Acheni umbea na kucho ganisha watu bure. Hebu fuatieni yenu umesogeza umbea hakuna wa kushughulikia ujinga huu. Huwezi kufananisha maisha ya anaehangaika na anaehangaikiwa. Acha huu upumbavu.
Jamani cha nandy lazima kijae mtoto wake anajuwa kuchezea vitu vingii mno na amara ajajuwa kuchezea vitu vingii maana ajafika stage hiyoo ya kuchezea vitu mbalimbali lkn akifikia mtaona mikolokolo itajaa pia maana watoto wanapenda kukaa karibu na kila kitu ambacho anajuwa cha kwake😂
Naya the best ❤❤❤
Mashaallah chumba cha Princess AMARA kizuri na pia kipo smart na pambe zaidi 😘😘😘
Chumba cha naya kizuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🥰🥰🥰🥰
Naya❤❤❤
Naya best❤❤❤❤❤❤❤❤
Kizur xan❤❤
Kizuli Cha mtoto wa Nandi bhn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Acheni umbea na kucho ganisha watu bure. Hebu fuatieni yenu umesogeza umbea hakuna wa kushughulikia ujinga huu. Huwezi kufananisha maisha ya anaehangaika na anaehangaikiwa. Acha huu upumbavu.
Well said
Nandy alimuonesha mwanae alivyofikisha umri wa mwaka 1. So na paula atafanya ivo maybe😊
kizuri Cha Naya bhn so sweet my daughter ❤❤❤
Nyie mnakosaga kazi ya kufanya kiongelea maisha ya watu badala kuhubili neno la BWANA mnatuletea habali za kipuuzi
Amaizing❤❤
Amara chumba kizuri zaidi 🎉🎉
Naya jaman❤❤❤❤❤
Ushindani so mzuri mungu niepushe na vituko
Chumba cha naya n kizuri xanaa
Amala chumban chake kizuri❤❤❤❤❤❤
Paula achana na nady anawivu sana Paula chumba cha mtoto wako nikizuri sana kuliko cha mtoto wa nandy❤❤❤
Nayaaa❤
Amara kizur zaid the bext❤❤❤❤
Naya ❤❤
Chumba Cha mtoto wa paula❤❤❤❤❤❤
Naya so nice ❣️❣️
naya the best❤
Amara nice❤❤❤🎉🎉🎉
Kizuri nikibu2❤❤
Naya❤❤❤❤💥💥
Na sisi ambao tunachumba kimoja tunalala na mtoto tukoment wapi 🤣🤣
😂
Hahaha usinichekeshe
C hata mm natafta 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Chumba Cha Amara kizur zaid❤❤😊
Amara❤
Cha amara n kizur bhn ❤❤❤❤
Kizuri c mtoto w nandy
Kama ndo hivo picha ya zari mmeiretaje😅😅😅
Chumba cha mtoto wa Nandy ni kikali zaid❤
Kizuri Cha naya❤❤❤❤
AMARA
Naya daughter ❤
Kizur ni Cha mtoto wa nandy is the best
😢looh.acheni.chokochoko..mambo.votevizuli
Chamtoto wa nandy kizuri ila midor munakalibisha mashaytwan
Kweli midoli inatumika na nguvu za giza
Daah hapana jaman nandy apewe ongela na sio kumsema vibaya kwanza kapata Binti mzuli wow. mama Naya ❤❤❤❤
Ver6smag
Versmat
Versmat
Jamani mbona vyote vizuri
kizur cha mtoto wa nandy ❤
Nayaaaà
Amara tucoment wap❤❤❤
Kwa mashindano ayo mungu anawaona
❤❤❤❤❤❤❤ pau
hh hamna kz za ufanya😂😂
Chumba cha mtoto wa nandy kizr
Msyuuuuh......
Kiko smart
❤❤❤❤
Mtoto wa Nandy nikizuri saaaaaaana
Chumba Cha Naya Kuna Kila kitu Cha gharama na Kiko full, halinganishwi
Amara chumba kizuri sanaa ❤❤❤❤
Jmniiiiii natamani waa he mambo ya kushindana watafuta maisha wajenge mije ho yao.
Ushindani so mzuri mungu niepushe na mambo aya
Mmmh mme damshi🎉😢😮
Labda mngesema mmewajengea nyumba hapo zao wenyew hapo saw ,😄😄
Mhhh shindanen upuuzi lkn mwisho wetu chini mchangani walazeni mnapotaka
Naya ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nayaaa
Dada Paula achana nayo ayo hayana umuhim chako n xiri yako, mweny pexa haongei pexa ndo zinaongea
mtalinganishaje chumba chamtoto ambaye ameshaanza vuruga vitu namtoto ambaye ajaanza ata kujigeuza kitandani kwaiyo chanaya nikizuri zaidi
Rachael benjamn cha naya ni kizuri xanaaaaaaaaa
daaaaaah me naonaa All unvessaary
As you all know Amara is the princess ❤🎉🎉🎉
Chumba kikali ni cha Amarah 🎉
nandy wewe ni mama usijali wengi wapenda chumba chako
Kinazidiwa na cha mwanangu
Naya❤❤❤❤❤❤ bby
Naya the best
Cha mtt wangu ndo kizuri
Safi
Umbea. Tuu
Leteni mada za mxingi bx
Wote wapo vzr bhn
Cha amara
Chumba cha mtoto wa nandi kizur
🎉🎉🎉🎉🎉🎉amar bd mdogo
Chumba changu kizuri et kushinda vya wote hao
Cha naya kizuri sana jmn naya mwenyewe nimzuri sana
Jamn maisha ya kupanga ni ya kupanga tu ,na kwako ni kwako ,Paula asijifananishe na nand bwana mwenzie yupo kwake et
Msimlinganishe Naya na wengine
Jamani cha nandy lazima kijae mtoto wake anajuwa kuchezea vitu vingii mno na amara ajajuwa kuchezea vitu vingii maana ajafika stage hiyoo ya kuchezea vitu mbalimbali lkn akifikia mtaona mikolokolo itajaa pia maana watoto wanapenda kukaa karibu na kila kitu ambacho anajuwa cha kwake😂
Paula
😢😢
Jamani uko nikuchonganisha watu Kilamtu namaisha yake jamani
Chumba📡🛰️Cha,,paura,kizuri
Mh makubwa mbona kizuli sama
Nyumba zao au wamejenga?
Haha na ww unaefuatili masuali ya nand na Paula cha mwanao kipoje??😂😂😂😂😂
Kipo kama zizi la ng'ombe
Cha naya ni kizuri bhana
Acheni ujinga na Paula koma usitoe kasolo Kwa mwenzio kati hata mtoto Wako hatumjui
Chumba cha naya ndo kizurii
Naya the best
Cha amara kibaya cha naya kizur cha amara kizur cha naya kibaya je cha kwako
nay
Cha nandy kizuli bwana
Amna chochote tu ulimbuken tu
Msijisahulishi kama Chumba kizuri Nikaburi tu Ayo yote Niyakupita Acheni upuuzi Nakujifanya Wanjiga
Wenye vyimba vya watoto mpooo tusome comment tusiokuwa na chumba cha watotoo😅😅
wasanii wa kibongo acheni ushamba
Amara chuma kizuri zaidi