Good B2k Ujue b2k wewe unajua,nakumbuka wakati walipokuwa wanakubania kuchana mistari mtambula Lakini Leo watakuwa wanaumia big up B2K Ongeza corabo na wasanii wakubwa pia utakula bata sana
B2k mnyama your good Broo big up more blessings to u Bro sanaaa, dat song imenigusa kinoma more good things we hope they are coming. Keep it up jah bless yah
Eehe vatige imagava yaisava Kila munu kwe wihuma ulasamila mahazo kwe usogwe sa yikaduga ulemwe kupiluka....usizalau njia uliyopita ukaiziba kwani uendako Kuna mwisho ukashindwa wakati wa kuludi👊👊👊👊makambako stand up
Toka unaanza hujawahi niangusha mwanang, hiyo nguvu mpka tufike Viwanja kadhaa vya ndege mzee baba💪🏾💪🏾💪🏾 nakumbuka mbali sanaa popote alipo Ras Robert habari zimfikie🔥🔥🔥🔥🔥💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
Mnyama sidhani mpaka sasa kunamtu hakutambui kwa kazi zako kali unazo fanya,kiukweli toka moyoni nakuelewa Sana kaza mzee uiwakilishe makambako yetu ,kikubwa heshima man Kazi njema🏇
Kigoma kasulu uvinza nguluka like kwa b2k kwa ngoma nzuli
Hii ngoma nairudiaga Mara nyingi nying coz inaongerea maisha alisi y pangu pakavu katika mapenz na wenye nafuu jinsi tunavyo fanyiwa
B2k mzee nakukubali Sana jamaa, vocal zako ni next level na hii nyimbo ni noma kweli, likes nyingi kwako
Nakuelewa sana bwana kinyunyu wainue na kina jay José kaka
Haujawai 🙏nichosha Wala sijawai kuku choka pia ninapo sikiliza 🎶Ngoma zako🌟🌟🌟🌟🌟 b2k mnyama💖💖💖
Dhuuuu nampenda huyu mkaka mpk bc anaimba kituroh inapenda napia anaimba very good mie kikumbwa nakuombea dua mungu akuepishe na husida amin
Sjuhi nilichelewa wapi kuiona hii ngoma kali kama una mkubali b2k achia Llke
Star beat boy!!!,👏👏👏kazi nzurii mzee babaaa
Hahahaaaa nmecheka apo ulivoingia kweny gar umeniua mbavu wallah
Maqin sana home boy ngoma imetulia sana inajenga picha halisi ya maisha tunayopitia wanaume
Good B2k
Ujue b2k wewe unajua,nakumbuka wakati walipokuwa wanakubania kuchana mistari mtambula Lakini Leo watakuwa wanaumia big up B2K Ongeza corabo na wasanii wakubwa pia utakula bata sana
🥰🥰🥰 ngoma kali kaka, tusiposema ata mawe yatanena tu.
Top 10 ya wasanii wangu bora kwa mashairi na iimbaji bora kabisa nakubari sana huu yuu jamaaa ✌
Hongera bro goma Kali am proud of you ..
daaah mwanang b2k unapinga ngoma kali kinyama mwanang nakukubali %zote kaz mwanang mashabik zako tunakuombea ufke mbali
Ngoma Kali ,,video wanangu wa ckul moga Lee &kudra mnawakilisha ,,naicheki nikiwa Dodoma
Pongezi nyingi zikfikie b2k mnyama kwa kazizako nzuru mungu akuongoze ufke mbali💗💗
Unaweza sanaaaa mungu angwangazie nuru ufike mbali
Nakukubari kinomanoma breathe
Ilove you 💖 b2k ♥️♥️ very nice 😘😘😘 Nakukubar mwamba 💪 wa kwetuu njmb🥰🥰
Jinsi ulivyo na saut yako ni tofaut sana bro big up
B2k mnyama your good Broo big up more blessings to u Bro sanaaa, dat song imenigusa kinoma more good things we hope they are coming. Keep it up jah bless yah
Saut adimu B2K nakukubali xn kijana
B2k mnymaaa,,unalia sana mjubaaa daahh mpka najikuta napta hisia kuskiliza ngoma
kijana good Sana
unaweza sana yani
Ambao bado tuko na B2K gonga like
Kaliii sana
I ko poa
Jamn kama una mkubali 😍😍😘😘B2k ngonga like 100😘😘
Namkubalii kinomaa❤❤
@@EvandaKyando😂😂
Amazing voice ujumbe wa motooo
Nomasana broo
#b2k toka tz nenda mberembere hukoo wewe ni🔥🔥🔥
Much respect for u b2k
Support this guy coz It's so blessed B2K is on tap
Like hapa tujuane zaidii
ua-cam.com/video/ZPIijqUhwx8/v-deo.html
ua-cam.com/video/ZPIijqUhwx8/v-deo.html *Subscribers*🙏
Good merody keep it up you can do something great in music 🎶
😩😩😩😩😢😢so sad and bad is not far is sad sooooo sad
Nakubari mnyama
Ipo siku watakuelewa tu
I like this boy the way he sing .walay ulipewa sauti. naipenda sauti yako.
Goma limewakaaaaaa🔥🔥🔥
umefanya poa sana hii home boy, big shout out for you.
Eehe vatige imagava yaisava Kila munu kwe wihuma ulasamila mahazo kwe usogwe sa yikaduga ulemwe kupiluka....usizalau njia uliyopita ukaiziba kwani uendako Kuna mwisho ukashindwa wakati wa kuludi👊👊👊👊makambako stand up
Kip it up bro 🇺🇬🇺🇬
Toka unaanza hujawahi niangusha mwanang, hiyo nguvu mpka tufike Viwanja kadhaa vya ndege mzee baba💪🏾💪🏾💪🏾 nakumbuka mbali sanaa popote alipo Ras Robert habari zimfikie🔥🔥🔥🔥🔥💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
I'm proud of supporting and being ur fan uko juu bro... Much love from 254
Kali dingi from Mk boy
Heyi
Nakupenda ww kaka nyimbo zako kama unaniimbiaga Mimi vile
Umeona eee
***Mafinga ,makambko, Nyololo,IRINGA TANZANIA likes nyingi kwa B2K kwa ngoma nzuri***
Nyololo stand up,
team nyololo tujuane 😀
Noumaaah
@@faithaction2505 nakubali
@@winfredkisigo9402 tupo mzee
Hustler wote tukuje Huku from Kenya mko wapi 😥😥😥 b2k brother u know mpk unaboa
Ngoma kali sana
Sw nakubali 😊😊😊
imefk patamu ikaixha kaka... be continued 🙏🙏💪
Hakika huu ni wimbo katika nyimbo..
Tuliokuja hapa from SNS
I love his voice wimbo mzur xana
Dah nakubali mzee hapa umeua mzee video Kali location Kali sauti mzury na mtoto ukajichotea hatary
Bwana mdg unavocal Kali unakwamaga wapi mzee💯💯💯💯💯
Kaza broo lazima kieleweke🔥🔥🔥
Mwamba unaimba maisha yetu big up sana saluti kwako.
Ngoma Kali Seema Nini close iyo download Ni mapema watu tutaweka Offline
🙏Kwa kazi nzuri
Still my fvrrrr 😍🙌🏾
B2k sikupingi mwanangu kazinzuri hujaniangushaaaaaaa
Good job .good music
B2k napenda sana kaz zako hakika unafanya vizuri
Hongera sana kwa kazi hii inavutia sana
kazi safi bro. endelea ivyo ivyo nakufuatilia sana
Unaweza sana sijui nini kinazuia kumake it at the top table.. I always like your melody
Very nice keep it up.
Nitasikiliza paka siku ya kufa good b2k
Nakubalii mbaba nyimbo kali sana
Shina la mtaa hustawi kwa shida Sana mala wahuni wavutiepo sgala wapita njia wakojoleepo da boy from makambako upo vizuli dogo
Good songs jamaa kauwaaaaa
xafi nimekuxoma
Nakubali kazi ujawai kosea mnyama
Unajua sana mzee mungu akubless
Big up
Unajua mzee bab shabiki yako kutoka kilimanjar 💃💃
waoooh location tu mihoi tu
Mnyama sidhani mpaka sasa kunamtu hakutambui kwa kazi zako kali unazo fanya,kiukweli toka moyoni nakuelewa Sana kaza mzee uiwakilishe makambako yetu ,kikubwa heshima man
Kazi njema🏇
Hatali sana bro kali na nusu
poa sana b2k kila la kheri katika kazi zako bro
Tunachojua sis b2k ni msani mkubwa na nyimbo zake kali unaweza play mbel ya wazz. Kikubwaa uhai sisi tupo pamoja na ww 17/5/2020 nimepitaaaaaaaa
Another hit, keep winnin’ hommie
Mnyama kama mmi dar ila nakukubali sana
Duuuu jamaan noumaaa nyimbo kareee
Like kwa B2K Kisha twende pamoja watu wangu Asate 💯💯
Nkbal xan
Saw a kaka
@@clementbenedict hey
Mziki mzuri siyo lazima uhit Bali ubebe ujumbe ndan yake,bonge la mwanamuziki na siyo msanii unajua b2k
Tunaitaji waimbaji kama B2K wenye nyimbo zenye ujumbe na maisha halisi ya watu. waiwakilishe TANZANIA
Nimeipenda hii nyimbo Kali san
Nyimbo mzuurii saaanaa,,mpaka burudan kuckiliza
B2k upo juu zaidi nakukubali
Big up bro kaza buti utafika, kipaji unacho also big up to NAROH anafanya kazi nzuri +254 Nakupa support
Nan kasikia kama mm gonga like twende saw B2K mnyamaaaaaaaa
Nice one
Kiukweli mkinga mwenzangu hii huwa naikubali Sana kinyama so kidogo uliupiga mwingi Kaka, bonge la ngoma 🔥💥💯 hit song
The guy is changing and his movements will soon be international
Daah jamaa unakipaji aisee Yani naisikia mpaka moyoni #b2k
Exactly
🎯
😅
Nyimbo kali sanaaaa biq up
Nakubali dingilii pamoja toka pande nza songea m1 mnzee baba unawenza......🙏💯🏇🚴🤐😎💋🦶👁️🦾👀
Unajua xana man
Nakubaliii
gud song any time I like this song from kilimanjaro
Upo vizuri hatareee,sauti mashaallah
Hii ngoma nimeiludia Mara 2
+254 B2k mnyama uko vizuri bro
Nyimbo kali joh, ni hapahapa makambako
Naupenda sana huu wimbo!!