Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
"Kipimo unachompimia mtu ndo ikoiko utapimiwa,kwani we nani" I like it bro
GOAT 🔥🔥Greatest of all time 👽🙌
Best hiphop artist
Huyo dadangu]Presenter wa Kike kapendeza sana leo kwakweli
Unju ni🔥🔥🔥🔥
Kiboko yao unju da genius na kiboko ya fidq...4rl....bisha...hapo
Nakubali
Réal talk NIKkI MBISHI 😈🔥💯
Bin upupu...! Terabyte jukebox 🗣🗣
Salute kwa UNJU🫡🫡
Salute sana
Napenda me kilasiku nimsikie Nikki akitoa madude sema ndo hvyo bongo mziki pesa yake daah ujitoe kwel kubisha
UNJU🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥BINI UNUKI
The Emperor Unju bin unuq 🔥🔥
>>>Nikki Mbishi 🙌🔥🔥
Ana wimbo wake unaitwa Dama daaah jamaa noma sana
Imeeleweka iyoh✌🏻
Nakubal mwamba
Dr unju
Unjuu bin 🔥🔥🔥🔥
Top 5 D.O.A. Period
Emcee wa karne
Nikki kichwa ! saluti kwake !
🐐
Unjuu
Uhakika
Hahaha Nicas uko deep sana
unju
Ah jamaa ana akili sana uyu
Mwambieni nikkimbishi ani unblock 🙌🙌🙌
Mzee wa kukipakaza,bin upupuuu
Mpeni maua yake au miti mzima mzima huyu jamaa
Dr unjuu
Kama ndo hutaki kutuwekea album yako kwenye plats fom, sasa mbona unategemea hizo hizo platforms kutangaza biashara yako na hiyo album. Nikushauri kitu kataa hata hizo interview kwasababu huamini kwenye platform.
@@enockmalangwa7059 hater
Sauti hapa ndio tatizo
Interviewe ndogo mbona madini ya huyu ni lisaa
Huyu jamaa dunia imemuacha mbali sana
Blood doctor unjuu
Kaka nikki nipo Dodoma napataje copy ya album zako me nazpenda
Mfollow kwenye mitandao
Kopareti nimtu frani ivi akikopa areti naukizubaa ndio imetoka etty Dr,njuuu
Waache kusumbua watu bhn
Unju hakuwaga boya,,unaaibisha kizaz kungun wew
Respect people you will be respected too!!
BADO POA KAKA mdos utake usitake tuna foce kuza copy walio tufunga tuwashangaze
O
Unju🎚️👊
Huyo jamaa akili nikama ya Nay wamitego
Ney wa mitego🙄🙄 akili ndogo hawezi kufanana na Mfalme wa Hip-Hop Unju....labda tu wanafanana kwenye kuadress ishu za kijamii na kua wasema kweli Basi.
@Saadati bro haujui hiphop na haujui unachokiongea,huyu mwamba ni mmoja kati ya hiphop icons bongo..
Kama ney wa mitegoo????duh
usimfananishe na dada neema huyu mwamba
Naheshimu mawazo yako ila kwangu hapana,hapana
Jamaa waliokuwa wanakubeba sababu ya kujuana xana,kwa xaxa wakiulizwa wanachosema!!dogo nizam Hana.