BILLNASS AFICHUA NANDY ALIVYOKUBALI KUWA MCHEPUKO WAKATI AKIWA NA MPENZI MWINGINE "NILIMCHAGUA YEYE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 190

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 роки тому +20

    Mi niwapongeze sana , kwakweli huu ni upendo wa hali ya juu, Na mungu awabariki Na kuwatangulia kwenye ndoa yenu , naamin mtadumu milele Na mtajenga familia ilobora zaidi kwenu nyinyi na kwa jamii kwa ujumla

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 роки тому +13

    Nandy she looks soo beautiful 😍❤️💕💕💕👍🏿🔥🔥❤️💕👍🏿

  • @georgehaule158
    @georgehaule158 2 роки тому +3

    Congrats Bilnas and Nandy you guys you love each other

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 2 роки тому +18

    Hata pia Billnass umevumilia kumpata Nandi hongera

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 2 роки тому +17

    Kila mtu anapangiwa mtu wake hongeraaa sana bill na mandy❤️❤️❤️❤️🥰

  • @kibeyomuhongo8451
    @kibeyomuhongo8451 Рік тому +1

    Napenda sana kusikiliza story zinazumuhusu dadaangu Nand

  • @bahatijuma1626
    @bahatijuma1626 2 роки тому +6

    Allah awabariki lnshaallah

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 роки тому +8

    Haha kajua kung'ang'ania uyu dada😂😂😂

    • @daimondelfina5689
      @daimondelfina5689 2 роки тому

      Kwakweli,afu anasema kabisa eti akapigiwa akaambiwa it's over duh!!

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 роки тому +9

    Nawapenda sanaaa

  • @Msafiri-sl8bq
    @Msafiri-sl8bq 4 місяці тому

    Mashaala hongereni nyote pia nawapenda sana

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 2 роки тому +7

    Nili juwa ni nandy kapenda sana ila sio issue , tuna watakia mema 🙏

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 2 роки тому +4

    Nawapendaaaa nawapenda nawapendaaa tena ......jaah awabless na kuwaepusha na vijini kisiran

  • @eddybenah
    @eddybenah 2 роки тому +3

    Very genius bill nass💪🤞

  • @Hosspert
    @Hosspert 2 роки тому +10

    Hongera yenu bhnaa..🙌🏽

  • @irenemtema4302
    @irenemtema4302 2 роки тому +6

    Napenda hii couple jmn Mungu azid kueasimamia katika familia mtakayoanIsha

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 роки тому +3

    Hongereni sana 😘

  • @bronzehke
    @bronzehke 2 роки тому +2

    Hekima ya Hali ya juu sana..salute you guys

  • @ngwasikilulu2590
    @ngwasikilulu2590 2 роки тому +2

    Background music inafanya tusisikie vizuri jamani, miwe mnapunguza kidogo

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 роки тому +1

    Mmmh kweli mumetoka bari

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 2 роки тому

    Nancy looks very beautiful

  • @liliangood388
    @liliangood388 2 роки тому

    Hongera sana ndany

  • @fredymasawe2862
    @fredymasawe2862 2 роки тому +1

    Hongera bro karibu wf yang

  • @adbellar338
    @adbellar338 2 роки тому +39

    A women's tears can never be another women's happiness.

  • @ericahenock1867
    @ericahenock1867 2 роки тому +1

    Pongezi Kwenu Mwenyezi Mungu awatangulie

    • @davidmbwilo4954
      @davidmbwilo4954 2 роки тому

      Ericah hili jina namtafuta huyu sijui alipotelea wap or ni wew

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 2 роки тому +2

    Nice one

  • @godwinaloyce7342
    @godwinaloyce7342 2 роки тому

    Hongeren sana

  • @salmaedwin9845
    @salmaedwin9845 2 роки тому

    Hongereni

  • @ladymoretaboraprincess6190
    @ladymoretaboraprincess6190 2 роки тому

    Nandy superiority WOMEN

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 2 роки тому

    Nandy na billsnas hongerani sana mwijaku anapiga maswali 😀😀nawapenda husda zipite mbali

  • @aminaomary5656
    @aminaomary5656 2 роки тому

    Nawapend sana

  • @rehemahigilo943
    @rehemahigilo943 2 роки тому

    Nawapenda mungu awalinde

  • @kasianatarusis7438
    @kasianatarusis7438 2 роки тому

    Ongeleni sana

  • @nightwishisthegreatestband6355
    @nightwishisthegreatestband6355 2 роки тому +16

    Bora ungekaa kimya kuhusu hilo. Sio kila kitu ni cha kutuambia. Unamshusha hadhi nandy.

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 2 роки тому +5

      Hadhi gani anamshusha?? Hakuna jipya chini ya Jua

    • @pamanyango8917
      @pamanyango8917 2 роки тому +1

      Kweli kabisa hakuna kitu jipya

    • @goldengirltanzania.458
      @goldengirltanzania.458 2 роки тому +3

      Mwanamke hashuki hadhi ata siku moja ni mwanaume mwenyewe ndio anajushusha akiongelea vibaya kuhusu wanawake anajionyesha mwenyewe kwenye jamii jinsi anavyowaangalia wanawake kwasababu hata yeye ametoka kwa Mwanamke.Kama Mwanamke anajitegemea hakuna cha ziada unachoweza kumpa ni ameamua tuu kukuchagua amna cha hadhi hapa.

    • @mwanaidsalehe1109
      @mwanaidsalehe1109 2 роки тому +2

      Hakuna binadamu aliyemkamilifu anamshusha hadhi gani yote yaliyotokea imebidi yatokee huo ni mpango wa Mungu.

    • @AliAli-rx6wu
      @AliAli-rx6wu 2 роки тому +1

      @@goldengirltanzania.458 weeeh weeeh weeeh futa kauli yako mweeh! Mwanamke akikazwa na kufirwa sawa sawa! Basi no mtumwa tuuu! Weee vipi? Unajifanya hujui? Mbona unatombwa gari??? Tena junanyonyeshwa mbooo nyau wewe!!!

  • @elredanthony1245
    @elredanthony1245 5 місяців тому

    Ni nomaaaaa😅

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 2 роки тому +5

    we must respect the undefined
    Presence in the creation…

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 2 роки тому +6

    MUNGU nisaidie nisitumie nguvu kuielezea ndoa 🙏🏾

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 2 роки тому +1

    steve akheee anatetemek kiuongo hapo😅😅😅😅😅

  • @danielgozibert-ve3kw
    @danielgozibert-ve3kw Рік тому

    Nawatakia maisha marefu

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 2 роки тому +1

    Huyu anaechagua kamati ni nani yaani mpk akachaguliwa Mwijaku Si angechaguliwa mrisho tu🤣🤣

  • @suejohn9135
    @suejohn9135 2 роки тому +1

    Huyo mwijaku😂😂🙌jmn

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 2 роки тому +2

    Kwahiyo ni kama nandy aliiba mwanaume wa mtu?? Maana kilichosababisha bilnass akagombana na mdada (ex wake) ni huyo nandy. Mmmhhhh😵😵😵💔

  • @zimbwerajabu1894
    @zimbwerajabu1894 2 роки тому +2

    Saw nengaaa

  • @estersilvester423
    @estersilvester423 2 роки тому +5

    jamani sura nandy imejaa hadi kabadilika ila atarudi sawa

  • @heriaskyakimwa9372
    @heriaskyakimwa9372 2 роки тому +2

    Nawapongeza sana kwakuvumiliana mpaka hapo mumefikia

  • @tumpeernest9690
    @tumpeernest9690 2 роки тому +2

    Mbeya oyeee

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 роки тому

    Bas kudakia muacheni mtu ajibu anachoulizwa🤣🤣

  • @emmanuelngomale889
    @emmanuelngomale889 2 роки тому +3

    Mungu aibariki ndoa yenu

  • @sarahlimbu9305
    @sarahlimbu9305 Рік тому

    Tutafute hela tuoelewe na agemate wetu😂

  • @matembo2145
    @matembo2145 2 роки тому +10

    Waliandikiwa kuwa p 1

  • @LovenessDamian-j9w
    @LovenessDamian-j9w 2 місяці тому

    Kawaida lakini kapata alichokisubili

  • @bkephasi
    @bkephasi 2 роки тому +8

    Mm nachukia mwijaku hayuko professional anauliza maswali ovyo tu jamani swala la uandishi wa habari serikal iweke msimamo anawezaje kumuambia mtu msanii kwa kucomand toa sauti basi hii ni ya wapi @millard Ayo

  • @yuki-yunah
    @yuki-yunah 2 роки тому +4

    Heheee billnass nakupenda sana na pia Nandy my African princess hehee nifanye na mm mke wa pili jmni 🤣

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 роки тому +17

    Axa Kama alikubari kuwa mchepuko wako kipindi una mtu mwingine Basi tambuwa kuwa bado anaweza kuwa na mchepuko mwingine pia akiwa naww, pia usisahau yule mzee wa mabolingo alivyo fanya ndivyo hivyo hivyo itakuwa na nikama szon inaendelea Kaka 😅😅😅 afu utakuja kutusimlia Tena

  • @dariuskasitu5594
    @dariuskasitu5594 2 роки тому +5

    Kama umesikia sumbawanga piga kelele

  • @marianbakeske6830
    @marianbakeske6830 2 роки тому

    Have realized today kuna nandy na Nadia mukami

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 2 роки тому +3

    Wewe nandy umemuiba mwanaume wa watu, yatakutokea puani Mfyuuuuuueee

    • @anethgodwin3224
      @anethgodwin3224 2 роки тому +1

      hajamuiba sababu hakua ameoa

    • @barakaalecnathaniel3716
      @barakaalecnathaniel3716 2 роки тому

      Yani girlfriend tu ndio iwe kesi..Tena ukiona mtu kaweza kuondoka maanake hakukuwa na cha ajabu hapo kati ya hao wawili so Nandy hana kosa lolote..Billnas aliamua kutokana na kupima situation iliyokuwepo

  • @immaboy8153
    @immaboy8153 2 роки тому +7

    Ila hili lijamaa linapendwa dah😂😂😂kmmae

  • @MagrethEvarist
    @MagrethEvarist 8 місяців тому

    Bilnas sio umnyanyase mwenzako Lisa kukubali kuwachepuko

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 роки тому

    Triomphe de l'amour❤😍😘

  • @azizamtoi3468
    @azizamtoi3468 2 роки тому +6

    Huyu mwanaume kichwa kimetulia

  • @missmwemba6094
    @missmwemba6094 2 роки тому +7

    Harusi bci mambo mengi kweli paka mnaboo haya heri nawaombea muoane mkadumu s vimambo kibao alafu mwisho muachane nyote MA artist sioni ndoa hapa mume ywakaa ameboeka

  • @calveenykevoo5399
    @calveenykevoo5399 2 роки тому +13

    Duuh kwan bill nenga umempa nin uyu dada na me ntumie kwa mtu wang

  • @LizzyMadangi-zq2dc
    @LizzyMadangi-zq2dc 10 місяців тому

    Me wakwanza jaman

  • @silvanusjames8984
    @silvanusjames8984 2 роки тому

    Billnas nakumbali

  • @urumakafwijya3388
    @urumakafwijya3388 2 роки тому +2

    Umenifuraisha sana

  • @niselascarion9489
    @niselascarion9489 2 роки тому +1

    Inshort mwanaume ajatulia

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +1

    Mmmmmmh

  • @estherkajiru5830
    @estherkajiru5830 2 роки тому +1

    Mimi more

  • @agnesshonga7570
    @agnesshonga7570 2 роки тому +2

    Jamani billinas mbona kama hayupo

  • @serafinamalecela4728
    @serafinamalecela4728 2 роки тому

    ❤️❤️❤️❤️

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 2 роки тому +1

    Badala ya nandy kumsaidia bilnass adumishe mahusiano yake yeye anamuiba Mfyuuuuuueee umenikwaza

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 роки тому +2

    huyo chizi mwijaku anafanya nn huyo chizi

  • @ritahenry9756
    @ritahenry9756 2 роки тому

    Kwalugha fupi jamaa ali cheat, interesting and ridiculous.

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 2 роки тому +1

    Basi ni vile tu Gigi Money alikua anasema huyu bilnas hakupenda nandy bila pesa ya nandy bilnas atachomoka.

  • @neemaalex6404
    @neemaalex6404 2 роки тому

    DADA NANDY NAOMBA UR DIALS

  • @tumpeernest9690
    @tumpeernest9690 2 роки тому +1

    Geah kua mtulivu basii

  • @fatmaramadhan762
    @fatmaramadhan762 2 роки тому

    Huyu muha mwijaku jaman 🤣🤣

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 2 роки тому +2

    Ndoa takatifu ni ile watu wanafunga harusi wakiwa weupe Kama pamba

    • @czechzyamwaga1088
      @czechzyamwaga1088 2 роки тому +2

      Acha wivu, wamesha tubu kwa mungu ndiyo maana wamepata kibal cha kufunga ndoa

    • @mwajumamilanzi9440
      @mwajumamilanzi9440 2 роки тому +2

      Kwaiyo ulitaka waitoe ili Sisi tuwaone weupe hapana mungu anajua kila kitu na amewaseh pia

    • @neemanyimbi2355
      @neemanyimbi2355 2 роки тому

      Wewe ulivyofunga yako ulikuwa mweupe hakuna binadamu asie na dhambi Acha uboya wewe wivu tu nyie Ndo mnatakiwa mrogwe watu Wenye wivu

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 2 роки тому

      😂😂😂😂Kwanza nichek na watu watakatifu hawapo you tube wajua hilo

  • @bentez911
    @bentez911 Рік тому

    😳😆😆😆😆😆

  • @felistamashinga123
    @felistamashinga123 2 роки тому +1

    mimba ileeeee

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 роки тому +1

    Msituchoshe

  • @camilahazal7119
    @camilahazal7119 2 роки тому

    Billnass karate Ugali wa Foustina

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 2 роки тому +7

    Nimejifunza kuto kukata tamaaa

  • @muzikiprofile
    @muzikiprofile 2 роки тому +1

    Wangapi waliskia hii 👇👇
    ua-cam.com/video/KgvKJ0gI_Js/v-deo.html

  • @johnnytravo
    @johnnytravo 2 роки тому +1

    Mwanamke amebeba dhamana ya uhai wetu kabla hatujaja rasmi Duniani 🙏 ua-cam.com/video/iYjijfV-YRw/v-deo.html

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 2 роки тому +3

    Kumbe hizo fiesta ni kufanya uhuni

  • @atanaskafwimb8955
    @atanaskafwimb8955 2 роки тому

    MUNGU awayunze siku zote

  • @agnessisack7147
    @agnessisack7147 2 роки тому

    ❤❤❤❤❤❤😂

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 2 роки тому +2

    Too much acting..sioni future hapo

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    😑😑

  • @sakinanaftali7929
    @sakinanaftali7929 2 роки тому

    WIMBO WA MAJIRA YOTE.. KARIBU KUTAZAMA. #TUNAMWAMINI
    ua-cam.com/video/ZhY-T8wk4Do/v-deo.html

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 роки тому +1

    ua-cam.com/video/QN5ACFcSBIE/v-deo.html
    DAWA YA KUSAFISHA MFUMO WOTE WA DAM,
    HUTIBU NA MAJIPU SUGU#*

  • @kissesmariesydney1523
    @kissesmariesydney1523 2 роки тому

    Nawapenda sanaaa

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 роки тому +3

    ua-cam.com/video/QN5ACFcSBIE/v-deo.html
    DAWA YA KUSAFISHA MFUMO WOTE WA DAM,
    HUTIBU NA MAJIPU SUGU#*