Mahojiano Maalum na Mwanahabari Mkongwe Salim Said Salim

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Mahojiano haya yalifanyika siku ya Kilele cha Maadhimisho Uhuru wa Habari Duniani yaliyofanyika Ijumaa Mei 3, 2024 jijini Dodoma, ambapo mwandishi wa The Chanzo katika mkoa huo, Jackline Kuwanda, alipata fursa ya kuzungumza na mwandhishi mkongwe, Salim Said Salim, kuhusu mambo kadhaa kuhusu hali ya uhuru wa vyombo vya habari nchini.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 9

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 3 місяці тому

    Shukraan saana Mheshimiwa Salim Said Salim Allah akubarik maneno yko yataishi milele ❤

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 місяці тому

    So true DC salim mashallah ❤❤❤

  • @lufingodaniel8858
    @lufingodaniel8858 3 місяці тому

    Yupo wapi Jenerali Ulimwengu On the Chanzo ?!

  • @aryan_simba
    @aryan_simba 3 місяці тому +1

    😂 Waandishi wa habari wa sku hiz bila posho huwaoni😂

  • @MdungiKhamis
    @MdungiKhamis 3 місяці тому

    Rejea Ile Ile passport Zanzibar security secure

  • @ukweli255
    @ukweli255 3 місяці тому +2

    Nilichokiandika Majuzi kwenye moja ya Kurasa wangu mmoja leo ndio nasikia hoja kama hii
    Waandishi wanapaswa kusikiliza hii na kulifanyia Kazi..imagine miradi inalala ila waandishi wapo tu,Wananchi wanalalamika ila nyie mpo tu

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 3 місяці тому

    HUTO SIKIZWA NIMEAMINI NDIO SABABU MARAISI HAWAKUPENDI ,DUH!!
    HUONEKANI KAMA UKO MUUMINI WA DINI YA (UISLAMU) UNAELEZA KAMA MFANO WAMTU ALI HIFAZISHWA [KORANI NA BIBILIA].

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 місяці тому

      😂😂😂😂 Comment yako inachekesha eti ndio sababu MaRaisi hawakupendi . Wakikupenda wewe inatosha😂😂😂

    • @harounramadhan9771
      @harounramadhan9771 3 місяці тому

      Ukisikia uchawa ndo huo mtu anaongea
      Mambo ya maana
      Sasa kupendwa
      Wapi na wapi
      Mungu atusaidie
      Ila sisi tume rithishwa ujinga