MFAHAMU MWANDISHI MKONGWE AMBAYE ZANZIBAR INAJIVUNIA 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 70

  • @aishamohamed5033
    @aishamohamed5033 5 місяців тому +1

    Mashallah. Tupe mzee tunyooshe hizi. akili. Za udanganyifu. 🎉

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 9 місяців тому +4

    Huyu muandishi nampenda yako yuko really supper nakupa mauwa yako mzanzibari mwenzangu ❤

  • @thedon8467
    @thedon8467 9 місяців тому +7

    MZEE NI HODARI MASHAALLAH TABARAKALLAH

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 9 місяців тому +4

    Hii ni tunu yetu ya Zanzibar mzee Salim msema kweli ❤niwachache mnoo wenye kusema ukweli kama huu hili nisomo kubwa kwa wenye uweledi mungu akulinde

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 9 місяців тому +5

    EDUCATED MASHAALLAH MUNGU AKUWEKE❤

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 9 місяців тому +3

    Asalam alkum warahmatullah wabaraqatu.
    Mashallah tabaraqah.
    Natamani hichi kipindi kizidi kuendelea he's the best historical. Congratulations ❤

  • @OthmanZanzibar-q8x
    @OthmanZanzibar-q8x 8 місяців тому

    MashaAllah" hii interview ni tunu ya wazanzibar hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa na jamii yote ya watanzania.
    Inapaswa kutunza na kuheshimu uwepo na thamani ya watambuzi wa historia na waandishi waliosimama imara na kuipenda nchi yao bila kujali "Siasa ,kabila wala utabaka wa jamii Fulani.
    Mungu amlinde na kumuenzi Mzee wetu na viongozi wa taifa letu pia nguvu kazi ya taifa letu " wanahabari " kwa juhudi zao na ombi kwa serekali kumpa tunzo ya heshima Mzee Salim kwani uwepo wake pia ni thamani ya taifa .

  • @ablatuny5406
    @ablatuny5406 9 місяців тому +2

    Mashallah tabaaraka rahman huchoki kumsikiliza

  • @NassirSaid-d7i
    @NassirSaid-d7i 9 місяців тому +3

    Maashallah ni mtu muhim mno znz

  • @allybin08
    @allybin08 9 місяців тому +4

    Watu waopigia debe mapinduzi wanasema watu weusi ilikuwa hawapati elimu 😢😢😢😢😢 uongo mtupu
    Wallah allah atawahukumu kwa dhulma hii

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 9 місяців тому +7

    Mzee yuko vizur

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 8 місяців тому

    Naam nilikua nafanyakazi kwa mzee mmoja Muscut anasema Omani imejengwa na warabu walitoka Zanzibar ❤❤❤

  • @MattarMohammed-f5v
    @MattarMohammed-f5v 9 місяців тому +12

    Zanzibar inajivunia lakini watawala wa siku hizi hawataki kusikia historia ya kweli ili wahalalishe mapinduzi ya kuwauwa Wazanzibar hasa Waarabu.

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 9 місяців тому +3

      Sadakta maneno yko sawa na waidhimishe hayo mapinduzi lkn wasiidhalilishe nchi yetu imekua dhalili na Nuru haina inatia huruma

  • @ibrahim99abdulaziz3
    @ibrahim99abdulaziz3 8 місяців тому +1

    MashaAllah mzee huyu ni zahabu Allah ambarik na ampe afya njema Amiin.
    Na ndugu mtangazaji wa kipindi unastahiki sifa kwa vipindi vyako vizuri kabisa lakin muda hautoshi kabisa kwa hiyo tunaomba utuongezee muda please

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 8 місяців тому

    Mzee unalingana na vitabu vilivo andikwa na wanavioni wa histori kwa jinsi unavo tiririka nakubali sana historia tunayo someshwa sukuli ni mitala iliyo andaliwa na wazungu tu mfano Oxford

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 8 місяців тому

    Mashallah tunuu ya zanzibar salim said

  • @HajiMakame-m8l
    @HajiMakame-m8l 9 місяців тому +5

    Ndio mzee mwaga mambo ayoo ccm hawayataki ayooo

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 9 місяців тому +6

    Zamani tulidanganya sana watu wanasema uongo mpaka leo wala hawaogopi Mungu lakini sasa tushajua ukweli

    • @allybin08
      @allybin08 9 місяців тому

      😢😢😢😢😢

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md 8 місяців тому

    Maashallah huyu mzee ni dhahabu yetu na tunatakiwa kumtunza kwa gharama kubwa sana.

  • @manallayusuf4951
    @manallayusuf4951 9 місяців тому +2

    Amii salim mashallah

  • @allyvuai6203
    @allyvuai6203 9 місяців тому +5

    Huyu mzee nampa hongera yake

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 9 місяців тому +1

      kasoma halafu amekifahamu alicho kisoma💯👌

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 8 місяців тому

    Mashallh

  • @allybin08
    @allybin08 9 місяців тому +1

    History yetu Zanzibar imepotoshwa 😢😢😢😢 wallah inauma sana

  • @Saidmarez
    @Saidmarez 9 місяців тому +1

    Thanks

  • @Dadydadonmiki-dg3nl
    @Dadydadonmiki-dg3nl 9 місяців тому +5

    Kwahakika huyu mzee ni hazina kubwa kwa Zanzibar.

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 9 місяців тому

    Trained,intelligent and brilliant dah

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 8 місяців тому +1

    Inabezwa na nani?

  • @hajraaliy3220
    @hajraaliy3220 8 місяців тому

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 8 місяців тому

    Ninachokiona kwa alfatah tv ni kupokonywa leseni ya tv ya mtandao coz mumepost kitu kinachoenda kinyume na CCM

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 8 місяців тому +1

    CCM WAMEIHARUBU ZANZIBAR, SASA IMEKUA DANGURO LA MACHANGUDOA KUTOKA TANGANYIKA NA BURUNDI!

  • @masoudrashidmohammed4124
    @masoudrashidmohammed4124 8 місяців тому

    Inauma. Sana ktk visiwa vyetu hivi mtu mzalendo mkubwa lkn serikali haimthamini ni dhahabu kubwa kwa zanzibar ni Icon ya zanzibar

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 8 місяців тому

    MBONA HUSEMI UKRISTO KUINGIA TANZANIA NA EAST AFRIKA ULIANZIA ZANZIBAR

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 9 місяців тому +1

    Wapee !!!

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 9 місяців тому +1

    Saannaaa

  • @omarymsusa8903
    @omarymsusa8903 8 місяців тому

    Nakukubali sana bw. Salim na hongera sana ufasaha wako juu Zanzibar.
    Kuna swali 1 hapa uliulizwa lkn hukulijibu ni kuhusu kwanini wanzabari wengi siku hizi wanakosa kuajiriwa ktk vyombo vya habari vya kimataifa siku hizi kama DW, BBC n.k....kama vile best wako al-marhum sheikh Mohammed mlamali adam na mke wake aish yahya, al-marhum nassor malik, zeana seif, ahmed rajab, suluma kassim, ali saleh, ali adnan, Suleiman Salim, Ramadani ali, mshangama, Othman miraji, ahmed mohamed na wengineo wetu.😂😂😂😢😢😢

    • @omarymsusa8903
      @omarymsusa8903 8 місяців тому

      Nilitamani kupata neno dogo kutoka bw. Salim kuhusu hawa watangazaji wa zamani niowataja hapa.

    • @omarymsusa8903
      @omarymsusa8903 8 місяців тому

      Aaah zama zimepita namkumbuka al marhum sheikh Mohammed mlamali na barua yake kutoka London pale bbc Swahili huyu mzaliwa wa mkamasini/baraste, Zanzibar
      Pia namkumbuka suluma kassim kipindi chake maarufu cha bbc maarifa club

  • @NassirMuhammad-en7wr
    @NassirMuhammad-en7wr 9 місяців тому

    Kweli kabisa Mzee huko sawa cna

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 8 місяців тому

    Wa zanzibar tuna penda mteleezo uwaziri Bara well for get we come from

  • @yunushaji5327
    @yunushaji5327 8 місяців тому

    Mitume wengi RA walikataliwa kwao. Sh Salim endelea tu. Allah ndio anajua zaidi.

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 9 місяців тому +2

    Sumun Bukmun Umyun 😂😂

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 9 місяців тому +1

    aendelee kutuelimishaa kweny vipindi hivi

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 9 місяців тому +2

    "Uncensored" sheikh Rashid, kipindi kipo dakika 13 kati ya 40 unasema "tukiwa tunatamatisha", kweli!!!! Kwa sababu amegusa UHAMIAJI na nafasi zinazochukuliwa na 'wenzetu' wa KULE

    • @حكايةغد
      @حكايةغد 9 місяців тому

      Huyu mtangazaji sijui ni kada wa ccm au ujinga tu wa kazi yake au uoga, jamaa amepwaya sana kwenye hii interview

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 9 місяців тому

      Naix ni ccm asaiv ​@@حكايةغد

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md 8 місяців тому

    Waandishi na Vijana wenzetu ukimkaribia huyu mzee utachuma mengi sana. Yani Nigekua interested kusomea uandishi basi huyu mzee angekua anankuta mlangoni kwake akiingia na akitoka

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 8 місяців тому

    TAREHE 164/1972 SIKU YA IJUMAPIL I NYUMBANI KWENU MKAMASINI WOLIKUJA WANAJESHI KUJA KUFANYA UPEKUZI BAADA KIFO CHA KARUME KWA NINI WASIIGIE KATIKA MAJUMBA MENGINE. DONGE KWA MAMA YAKO .NASABU INATOKA KWA BABA SIO KWA MAMA

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 9 місяців тому

    Mwandishi now kada

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 8 місяців тому

    Mpizani hanahaki zanzibar hatauwe naelimu gani wanafaidika inche lakn zanzibar hakunafaida

  • @allyvuai6203
    @allyvuai6203 9 місяців тому +1

    Mpeleke Mwanakwerekwe

  • @MussaMussa-v4x
    @MussaMussa-v4x 8 місяців тому

    Vizazi vya leo akili zao zinamafuta ya taa hawaelewi hayo mana wamelishwa pumba.

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 9 місяців тому

    Kishtobe kapata nafasi wacha atapike 😂😂😂

  • @allybin08
    @allybin08 9 місяців тому +1

    Mzee wetu hashoshi unatanani tu aongee

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 8 місяців тому

    Rashid anataka kucheka lkn anajibana

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 8 місяців тому

    ANAPULIZA NA KUTAFUNA KTK MAELEZO YAKE.

  • @HusnaKhamis-bf9sm
    @HusnaKhamis-bf9sm 8 місяців тому

    Wanakuona mpizani ndio mana

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 9 місяців тому

    Leo ni uwongo tu ndio utawala

  • @husseincabubaker
    @husseincabubaker 8 місяців тому

    Vchale

  • @othmanvuai9124
    @othmanvuai9124 9 місяців тому

    Basi haya kama kila kizuri kimeanza zanzibar

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 9 місяців тому +4

      Haina mana hio ila ndio ukweli hio dar salama imetiwa sura ya kimji na sultan wa zanzibar ndio ukweli ilikua mbali ukilinganisha na nchi jirani africa mashariki na kati.

    • @abdulbastadam7985
      @abdulbastadam7985 8 місяців тому

      Kwaio ulitakaje wewe?

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 8 місяців тому

      Na wewe Unataka kutuambia hata ukiwa kwenye chupa utajitokeza kidole?

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 9 місяців тому +2

    Honest wise man,something need to be done to bring bc da Passport Zanzibar is Arkipelego da population need to be onda underconctrol 💯👌🫴