi 😂😂😂hongeren sana kazi nzur 🎉🎉

    • @Farthun
      @Farthun 5 місяців тому +1

      Ushekhe unazidi kukuwa hadi huruma maan baba hawezi kumlaumu sana mtoto

    • @SaniyaSaidi-v7b
      @SaniyaSaidi-v7b 5 місяців тому

      😅😅😅😅😅 mtoto wa nyoka ni nyoka

    • @fathmambeyu8987
      @fathmambeyu8987 4 місяці тому

      Mtoto wa nyoka ni kajoka😂😂😂😂​@@SaniyaSaidi-v7b

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 5 місяців тому +11

    Kumbe mtoto wa sheikh amelithi wizi😂😂😂😂 aya tusalimiane team furus team WiFi team kupambana team kazi kazi nawapenda mno 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @ChristianAman-qb9ns
    @ChristianAman-qb9ns 5 місяців тому +15

    Naomba hata like moja

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 5 місяців тому +13

    Naomi nimekupenda sana🎉🎉 unapendeza san ukivaa mavaz ya stara😊😊❤❤Allah akuongoe ktk kher🎉❤

  • @AshaNzara
    @AshaNzara 5 місяців тому +11

    Wow mzee simba sasa ukiigiza kislamu unapendaza sana ❤❤❤ bailam ukwaju😂😂😂

  • @perisbeib2126
    @perisbeib2126 5 місяців тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂😂Bhailam tafuna vizuri nawe unaniumiza maskio yang🤣🤣🤣🤣

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 5 місяців тому +9

    Subhanallah jmn ndoa hizi zinachagamoto😢😢😢😭, Eee mungu nipe mwenye kher InshaAllah 🤲🤲

  • @Mahratshafi-jn3tq
    @Mahratshafi-jn3tq 5 місяців тому +4

    Ilaa mwisho wa ubaya ni aibuuu , kwa mungu hakuna kinachoshindikana ni subra tu ila wataumbuka

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 5 місяців тому +10

    Wow hongera kwa kutukumbuka bana nawapenda saaana nikiwa team strong and Genz 👊🇰🇪🇸🇦♥️♥️♥️♥️

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 5 місяців тому +20

    Naomi nimekupenda sana🎉🎉 unapendeza san uivaa mavaz ya stara😊😊❤❤

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 5 місяців тому +8

    Leo wa kwanza🎉kazi nzur sana Bhailam 🌹🌹

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 5 місяців тому +8

    Kazi poa sana wanafamilia wa guidelinec kazi njema wakaka na madada❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hasa hailati nakupenda sana mwabieni

  • @Farida-uz3vr
    @Farida-uz3vr 5 місяців тому +6

    Sheemasudi umevaa kofiya nzuri kumbe mwizi nawewe ndounawaharibu mwanao na ndugiyako kwenda kuvunja ndowayamwinziwe

    • @joselynenizi9475
      @joselynenizi9475 5 місяців тому +1

      😢we subiri watakipata chamutema kuni

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 5 місяців тому +1

      Mwisho wao utakua mbaya sana

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 5 місяців тому +2

    Kazi nzuri bro bhailam Naomi mariam kheirat big up sana

  • @moulynnyaboke-sh9vj
    @moulynnyaboke-sh9vj 5 місяців тому +12

    Leo nimewahi Sana wadau naomba likes🎉🎉🎉

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 5 місяців тому +1

    Naomba hongera sana unajua kuvaa uhusika vzr

  • @ramadhannyanje6549
    @ramadhannyanje6549 5 місяців тому +2

    Tuko pamoja mnaweza MUNGU awasaidie kwa kazi nzirii❤❤

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r 5 місяців тому +31

    Ndo uzuli nikuchane mwamanyu vandu nipe like zangu hapa 😢😢❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 5 місяців тому +2

    Bhailam hongereni sana ❤❤❤kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉

  • @AminaMohammed-u7j
    @AminaMohammed-u7j 5 місяців тому +18

    Kama wampenda bailam Simba gonga likes hapa

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 5 місяців тому +3

    Hii filamu ina magunzo msitafute ndoa kwa uchawi huja zenyewe😢 naomi hunipa funzo kila filamu zote ❤😢 muombe Allah katika kila jambo lako ddngu hkuna zaidi yake❤ km kuna wanawake kama mariam muache jmn 😢

  • @MaculateOduori
    @MaculateOduori 5 місяців тому +4

    Kazi safi sana

  • @AminaMohammed-u7j
    @AminaMohammed-u7j 5 місяців тому +1

    Huyu naomy ni mzuri sana jaman

  • @Faith-pl3ie
    @Faith-pl3ie 5 місяців тому +6

    Ama hivi dio huwa tunanyanganywa wazazi wa watoto wetu 😮😮😂😂😂

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 5 місяців тому +2

    Ndoa zinamashakaa sanaaa mh

  • @Farthun
    @Farthun 5 місяців тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mariam kumbe ukorofi unaujua hivyo 👏👏👏👏👏👏👏

  • @NeemaSalum-d1d
    @NeemaSalum-d1d 5 місяців тому +1

    Kaz nzuri Mashallah

  • @omarsalim6575
    @omarsalim6575 4 місяці тому +1

    Hairati,like father like daughter

  • @Leyla-n6x
    @Leyla-n6x 5 місяців тому +3

    Watu mukofasta jmn duh🎉😂😂😂❤❤🎉

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r 5 місяців тому +15

    Jamn leo me wakwanza naombeni hata like 100 jamn❤❤

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 5 місяців тому +3

    Kazi tamu

  • @FatmaAlly-d5v
    @FatmaAlly-d5v 5 місяців тому +2

    Nawapenda nyotee😂🎉🎉

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z 5 місяців тому +1

    😂😂😂kumbe ailati kalisi wizii kwa Baba Yake 😂😂😂😂 hongereni Sana kwa kazi nzur sanaa 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mchambikisupi9204
    @mchambikisupi9204 5 місяців тому

    Jamani Khairat siku moja ndoto yangu itatimia kukuona na kukupa saport yoyote au kuja kukuoa tuje tuishi kenya inshaallah bi idhni LLAH❤❤

  • @edinahpatrick3380
    @edinahpatrick3380 5 місяців тому +3

    Kitu Cha moto🔥🔥

  • @agnesmiss1112
    @agnesmiss1112 4 місяці тому

    Nawapenden Sana kaz nzulu fatuma hatumuon vip

  • @ShakilaAyoub
    @ShakilaAyoub 5 місяців тому +1

    Jamani mm napendaga sana naomi❤❤🎉🇧🇮

  • @MichaelCharles-uo6rw
    @MichaelCharles-uo6rw 5 місяців тому +2

    Mashehe wa sikuhiz wezi sana

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 5 місяців тому +1

    Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 5 місяців тому +3

    Kazi nzuri

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 5 місяців тому +3

    Leo me wakwanzaaaaaaaaa

  • @RoziPeter
    @RoziPeter 5 місяців тому +4

    Mm wa 5 jamm nnipeni na Mimi like zangu

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 5 місяців тому +2

    Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ZurfaKhamisi
    @ZurfaKhamisi 5 місяців тому +4

    Walio mmic recho Tijuane😅😅

  • @fatmahraseid7019
    @fatmahraseid7019 4 місяці тому

    Salome nakupenda sana we dada Mashallah ❤❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 місяців тому +1

    Baba mwizi mtoto mwizii loo

  • @NeillahMcute
    @NeillahMcute 5 місяців тому +3

    Nmewahi Leo ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Aisha-ld3ol
    @Aisha-ld3ol 5 місяців тому +2

    Nmekuwa wakwanza❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 5 місяців тому +2

    Bhailam na "mashallah, mashallah " # mariam unavyoisemea dawa,duh hataree!

  • @LeopoldBigirimana-f4g
    @LeopoldBigirimana-f4g 5 місяців тому +1

    Bhailam anafanyakazi vizuri

  • @marieclariefifiofficial587
    @marieclariefifiofficial587 5 місяців тому +2

    Jamani siriz ya shetani imefikamwisho au🎉🎉🎉

  • @MwanaidiMasyano
    @MwanaidiMasyano 4 місяці тому

    Sh hamz nakukubal sana ❤❤❤❤

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 5 місяців тому

    Hatar twende kazi ❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 місяців тому +1

    Shetan anafanya kazi.kwa bhailam na mchepuko wake

  • @wilberthtadeo2322
    @wilberthtadeo2322 5 місяців тому +6

    Wakwanza leoo nipeni like zangu japo kumi tu

    • @BintyRama-b1r
      @BintyRama-b1r 5 місяців тому

      Wee muongo sijakuona kama ww wakwanza 😂😂😂

  • @BintyRama-b1r
    @BintyRama-b1r 5 місяців тому +5

    Leo wakwanza

  • @HusseinMgandi-gw5xe
    @HusseinMgandi-gw5xe 4 місяці тому

    Kaz safi sna

  • @Mariam-u6z6f
    @Mariam-u6z6f 5 місяців тому +7

    Da Rechoh alienda wapi wapi

    • @merrymariam7428
      @merrymariam7428 4 місяці тому

      Bila Shaka Recho waligombanaga maana haonekan ata kwenye shetani hatukumuona

  • @WastaraShabani
    @WastaraShabani 5 місяців тому

    Hay ss kazi imeanza

  • @PeterWilliama
    @PeterWilliama 5 місяців тому +6

    Badala mtoe shetani ni kutukoroga akili zetu

  • @jemimahmwa8849
    @jemimahmwa8849 4 місяці тому

    Kweli Kwa bisa tunamtaka recho

  • @Aisha-o4v
    @Aisha-o4v 5 місяців тому +2

    Jamani naomba no ya hairati

  • @CHIMAMY122
    @CHIMAMY122 5 місяців тому

    Kazi nzur❤

  • @NeemaKombe
    @NeemaKombe 5 місяців тому +1

    Mzee simba napenda kazi yako🎉🎉🎉🎉

  • @EstaKanajaka
    @EstaKanajaka 5 місяців тому

    ❤❤❤❤nakupenda sana naomi

  • @خديجةخديجة-ث3ه
    @خديجةخديجة-ث3ه 5 місяців тому

    Bb mwizi mtoto mwizi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 5 місяців тому +54

    Mariam hakikisha unapata ndoa 😂😂😂😂😂😂dar hii kitu imenikuta ase mwanaume nilikua nae kwenye mahusiano akaenda kuoa bila kuniambia nikashudia picha tu eti sahivi ananiambia mke wangu mjamzito natakiwa nimjali 😅😅😅😅 hembu nipeni ushauri nitake ndoa au niendelee na safari au nifanye kama anavyofanya mariam 😮😂😂😂😂😂

    • @maylucson001
      @maylucson001 5 місяців тому +10

      Tafuta ndoa yako dada ...chamtu hakiwezii kua chako nichamda tu dadangu

    • @zahraali5113
      @zahraali5113 5 місяців тому +8

      Weee endelea na safari yako maan mpaka kafikia hatua ya kuoa kaona wewe hufaikuwa mke wake😢😢😢😢

    • @maylucson001
      @maylucson001 5 місяців тому

      @@zahraali5113 kabisa😢

    • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
      @salmatuleteesehem71jmnmahm59 5 місяців тому +5

      @@PrincessHellen-pg1oy we hujui km huyu Maryam katumwa na kaka yake aje aharibu ndoa ya watu yeye ndo kaingilia ndoa ya watu sio km Aliachwa huyu katumwa ili baba wa huyu mke aumie

    • @PrincessHellen-pg1oy
      @PrincessHellen-pg1oy 5 місяців тому

      @@salmatuleteesehem71jmnmahm59 najua mwaya ila ni just comment tu au wewe umehisi nini kipenzi

  • @sitaandresita
    @sitaandresita 5 місяців тому +1

    Mimi wakwanza Leo kutokea msumbiji....

  • @ChristianAman-qb9ns
    @ChristianAman-qb9ns 5 місяців тому +2

    Wakwanza leo

  • @nestorndayizeye9712
    @nestorndayizeye9712 5 місяців тому

    Nipen lik 🎉🎉🎉🎉 tano❤❤😂😂😂

  • @KusahBadboy-g9t
    @KusahBadboy-g9t 5 місяців тому +2

    First in Nairobi

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر 5 місяців тому

    😂😂😂😂hailat kazi unayo

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 5 місяців тому

    Dahhh hairati ni mwizi

  • @WilsonWaliuba
    @WilsonWaliuba 5 місяців тому +3

    Wangapi

  • @priscamlay2883
    @priscamlay2883 5 місяців тому +5

    Hivi nyie mnaoandika Kila siku wakwanza wakwanza nipeni like Huwa mnazifanyiaga nin hizo like

    • @Araphrqra
      @Araphrqra 5 місяців тому

      @@priscamlay2883 bora umenisaidia kuuliza😂😂

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 5 місяців тому +2

    Hailat mwiz kam baba yake 😅😅

  • @GraceKibelenge
    @GraceKibelenge 5 місяців тому

    Kaka bailam we noma

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 4 місяці тому

    Duh uyu Maryam kwl mshenz lkn namkubali natamn ata nipewe na yake😂😂😂

  • @KagegaAbdlah
    @KagegaAbdlah 5 місяців тому

    Naomy ukivaaa mavaz ayo unakuwa Bomba xana kuliko ukivaaa ovyo

  • @RehemaaradiinRehemaaradiin
    @RehemaaradiinRehemaaradiin 5 місяців тому

    Waooooh nzr sana ❤❤

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 5 місяців тому

    Great job guys 😊😊😊😊

  • @ingabireasmeen319
    @ingabireasmeen319 5 місяців тому +2

    Leo wakwanza kutoka Burundi

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 5 місяців тому +1

    Usharogwa bhailam

  • @AminaJuma-b1n
    @AminaJuma-b1n 4 місяці тому

    Bailam 😂😂😂😂hujuwi kutafuna jamaniii😂😂😂😂😂😂

  • @SafiaHamadi-vi4xv
    @SafiaHamadi-vi4xv 5 місяців тому

    Ndio uzuri❤

  • @chidimsafi1279
    @chidimsafi1279 5 місяців тому

    Naomi jaman anajua sanaa kamaa nimkilisto bs awe tu muisilam

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama 5 місяців тому

    Mtoto karithi wizi kutoka kwa babake😂😂😂😂

  • @hamisikamanda9933
    @hamisikamanda9933 5 місяців тому +4

    Mwizi wa mchele😂😂😂😂😂😂😂

  • @WastaraShabani
    @WastaraShabani 5 місяців тому

    Ndouzuri 😂😂

  • @sarahchampions-wi8re
    @sarahchampions-wi8re 5 місяців тому

    Yani hutambui umufanyie nn mwanaume ndo ajue wampenda jaman , yan Mungu akusaidie sis wanawake

  • @ZubedaBita
    @ZubedaBita 4 місяці тому

    Baba na mtoto wote wezi

  • @TatuNgwele
    @TatuNgwele 5 місяців тому

    Mnakujaga saa ngapi😂😂😂

  • @ShakilaAyoub
    @ShakilaAyoub 5 місяців тому

    🤣🤣🤣 sheikh masoudi kumbe mtoto kafata kwako 😂 wee mchana unajificha usiku kumbe hulali achauruma wauwongo 😂

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 5 місяців тому

    Nawakubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🔥🫶

  • @AntoinetteDorothea-mz7qp
    @AntoinetteDorothea-mz7qp 4 місяці тому

    Iyi filam inamafudisho sana

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 5 місяців тому +1

    Wa kwanza😊

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t 5 місяців тому +1

    😂😂😂 hairati mkolofi malaemchawi mara mwizi upo vizuli

  • @RehemaIbrahim-wn4ef
    @RehemaIbrahim-wn4ef 4 місяці тому

    Bailam kula viziri acha kupiga mdomo😂😂

  • @JoyleneMash
    @JoyleneMash 5 місяців тому +1

    natafuta movie ya my familynpart 2

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 5 місяців тому

    Daaah michepuko ww mchepuko jmn daah 😢😢kuweni na huruma jmn wana wake nyumbani