Pole sana kaka mboso kwamaisha magumu uliyo pitia hata mimi ni kama wewe kwa ugumu wa maisha uliyo pitia huko nyuma pambana ndugu yangu mungu atatusaidia sote inshaallah
Yaani vile navyompenda mbosso sikuwai jua kayapitia maisha magumu hivi lakini namshukuru meenyezi mungu amekua mwaminifu kwake ,,,,zidi kuturoga kwa muziki wako my all time crush God is faithful
Hii story inanisisimua san jmani hadi naandika huku nikilialia😭😭,,kama unaangalia vidéo hii gonga like twende sambamba na tusikate tama kwani Mungu ni wetu sote😭😭😭.from Burundi
I know i don't understandSwahili but somehow, i understand the message in this video. I must say that Tanzanian artists are humble and helpful. God bless your hustle guys. Keep rising..
Hiii story inauma sana na nimejifunza vitu vingi sana nami inshallah one day yes nitatoka sikati taama inshallah 🙏🙏yani leo nimeludia mara mbil mbil 2/4/2020
Kila wakati ninapofikiria kukata tama huwa najaa kuitazama video hii mbosso ,,,mungu akubariki watupa changamoto kama vijana kuendelea kupigana mwaka wa 2023 na bado naitazama😊
Subtitle maana yake ni tafsiri Fupi ya lugha nyingine tofauti na lugha iliyotumika kwenye kitu husika So kwa kuwa mazungumzo yote yalifanyika kwa lugha ya kiswahili subtitle yake haipaswi kuwa kiswahili Bali i inatakiwa kuwa lugha nyingine tofauti na kiswahili ili kumwezesha mwangaliaji ambaye hujui kiswahili kuelewa nini mboso alikuwa anaongea kwa kiswahili
What a story you depicted bro ....a true legend of never give up 🔥🔥🔥.... though Swahili is abit difficult for but from a look of the video i can get the point 🔥🔥🔥
ikiwa historia hii ni ya hakika na kweli, you deserve shining colourful and successful life, amini Mungu wa mbinguni kwa haki na kweli, maana ni miujiza aliokutendea maishani mwako, feel loved from kenya. Naupenda huu muziki sanaa.🙏🙏🙏🙏
no gain without pain bro...accept it and move on...i know all this is part of life...what you need is to focus ahead and never trust friends...you are doing good job never give up.
Yaninina myezi 10 Toka nije chuo, sikuwai kulia, lakini nimelia Leo baada ya kuona video hii. Yani jinsi alivyo Kuaga binkubwa ni kama halivyo niaga mama yangu, nimeofuraswa sana Kwa kutuaminisha kama ata Sisi tunaweza. Asante sana mbosso kazi njema mungu akubariki.
Its on 19 march 2023, ,the story looks like was created the other day ,,,who else is with me today? #mbosso upewe sifa..wapi like yangu kama bado unausikiliza wimbo huu
I started writting my music two years ago, Na bado sijafika studio kurecord coz ya challenges hapa na pale but nina imani siku moja nitafikia ndoto yangu. Kila wakati nikitazama hii video, hunipa nguvu na kuamini mungu zaidi. And I believe one day I will be a superstar✔
That's tha reason you're successful today Mbosso. Natabiri mbali utafika kaka mkubwa. Usisahau uliotambaa nao wakati kama huu ambapo umesucceed Mbosso. Na uwainue wadogo wako wanaokua kimuziki na kimaisha. Na mungu atazidi kubariki kazi yako.
Nipo kwenye dimbwi kubwa la mawazo nimekuja hp kujiona na mm Ni mtu ipo siku na mm sitolia ipo siku Ila maisha bil wazaz Ni magumu MNOO 💔 eeh Mungu nisaidie 🙏🏼
Kama unawatch ii story 2024 piga like
2024
I'm here
Mboso kapitia maisha maguma sanaaa pambana brother. Gonga like kama umepitia maisha kama haya
Pole sana kaka mboso kwamaisha magumu uliyo pitia hata mimi ni kama wewe kwa ugumu wa maisha uliyo pitia huko nyuma pambana ndugu yangu mungu atatusaidia sote inshaallah
Hayo ya mbosso madogo wengine n makubwa sana
😂vizuri kaka kanatu kwakila jia
Pole sana mbosso u kama mimi hapa nami nataka kuwa msaani cjui nitafanya aje nataka kolabo na wewe mtu wangu nitarejesti aje wcb wasafi
A touching story...still watching in 2024...gonga like hapo.
Kama una watch hii historia 2023 gonga like hapa
History inaumiza sana kama unasikiliza 2023 gonga like hapa
2023...
😂❤
,,,,,
2023
Hii story inauma kweli😭😭😭😭😭 Mungu anakupenda sana bro😍😍😍😍 kama bado Una watch hi story ya mbosso na ni 2020 gonga like hapo🙏🙏🙏🙏🙏
Mbosso,ubarikiwe na ukumbuke wazazi
Mungu ana tupenda wote
@@akonje4575 ok pole Sana brother maisha ndoyalivyotu
😅❤❤❤
Mungu akujaalie kaka
Katika kitu nilichogundua mondi anadeal na wanyonge...
Anawasaidia wanyonge kama alivyokua yeye....
Big up sana mondi
Prince Deus umeonaee
Prince Deus true
Mungu nimwema
Vzur sana ma lver bro mboxo
Ndogo kaza buti unaweza mziki
Mbosso has a golden voice. He is going far. All the best dude
All the best
Mboso taught us one thing that is never give up..... wapi likes zangu from Kenya
Nampenda sana mboso mufumilifu kabisa barikiwa sana
Yes
Mbosso my guy
Mboss
Mimidennis mamta akibore sana
Yaani vile navyompenda mbosso sikuwai jua kayapitia maisha magumu hivi lakini namshukuru meenyezi mungu amekua mwaminifu kwake ,,,,zidi kuturoga kwa muziki wako my all time crush God is faithful
Daaah jamani sisi maskini tunatesekaga kwa muda mlefuu saana lkn siku moja tu mungu akikubaliki anakubaliki kweliiiii
Kweli kabisa kaka
Waaah
Kukata tamaa sio Dili kitu ambacho nimejifunza big up mboso mungu akujaalie ufike mbali
Nakupenda mbosso, wcb nzima roho yangu yakupenda saaana
Lov u too man
ua-cam.com/channels/LjYGd0X1uTWnzvMbLSP2Og.html
Namkubali mboso nae wngineo
Hii story inanisisimua san jmani hadi naandika huku nikilialia😭😭,,kama unaangalia vidéo hii gonga like twende sambamba na tusikate tama kwani Mungu ni wetu sote😭😭😭.from Burundi
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💓💓💓💓💓💓💓Mungu akuzidishie Mara dufu kaka. Nakupenda zaidi
I know i don't understandSwahili but somehow, i understand the message in this video. I must say that Tanzanian artists are humble and helpful. God bless your hustle guys. Keep rising..
Fc
You are right
May I give you the meaning of that text
Sinkarie Habibi nc my
Sinkarie Habibi 0685413241 whtxxp
Hiii story inauma sana na nimejifunza vitu vingi sana nami inshallah one day yes nitatoka sikati taama inshallah 🙏🙏yani leo nimeludia mara mbil mbil 2/4/2020
*YOU INSPIRED ME* Nakupenda mbosso
+254
Umeniliza sana Mbosso. Mungu azidi kukubariki. Nakupenda sana na Mziki wako Nakupenda. Fan from Ug
Don Abdul🎉🎉🎉 supported kijana wako today mbeya 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Hii story inafanya mtu alie thou Our good God is faithful . he is proud he made it.
There's always a True God Bosso !!!!
Kila wakati ninapofikiria kukata tama huwa najaa kuitazama video hii mbosso ,,,mungu akubariki watupa changamoto kama vijana kuendelea kupigana mwaka wa 2023 na bado naitazama😊
Kila nnapo rudia kuangalia hii video natoa machozi nankujipa moyo nanimani nitafika asante mungu @mbosso mwnyz mungu akubariki zaidi 🙏
story imenigusa Sana toa filamu brother
penye nia pana njia hongera sana mboso 👍👍👍👍
I'm in tears 😢😭 who is still watching this in 2021 much love mbosso every successful man have a sad story
Amida
Wow
Usikate tama ungariki uhai
Me tooo😭😭
😭😭
I am somali boy mboso really is so like your songs keep going bro.
Every person has good story or bad but your history is something else...
Kama bado una angalia hii 2020 ngonga like twendee swaa
Keep going mbosso,God is in control. Napenda unavo jituma si kawaida na si rahisi,napenda ngoma zako sana
Kwa kweli tuombeane mema siku zote,,,,,usifurahie kuanguka Kwa mwenzio maana hatujui wangapi wamtegemea,,,,Baraka🙏
So pow.....umkzaa mzee baba.....kila LA kheriii
Big up van boy, imenitoa choz, kama umewakubal like
Pendo Munishi he's not van boy,
@@johnanyera2634 nihatariaana
munguamemsaidia
Sasa tuwekee na sabtaito za KISWAHILI si ZA KIINGEREZA!! Kazi nzuri sana.
Subtitle maana yake ni tafsiri Fupi ya lugha nyingine tofauti na lugha iliyotumika kwenye kitu husika
So kwa kuwa mazungumzo yote yalifanyika kwa lugha ya kiswahili subtitle yake haipaswi kuwa kiswahili Bali i inatakiwa kuwa lugha nyingine tofauti na kiswahili ili kumwezesha mwangaliaji ambaye hujui kiswahili kuelewa nini mboso alikuwa anaongea kwa kiswahili
Nyimbo kiswahili subtitle kiswahili hivi uliskia wapi?
Yes
@@lindamasitsa4816 Maisha yanabadilika
Who z still watching life history of mbosso in 2020
Nam eshumu diamond ana roho nzuru amefanya mbosso kuwa mutu atamimi ni msani lakini naamini japo siku Nita onana na diamond big up mwana ume
yuzo platnum I’m here but that mom and dad are they his real parents
Ally dee
Me this stry motivate me dairly
me still watching
Daaaa maisha yanachangamoto nyingi sana kikubwa tupambane tu naimani tutapita😢😢🎉
Naitwa kibe Boy,imeniuma sana maana ninayopitia kwenye Kazi yangu ya mziki mda mwingine nahisi kukata tamaa
Kama mboso kakugusa gonga like ya nguvu apa
This made me cry😭😭😭😭yagusa mno
Bigapu
Junior Leonard ,nimekukubali umetokambali
Mungu akujalie safari ni ndefu
Watu hutoka mbali sana congratulations 🎈🎊 bro
Ijapo niko ulaya sai lkn pia nimepitia hayo maisha big up bro
Hata mm ijapo kuwa n mwanamke lkin nimepitia magumu
Ungekua ndugu yangu,ningekupa bible,mahisha bila mola si kitu,mbosso tambua kenya twakupenda sana,na utazidi kubarikiwa kwa ukarimu wako
Kids
Museums kweli MTU
Kusema kweli maisha Nimangumu mno pongezi cx
Pole sana mboso na huyovdem Ako wap sahii bdo mwapendana ama ilitoka
What a story you depicted bro ....a true legend of never give up 🔥🔥🔥.... though Swahili is abit difficult for but from a look of the video i can get the point 🔥🔥🔥
ikiwa historia hii ni ya hakika na kweli, you deserve shining colourful and successful life, amini Mungu wa mbinguni kwa haki na kweli, maana ni miujiza aliokutendea maishani mwako, feel loved from kenya. Naupenda huu muziki sanaa.🙏🙏🙏🙏
Kwa hakika maisha ni mapito tunapita
Duuh pol nk uliopitia wew n sw n mim kikutaliwa n baba ang
Duu historia yako imenisisimua sana naimenfunza kitu nnakutakia mafanikio mema mboso
BERNARD MATHIAS Zr Sana mwanangu mboss
Duh mboso nomasan
we limbu
Inshaallah
Penda sna songs za mbosso gonga like
Daah nilikuwa sijawahi kuiyona hii stori yamboso daah nimeumia Sana kumbe umepitia magumu hivi😭😭🙏
Mara nikiangalia hiyo kisa macho yatogwa machozi na ikanigusa moyo na ikanipa inspiration ❤😢😢
Wewe ni shoga kubabakee mtoto wa kiume unalia kwenye movie hii..
@KifanyiJulie matusi ndo umbo lako may you rest in toilet
🥺🥺maisha safari kweli Mungu do mpaji
Woii vedio imenitoa machozi napenda Mbosso mungu azidi kukubariki
Tought us that no matter where u come from...u can be anybody in this word...look at u now..one of the biggest artist in east Africa....🤗🤗
True story mbosso... inspiring 🔥🔥🔥💪
Dah! hii story huwa siichoki kabisa kuingalia na sometimes huwa machozi yananitoka yaan, all the best my brother @mbwana Yusuf kilungi
Hadith ya kuguza kweli ,wazazi ni wazazi kweli ata ukaende wapi mwishowe utarudi nyumbani , penda sana wazazi keep it up bro like zake mbosso plz
This young man is a real inspiration to all youth from a humble background .....hoping to meet him one day ...Dickson From Kenya Jimbo la Meru
One thing about wasafi has changed many lives and I salute like if you love wcb
Waliorudi Tena kuangalia hii baada ya kuona kawajengea wazazi wake Nyumban nzur
Daaaah kk umepitia kipindi kigumu xana
Congratulations keep it up good job ❤❤❤❤
Upo vizuli sanakijana mwenzangu
Kwl hakuna safari rahs katika maisha...kila shm kuna ugumu au changamoto..ukishaona staa kawini unafikiri ni rahs kivile...dah...inauma sana kwl
Kaka... Umesisimua isia za wait wengi.. Uko tofauti na wote unajua brooo heshima wcb.... 👌
I'm from Somalia 🇸🇴 keep going mbosso 😍😍
Daaah kumbe hata mm Bado Niko na nafasi yakufanya vitu hapa duniani
Mungu ndo mgawa riziki🙏🏻
Napenda nyimbo zako kaka like kama unamkupali from kenya
Odrysh from Congo
Daaah maisha haya jaman like Kama unamkubali
MashaAllah may Allah continue to bless you,very touching.We should never give up
Oh Mbosso you're good person. I'm crying 😢 For your story. Love you my dear tena sana
Hey
Nice
Nimependa sana mwanangu Mboso ujasusi wako kama mtoto wa kiume.
Huyu mshairi wangu, gwiji,malenga...ushairi zaidi ya yote the golden voice. I'll always listen to your songs ❤❤
Ebwana vibe sana so mbosso big up nilchojifunza never give up
no gain without pain bro...accept it and move on...i know all this is part of life...what you need is to focus ahead and never trust friends...you are doing good job never give up.
Mbosso motivates me alot, I believe someday nitamake it pia😢😢
I see you every time fro kalmar in Sweden 💪💪🇸🇪
Yaninina myezi 10 Toka nije chuo, sikuwai kulia, lakini nimelia Leo baada ya kuona video hii. Yani jinsi alivyo Kuaga binkubwa ni kama halivyo niaga mama yangu, nimeofuraswa sana Kwa kutuaminisha kama ata Sisi tunaweza. Asante sana mbosso kazi njema mungu akubariki.
Pole sana mbosso....shkuru that...lyf goes on....may Allah bless u bruh
Congrat mr man ,,you from bottom now lavish life you life,,, prosperity 🙏 be your potion
4gd yrs now bt nimeangalia najipata chozi latoka😭😭kila mtu yko na isyoria yke ya maisha🙏🙏
Its on 19 march 2023, ,the story looks like was created the other day ,,,who else is with me today? #mbosso upewe sifa..wapi like yangu kama bado unausikiliza wimbo huu
Kiukwe napenda sana hiyo songe mimi na fan wambosso.
I have soo much respect for this guy😍 almost got me teared up😢
Mbosso...hakika kaka ushatoka mbali bana....Kibiti uko ndani kuruka
Mambo vp
Hongera
Painful
Kama umejifunza kitu kutoka kwamboso like hapa
bradock shomary shodri
Duh! Nimekuelewa mbosso
Mbosso
Namkubaliii
Usikate tama kaka life ngumu atakupa unachotaka
Dahh mbosso never give up boe
🤗🤗..i lyk that mbosso...you are a living legend...ur life us tought us that
Jamani umepitia makubwa sana mungu akusaidie ufike mbali sana
Uwa naitazama mara kwa mara because i love it na song shida duh! i see my life japo sijafikia ndoto zangu
hatari xanaaaaa
Ill
Huyo mjombaa noma saana
Nuru Manyota mzm
Nuru Manyota 0685413241
Kama jnamkubari mboso gonga like twende sawa
Like it
Lakini Fella kawazingua madogo haiwezekani kipindi kifupi tu cha kuvunjika kundi madogo wataabike. FELLA mnyonyaji sana
mdogo_ ake_zari zarin
Mambo
mdogo_ ake_zari zarin mboso yuko xaw namkubali
safi mboso pamoja
I cry whenever i watch this video and i feel so motivated to face the challenges no matter what i never give up ...watching from Kenya
Hiiii istoria inanitoa machozi na feel kama ni mimi, inanikumbusha mbali kimaisha nilipoingia njini... mbosso u are the best 👌 👍 😍
Nakukubali boss..
Bro umepitia maisha magum San mungu azid kukup mafanikio
Ur the best boy mungu akujalie na aendelea kukufungulia njia
Mungu hamtupi mja wake kwakweli pole mwaya wanaosema freemason wenyewe unastahili mchumia juan hulia kivulin
Muna sema kweli sans🙌🙌
Enyewe mungu yupo one day I will also make it 😭😭😭😭 big up mbosso
Your a brave one GOD planned good for you
Daaah polee kwauliyo yapitia siku zote lazima kuwa na historia hongera piah kwa ushindi
I started writting my music two years ago, Na bado sijafika studio kurecord coz ya challenges hapa na pale but nina imani siku moja nitafikia ndoto yangu. Kila wakati nikitazama hii video, hunipa nguvu na kuamini mungu zaidi. And I believe one day I will be a superstar✔
imenitoa Machozi kama Na wwe imekugusa gonga like yako
nya
Aisha Abdj HV niyakweli hii
Aisha Abdj mbosso ni jasili sana
Aisha Abdj xaana yaaan
Yasikitisha,watu hutoka mbali kimaisha
Allah ndio mueza wa yote
Daaaah bro story yak inanifany had mm niliy Pole bro Never give up
Kwali nikiangalia namini watu hutoka bali nampenda mboss sana
Shabiki mkubwa kutoka Nairobi Embakasi...Big up Maromboso
That's tha reason you're successful today Mbosso. Natabiri mbali utafika kaka mkubwa. Usisahau uliotambaa nao wakati kama huu ambapo umesucceed Mbosso. Na uwainue wadogo wako wanaokua kimuziki na kimaisha. Na mungu atazidi kubariki kazi yako.
Ulitoka mbali sana mbosso tumipesa kama unayo
2024 nani anaangalia nipen likes zangu ❤
Pamoja sana brother this story touched my heart ❤🇹🇿
Sully's guy
YOU ARE A GREAT MAN MBOSSO . IWISH TO DO A COLLABO WITH YOU MBOSSO. LOVE YOU
Nipo kwenye dimbwi kubwa la mawazo nimekuja hp kujiona na mm Ni mtu ipo siku na mm sitolia ipo siku
Ila maisha bil wazaz Ni magumu MNOO 💔 eeh Mungu nisaidie 🙏🏼