Mesen Selekta - Kinanda Ft Rayako (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2018
- Mesen Selekta's New Single "Kinanda" Ft Rayako from TsGang "Team Selekta Gang" Available Now!
Boomplaymusic www.boomplaymusic.com/share/mu...
Mkito b4g3k.app.goo.gl/6sYZdciAE39R...
Follow Mesen Selekta
/ mesenselekta26
/ mesenselektatz
/ mesenselekta
Snapchat: mesenselekta
Tunao skiliza 2024 gonga like hp
😂😂
Tupoooo🎉🎉🎉😂
hatari sana
Tunaoskiliza hiii 2024 tujuane aisee 🤚🏾
Tupo
2024 this banger still hot🎉🇰🇪✌️💯
Dah! Ulipigwa nikiwa chuo, ckua na mood nao kiviiile, ila leo baada ya kurudia kusikiliza nimejikuta natamani usiishe. Nimekumbuka cku mingi sana aisee. Tujuane ikiwa naww ndivyo ilivyo.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tuliongalia ngoma hii leo 03 02 2024 tujuane ❤❤❤❤
Tunao sikiliza hii ngoma 2023 tujuane
Mmoja ni mimi
Mimi piaa
Tupo baba
Tupo ngomakali
Hili goma ni kali muda wotee!!me kila nikisikilizà naona kama lilitoka jana❤❤
Finally nimeipata 2020 any kenyan here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪si i love this song
With You Dearest . Inashika 🧐👌🏾😂😂😂😂🤪😜🤎👌🏾🕺🏽🕺🏽🕺🏽🕺🏽
Yooh
Am here Kaylee
2022 bado niko hapa. Mombasa Kenya 🇰🇪
Nko hapa..bt I loved it long before..
Ina miaka 4 lakini Kila nikiisikia napata hisia ya mziki mtamu,big up mensen,wewe ni moja ya wasnii wakali ingawa hauvumi kiivyo!
dis sing is 🔥🔥🔥👌 hatari kabisaaa tatizo letu bongo tupo kimazoea ila huyu jamaa sio siri kafanya poa wallah this is my best song
Sipendi new school song nyingi na huwa sisikikizi labda kusikia.... Ila siku nimesikia haka kangoma moyo wangu ulisuuzika nkajisikia kusikiliza.... Kana mahadhi flan mixer old hisia aaaah safi saaana mensen
Tunaosikiliza hili goma 1/1/2024 like za kutosha -------- kinanda mesen selekta
Me leoo tareh 2 mwenzi wa 4 2024
Haya wale wa 2024 tu likę hapa💯✊🎵
Kaliiiiiii🔥🔥🔥🚀🇰🇪
volume 60. mama mwenye nyumba kaja na speed mia nkajua kishanuka mara kasema ongeza sauti tena kidogo niiskie hiyo ngoma nkiwa napika ohooo
😁😁😁😁😁😁
Duh! Kwekwel
😂😂😂😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰
hahaaa umetisha muzeee
🤣🤣🤣
Kwani huyu jamaa kapotelea wapi jamani??Rudi bhana Mesen Selekta,wenzio tumemiss vitu vyako.🎉
Julai 30,2024
Crazy.. 2020 who's still listening ??
Kenya we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯 our type of music
It has been 5 years but still on my playlist 🫶🏻❤️🔥
We jamaaa rudi tumekumic aiseeee
chuma inapepeaaa 2024 gonga likeee tujuanee
eeh bhana hii ngoma ikipigwa kwenye chumba cha mtihani ..mtihani unajijibu wenyewe na kujikusanya...oyaaaa oyaaa aise aiseee
Charles Mccool ....kwakwel aseeeh
Charles Mccool hahahahahahahhah
kwel
Hahaha kwel
Hatareeeeeeee eeeeh
Hili goma lipo sawa na nalikubali sanaa. Kam na ww unaikubali kam mm gonga like nione. From Zanzibar (Tanzania.
been loving this song,since day one to date..it never gets boring
2024 nipo kuweka akili sawa kwa hii ngoma big up for hit song
Hi ngoma ina stahili tuzo cause inmedumu na ita dumu kama ngoma romantic ya stile hii milele amina
This is killer tune BigTune 💯💯💯💎💎💎🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥 🙌🏾🙌🏾🙌🏾from Ethiopia 🇪🇹
mesen, hili dude noma sana mtu wa nguvu, 🔥 🔥 🔥
ynnajicki lahasana napockiliza wimbo hu
Mzee wa bwax
Don’t mess with mesen..!
Respect 🇷🇼
Nyimbo nzuri brazakaka... my condolences for the loss of your mom.
Ndo tulichokuwa tunataka ss mesen umeua mbya mwana 🙌🙌🙌🙌
Yeeeahhhh #Tsgang Badman mesen apo safiii taar ninayo asee
Tanzanians, mbona hamujafikisha hi ngoma 1 million views? Wale tunaskiza kutoka Kenya tuko wapi?
Me nashangaa views zinauzwaga cjui dah nyimbo nzuri hazina views nyingi
nigoma.kalisana
ametisha
Thanks so
John Manje8 kkkkkkkkkkkjvphhjjjjkmlpppp
What a masterpiece!!! Mensen you killed it ❤❤❤❤❤. It is 2024 but it is still hitting
most underrated artist in Tanzania, unajua bro
Jamal Selemani bonge ya hits
Ngoma kali.. really,siichoki kabisa...kila siku naiona mpya kwangu 🔥🔥
Kama kuna mtu kama mimi anasikilza hii 2021 gonga like kwa misen ❤❤❤❤ twende sawa
06.08.2023🔥🔥
2024🔥
30-12-2023🥰🥰🔥🔥🔥🔥
Bado inabamba mpaka 2019 👀 Messeeeen
Mensen hii ngoma umeua mbaya 💪
Kila asubuh huwa na sikiliza hii ngoma ya Mesen ndo niendelee na kaz naipenda sanaaaaa
Uko pora broo
Jamaa n fundi sio pw
That intro by Rayako was fire
Hii ndo ngoma bora sana kwa mwaka huu.
Hamna cha SIMBA wala nyauuu... Ww selecter unajua
Hahahahahahah
adam saidy hhhhhhh duuhh
Duuh wee ni mwehu aisee 😂
😂😂😂😂
anajua balaa
muuza nyama hawazi kujichaguliaa nyama ngumu ya kula yani hii ngoma nikiiskiliza nakula nguna hata kama hamna mboga nguna inashuka talatibu had I inaisha big up selecta
daaaaahhhhh bonge la nyimbooo aiseeeeee big up mesen selekta
Mesen una sauti nzur ila beat imemeza maneno yako! Rise it up
There's something special about this song. I don't hear most of the words but the beat sure makes me move
He is talking about how a girl is so beautiful....like a keyboard...beautiful melodies
My all time Bongo Flavour song... 🔥🔥🔥🔥
2054 still a banger
Hii nyimbo naipenda sana huwa nikiisikiliza adi nalia jaman naipenda sana sana hongera Mesen kwa nyimbo tamu
kaka hisia Kali maneno kuntu beat balaa kideo imefanana na uzuri wa nyimbo daaah mpaka naona wivu....
Frankly talking, your music is underrated but the truth is you have got a unique touch when it comes to music. Hoping to see this song perform well on different platforms
mesen don pol ni noma sana namkubali yuko wap mbona humfanyii kazi
Sisi raia kutoka sayar ya Mars hii ngoma Kali Sana alliens wote wanacheza
Tunaosikiliza hii song 2024
toka utoe kanyaboya hii ndio Ngoma yako nyingine Kali
Iko soooooo pow hadi inakeraaa.......hongera mesen
This song was my Instrumental for close to 6 months.....also used to use it for testing sound while tuning my Music system..... excellent production🔥🔥
Kinanda bonge la ngoma yan gonga like na ww kama umeikubali.
hii ngoma naikubal kinoma
alw
Hatar
Ochieng kabasela
Kinanda is right on point, clip imetulia..😏😏😉😉🙏🙏🙏🙏🙏
asee ili biti ni dunia....🙌🙌
Tz...mko 2 juuu sana....this is talent. Love 4rm KE.
ngoma kalii saana mensen selekta umeua kinouma ,nakuelewa saana bab piga kazi
Huyu Jamaa nimsanii aliekamilika one of my top talented msaniii
ngoma kali kaka sikupingi moo fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Haijawahi kuchuja kwanguu naipenda kinyamaaa❣️❣️❣️❣️
Daaaaaa ingoma siku moja nipi iringa kunamtu aliinunua simchezo kinandaaaa
🔥🔥🔥🔥🔥 Been repeating to listen this songs several yrs.
This song deserves more than 1M views. Wimbo kama huu ungekuwa wa Diamond sahivi angekuwa na views million mia nane😝😝
Yes I’m with you on this one
Bongo wanasapoti kiki c mziki
Kweli mzee.... Hii nyimbo ingekuwa ya Kiba au Mond ingekuwa na views hata 3m+
😘😘😘
Frajo Media umeona eeh sema wasani wadogo wanabaniwa bongo
Good bro, iko powa sana
Noma sana aisee!
🔥🇹🇿🔥 big fan from Kenya🇰🇪
Wapiiii wa 2020 naombaa like.
😘😘😘
😍🔥
Namkubali sana messen selecta
Ngoma Kali Sana huchoki kusikilza,big up bro
Fanally 1M views,2019 KINANDA, mybanger all the time
hii jamaa jamani beat inatengeneza yenyewe na kuimba vzuri yenyewe na melody yenyewee yan inajua mpana inaboa........MOSSES from AITALY 😂😂😂
ni shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidaaaaaaaaaaaa meeenseeeeeeeeeeeeeen seleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeektaaaaaaaaaaaaaaa
Sara Nelsone noma sana
Umetishaaa we ninomaaa maan inanipa rahaaa sanaaa nyimbo hii
dahhhhhh misen hi hi nymboooo xanaaaaaa 👍👍👍👍
tujuane jamn ambao bado tunaichek hii ngoma mpaka Leo 9.2019
Baby ongeza cheko raha sana jamaa anajua cyo masiara jaman
Tamu kinoma
Forever in love with this song 😘😘😘😘😘😘my daily dose
wimbo mzuri! nimepata tabu sana kuupata.
Wa 4 kucoment ngoma tamu
Bonge moja la ngoma 🔥🔥
2024 still hits😂❤
Bonge la beat kumamake...😎😎😎🔥🔥🔥
Drixy Mirry kinomaa
Drixy Mirry haswa likipigwa club sio pw mzee dingi
😂😂😂
atar hy ngoma
SIMPLY AMAZING
balaa mzee baba! Kitu na .........
ata usiambiwe na mtu ......we jua hii ngoma fire mbaya ....hapo nakupa guu kaka nice work
nyimb ipo vzur xn #mesen
Big up bro 🙏
Been listening to this the whole week and can't get enough of it..Good music Mesen
Wa 2024 tujuanee🎉🎉
Mwanangu umetisha sana . kama la nje vile mamamaaaeeeeeee .
Niceeeee...bonge la ki2 yaan
umeon bonge nyimbo
Kama Kuna mtu asikiliza Ngoma hii 2023 gonga like twende sawaaa
Makin sana jamaa
Ngoma kali.. mashairi makali msanii mkali beat kali.. hatari weka mbali
Listening from Kenya....an amazing song
Nikisikiaga hii ngoma huwa naacha kila kitu kwakweli
Like kushoo love
CHAZBABA TV nom
Umetisha meisen haya chuga tumeielewa mno man ,kinandaa
Kalli sana bro 🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Safiiii nilikuwa naitafuta hii nyimbo finally
Most underrated artist I need to have an interview with you
He’s a producer and also musician very talented he has produced many hits 🇹🇿🇹🇿
dahhh mesen hii beat ni shida akuna mfno yni kila mda narudia hii shittt ni balaaaaa
search Emma nayra Drop it ndo utajua hii beat imetoka nchi gani
noma brooooo
yes mensen selekta umetisha sana