MAZINGE awakimbiza wachungaji kwa andiko hili 15 : 7 Mathayo, Yesu ni lazima abudiwe?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 70

  • @fatumasaleh8048
    @fatumasaleh8048 2 роки тому +8

    Ustadh Mazinge nakuombea kwa Allah sw akujaalie umri mrefu wenye kheri Ili uzidi kuilingania dini ya Haki Amiin

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 2 роки тому +2

    Najua karne hii si rahisi mtu kufikisha miaka 200 lakini namuombea Allah Shekhe Ampe umri hata na zaidi na zaidi ya miaka mia mbili kwa ajili ya Dini ya Allah...

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 роки тому +4

    Ust mazing Allah akuhifadhi na wanafik na yaumaliqiama atuingize pepon pamja na mashekh wetu na mtume wetu amiin

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 Рік тому +1

    Baada ya mihadhara walimu wangeuliza nani yuko tayari kuwa muislamu au (mkristo) hayo anafanya sana ustadh Yusuf Wambugu na Ramadhan Kuria.

  • @JamalKhan-le9ud
    @JamalKhan-le9ud Рік тому

    Mnashinda na mazinge nyie😂😂❤❤❤ mazinge nihatari

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 роки тому +4

    Wakiristo wanapenda kubadilika badilika mana Mungu anabadilika kua mtu, Mtu anabadilika kua Mungu. Malaika anakua mtu....Subhanallah.

  • @rashidmwamure3691
    @rashidmwamure3691 2 роки тому +6

    Kutoka a na mafunzo na elimu tunayo pata kutoka kwako mungu akuzidishie mazinge

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 Рік тому +1

    Kawaida ya Ndacha ukiangalia mihadhara yote hasikilizi waislamu wakitoa maandishi ,ni kama hana haja ya kusikiliza ukweli.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 роки тому +4

    Hakuna apasae kuabudiwa kwa haq ila Allah. Hasbunallahu waniimal wakiil.

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 2 роки тому +3

    Katika timu ya wendazimu Duniani Hakia Mungu tena Watu wajiitao Wakristo ndo Watu wasio jitambua Namba Moja Duniani yani aher ya Wanyama wanatumia Akili kuliko hawa Jamaa wao wakipata Maisha ya Duniani tu bas wanaona wao ndio wamefauru

    • @makutanochristoph2820
      @makutanochristoph2820 2 роки тому

      Ndugu waliopata maisha ya duniani kisha wakalizika unawajua? Mi naona mtapotea kwakua hamjui maandiko wala uweza wa Mungu.

  • @fatumalogose
    @fatumalogose Рік тому

    Maahaallah ALLAH awazidiee kwa kazi mnaoifanya

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 Рік тому +1

    MADHUMUNI YA MIHADHARA HII NI KUWAELIMISHA WATU WA DINI ZOTE UKWELI WA KUFATA LAKINI NI MUDA MREFU HATUONI WATU KUBADILI DINI ZAO.
    INAONYESHA NI KAMA MIHADHARA HII HAIBADILISHI IMANI ZA WATU.

  • @sayaribrand538
    @sayaribrand538 2 роки тому +2

    ALLAH akupe maisha malefu na nguvu na afya kila siku sheh mazinge ili uzidi kutumbua majipu.

    • @jeanclaudehahonimana395
      @jeanclaudehahonimana395 2 роки тому

      Ndacha anawez nimutumishi wa mungu

    • @makutanochristoph2820
      @makutanochristoph2820 2 роки тому

      Yaani allah ampe maisha marefu ili aendelee kukupotezeni
      ( Q2; 97)
      Aliyekuwa ni adui wa Jibril basi huyo ndiye aliyeteremsha quruan moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyez Mungu inayo thibitisha yaliyokuwa kabla yake na ni uwongofu na biashara njema kwa waumini.
      Mpaka hapo waislamu mmekwisha

  • @sayaribrand538
    @sayaribrand538 2 роки тому +3

    Sheh mazinge mwenyez mungu akujaalie uishi maisha malefu

    • @makutanochristoph2820
      @makutanochristoph2820 2 роки тому

      Yaani unampigia takia ya maisha marefu na Hali yakuwa anawapoteza? Wala hakuna katika nyinyi waislamu ila ni wenye kuifikia hiyo jehanum niwajibu wa Mora wako uliokwisha pangwa.

  • @fatumaamina9610
    @fatumaamina9610 2 роки тому

    Allah akuzidishie bwana mazinge na akubariki uzidi kufafanua dini ya haki na ya ukweli

  • @anthonykariuki2438
    @anthonykariuki2438 2 роки тому +1

    Yaani ninavo ulewa ukristo ni hivi,Baada ya mungu kuwatumia wana israeli watume na hawakuwa wakiwaskia. Ilibidii mungu mwenyewe sasa aje kama kristo. Si huu ni msiba Inna Lillahi wa ina ilayhi rajeeon.

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 2 роки тому +1

    Mazinge uko vizur majibu yamernda vizur tunajifunza kutoka kwenu

  • @ismailmustafa2649
    @ismailmustafa2649 2 роки тому

    Qala LLahu sub'hana
    Jaa ul haqqu......
    innal baatwil qaana zahuuka.
    Baaraka LLahu fikum

  • @shukriboru8312
    @shukriboru8312 2 роки тому +10

    assalamaleikum bro ustadh mazinge Allah akuhifadhi inshallah.

  • @reshmakhalil4607
    @reshmakhalil4607 2 роки тому +1

    Ustadh Mazinge mashaAllah❤️

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 2 роки тому +1

    Yesu ni mwana wa mungu we hauna mada

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 роки тому +1

    Duu khatar,nimemuelewa sana mazinge.

  • @KhamisiJuma-xd7il
    @KhamisiJuma-xd7il 24 дні тому

    Ndacha unapotosha wakristo nimeamini wew ni mba wa kwanza

  • @jei_Ibrahim
    @jei_Ibrahim 2 роки тому +1

    Hapa mm naona yesu kigeugeu anadai yeye mtu kimwili na Mungu kiroho hapa ametucheza juu Mungu wa kweli hawezi kila kitu na ukiona Mungu anae weza kila kitu uyo sio Mungu wa kweli jamani wakristo Mungu hawezi kwendaa choo Mungu hali jamani na kumbukeni Mungu ni mmoja sasa ikiwa atajigeuza mtu aje duniani alafu aje duniani aanze omba Mungu mwengine itakuwa ametucheza na kama atajigeuxa some part of himself that will make 2 Gods que who is supirior

  • @hatjjuma6150
    @hatjjuma6150 2 роки тому +2

    Asalamalekum warahmatul wabarakatu ukweli utabaki tu.maana majibu yote yanatoka kwenye hiyohiyo bibilia.mwenye akili tafakari ufanye maamuzi sahihi , kila moja wetu atakua peke yake kwenye mwanandani sikumoja ,sasa sijui utamdanganya nani huko.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому +2

    Allah Akbar

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 роки тому +2

    Ukweli wote umo ndani ya bible lkn maskini hawaoni mapastor makanisani wanawafanyia ushirikina na kuwapa majini asi wanawaziba macho.

    • @makutanochristoph2820
      @makutanochristoph2820 2 роки тому

      Na Ukweli umo katika qurani ila kwakua jehanum haitakosa wale ambao kwamba wao watakua kuni(Q3;55) atamfisha kisha atamnyanyua kwake, ila makafiri walio andikiwa jehanum wakielewa jehanum itakosa washiriki
      imenenwa,
      Enyi nyoka Wana wa majoka mtaikimbiaje hukumu ya jehanum?

  • @zuhuravuai442
    @zuhuravuai442 2 роки тому +1

    Jamaniii amalinjema ni ya kujifunza dini iliyo sahihi na ya kweli. Kiufp tunajua km uislam ndio dini ya haki ila hawataki tu

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 2 роки тому

      Nani kakuambia uislam ndio dini ya haki? Uislamu uliingia juzi wakati Yesu ameshaitangaza injili

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 2 роки тому

      Hizo ni fujo mazinge kazaliwa juzi wakati injili ina miaka 20000 ni wapi na wapi

  • @rajabmshengahanen1254
    @rajabmshengahanen1254 2 роки тому +1

    Sheh wangu we nimuhimu sana ila utakufa fanya utengeneze kijana kma wewe pengo lko titakuwa kubwa sana

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 2 роки тому +1

      Kusema kweli sioni huja ya kutaka kuziba pengo la mazinge wako ma sheikh wengine wazuri tu akina kinyogoli akina shaffi na wengi tu sitamaliza kuwataja Bro aliondoka mtu anaitwa Rico akaondoka imani perto hawa walikuwa vizuri sanaa Allah akatuletea mazinge hata akiondoka Allah atatuletea mwengine usijali mkaka tuko na Allah

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 Рік тому

      Anavoruka ruka kujibu hoja kumbe ndo anawadanganya bado unataka awepo wa ivo duh!! Mara aende kule mara huko kumbe ndo anakwepa hoja bado unataka wa ivo duh, si ajibu hoja akiwa ametulia tu

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 2 роки тому +1

    Ndacha kafiri sana, asipotubia ni finnari jahannam

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 роки тому +2

    Ttzo lako Ndacha kiswahili hufahamu pia 40:60 ndio inavyosema hivyo?🤣🤣🤣

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 2 роки тому +2

    MAFAFANUZI YA UKWELI JUU YA KRISTO ,,,,,,, Kweli Tusomeeee Biblia,,,,,,,

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 2 роки тому

    Wazungu hatuwakuti Tena.Hawaapotezi muda kumjadili mambo yasyoleta maendeleo ya jamii.Wanaunda vitu na dini wanazo.sisi kelele ambazo haziundi chochote. Habari za Yesu haziwezi kushindwa na chochote.Kifo kilishindwa,sembuse kelele za Mazinge

    • @hemedinhohemedinho662
      @hemedinhohemedinho662 2 роки тому

      Sas untk maendeleo kafir ww hufi au

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 2 роки тому

      Yani watu ni vilaza kwli Yesu ni mwana wa Mungu kimwili, lakin ki roho Yesu ni Mungu

    • @fatumasaleh8048
      @fatumasaleh8048 2 роки тому

      @@nestarnestar4520 sina comment kubwa kwako ila na kuombea Kwa Allah sw akuongoze ktk njia ilionyooka. Ili uijue hakki na uichukie batil. Nasema Amiin 🙏🙏🙏

    • @rashidmshindo1527
      @rashidmshindo1527 2 роки тому

      wewe nalinga wewe ni mkiristo

    • @rashidmshindo1527
      @rashidmshindo1527 2 роки тому

      Sasa tuwe bize na dunia mungu tutamkumbuka saa ngapi nalinga vipi

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 2 роки тому +1

    Maskini ndacha na wafuasi wake. When you're doing something for the sake of other than Allah ni matatizo.

  • @rashidkassim8830
    @rashidkassim8830 2 роки тому +1

    Muje na zanzbar

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 2 роки тому

    Mazinge umefilisika unaleta komedi.

  • @saidhassan3702
    @saidhassan3702 2 роки тому +1

    Mungu anakimbizwa hahahaaa

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 2 роки тому +1

    Umeuona moto wa AMECEA,hicho ni kipande kidogo Cha Ukristo
    .jifunze I kwao.sio kupiga makelele.Wasomi huwa hawapigi kelele za hivyo hivyo.

  • @jcwformedia5032
    @jcwformedia5032 2 роки тому

    Forças Musulmanos

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 2 роки тому +2

    Ndacha kafiri wa Kenya, kiswahili kinampiga chenga.🤣🤣🤣🤣

    • @makutanochristoph2820
      @makutanochristoph2820 2 роки тому

      Ikiwa ndacha ni kafiri, basi nyinyi waislamu ndo makafiri namba moja, ukitaka kujua Kama nyinyi ni makafiri ni beep Kisha utapigiwa, yaani uliza nawe utajibiwa.

  • @juliuslubanzibwa9883
    @juliuslubanzibwa9883 2 роки тому

    Utakutana na Yesu nawe utaokoka na kuhubiri habari njema unanyofoa vipande vya mistari na unapindisha iliyo kweli Yesu atakotokea na utaokoka

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 2 роки тому

      Atakutana na yesu wapi wakati yuko mbinguni ameketi mkono wa kiume wa Mungu kwenye kiti cha enzi kwani ww ushawai kutana na yesu hadi ukaokoka

    • @ahmedmwaringa5642
      @ahmedmwaringa5642 2 роки тому

      Ameen

    • @acimamalingano8556
      @acimamalingano8556 2 роки тому

      Yesu Cristo ni mkombozi wa ulimwengu Allah ni shetani Kawa zuga ufahamu waislam tu

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 2 роки тому +3

    Mungu yesu anagovi kama langu hahahah hahahah

    • @saidmwakulika9945
      @saidmwakulika9945 2 роки тому

      Hhhhhhh

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 2 роки тому

      Majinga ni mengi dunia hii, Mazinge anajitingisha kwa kujibu hoja lkn hafati hoja zilizojadiliwa na ndacha,

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 2 роки тому

      Mazinge anajitetea kwa mbwembwe anazunguka uwanja mzima kama ni kutembea angetoka dar mpk moro

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      😂😂😂🤩🤩🤩lakini ww umetahiriwa

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 2 роки тому

    Huyu ndacha asubiri laana tu hana lolote ubabaifu tu

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 2 роки тому

    Huyo no prf wa wajinga so waona hiyo komedi anayoonesha hapo.