Waja punguzeni kumdisrespect billnas,so kazi anazofanya hamzioni jamani,sio vizuri the man is real husling,muziki, biashara, even one day babalevo alikiri wazi kuwa Huwa anakopeshwa na bill pesa ndefu tu,maisha ya watu tuyaache tusiwe judges please,by the way I love how they love each other

hongera sana nandy
MASIKINI NANDY ANAMPENDA SANA BILL YOU CAN TELL
Angalau leo nimekuwa wa kwanza
Hahaha 😂😂😂😂😂 jamn naona mm pekeyng nd silali
Hongera dada angu❤
❤❤❤❤
Lakn mbona nandy kipindi anazawadiwa mbona alkja bla gari
Mwenye nacho huongezewa sasa nyie mnaye ponda mtabaki ivo ivo
Usikute kajinunulia😂😂
Nilitegemea hii post🤣
Very artificial huyo kijana ana Hela Gani Kwa kazi Gani income Gani?
Akwambie kila kitu au biashara zake we ni mkewe
Anafanya biashara ya mziki na biashara ya simu na zingnezo pia nandy nimfanyabiashara
Achaaa wivuuuu kwendraaaaaaa