MTOTO WA SHEIKHE (Ep 4)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 242

  • @MohammedSaid-jm5hm
    @MohammedSaid-jm5hm 5 місяців тому +46

    Tunao mkubali naomi like

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 5 місяців тому +47

    Mzee simba anajua kuigiza, na Naomi pia yupo vzr,

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 5 місяців тому +20

    We bairamu usisubutu kumtoa chozi mke wako 😢hio ni laana ambayo itakugarimu miaka yako yote yauhai😂😂😂❤🎉kazi nzur .

  • @KusahBadboy-g9t
    @KusahBadboy-g9t 5 місяців тому +13

    Jamani ya leo imenikosha kooo baila saluti naomi nakubali kazi yako pia mzee naomi busara ni muhimu kabisa

  • @Hadija-o5b
    @Hadija-o5b 5 місяців тому +29

    Wanao mpenda naomi,km mimi na kumhurumia naomi kwa kuolewa na hamnazo naomba like

  • @LinusMsimbano-uq1kg
    @LinusMsimbano-uq1kg 5 місяців тому +96

    Mm ni wa kumi na saba wale wafuas wa Naomi naomba like kwa ajili ya Naomi nakupenda Naomi ww unahekima sasa maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @FlorenceWabiwa
      @FlorenceWabiwa 5 місяців тому +4

      Yeah hata mimi namukubali sana dada Naomi ❤❤❤❤. Nawaomba msicheleweshe ya 5 bana❤❤🎉🎉🎉

    • @modomodo9412
      @modomodo9412 5 місяців тому +2

      Namuerewa. sana.nampa mauwa yake.🎉🎉🎉🎉

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 5 місяців тому

      🎉🎉🎉🎉

    • @NachibulaMikembo
      @NachibulaMikembo 5 місяців тому

      @@LinusMsimbano-uq1kg nakupenda naomi

    • @generalcommander8921
      @generalcommander8921 5 місяців тому

      Kbx❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 5 місяців тому +5

    Jamani jamani Rachel yuko wapi mbona hatumuoni siku nyingi 😢😢Wanao mtaka Rachel Tena Gonga Like hapa ❤❤❤One love kwa Rachel

  • @OmanSalalah-of7uk
    @OmanSalalah-of7uk 5 місяців тому +17

    Nampenda Naomi jamani Kaz nzur Sana ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Thuma_junior
    @Thuma_junior 5 місяців тому +7

    Nimekusamee mume wangu hati MashaAllah MashaAllah urongo umekorogewa uchawi huko Naomi kz unayo bailam mrongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️👌👌👌👌👌👌

  • @FettyMeshaki
    @FettyMeshaki 5 місяців тому +11

    Iv nyinyi wanaume mnashida gan mnapata wake wazur tena wenye kujua din lakn bado tu amtoshek jaman mungu anawaona nanyinyi wanawake wa nje nyinyi mungu anawaona

  • @justinendayisenga7180
    @justinendayisenga7180 5 місяців тому +4

    Big up sana kabisaaa from 🇧🇮🇧🇮 nawapendaaa sanaaa🎉🎉🎉🎉

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara 5 місяців тому +12

    Team Naomi wapi like tuende nayo

  • @AbdullaAzizAbdulla
    @AbdullaAzizAbdulla 5 місяців тому +15

    Kazi nzuri

  • @FilmawardTv
    @FilmawardTv 5 місяців тому +5

    MASHABIKI WENZANGU TUACHE KUWAULIZIA WATU AMBAO HATUWAONI TUFUATILIE KAZI BHAILAM NA TIMU YAKE NDIO WAMETULETEA HAO WATU BHAILAM NA UONGOZI WAKE SI DHANI KAMA UNAROHO MBAYA KIASI KWAMBA UNAWEZA MPOTEZA MTU TU MWENYEKIPAJI ILA ISIPOKUWA KAMA HUMUONI MTU HUJUE KUNA SHIDA KWA HAO WATU AU HUYO MSANII MBONA NAOMY UKIANGALIA YUPO HADI LEO HAIRATY HAWA NI WASANII WA MDA SANA NA WAPO HIVYO TUWAPE SAPOT JAMANI

  • @RuthObwana-fr3iq
    @RuthObwana-fr3iq 5 місяців тому +8

    Wapenzi WA naomi❤❤❤❤

  • @salumsuleiman3485
    @salumsuleiman3485 5 місяців тому +14

    Jaman leo wa kwanza mm naombeni likes

  • @MelodyLukhaji-vj4dl
    @MelodyLukhaji-vj4dl 5 місяців тому +2

    Am from Kenya much love ❤❤❤❤❤❤nampenda sana Naomi na mzeee simba kazi nzuri sana

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 5 місяців тому +1

    Mzee simba na binty yako naomi🎉🎉🎉🎉❤U bhailam unajuwa mpaka unakera😂😂wawawa walykum Salam

  • @NajmaMohammedy-u4y
    @NajmaMohammedy-u4y 5 місяців тому +11

    Walochekaaa bailam alivoutowa mchup mweusiii gonga likee tucheke kwa pamojaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 5 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @PrincessLaizer
      @PrincessLaizer 5 місяців тому

      @@NajmaMohammedy-u4y 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @generalcommander8921
      @generalcommander8921 5 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kakazali
    @kakazali 5 місяців тому +10

    Nawakubali sana 🇰🇪❤

  • @LuluFwalo
    @LuluFwalo 5 місяців тому +7

    Waooo nimewah Leo Kaz nzur

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 5 місяців тому +3

    Wewe ni noma Sana bhailam na kuku Bali sa Ku tokea Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 5 місяців тому +9

    Mzee Simba stakuua we bailam🤣🤣🤣🤣

  • @arikibok4735
    @arikibok4735 5 місяців тому +2

    Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DicksonOnesmo
    @DicksonOnesmo 5 місяців тому +4

    Jmn na me sinisahau japo na chelewagaa ila naipenda sana mtoto wa sheikh kutoka Tanzania 🇹🇿🇹🇿

  • @HatungimanaRahma-r7l
    @HatungimanaRahma-r7l 5 місяців тому +10

    Kama kwel iyi subra yenye naomi anayo kwenye kuigiza iwe na kwenye maisha yake halisi kwa kwel umejaaliw subra😅😅😅

  • @MamuBintally
    @MamuBintally 5 місяців тому +4

    Mimi wa ishirini n thalathni jmni 😅😅😅😅😅😅😅😅 nipeni like basi 🎉🎉🎉🎉

  • @khamisjina8833
    @khamisjina8833 5 місяців тому +1

    Big up, ila nikusihi Bailam maudhui yaende vyema yasijefanana n ya wake wenza❤❤❤

  • @BoscoJunior-oc4gc
    @BoscoJunior-oc4gc 5 місяців тому +1

    Iko sawa

  • @DottoZawadi
    @DottoZawadi 5 місяців тому +8

    Bhailam Mzee simba alivyokubamba hayo macho😂😂

  • @MishiGambo
    @MishiGambo 5 місяців тому

    Pole sana dada Naom mwenyez mungu akupe kher na akuongoze katka ndoa yako🎉🎉

  • @Fatumahassan-h5m
    @Fatumahassan-h5m 4 місяці тому

    😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉 umepigaje hapo 🤣🤣🤣🤣 siku za arubaini ni mwizi ❤❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni like zangu nawapenda sana ndugu zangu

  • @tiffahdangote7548
    @tiffahdangote7548 5 місяців тому +2

    Naomy mbona hapo huongei Kwa hasira...😂😂😂mzee angekutana na mm ni muchi mmoja tu😂😂😂😂 wa kichwa ata asingeendelea kusimama machoni pangu😂😂😂

  • @fatuma6011
    @fatuma6011 5 місяців тому +2

    Bhailam chupi umeifanya handkerchief wajitetea na wap😂😂😂😂

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 5 місяців тому +1

    Pole sana Naomy kwa kupata mume mchepukaji A.K.A bhailam jamani

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 5 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉waaah😊

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ 5 місяців тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DJSantoz254
    @DJSantoz254 5 місяців тому +18

    Naomba like zenyu please

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 5 місяців тому +2

    😂😂bhailam unajua kuumbuka daah na hio mimacho yako ukishakufuniwa unakua kama umepoteza nauli 😅😅jaman recho mbona haonekani na dinyo

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 5 місяців тому

    Wallah imeniuma sna hii part 😢😢😢but wanaume mkipata wake watulivu n wenye subra jitahiini kutulia,,,n kwa kweli kuna mafunzo ndani yke.

  • @HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
    @HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj 5 місяців тому

    Bailam kuwa makini sana usimuumize mkeo 😅😅😂 ikopoa sana 👍🥰

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 5 місяців тому

    Duuuh naomi,,,,,una moyo wa ajabu mimi hapana nisingeweza mweeeeeh

  • @KhabibtyUmmiKhabibtyUmmi
    @KhabibtyUmmiKhabibtyUmmi 5 місяців тому

    Bhailam we ni pasua kichwa😂😂😂😂😂😂tena kisunzi namba moja pia😂😂😂😂😂nacheka kama mazuli

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 5 місяців тому +11

    Pol dada noamy ndio sis wanaume na hakun mwanaume wa mwanamke moj noamy

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 місяців тому +1

      😂😂😂😂 nimecheka km mwehu nahiyo chupi yake akifuta jasho

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 5 місяців тому

      😂😂😂😂 Kumbe mwajuana

    • @NewNew-ep5dq
      @NewNew-ep5dq 5 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @KhabibtyUmmiKhabibtyUmmi
      @KhabibtyUmmiKhabibtyUmmi 5 місяців тому

      Unajisifu pumbavuu zako😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hata mpewe wanawake 100 bado tuu mnachepuka 😂

  • @JibranMursali
    @JibranMursali 5 місяців тому

    Duuuuuuuuuuuuh KAZI nzurii saaana vipenzi Mzee simba na mwanao Naomi mko vizur and bailam

  • @Zahara-l3l
    @Zahara-l3l 5 місяців тому +2

    Bailam muone macho yake😂

  • @furahakalyfurahakaly4901
    @furahakalyfurahakaly4901 5 місяців тому

    Mzee Simba anafilam yote unayo endeleza bailam utagotwa na Mzee simba😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @witnessmaturege2944
    @witnessmaturege2944 5 місяців тому

    Haya ya Naomi yalishaga nikuta Mimi sana tu 😢😢🙌🙌 mume yupo kazi ya chini na hapokei simu kila wikiend analala njeee🙌🙌🙌🙌

  • @agnesmiss1112
    @agnesmiss1112 5 місяців тому

    Nakupenda Sana Naomi mke mwenzio lecho wap hatumuon

  • @neempmailaneempmaila
    @neempmailaneempmaila 5 місяців тому

    Kazi nzuri muda mumeweka mdogo jmn napenda kazi yenu nzuri jmn

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 5 місяців тому

    Nzuri sana tunawapenda sana ❤🇹🇿

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 5 місяців тому

    Ya leo pambe nyiee watu mnajua tna mnajua tna😂😂❤❤

  • @WinMipango
    @WinMipango 5 місяців тому +1

    Ubaya ubwela 😂😂😂

  • @mchenyaJR
    @mchenyaJR 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hiyo ndo kazi ya mmeooo naomi pokea zawadi yako kakuletea😅😅😅

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 5 місяців тому

    Mtihan sana🔥🔥bailam kuwa makin nauyo. Mchepuko

  • @moisemoise5840
    @moisemoise5840 5 місяців тому +1

    Hongera sana kabisa

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 5 місяців тому +1

    Am from Kenya team strong 🇰🇪🇸🇦🇸🇦❣️❣️❣️❣️❣️

  • @Bibi-he6vt
    @Bibi-he6vt 5 місяців тому +2

    Super active comedy plus follower❤

  • @mariamdennis9576
    @mariamdennis9576 5 місяців тому +9

    Hiii kal kuliko mke mwenza🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @ShaymaaMlanza
      @ShaymaaMlanza 5 місяців тому

      Weeh mkemwenza noma sana ipo juu

  • @KhadijaKabunda
    @KhadijaKabunda 5 місяців тому

    Muvi nzuri muendelezo unashelewesha ❤❤❤

  • @a.p.monlinetv3561
    @a.p.monlinetv3561 5 місяців тому

    Salute kwa mzee Simba na busara zake 🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂nimekumbuka marehemu kanumba na wolper ndoa yanguu hiyoo nguo ya ndani loo aibuu

  • @JibranMursali
    @JibranMursali 5 місяців тому

    Ila t msitucheleweshe jamani na utam wa moves hongereni saaana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tuko pomoja❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KhalidAshjaie-cz7vg
    @KhalidAshjaie-cz7vg 5 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉😢 naomiy pole❤

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 5 місяців тому

    Mariam Umetisha Etiulifwata . Nini Kwa Bhailam Chukua Mauwa yk 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JibranMursali
    @JibranMursali 5 місяців тому

    Jamani hongereni saaana vipenzi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tunawapenda saaana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @BELLANDKAKULE
    @BELLANDKAKULE 5 місяців тому

    Kazi njema bwana bhailam,,naomie,,mariam.

  • @MariamMariam-h8h
    @MariamMariam-h8h 5 місяців тому +2

    Naomi hapo ingekua ni mm ningekua nshamrukia na kichwa kitambo😂siwezi kuogea mmbo mengi ili Hali yy hakutamini

  • @wezzieforty7766
    @wezzieforty7766 5 місяців тому +2

    Naomi kipez changu pole😂

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 5 місяців тому

    Bailam kweli hamnazo umejijua eeee 😂😂

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 5 місяців тому

    ❤❤❤❤kazi nzuri sana

  • @InkindiAfisa
    @InkindiAfisa 5 місяців тому +1

    Mzee simba 🎉

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 5 місяців тому

    Mimi namupenda piya Miriam ijapokuwa anaonesha roho mbaya umu lakini namupenda. Lakini Naomi kwenye filamu nimwanamuke wakuiga namupenda piya

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 5 місяців тому

    Kenya Watching

  • @MwanamisiomarAli
    @MwanamisiomarAli 5 місяців тому

    Bailam jamani mwisho yani huwo uso ukimshoka akiwa amefumaniwa na baba mkwee 😅😅😅huwa anani acha hoi 😂😂

  • @KagendoPionah
    @KagendoPionah 5 місяців тому

    Naomi unaumiza na kilio chako jamani😢 your very strong woman...nakupenda sana Naomi❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪✌️

    • @maylucson001
      @maylucson001 5 місяців тому +1

      Kama mm yaniii duuh😢😢

  • @EDWINKIBITOK-l4f
    @EDWINKIBITOK-l4f 5 місяців тому

    Napenda Naomi alivyo na hekima,Bailam hope next episode atalia please 🥺

  • @NuruJara
    @NuruJara 5 місяців тому +2

    Mwanaume hata akikuomba msamaha hawezi acha umalaya dawa nikulipiza tu

  • @SaraphinaFundi-rl2hx
    @SaraphinaFundi-rl2hx 5 місяців тому

    Bairam na team yako mko vizuri

  • @JibranMursali
    @JibranMursali 5 місяців тому

    Dada khayraat hongeraa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @MwanashaHemed-w3r
    @MwanashaHemed-w3r 5 місяців тому

    Wee bailam mwerev san 😂😂😂anajifanya kulia 2 n hakun kit😂😂

  • @JamesSamora-sk2uj
    @JamesSamora-sk2uj 5 місяців тому

    Naomi jmn minpend xn kz zake mwenyez mungu akubrik

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 5 місяців тому

    Kumekuchaa😮😮😮😮 mapenzi yadawa mwisho potrz

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 5 місяців тому

    Mzee simba na naomii wako vizuri sana

  • @ladyjoomahegga9407
    @ladyjoomahegga9407 5 місяців тому

    Bhailam umeigiza historia yangu😭😭😭 nimelia wallah

  • @RehemaIbrahim-wn4ef
    @RehemaIbrahim-wn4ef 5 місяців тому

    😂😂😂 Mzee Simba we kiboko

  • @mchenyaJR
    @mchenyaJR 5 місяців тому

    Ubaya ubwela ndio huu sasa😅😅😅😅😅

  • @HusnaChelicheli
    @HusnaChelicheli 5 місяців тому

    ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥 bhailam tunakupenda bure

  • @mokogoti1817
    @mokogoti1817 5 місяців тому

    😅😅😅😅😅😅mnanmaliza kweli

  • @LukaMwangangi
    @LukaMwangangi 5 місяців тому

    From Kenya I love your movies

  • @AmisseBuraimoCanamo
    @AmisseBuraimoCanamo 5 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉bai🎉🎉🎉 from mozambiq

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 3 місяці тому

    Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @margaretwilliams7054
    @margaretwilliams7054 5 місяців тому

    Heee hiyo Kali kurudi na chupi Kwa mkeo ,pole sn bibiee

  • @abuuqamar58
    @abuuqamar58 5 місяців тому

    Series nzuri yenye mafunzo

  • @OmmieDee
    @OmmieDee 5 місяців тому

    Naomi nakupenda buri❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Naima-v6x
    @Naima-v6x 5 місяців тому

    Napenda busara yako mzee simba

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 5 місяців тому

    Kazinzuri sana 🙏 🙏 🙏

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 5 місяців тому

    Kazi iko vizurii

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 5 місяців тому

    Da naomi mdogo wako jojo nimemmsi simuoni jamani nimemmisi jojo wallah

  • @FatmaAlly-d5v
    @FatmaAlly-d5v 5 місяців тому

    Mganga wamchongo et nimdodo mamie mwali ni mdodo🎉🎉🎉