Nilichelewa Sana jamani nilikuwa wapi kuskiliza mziki mtamu wenye filings Kali hivi😢😢😥 anyway nipeni hata like kumi TU me ntaridhika.. ngoma Bado inaishi.. tunaendana me nayeye
Dah mwamba huwa naku kubali Sana nyimbo yako hii ninayo kwenye play list yangu miaka miwili Sasa Roho ilikua Ina niuma Sana kuona hautambuliki Kama msanii mkubwa na Maarufu Ila nimefarijika Sana kukuona Kwenye kipindi kwa Bro Sky Mungu akutangulie man nakuona mbali Sana Usikate tamaa💪
big up sana bro, hii ngoma huwa nairudia mara zote, siwez kulala bila kuskia hii ngoma, kiasi kwamba sauti yako naelekea kuikariri, nakukubali sana mnyama @B2K
@@B2KMnyama kaka nyimbo Hiii inanigusaa kabisa yani kama inaniusuu mungu akubariki I kwa kaziii yakoo kaka yangu yani ikifutika KWENY sim yangu nakosa amanii❤️🙏m
Nimefarijika sana kupata ngoma kali kama hii kutoka nyanda za juu kusini yani home kabisa# B2K kaza ndg yangu.....nitagonga cheers siku moja ukiwa on top z tZ nq Africa.
B2k siku nilivyokuona nikiw njombe ulikuja kufanya show siwez pima Ile furaha nilivyokuwa nayo Yani nilijihisi furaha isiyo kifani,mara ya kwanza kuisikia hii nyimbo ni nilikuwa tunduma ase kuna mkaka uyo ndo alikuwa ananisikilizisha hii nyimbo jamani ❤❤❤ akija haongei ananipa tu simu nasikiliza ilikuwa moment nzuri mnoo
Homeboy Homeboy Homeboy unaimba vizuri ila wauni indo ngoma yetu so all the best master bendera ya Njombe yetu unayo wewe endelea kuitangaza tuko nyumba yako 👏👏🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Nakubariii San hom boy mwanakwetu b2k mnyama #TUNAENDANA ni ngoma ambayo imenifanya nikiskiliza kuna vitu flani vinapata na filings tamu.unajua sana mwanangu mungu akupiganie kwa kila hali ufikie pale ambapo umejiwekea malengo yako.GODBLESS.. AMEN
Tunaendana mmi na wewe,, who's here 2024🎉🔥❤
meeee
✌🏾
Me
Nilichelewa Sana jamani nilikuwa wapi kuskiliza mziki mtamu wenye filings Kali hivi😢😢😥 anyway nipeni hata like kumi TU me ntaridhika.. ngoma Bado inaishi.. tunaendana me nayeye
Anae angalia 2020 gonga like big up broo
Kama kuna mtu anaangalia wimbo huu mzuri 2024 gonga like
❤🎉
tupo pamoja
Njoo tupendaneni 😅
Danulod
I don't even speak the language, I love the vibe though.
Wimbo mkubwa sana na unazidi kuhit , kama umekuja kuungalia Disemba 2024 kuelekea 2025 gonga like.
Kutoka 255 IRINGA -TANZANIA🇹🇿
Hongeea Sana kijana
Umetajwa kufanya vizuri Boomplay
Like kwake 👍
Asantee ndgu zang kikubwa nawaombeni saport ya kushere zaid asanteen
B2K Mnyama nakubali kaka
B2K Mnyama Usijali Mungu akusaidie tu Ss tunaomba usituangushe maana tunakutegemea
B2K Mnyama 2gather tupo pmj mpaka mwisho
B2K Mnyama Da! Unajuwza sana mtoto wa kinyaru
B2K Mnyama nakukubali napendaga ile nyimbo yako ya kwanini hata hii Kali tutaisapoti pamoja yahaya mrat arusha hapa
Naipenda hii nyimbo mpaka naumwa yaan❤❤💋💋💋mnaoipenda kama mm like hapa😜
me 2
@@neemarojas6721 Me too
Mm mwenyewe naipenda so poa
waw,I need talk kiwhali to you
M 2
Dah mwamba huwa naku kubali Sana nyimbo yako hii ninayo kwenye play list yangu miaka miwili Sasa
Roho ilikua Ina niuma Sana kuona hautambuliki Kama msanii mkubwa na Maarufu Ila nimefarijika Sana kukuona Kwenye kipindi kwa Bro Sky
Mungu akutangulie man nakuona mbali Sana
Usikate tamaa💪
Brother katika nyimbo zako ninazo zikubali wewe pia imekuja kufunga tena tunaendana god bless you brother wangu
Kalibu kwetu mbeya umetisha bi2kei kaza tupambane
Uko vizuri san
.duua nyingisan dady
I am an artist WIZLY PLATINUMZ from Kenya
@@edsondckison6060 nakubal
Hii ni moja kati ya Nyimbo zangu ninazozipenda kutoka Kisini Mwa Tanzania. Good Work
Gib Carter nashukuru sanaaa kaka
naelew mambo unayofanya ila cjui jibu gani niamue tunaeee!!!!?
Mboss
Nice dogo
Gib Carter s
Tokea naanza kuskia nyimbo yako ya wewe nikaanza kufuatia song zakp zote mzee nakuelewaaa pq1 kama unamkubal b2k mnyama gonga like
Kaliiiii
Nimeipenda
vijana tv nic
Noma sana b2k ngoma zako nazikubali kama zote yan
@@ahazikasiba5866 hapo xawa
huu wimbo umemludisha mke home !!!
😂😁😀 broo kwel
Kiukweli wimbo huu unanikumbusha pindi Niko na mchumba wangu kipenzi Rose alipokuwa tabora
😃😃😃😅
😂😂😂
😂😂
Hiv huyu kaka amekuwa akijificha wapi sikuzote nikskia nyimbo zake mtandaoni 😭😭😭🥺🥺♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nimetokea kupenda nyimbo zake 🌼🌸
Nyimbo ilinivutia sana siku ya kwanza naiskia kwa kaka angu ukwel ziko powa nice song
Agatha Shaban asantee
Agatha Shaban m
@@B2KMnyama 👍
Mimi huwaga machozi yananitoka huwa nahisi huruma flani 😘😘😘
Kazi nzuri sana wanangu Mungu aendelee kuwabariki @B2k @yoel Mrisho
Tulio angalia huu wimbo 2019 gonga like hapa tujuane huu wimbo no🤸🤸🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tusio na kinyongo wala wivu kwamba b2k mkali na nyimbo zake zinagusa gonga like twende sawa 👍👍
Hgd
Lakin usije kuwa kam cheed kuondoka apo
vp
Sana B2K
B2k ngoma kali tumeipokea kwa mikono miwili mwamba!!!!!!!!!
iko pow sana
Dx ex
Bloo nakukubari xsna kikubwa kaza buti mzee baba
Nakusama
Tunakupenda sana b2k 👏👏👏mmwaaaaaa🎉💞💞💞
Dah nyimbo nzur sana ,nimemumisi mke wangu niko mbali naye imebidi nije hapa imenifariji 2021
Mambo ni motoooooo kama unamkubali B2K gonga like apa
Sylvanusi Njomango dar mwangu nikisikiliza hii song namkumbuka demu angu alikua mtoto wa kiha nampenda sana huyu mtt
Tuanendana nami na wewe ♥️♥️♥️♥️♥️ love it
mmmh huyu mtoto jamani utaniua sauti yakubembeleza hatariii...asante B2k
ipo poa sana b2k
Magdallena Richard kwa sauti 2 umejaliwa pamban dogo utafika
99
Wanao mkbali b2k mnyama tujuane apa kwa like 🎉 kwa mwaaka 2025
oooh naupenda huu wimbo mungu akusimamie❤
Hitting Cong
Kaka umejariwa sauti yenye ladha
B2k We Nimsanii Kama wasanii wengine kifup upo good boy
big up sana bro, hii ngoma huwa nairudia mara zote, siwez kulala bila kuskia hii ngoma, kiasi kwamba sauti yako naelekea kuikariri, nakukubali sana mnyama @B2K
Kenny BrownVevo na usichokeeee
@@B2KMnyama kaka nyimbo Hiii inanigusaa kabisa yani kama inaniusuu mungu akubariki I kwa kaziii yakoo kaka yangu yani ikifutika KWENY sim yangu nakosa amanii❤️🙏m
Kenny Dullo sure nice
Nimefarijika sana kupata ngoma kali kama hii kutoka nyanda za juu kusini yani home kabisa# B2K kaza ndg yangu.....nitagonga cheers siku moja ukiwa on top z tZ nq Africa.
Sijajua why still unknown lakini unajua zaidi ya tunaowajua.. Nice tone voice and everything.. A massive yes
Ngoma kaliii Sanaaaa #B2KPamojaa Sanaaaa #Njombe 🔥🔥🔥🔥🔥
Daa nakupnda xanaaaaaaaaaaaaaaaa
Kumbe Njombe eeeh
Let's support this kid he will be a big artist in next 4 years am in ZAMBIA NOW
It's very nice ✊✊✊
Daaaah hii nyimbo nimeiskia leo kwa jirani ikabidi nigonge kumjua msanii aiseee bonge moja la goma broo salute to u
Uyu jamaaa anajuwa sana kikubwa kumuombea
Zaka Komba Kwer jamaaa
B2K Mnyama pamoja kaka
Umejitaid bro by dadalao
Nimeupenda Sana huu Wimbo god bless b2k
Aamin
Huuu niunyama sasa brooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hatariii we nyokooo IPO siku utawanyoosha bongo fleva
Kazi yako nzuriii sana brother mungu akupe nguvu zaid kweli wew ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
THE MOST UNDERRATED SINGER IN THE YEAR 2018!!! PROBABLY THE BEST SINGER IN THE YEAR 2018!!
Hi from mombasa Kenya, huyu dogo tunamkubali sana. Congratulations for your good job.
Katika nyimbo ulizofnya hii imetisha sana kuanzia mavazi location and Pablo ujawai kuniangusha toka shule 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
MUSSA MPAMBICHILE hatr knoum noumaa
Thankyouuu mzeee
Kalibu ukwavila kwetu b2k muze wakaz
MUSSA MPAMBICHILE
MUSSA MPAMBICHILE noma xana
B2K aky napenda sana nyimbo zako na huwa zanieka live ninapozisikia congrats broo
Nakupenda we Kaka mwenzio npo mlimba Paco shell ukija jomon niambie Mimi ni shabiki wako namba moja wa sauti yako lavyuuuuuuuuuuuuuuu😘😘😘😘😘😘😘😘😘😍😍😍
B2k siku nilivyokuona nikiw njombe ulikuja kufanya show siwez pima Ile furaha nilivyokuwa nayo Yani nilijihisi furaha isiyo kifani,mara ya kwanza kuisikia hii nyimbo ni nilikuwa tunduma ase kuna mkaka uyo ndo alikuwa ananisikilizisha hii nyimbo jamani ❤❤❤ akija haongei ananipa tu simu nasikiliza ilikuwa moment nzuri mnoo
Nakuja hapa after my boyfriend nitumia hii wimbo 😁😁. Love you bae
Kwly wimbo mzuri snaaaa hongera k2g
🎉
Mungu azidi kukubariki.... @B2K
Alvin Chamsela mk big up
Good song jaman
Usichoke my brother wewe toa tu nyimbo kali na mzuri tupo na wewe mwanzo mwisho
Nice sana B2k i appreciate it God bless you,home boy
Unajua Sana,,,Sasa skia fanya ivii,,,
Acha kuvaa heren vaa cheni nyingi na jitaidi ziwe gold,,,Alf badili mtindo wa nywele,,,fanya ivyo Alf utaniambia
kaka nakuelewa saana sema nn sijui unakwama wapi u are tallented tafuta manegment
huu wimbo ume mbadilisha mpenzi wangu B2K kazi nzuri broh
Mkali wangu b2k unatishaaa
Anatishaaaa sanaaa at me piano nampend kinoma
wasafi tv asante
Huu wimbo naupenda mpk naupenda tena
Bonge la nyimbo big up broo
Nyimbo. Nzuri sana mungu. Akusimamie utoe nyingine nyingi nanzuri zaid
This song omg 😭 is the best oh lord 😍😩😩🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
B2 nimekuelewa sana ngoma tumeipokea kwa mikono miwili mungu azidi kukuinua kwenda juuu
I can't explain napenda huu wimbo jamani
Napendaga sana huu wimbo jamani
Nakukubali b2k Niko arusha nasikilizaga sana kwa nini hata hii nimeikubali tutaisapot mwanangu
Uko vzr sn sichoki kuangalia video na kusikiliza . respect for you brother 🙌
Huu wimbo umemrudisha mpenzi wangu karbu yangu
daaaa tixhaaa Sana'a kiongoz ngomaa Kali kazaaa munguu co kipofuu
Kama iko poa weka like zako hapa
Paul Gabson hats mm imengusa
Homeboy Homeboy Homeboy unaimba vizuri ila wauni indo ngoma yetu so all the best master bendera ya Njombe yetu unayo wewe endelea kuitangaza tuko nyumba yako 👏👏🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Mwagito ik pow nimeixoma vzr xana
Kweli wewe nimuzuri sana kwenye kuandika nyimbo kali .Jipetu moyo utawazidi wegi baba.
Kama kuna mtu anaangalia mziki huu mzur 2021 ebu gonga like ya nguvu twende sawa🤞🏋️
Wanyumbani uko vzuri ingawa sifatiliagi bongo flava lakini umenishika very sweet Music
Nakubariii San hom boy mwanakwetu b2k mnyama #TUNAENDANA ni ngoma ambayo imenifanya nikiskiliza kuna vitu flani vinapata na filings tamu.unajua sana mwanangu mungu akupiganie kwa kila hali ufikie pale ambapo umejiwekea malengo yako.GODBLESS.. AMEN
Wimbo wangu bora.. I'm still here April 2021 🔥 🔥
Sjui huu wimbo ulikuwa wap had sjauona 4yrs hakika best singer
Who is here december 2024
kali broo sana nakubali
Walioiskiliza kuanzia mwez huu wa 9 mwaka 2019 tujuane
Schoki kuskiza huu wimbo, love you bro♥️♥️♥️
Pure talent my bro...yuh can do it..we need this type of music
Good boy
nakubar b2k unaweza sana mungu akusimamie tu kaka utafika mbali sana
my favorite song ever.. nice song my bro.. keep up with your gorgeous work...
sasa tunamwakiliskh home si kitambo ni star bongo
kaz nzuri
Modestus Sanga maombi yenuuuu muhm
Bonge la nyimbo big up...mzazi
otieno seba nakubl kazi zako mzeebaba
Mtoto wa nyumbani daah kweli Mungu hamtupi mja wake kaza kaka umeanza mbali sana💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Tunahendena mimi na wewe 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭
Nakupenda sana b2t mungu akujalie maisha marefu
I love 💝 the song so much ,I just returned to my ex hubby after listening to the song ,it's really gaves courageous
I do like the song
Ipo vizur Sana naipenda mno jaman hi ngoma
Nakufuatilia sanaa mzee baba uko vzr
Tunaendana Mimi na wewe,5yrs since and still tunaendana is popping 🎉
THIS IS THE BEST SONG BONGO EVER .........................BIG UP TO *STAR BEAT RECORDS*
Nice...toa remix MZAZI shirikisha MTU achane...ngoma itakuwa pouwa zaidi.mfano Babylon
Umefanana na #ßill nass Kwambali kdg kaza Unaweza kufanana nae zaid
Sio kwa ubaya,nope subtitles za bass please.
hongera sana b2k kazi nzuri Mungu akufungulie milango utatoboa utafika mbali
Kazi nzuri home boy
tunaendana nami nawe ngoma kali sana nimeikubali san
B2k ngoma iko bomba xan
Who is here 2020?🔥❤
Usengimana honore . we got it too. coy me
@@zuchuforlife6182 I still remember when this song plays everywhere
I'm here
Yani sichoki kuisikiliza hii nyimbo pamoja 👊👊sana b2k
Namkubali jamani b2k yaan huyu haitaji nguvu nyingi hapa akili itumiwe kila MTU atamkubali kaza bro
Unajua mpk unaboa kudadeki zako , GOD BLESS U MNYAMA
Nani Yuko pamoja namimi 2020 Kwa uy wimbo gonga like
Nakukubali sana tu my wangu
Walioangalia2019 September gonga like hapo
mr askey godfrey naitazama
Mimi Leo October
Huu wimbo cjawah kuchoka kuusikiliza jamn