NIKKI MBISHI aongea kiume bifu la Rapcha na Dizasta Vina, Wanafanya game inakuwa Busy

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 102

  • @dismasmushi9328
    @dismasmushi9328 Рік тому +8

    Natamanii wote mngemuelewaa dizasta asee rapcha mkalii ila dizasta mkalii zaid mazee

    • @alexmwakasape3452
      @alexmwakasape3452 Рік тому

      Hawawezi kumuelewa kw sab wamejaa ujinga....wanatak kuskia Trap music na vibe kam walevi

  • @paticotz2513
    @paticotz2513 Рік тому +58

    Vyovyote vile ila rapcha amuezi dizasta vina D ni best rapper na anawakalisha marapa kibao tu apa bongo ni vile apewi heshima yake na nyie waandishi uchwara

    • @gxygxy9143
      @gxygxy9143 Рік тому

      Respect is earned, wanapewa heshima wale wanaostahili. Majority rules, ukimkubali wewe na wengi hawamkubali basi kuna sehemu anakosea.
      Rapcha wa juzi ana subscribers 166,000 UA-cam lakini huyo wa zamani Dizasta ana subscribers 30,000 UA-cam so hii inatuambia nini?
      Mtu asituletee alinacha za 'sizitaki mbichi hizi' kama wanaomkubali ni wachache.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab Рік тому +1

      Rapcha kwa sasa ndio Rapa number number moja Huyo Disaster wako hata hajulikani mzee

    • @yakoboesenga5754
      @yakoboesenga5754 Рік тому

      @@R10_Rajab iyoo ni kweli kabisa

    • @japharymagesa735
      @japharymagesa735 Рік тому

      Subsciber 30,000
      Daah wejamaa bilashaka unaas8li flani ya kikekike mbona sion mm hiyo pale

    • @gxygxy9143
      @gxygxy9143 Рік тому

      @@japharymagesa735
      Angalia acc yake ya UA-cam, that's the painful truth.

  • @d.i.o
    @d.i.o Рік тому +7

    spoken like Dr. Unju 🔥

  • @paulchubahjnr1045
    @paulchubahjnr1045 Рік тому +2

    Kutoka Kenya..Dizasta ni disaster ukweli....Kijana ni hatari kubwa💥💥💥

  • @bizzleadam9895
    @bizzleadam9895 Рік тому +4

    D.I.Z.A.S.T.A........n Dizasta kwelii...Anajuwa mpaka Anajuwa tenaa

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 Рік тому +9

    Vina ni balaaaaa hatariiii

  • @salimkigarimbwe4911
    @salimkigarimbwe4911 Рік тому +7

    So Nikki amemaanisha ugomvi WA dizasta na rapcha n watoto wanacheza

  • @bizzleadam9895
    @bizzleadam9895 Рік тому +1

    Xo wa Kucompare na huyu Mtoto Rapcha.....Ebu Mpeni heshma yakee bhxxx

  • @herbethchogga361
    @herbethchogga361 Рік тому +3

    Real hip hop fans watavote kwa dizasta, ila haimaanishi raptcha hajui..
    kwa wale ambao hawajazama kwenye hip hop sana ndo watamtaja raptcha sababu ndo anajulikana!

    • @marylubuv8202
      @marylubuv8202 Рік тому

      Kabsa lakin kwa cc wazee Wa old schools Dizasta vina mwamba

  • @addamschamwande7734
    @addamschamwande7734 Рік тому +1

    Dr,unjuu waambie kama uyo lapcha kazua bifu ya nyama ya ng'ombe amuwezi dizasta vina ata kwa CCTV

  • @aissaleekimondoboy
    @aissaleekimondoboy Рік тому +5

    Dizasta atabaki kuwa mkali siku zote🔥🔥🔥

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому +1

    DIZASTA VINA🔥🔥🔥🔥🔥🔥📢📢📢

  • @rizzomc-africanmusic9081
    @rizzomc-africanmusic9081 Рік тому +2

    Mpeni dizasta heshima yake aseee vina ni mwamba sema tu Media znabana

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 Рік тому +1

    Rapcha atulie tna kimya amwezi DIZASTA vina ni legend kuzidi yeye

  • @asap-kevy5040
    @asap-kevy5040 Рік тому +1

    Cm Yangu kioo kibovu ila uyo jamaa afungwe maisha haiwezekan amuue mke wake

  • @ekicrevomnyanyi862
    @ekicrevomnyanyi862 Рік тому +13

    Dizasta nimuandishi mzur but rapcha have good flow

    • @polycarpmdemu3552
      @polycarpmdemu3552 Рік тому

      NA flow haidhiirishi ubora ndani ya Rap, Si msingi wa Rap

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 Рік тому

      @@polycarpmdemu3552 ni

    • @davidoscooper237
      @davidoscooper237 Рік тому

      Big point 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😧

    • @davidoscooper237
      @davidoscooper237 Рік тому

      @@polycarpmdemu3552 hapan rapper anatakiwa awe Navy vyote

  • @starford
    @starford Рік тому +4

    Dizasta ate Rapcha up

  • @sanjemoreandason9724
    @sanjemoreandason9724 Рік тому

    Dah kweli mtoto kajiona kakua dizasta ni moto wa kuwakia mbali rapcha afanye mziki tu ila dizata level za juu

  • @MicalBahame
    @MicalBahame Рік тому

    Dr Unju 💥 always Dizasta it's a champion 🏆

  • @BONGOSTARMEDIA
    @BONGOSTARMEDIA Рік тому +1

    💥

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Рік тому +1

    Rapcha is a disaster, dizasta is catastrophic

  • @xhamzy
    @xhamzy Рік тому +4

    Unju kajibu kiutuzima

  • @philemonambilikile839
    @philemonambilikile839 Рік тому +1

    Dizasta vina mkali Sana weee

  • @mudhihiri.a.hassan3413
    @mudhihiri.a.hassan3413 Рік тому +2

    Musimfananishe dizasta na vitu vya ajabu

  • @merchisedecklucian4771
    @merchisedecklucian4771 Рік тому

    Baba mdogo,rapa wenu anapewa dakika nane studio anaongea point moja tu mze.

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 Рік тому +1

    Dizasta ni killer 100

  • @mchinatz6009
    @mchinatz6009 Рік тому

    Hakuna wakumfananisha na DASTA VINA 🔥🔥🔥🔥

  • @rajabuomy487
    @rajabuomy487 Рік тому

    Dizasta tribulation. Anatakiwa afungwe hauwezekani amchane vileee aiseee. Rapcher usijalibu tehnaaa

  • @officialnewhero
    @officialnewhero Рік тому

    Team D tujuane kwa like hapa

  • @EllyKhalipher
    @EllyKhalipher Місяць тому

    Dizasta vina sio Michael B ni Michael A Jordan

  • @michaelisolomon6059
    @michaelisolomon6059 Рік тому

    Rapcha anajua lakini dizasta vina nihabari nyingne huyu mtu nibalaaaaa

  • @HancyForex
    @HancyForex Рік тому

    rapcha bdo San kw dizasta hamuez kbsaa

  • @shausjuma7500
    @shausjuma7500 Рік тому

    Ukimkubari D zast ukamkataa rapcha utkuwa hujuii mziki, hawa wote ni shidaa

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому

    UNJU🔥🔥🔥📢📢📢📢

  • @giantmctz6005
    @giantmctz6005 Рік тому

    Nikk anaongea kama chid benz

  • @issamatola2031
    @issamatola2031 Рік тому +2

    uju unuki

  • @rashidnantu5761
    @rashidnantu5761 Рік тому

    Ila nikki mbishi ni msela sanaaa😂

  • @gabrielmwakalasya7602
    @gabrielmwakalasya7602 Рік тому

    Dizasta sio wakumfananisha na racha nimtoto sana

  • @nsumbaboy3549
    @nsumbaboy3549 Рік тому

    Nikki mbishi ni gaid

  • @HancyForex
    @HancyForex Рік тому

    Cha muhimu waiteni wote kwenye FNL

  • @andrewpaul9769
    @andrewpaul9769 Рік тому

    Unjuu

  • @negroprapper
    @negroprapper Рік тому

    Nikki mbishi
    Baba marcom

  • @ibrabazo6318
    @ibrabazo6318 Рік тому

    Bin upupu

  • @abubakarnsolo908
    @abubakarnsolo908 Рік тому

    Dizasta ndio nan tena

    • @marylubuv8202
      @marylubuv8202 Рік тому

      Ni emcee mkali kinyama tafuta ngoma tribulation ngoma yake uone utamu Wa hip hop

  • @Kitanta2077
    @Kitanta2077 Рік тому

    Nembo ya mtaa unjuu

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Рік тому +3

    Tukisema ukweli dizastar ni legendary ila moto wa Rapcha apana yani kwanza Rapcha ana mafanikio kwenye game kuliko dizastar kama wote wa wili wakienda kupiga show Kenya Rapcha aki tia mashabiki 100 basi dizastar ata kua mwenyewe on stage

    • @alextanzania
      @alextanzania Рік тому +3

      Hujui chochote

    • @elishaworkout6116
      @elishaworkout6116 Рік тому

      We ni kuma tu ujui kitu wapumbav kama ww ndio wanaakil mgando na izo ngonjera zenu ,futa candy crush kweny sim

    • @Godmaletz
      @Godmaletz Рік тому +3

      Qma wewe😂🤣hujui kitu mako

    • @eddsonjeremiah6669
      @eddsonjeremiah6669 Рік тому +3

      Dizasta vina ni number nyingine usimfananishe na uchafu hip-hop tunajua nini maana ya dizasta

    • @alexmwakasape3452
      @alexmwakasape3452 Рік тому +2

      Ww endelea kuskilza tu taarabu