Usimkunjie roho kunjua hiyo roho mbaya Kama Kweli ni mzalendo gonga liKe Tuache masihara kiukweli huyu kijana anaweza💪💪kuimba🎤🎶na sauti🎼ni Mfano wa kinanda👉 🎹
hawaamin kuwa kwa mkwawa pia mpo wakali nia yao kuwashusha wengine ili wakwao wang'ae toa dhana hiyo b2k nakubali kazi zako na najivunia kuwasikilizisha watu nyimbo zako huku niliko kaza kijana now twaskiliza nibebe huku mozambiki ,kizazi mwa gito
I don’t know why I keep coming back to this song. It reminds me of my EX. She used to love this song. Everytime we met she used to play it on repeat then sing it for me. We made love, created memories and lived our lives the best way possible. We broke up 2 months ago. UA-cam algorithm recommended this song for me now I miss her again. Man . This life😢
Yaaan hii ngoma imenifanya nirudi tena kufanya mazoez ya mziki naikubali sana hiii sauti bonge la saut mazeee ukiachana na Voice ya Jux inafuata ya B2K
Ajajajaajajajajaja!!! nimeutafta sana huu wimbo jamani, nilikua nauskia tu mtaani, leo uvumilivu umenishinda nimemsimamisha mkaka wa watu baada ya kuuskia nikauliza unaitwaje😭😭😭😭.....much love to you b2k 💃💃💃
Hyo jamaa hatal san, ningekuwa diamond ningemsain WCB, man anasaut ya kuimba na pia anajua, nyimbi zake masa 24 masikion mwang hongr san kijan, nyimbo yako ya ww ndo imenifanya nikujue na kukufatilia mbaka u tube+👏👏👏👏👏👏👏
Kwanza fulah upo nyumban wengi wapo mtaani tunabuludika napenzi mamy sasa stres zakazi gan woouw❤❤❤
Nipo apa 2024 kuna mwingine kama mimi alike apa
Kuna vijana wengi wanafanya vizuri kuliko hata hao tunaowajua sema hawajapata fursa huyu jamaa ana sauti mzuri sana
Safiiiiiii
Sio sauti tu hata utunzi na creativity #B2K anajua
adriano lazaro sanaaaaaaaaaa
Toba Mohamedi yearrrrrrrrrrr
So poa mwana bingap sana b2k
Usimkunjie roho kunjua hiyo roho mbaya Kama Kweli ni mzalendo gonga liKe Tuache masihara kiukweli huyu kijana anaweza💪💪kuimba🎤🎶na sauti🎼ni Mfano wa kinanda👉 🎹
Ninavyoupendaa sas nikipika,nikifua,nikilala.....nikitembea...nausikiliza tu...💞💞💞💞💞💞💞
natama ningekua naimbiwa mm maana sio kwa sauti hiyo 💖💖💖💖
babisa sio kwa sauti iyo
Nana bby 4 ll Njoo nkuimbiee
Subil.nikuimbie
Hakika
Yani b2k uko vizuri sana sauti kali utafika mbali wataelewa tu
Said Omary wataelewaaaaaaa sanaaaa
@@marrychipande7992 tenaaaaaaaa acha sio poa sauti kama imeshushwa
Unaw
Hili ngoma maze daaaaaaaa amaizing song namkubali Sana mshikaji
Enegizer yangu😁😁kabla kutoka Kwa nyumba,am your fun bro😘
B2k anatisha sana ninomaaaa
hawaamin kuwa kwa mkwawa pia mpo wakali nia yao kuwashusha wengine ili wakwao wang'ae toa dhana hiyo b2k nakubali kazi zako na najivunia kuwasikilizisha watu nyimbo zako huku niliko kaza kijana
now twaskiliza nibebe huku mozambiki ,kizazi mwa gito
saf sana kaka
pongez kwako 😀😀😀😀
Hii ngoma nmekuta inachezwa mbali Sana bg up muuziki wako unaenda mk bwoy haalah
Namkubali sanaa huyu kaka
B2K ingefaa sana ungeenda Kings Music unafananiaa
Aaaa aende kwa wasaf atafika mbal mondi ona kipaj icho aise ..zuchu hafui dafu apo
Naona mabadiliko makubwa kwako
Naamini utafika sehemu nzuri..........Producer P
Peseo Pio nakubal
Peseo Pio poa saa
Wangapi tumeirudia hii ngoma 2024
Sauti nzr sana aseee endelea kufanya vzr usirudi nyuma
Unasauti tamu na unavyojua mistarii ni balaaa, 🔥 🔥
Jmn nampenda sn huyu mkaka na nyimbo zake zote ziko🔥🔥🔥🔥🔥
unasauti nzuriii sana B2k nakukubali...
😘😘😘😘Sina lakusema🙏♥️♥️♥️♥️ Nakukubar sana
qbits records studios good work bro pongezi toka kwake simple boi kenya bongo
B2k nakuelewa sana mdogo wangu, kaza buti
jamaa anaweza , namimi pia nakipaji cha music ila tu nimekosa manager , ila iposiku nitaachia mgoma yang man Niko naiandaa ,
Wangapi tunatizama hii ngoma mwaka 2020
2024 nipo na buludika. Hapa saf sana tuko p1
yaani unauwezo mamaee hatariii
Gonga like apa kama unamkubali b2k please ❤❤
Chaliii anawezaa huyu!
Ali kiba brought me here 😍
same here
Same here
Hata mimi
Uyu jamaa ni Noma mxee bonge la mwimbaji ila uku dar kunafitina Sana janja ila wewe ni Noma komaa babu utatoboa tuu
I don’t know why I keep coming back to this song. It reminds me of my EX. She used to love this song. Everytime we met she used to play it on repeat then sing it for me. We made love, created memories and lived our lives the best way possible. We broke up 2 months ago. UA-cam algorithm recommended this song for me now I miss her again. Man . This life😢
Ambao tupo na fundi wetu 2021 show love hapa
Tupo hapa
We nakutabilia IPO siku utachukua tunzo kama 20
❤🥺《 ivi kwa nini ume patwa na nini》
Unajua kuimba jmn hyo saut aiseeeee
Bro kaza one day yes,uko vzr sana me nakupata sana kutoka zanzibar
sauti nzuriiiii hatar
Nakukubali wangu💔💓💖💟💞💘💗💝❤❤❤
Jomon B2K ,💃🤸
Kama mapenzi ningesoma hata gazeti, na uniambie sina neno labda utambueeeeee 🎶🎶🎵
Yaaan hii ngoma imenifanya nirudi tena kufanya mazoez ya mziki naikubali sana hiii sauti bonge la saut mazeee ukiachana na Voice ya Jux inafuata ya B2K
Amin kwamb
Uwakika mwamba
Umetisha dogo twaha piga kazi gemu ngumu kinomanoma ila jikubali na ujiamini uko vizuri sana
Nakukubali sana mchizi kaza gonga like apa twende sawa
Very nice song
Nyimbo kali sana B2k mnyama
💯💯
Weye uko vraiment powa 🇨🇩
Hongera bro upo vzuri san sauti tu mashaallh
ngomaa kalii ,Kichupaa Kikalii home Boi ....kazaaa sanaa ukiletaa Ingine kama Hii Music wako Utakuaa Next Level sana
Bmbana means b2k atar Kazan
Kweli nime kuelewa mwan
izi ndio nyimbo za kuzisikiliza siyo za mondi anaimba kwaya kanisani aleluya kwaya ya kanisani
kwaya gani dogo anajua ila hajafika robo ya diamond au hata aslay
Salehe Mkala aahh unavuka mstali
hii ngoma good Sana yani kila SKU naiangali2
nitumie namba yak y whatsap
wallah nampenda hyu mkaka ad naumwa saut tu mm oi
Hahahaha
patricial millanziy hahahahahha
Nice kazi nzuri
Anaweza
Dah !!! b2k we jamaa ni nyoko co kwa magoma yako mda wte nasikilizaga tu
Yan xana namkubal mchiz knma
gonga like kama unakubal huyu jamaa twende sawa
yusuph kwer ninoma anajua
Nakubar.sana.Mamie.kunam2.nampenda.sana.iranikisikiliza.wimbo.nafarjikasana
Haruna Chiff Nic san
@@ahlulnooryn4512 hatar sanaaaaaaaa
Uyo jamaa mkali
Kelee kwa b2k wake like naepuka kusema neno {simpendi b2k nikosa kubwa xan xo love b2k
Ngoma kali sana
Yaap ni swaaa namupenda bk2 mimbo zake
Nakupenda sana b2k mungu akuongoze
Nakubali bloooo endelea kuibeba ilingazima
Mungu awe nawe kila uendapo uko vizuri brother
Dah bonge LA kipajiii
Ajajajaajajajajaja!!! nimeutafta sana huu wimbo jamani, nilikua nauskia tu mtaani, leo uvumilivu umenishinda nimemsimamisha mkaka wa watu baada ya kuuskia nikauliza unaitwaje😭😭😭😭.....much love to you b2k 💃💃💃
Joy Kimela khaaa Joy umenishinda tabia
2024 still feeling this song❤
Kaka saut mashaallah sichoki kusikilizaa..kama mapenzi ningesoma hata gazeti waoooo
Swa kaka b2k hio Nyimbo nikali nimeshika Mahalia
Kuma mama yeeeee rooooh ngoma nzuri hivi afunumechelewa kuijua douh gd sana
Hyo jamaa hatal san, ningekuwa diamond ningemsain WCB, man anasaut ya kuimba na pia anajua, nyimbi zake masa 24 masikion mwang hongr san kijan, nyimbo yako ya ww ndo imenifanya nikujue na kukufatilia mbaka u tube+👏👏👏👏👏👏👏
Kaliiii sanaaaa kipaji toka kusini
ngoma kali saaana dah tunajivunia napenda saana kukusikiliza kazi nzury
Daaaaa asee ww kijanaa ww kwann ridhiki zinachelewa kufunguka kwako
nice song bro man... I wish to sing with you.. from Zambia
B2K 4life
Mungu mwema kusini mikono juuuu💪💪💪💪💪💪
bonge la ngoma umenifanya niwe natoa tuu machozi
Acha tu...nataman nipate mistari yake.
Ananikosha sana mungu azidi kukupigania
Napenda Sana uimbaji wako hongera Sana
We mkali bro nakukubali mia mia😘
Good msaidie na twino man mdudu from tunduma
nakubaliiii hommieee hapo umenikamataaaaaaaaaaaa.....@kismart
Kali kuliko,hongera sana Mzee baba,ngoma kali
Mpaka leo bado inatimba sante sana b2k
King kiba kanifanya nije nikusikie aisee unajua sana
Haikubali nikimuona mtu analiy kukuigiz love
B2k mnyama napendaga Sana nyimbo zako ziko bomba
Mung mkubwaaa
@@B2KMnyama ha bari
Nakubaly sanah kaka sana✊✊✊✊✊✊👊👊👊👊👊👊
Nice job bro i like your perfomancce
Uko pw bro
Upo vizuri sana kaka
Wengi tyuuu sio kwa kujua ivo yaani
B2K Upo makini kikazi zaidi dogo
Safi mkuu B2K tume kuerewa
Bien vraiment mon frère
Nakuelewa B2k
Beat,melody on fire
nyimbo kali kinoma ongeza juhudi utafika sehem nzuri
AIsee kaka upo vzur knoma respect home boy soon unatoboa
ngoma tam mno man
Good sn song yakwenda.2019.
really I like this song so much sanaaaaa home boy tupo pamojaaaaa
Unaweza kwel yan nakupnda bure b2k
Huyu jamaa ni noma from Malinyi
Mwanzon kabsa sa c nlkua napenda nymbo yake1 lkn saii napenda Zote💝
wow nice songs bro ✌️
nampenda sana huyu jamaa nipo tayal kumtafuta hadi kwao
hi ngoma nikali sana mshkaj yupo vzuri
I wish i couldbe your manager... You Got talent keep it up
Unajua sana brother