Hao kwa dalili zote wataoana ni suala la muda tu. Wazazi wa Paula nadhani ndio wanasubiriwa watoe tamko. Hivi karibuni wameshatumwa watu kwenda kulieka vizuri hilo jambo.
Daah Paula kwa saut hiyo ya upole na unyenyekevu na hauna Papara Wallah nimekupenda bure na Mungu awajaalie muowane na muish maisha ya furaha kwny ndoa yenu
Hakuna mwanamke kicheche,basi tu ni vile anakuwa hajampata mwanaume sahihi kwake wa kumpenda sana na kumbadilisha kupitia huo upendo,kujali,kuheshimu n.k Paula nimekupenda sana, lakini Mario nimempenda zaidi kwa sababu kambadilisha binti!🎉❤
Marioo alikuwa na Machunusi usoni lkn angalieni paula anavyo jua kumtunza marioo vizuri kamtunza ss hv Marioo soft uso umsafi kapendeza Mashallah 😂😂😂 Mpeni sifa zake paula
@florencemeza6540 yaani ndo hivyo kazi zenyewe hakuna lakini watu wamekazana na paulah kwann hajasoma na wengi wanao cement hivyo hawajasoma pia hebu wamuache aishi maisha yake
Paula nimurembo San wanaomukubali Paula kama mim tujuane apa❤❤❤❤🎉🎉🎉🌹🌹🔥🔥💪💪
❤❤❤
wakwanza me
Paul yupo tofauti na watu wanavyomsema ana haiba ya mwanamke katulivu sanna mashallah ❤❤nawapenda mie
Mpoleee utulivu sili yke
Amina
Yes
Kweli upo sahihi watu wanamsingiziya mabaya bure
Watu wanatakag mtu acharukwe
Nimepitia comment nyingi sana sifa nzuri nyingi ni za paula kama nikweli gonga like za paula hapa❤
Nawapenda sana ❤❤❤
@@AnethPeter-qz9zqNampenda paula mie
Couple Tulivu walisema sipati bebe huyu nani Marioo hongera ❤😘
Brother marioo umepata mke huyo kwanz mpole mstaarabu mashaallah mpende sana mkeo❤❤❤🎉
Kuwa muzili sawa
Ila sasa ana galama muno huyo
Yani marioo ajipange tu
Kabisa
😊😊🎉🎉
😅😅wanakuwaga jeuri hao
nimependa sana namna ambavyo paula anavyomwangalia mpenzi wake marioo na jinsi anavyocheka kila akimtazama yaani mapenzi yapo wazi kwa hawa watu ❤❤❤❤❤
@@RoseGeofrey umeonaeee daah nakuaminia 👍🤝
Anampenda
Nawaombea kwa Allah wafunge ndoa haraka kwa sababu kuishi bila ndoa Allah anakasirika sana ingewezekana mngefunga ndoa hata Leo hii hii
Ameen ameen ameen...
Aamin
Hao kwa dalili zote wataoana ni suala la muda tu. Wazazi wa Paula nadhani ndio wanasubiriwa watoe tamko. Hivi karibuni wameshatumwa watu kwenda kulieka vizuri hilo jambo.
Hakuna kitu kama hicho hao wanazini mmoja mkiristo mwengine Muslim
Watafunga ndoa ye serikali
Daah Paula kwa saut hiyo ya upole na unyenyekevu na hauna Papara Wallah nimekupenda bure na Mungu awajaalie muowane na muish maisha ya furaha kwny ndoa yenu
Marioo na paula mnapendezana sana kwakwer, mung akawe nuru katika maisha yenu ya kila siku 🙏
Hakuna mwanamke kicheche,basi tu ni vile anakuwa hajampata mwanaume sahihi kwake wa kumpenda sana na kumbadilisha kupitia huo upendo,kujali,kuheshimu n.k
Paula nimekupenda sana, lakini Mario nimempenda zaidi kwa sababu kambadilisha binti!🎉❤
Kweli kbx
That's
Mario wewe sio GenZ your a millennial 😅😅😅😅😅,Paula is so calm and kind may God bless this relationship
Amen
Nimependa jinsi Paula alivyo jibu kwa upole na heshima ndo hivyo mwanamke inabidi iwe yani umenifurahisha Paula zainab from Australia much love
Kumbe huyu mtoto mama yake ndio alikuwa anamfanya aonekane mcharuko! Ona sasa kalivyotulia,hapa nampa big up Marioo kambadilisha mtoto wa watu
Aki❤❤❤❤
Hapana nyinyi ndo mlikuwa mwamuona hivyo but mamake hakuwa yuwamfanya hivyo wana wanapenda ku judge sana na hawamjui mtu.
Mbona kajala pia ni mtu na nusu
Mcharuko kvp sasa
Hata mamaake yupo sawa sisi ndio wapambe ndio tunaharibu 😅😅
She is so sweet kwakwel yaani even kuongea kanaongea kwa heshima❤
Masha Allah paula na marioo penzi lenu lidumu mlee binti yenu🙏umenawiri mwaya ❤
Jamani hawa watoto Mungu awajarie waishi miaka mia kw a jinsi wanavyowndana
Amen mungu amesikia ombi rako👍🏾🙏🏾
Zinaa@@chany9950
Hakuna ndoa hapo wanapigana mashine tuu
Ila pau mzuli mashalla 🥰 kiukweli kilamwanamke akipata anapostaili ana tuli jamni 🎉🎉🎉
Ww vp mbovu😂😂😂
Sahihi🎉❤
Ni mzuri sana na baba na mama wote wazuri mungu kawapa mrembo
Kweli kabisa,paula ni nzuri sana. MUNGU awape maisha marefu na Marioo,muweze kumlea mtoto wenu.
Sio muongeaji kbs kapole kazuri sn ndoa hyooooooo❤
Pau hajuwi kununa kabisa ❤❤
MashaaAllah kazur kana aibu kapole Allah awaaalinde mfunge ndoa mdumu mzikane
Nilichogundua kajala ndio alifanya huyu binti aonekane mcharuko kumbe huyu mtoto ni mpole hivi nime mpenda sana marioo oa huyu mtoto ❤
Kwani Paula ni mcharuko?
Mabinti wengi wakiwa mcharuko ni kwenye hatua za ukuaji tuu sasa kavuka ndio mnamuona mtulivu
Mbona hata kajala ni mstaarabu sana vile tu wabongo tunapenda kupangia watu maisha ila ni bomge la mama
Paulah ni mpole jaman mpaka ongea yake yupo mwaaaaa 😘❤️👌
Umesahau kichambo alichompa Rayvan? Alimwita 'pipiro'
@@gloriadaniel3827Anakuja the way utakavyokuja Paula alinyamaza sana ila Rayvan ndo aliyataka
@@amdee99ni kwel😂😂
@@gloriadaniel3827 Paula kafanana babake kila kitu, Mpole ila jeuri, ukimchokoza uvumilivu ukamshinda anakujibu
@@gloriadaniel3827 rayvanny aliaribu huyu mtoto akaonekana mbaya kabisa mungu akatuma marioo mtulivu saaana
Nawapenda n naipenda caple yao, kipaula kichidren jaman ki msweet sweet kishununu aah😘😍 inshallah kheri iwatangulie mfanikishe jambo la ndoa
Paula mpole..anaona haya...mtulivu...tena mrembo sana...I have come to fall inlove with her calmness.. good girl
Njinsi anavyoangalia marioo wake adi.raha❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wow Paula is so sweet and a quite girl, she only talk when necessary, always ana smile,she's so gorgeous and respectful 🤩 so lovely
Your collect
Paula very beautiful ❤❤❤and very humble, Marioo umepata mke mwema ukimwacha aende hasara kwako
Marioo alikuwa na Machunusi usoni lkn angalieni paula anavyo jua kumtunza marioo vizuri kamtunza ss hv Marioo soft uso umsafi kapendeza Mashallah 😂😂😂 Mpeni sifa zake paula
Paula mrembo mpole mstaarabu yan Mungu awatangulie waoane ❤🙏🙏
Paula unazid kuwa mrembo jmn❤❤❤❤kwel kajala kajua kuzaa mrembo sana,Mungu awasimamie mdumu kwenye mahusiano yenu
Hawa wanapendana name wanaheshimiana...halafu Marioo amesimama kama mwanaume Paula amuogopa Marioo
Ndyo kabsa hyo ni nzur inafanya mwanamke kujiona mwanamke yaan Mario kamfanya Paula Kama mwanae
@@SimoniThomasi🥹🥹kabisa na ndo inavyotakiwa
Nimetokea kukapenda haka ka interview hadi nimehenda kuchukua popcorn 🍿 zangu 😂😂😂 ni watch hadi mwisho 🤣🤣
Kwa kwel 😂
😂😂
Mimi bila hata bila kitafunwa nasikiliza Hadi mwisho
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂 ak wewe
Kwa kweli Paula n mzur bila make up ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
paula n mrembo mashaAllah alafu kapole mwenyew sio kama watu wanavyomdhania jamn
Kbsaaa yani
Mashaallah paula hayo ndo mavazi sasa.Umependeza Mashaallah
Hata mm pia naupenda wimbo wa marioo n harmoniz naogopa naupenda sanaaa nyimb nzr sana ❤❤❤🎉
Visirani mnaanza kumzunguzia Paula vibaya hebu muacheni chaupole wetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mario oa
Wana wivu hao wananikera sana
😂😂😂yaani wee acha tu
Good and nice paula your beautifully and i have liked your behavior
Miaka 22 ni umri mzuri sna mana hata mie nilozaa nikiwa na umri huo.
Usijisikie vibaya mrembo wangu
Sauti ya Paula ni nzuri na yeye ni mtoto mzuri mashalaah😫❤️
Paula is very beautiful and humble girl🥰
Nyimbo za marioo alizomshirikisha harmonize ni 🔥🔥🔥🔥... can't wait for "wangu"
Paula mzuri walai...❤ mtulivu na hana vituko.
Alafu inakaa yuko mpole sana❤❤
Mi nawapendaa hii couple! hadi asubuhi nikajikutaa nawa wazaa jamani si waoanee tu ! Suddenly hawa hapa mungu aongozee dira zenu 🤲🙏✍️❤️
W\
Ata mm
Jmn❤🎉
Mpaka wanaanza kufanana jamani mapenzi😊😊😊
Uongo uyo😃
Mashallah me nawapenda sana Mungu awasimamie mjefunga ndoa lnshallah mwanamke ndoa na Allah awakuzie bint ❤yenu
Ah! Kipaul kizur bwana sio powa. (best wife) 😊
Balaaa yani🖐🖐
Marioo nakushauri toast kipini cha pua mdogo wangu wewe nimtoto wa kislamu muogope mwenyezi mungu
😂😂😂😂😂
Tabasamu la paula tamu nyiee❤ katoto karembo mashaalah❤
Jamn nampenda Paula Mungu akupe tamanio la moyo wako kipenzi
Paula ni mpole sana , Marioo umepata mke mzuri
Paula ni mtulivu sanaa anaonekana sio vile watu wanavyoompaka!😂
Kutana na fayma apo ndio utajua nani mcharuko 😂😂
Daaaaah mungu awake maisha marefu jaman ❤❤ wamlee 2 anara wao❤
Paula ametulia sana. Mario oa haraka kwani mwenyezi mungu kakupa mke wa kweli.
Ongera Paula yn simu ya mwanaume aishikwi hata mm Sina tabia iyo❤❤❤❤
Kweli huo ni upumbavu
❤❤❤❤ Paula kipenzi cha wengi cha upole wetu
Mario nmemfaham kupitia Paula ,mm sio mpenzi wa nyimbo za bongo fleva but saiv nmevutuwa kusikiliza nyimbo za Mario coz of Paula
Kanaongea vizur aka kabint jaman na kasaut chake sasa ❤❤
Cha upoleee mtoto wetu! Paula❤
Mashallah mashallah mashallah,the best interview nazidi kuwapenda Kila siku🥰💖💞💖💞💖💞💖
Paula marioooo forever ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
The lady presenter's voice is beautiful ❤️ nawapenda❤❤
Shule inawezekana,kuna sisi tuna watoto watatu ,mume na shule inaendelea vzr tu,kimsingi nia inabeba vyote.
Paulah mpole jamani yaani tofauti na watu wanavyomchukulia arafu kusoma sio lazima wote tusome
Wanangu wamemalizachuo kazi hakuna
@florencemeza6540 yaani ndo hivyo kazi zenyewe hakuna lakini watu wamekazana na paulah kwann hajasoma na wengi wanao cement hivyo hawajasoma pia hebu wamuache aishi maisha yake
Kbsaa, ashira
Nimekapenda jmn, paula mpole mzuri, Mungu awatunze jmn❤❤
Ka paula kanavyoongeaga madeko yan kama katoto ka miaka kumi ❤
Jmn nawapenda Sana p and m nawkubali sana
Paul Paul nimekupenda bure marioo fanya kweli bhna
Mashallah Mungu ndio kila kitu❤❤❤❤❤ goo gooo baby Paula
Hii imeenda university Allah awajaalie khr wafunge ndoa na wazidi kupendana daima ❤❤❤
Mungu awajalie marioo na Paula pia napenda kusema Paula unandoto nzr San kwenye fashion now me pia napenda fashion lkn sin uwezo yaan kampani
Ana smile nzuri mnoo 😊😊😊
Mwanamke akipenda anapenda kweli paul kamwelewa marioo kweli
Paula nimekupenda buree kwa maongezi yako sana❤❤❤❤🎉 umejib kiumakin
Kwamm navyoona hawa wamependana macho tu yana ongea paula anaongea kwa mahaba na pia Mario anajiamini ❤❤❤Nawapenda ❤❤❤
Kumbe Paula wa watu hana shida kabisa❤, Mungu awalinde
Hongera mwaya kupata mtoto mimi nimepata mtt miaka kumi na tisa na nalinga na mtoto wangu mm❤
Mimi nilizaa na 17
Aliyesikia uyoo mzamini wetu wa tangazo la sumu ya panyaaa 😂😂Gonga like hapaaa ndio aliyetibua hii interview😂😂 vingine vyoteee vipo poaaa 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Allah kakupa kizazi mshukurumungu zaa mwanamke hana udogo ukivunja ungo tu ndoushakua nawaenza ukawamkubwa namungu adikujaalie kuzaa kwaiyo usiumie mshukuru mungu kwakukujaalia uzaz
She is so humble and beautiful 😍
Marioo maneno hayo sio mageni jijin labda kwa mgeni wa jiji😂😂
Paula mzr mashallaah pia umepata muume sahihi
Mdada mpole mzuri ❤
Ata bila make up anapendeza❤❤❤
Eeh muuza sumu ya panya hamumsikii ama zereu😂😂
Paulita n Marioo the best young couple ever 😊❤❤
Paula kazur , kapole aaaaaaaaaaaaa ❤shwaini
Paula mpole jmn mm nampenda
Nampend Sana Paula end marioo end Amara ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah yaan ni mstaarabu paula❤❤
Nawapenda sana 🥰🥰
Mungu awasaidie katika maisha yenu❤.
Paula wewe mzuri mwaya kama mwanao mienakupenda sana ❤❤❤❤
❤❤❤❤Mungu awajaaliee ndoa Inshallah nawapenda mnoo
Hata Mimi wimbo wa naogopa ❤❤
Allah awafanyie wepesi muweze kuoan. Nawapenda Sana kwaajil ya Allah ❤️❤️❤️♥️💖💝
Ilaaa Paul chombooo kudekaaa anajuaaa kuringaaa anajuaaa
Je marioo iyoo nyumba ni yako au umepanga
Naipenda sana ihh couple❤
Paula she’s so beautiful
Anajiheshim
Very attractive
Mwenyezi mungu awasaidie waowane